NAMNA YA KUFANYA KAZI NA ROHO MTAKATIFU PART 1

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 159

  • @okiddymonie9046
    @okiddymonie9046 5 ปีที่แล้ว +23

    From Kenya mahubiri yako yanijenga sana. Thank you servant of God.

    • @elimbotontandu5390
      @elimbotontandu5390 3 ปีที่แล้ว +1

      @@lukascharles4861 we ndio bado haijatoka so we

    • @ramadhaniramba103
      @ramadhaniramba103 ปีที่แล้ว

      @@amenmushi5285 kutoka tabora mafundisho yako yananipa nguvu sana amona

  • @blessingsshams2287
    @blessingsshams2287 4 ปีที่แล้ว +11

    Niko Saudia lakini mimi Mkenya haki ninajifunza kutoka kwako Mtumishi wa Mungu. Wewe ndio kanisa langu sasa. Mungu akubariki sana.

  • @mjoan1975
    @mjoan1975 3 ปีที่แล้ว +8

    “Mtakeni BWANA na nguvu zake, Utafuteni uso wake sikuzote.”
    ‭‭Zab‬ ‭105:4‬ ‭🙏🏽

  • @anajoycejames5250
    @anajoycejames5250 2 ปีที่แล้ว +2

    ahsante mtumishi wa Mungu nabarikiwa sana na mahubiri yako. yesu aliondoka na akarudi kwa njia ya roho mtakatifu , je ni kwamba ndo yameshatimia maandiko ya kurudi kwa yesu

  • @caroslifestyle619
    @caroslifestyle619 2 ปีที่แล้ว +3

    I am a Kenyan living in Germany
    I am so blessed .
    Be blessed amen

  • @irenelyamuya5466
    @irenelyamuya5466 ปีที่แล้ว

    😢😢😢😢yani nimebarikiwa sana na hili somo 🙌🙌🙌🙌👏👏👏welcome holy spirit 🙌😢😊😊I surrender to you .

  • @hopeeli9641
    @hopeeli9641 3 ปีที่แล้ว +7

    Mimi nimekuwa Mwanafunzi wa Roho Mtakatifu, na bado nataka niendelee kuwa Mwanafunzi Wake, maana Nimepata faida sana kuwa karibu na Roho Mtakatifu na kumpenda, Natamani kuwa na uhusiano wa karibu zaidi Na ROHO na kuudumisha uhusiano na najiona kama nimepungua sana. Somo hili limeniamsha na kunirudisha kwenye kiu ya kuhusiana na Roho Mtakatifu kwa ukaribu zaidi. MUNGU Nisaidie. Asante Mtumishi wa MUNGU.

  • @aminaalid9745
    @aminaalid9745 2 ปีที่แล้ว +2

    Mimi ni Muslim lkn tangu nlipo kujua baba na kukidikiliza nimebadilika sana ktk emaan

  • @starluzenja9861
    @starluzenja9861 2 ปีที่แล้ว +3

    Nimependa anavyojibu....Mungu mmbariki huyu mtumishi

  • @viviantarimo184
    @viviantarimo184 ปีที่แล้ว +1

    Napenda sana mahubili Yako ukovizuri na makini sana kulichambua neno la Mungu

  • @petronilangula3525
    @petronilangula3525 2 ปีที่แล้ว +5

    Amen, this is very critical lesson to me. Nahitaji Roho mtakatifu anifundishe , nimsikie na nimuone zaidi kama vile Yesu alivyo tuahidi.

  • @kakabaraka1058
    @kakabaraka1058 2 ปีที่แล้ว +2

    Daa, this is gold 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾

  • @jhonchege7258
    @jhonchege7258 2 ปีที่แล้ว +6

    Waooowaoo thank you HOLY SPIRIT for the many revelations through this sermons. Your Word never grow old its always new.🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @gilbertbada8385
    @gilbertbada8385 2 ปีที่แล้ว +4

    Weh..Glory to God!
    What a teacher

  • @Ellehenri
    @Ellehenri 2 ปีที่แล้ว +7

    Truly an amazing teacher on the word. The tone of voice,the teaching itself, mifano, just everything. The spirit of God is speaking through you

    • @williannawilliam8766
      @williannawilliam8766 2 ปีที่แล้ว

      Hili somo limenifungua ufahamu wangu juu ya Roho Mtakatifu. Asante sana Mtumishi wa Mungu .

  • @phidesk2390
    @phidesk2390 2 ปีที่แล้ว +4

    HALLELUJAH. I am being enlightened more by these teachings. Be blessed Mtumishi

  • @paulmwangi294
    @paulmwangi294 ปีที่แล้ว +1

    I need the holyspirit 24/7 in my life.

  • @obedimunguachiza8434
    @obedimunguachiza8434 2 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwe sana mtumishi wa Mungu, nimebarikiwa mno Bwana akuzidishiye maarifa.

  • @reminjoshua1496
    @reminjoshua1496 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen! Nabarikiwa sana kusikiliza mahubiri yaliyoko katika hali ya utulivu, neno halisi la Mungu lisilong'oshiwa na ufunuo wa Roho wa Mungu. Ibada isiyo na ushabiki kama ilivyokuwa desturi ya makanisa mengi kwa sasa kiasi kwamba hisia za mwili zinatawala sana na roho ya mtu/muumini inakuwa haijapokea chochote. Lakini furaha yangu kubwa ni kuona followers/ waamini wengi ni vijana ambao ndio haswa viongozi wa kizazi cha kesho.unapanda kwenye udongo sahii mtumishi. Bwana akubariki, akupe Mafunuo mengi na kukuhifadhi.

  • @sammodel8826
    @sammodel8826 2 ปีที่แล้ว +1

    Man of god nimejifunza vizur hil somo la rohomtaktifu 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿

  • @georgewangai9829
    @georgewangai9829 3 ปีที่แล้ว +5

    What a powerful sermon this is pure gospel

  • @joyceokoth6187
    @joyceokoth6187 2 ปีที่แล้ว +1

    very powerful and insightful teachings,be blessed servant of God

  • @wababyamungu2646
    @wababyamungu2646 2 ปีที่แล้ว

    Tunashukuru mutumishi kwahujumbe Mungu akubariki nakukuzidishiya Siku zakuhishi m'pendwa wabwana

  • @joshuasanga5827
    @joshuasanga5827 3 ปีที่แล้ว +2

    Imeandikwa mkawafanye wote kuwa wanafunzi wangu ubarikiwe kwa somo zuri

  • @gloryyusuph36
    @gloryyusuph36 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki sana Baba hakika Mungu anakutumia sana nimepona ,umenifundisha sana

  • @Jnjiku
    @Jnjiku 2 หลายเดือนก่อน

    Amen, nalipenda sana somo hili?

  • @evodiaathansio769
    @evodiaathansio769 2 ปีที่แล้ว

    Nimelipenda Sana SoMo hili la roho mtakatifu na nimekuelewa mtumishi mungu akupe hekima zaidi

  • @naanely2247
    @naanely2247 3 ปีที่แล้ว +2

    Amen nimebarikiwa Sana

  • @felestinekwamboka2873
    @felestinekwamboka2873 2 ปีที่แล้ว +3

    Be blessed for the wonderful teachings .🙏🙏🙏

  • @alfredjoshua8625
    @alfredjoshua8625 3 ปีที่แล้ว +1

    Be blessed man of GOD unafundisha vizuri, nakuelewa kwa msaada wa roho mtakatifu nashuhudiwa kuwa ni kweli.

  • @stellawilson7453
    @stellawilson7453 10 วันที่ผ่านมา

    Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen

  • @gloryyusuph36
    @gloryyusuph36 ปีที่แล้ว +1

    Baba nifanyeje mimi ili na mimi niweze kumtumikia Mungu kwa kiwango kikubwa namna hii,naomba unisaidie Baba.

  • @emmystanford6201
    @emmystanford6201 2 ปีที่แล้ว

    Asamte Mtumishi wa Bwana, nimejifunza mengi kupitia somo hili ubarikiwe

  • @AngelJoseph-r1n
    @AngelJoseph-r1n 12 วันที่ผ่านมา

    Nakupenda Roho Mtakatifu❤❤❤

  • @faithmsemo8202
    @faithmsemo8202 4 ปีที่แล้ว +2

    Asante sana mtumishi wa Mungu, nimebarikiwa sana na hili somo, unajua kufundisha Neno la Mungu vizuri na mtu akaelewa kwa haraka sana, Mungu azidi kukuinua

  • @collinsgabriel3090
    @collinsgabriel3090 ปีที่แล้ว

    Mungu mkubwa asante baba yangu

  • @miriamndunda4459
    @miriamndunda4459 ปีที่แล้ว +1

    Neema tu mungu akubariki wewe babangu

  • @emmanuelmwizarubi9252
    @emmanuelmwizarubi9252 2 ปีที่แล้ว

    Amen mtumishi nabarikiwa sana na neno ubarikiwe sana

  • @christinaphilip3831
    @christinaphilip3831 4 ปีที่แล้ว +2

    Asante Sana kwa somo Zuri Mungu akubariki zaidi 🙏🙏🙏

  • @francinekabwe1211
    @francinekabwe1211 5 ปีที่แล้ว +1

    Asante mtumishi Wa mungu kuna vitu ambavyo tuna hishi atu vijuwe lakini kupitia mafundisho haya nime jifunza mengi

  • @furaharamadhani6648
    @furaharamadhani6648 5 ปีที่แล้ว +2

    Asante Roho Mtakatifu...Mungu zaidi kukuinua nawapenda sana watumish wote wa Realty of Christ

  • @emmanuelsafari4181
    @emmanuelsafari4181 2 ปีที่แล้ว +2

    Glory to God... 🙇‍♂️🙇‍♂️🙇‍♂️🙇‍♂️

  • @judithbruno2643
    @judithbruno2643 3 ปีที่แล้ว

    AMEN roho mtakatifu fanyikakua kiongozi, msaidizi na nimjue zaidi ya ninavo mjua

  • @paulmwangi294
    @paulmwangi294 ปีที่แล้ว

    This is what I need and want 24/7 forever in my life .

  • @romanaalbin5885
    @romanaalbin5885 2 ปีที่แล้ว

    Speechless am just thinking about Holly Spirit. Vile akiwa ndani ya mtu anavyofanya kazi. Ee Mungu naomba neno lako liwe ndani yangu nikawe na kiu Zaid ya hivi nilivyo ili nikawe juu ya sheria na siyo chini ya sheria.

  • @charityfaustine319
    @charityfaustine319 ปีที่แล้ว

    Blessed after 4yrs

  • @winnieminyalla9430
    @winnieminyalla9430 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen nimebarikiwa sana na hili somo

  • @gemalucas4297
    @gemalucas4297 5 ปีที่แล้ว +2

    Namshukuru Mungu kwa maana ktk hili nitavuka.

  • @lukaantony5360
    @lukaantony5360 3 ปีที่แล้ว

    Huwa Roho yangu ina farijika sana nikisikia mafundisho yako Baba mchungaji

  • @tutindagaadolph4888
    @tutindagaadolph4888 3 ปีที่แล้ว +1

    Amen! Ubarikiwe sana Mwana wa Mungu

  • @veronicacamilius409
    @veronicacamilius409 2 ปีที่แล้ว

    Asante mtumishi wa. Mungu barikiwa sana

  • @dionicyndelwa663
    @dionicyndelwa663 2 ปีที่แล้ว

    Nabarikiwa Sana na kafundisha yako mtumishi

  • @sayunicasmiry4365
    @sayunicasmiry4365 2 ปีที่แล้ว

    Amina Sana, MChungaji. Ujumbe huu ni wa umuhimu kwangu.

  • @justingeorge2451
    @justingeorge2451 ปีที่แล้ว

    Amina

  • @altachrilius8500
    @altachrilius8500 2 ปีที่แล้ว

    Asante mtumishi kwa mafundisho mazuri ya kiroho.

  • @husnakibwana6944
    @husnakibwana6944 3 ปีที่แล้ว +2

    Amen pastor

  • @mnikomwita4132
    @mnikomwita4132 2 ปีที่แล้ว

    Mtumishi ninabarikiwa may God bless you

  • @rachelelias6522
    @rachelelias6522 2 ปีที่แล้ว +2

    Ninakushukuru Sana ,kwa moyo wangu wote na kwa unyenyekevu wote baba ,natamani kupata namba za kutoa sadaka plz

  • @paulmwangi294
    @paulmwangi294 ปีที่แล้ว

    Amen hallelujah servant of God.

  • @damasiusmayanja5329
    @damasiusmayanja5329 5 ปีที่แล้ว +1

    Amen, Mtumishi wa Mungu ,nimepokea Chakula hiki cha Roho

  • @zainabaseli5582
    @zainabaseli5582 2 ปีที่แล้ว

    Ni kweli kabisa mtumishi, kuna kijana alikua anaomba ninunue pikipiki tufanye biashara nikamkatalia baada ya muda nikaota naambiwa mnunulie pikipiki hana shida ni kijana mzuri tu nikashtuka nina hofu sana na nikaitekeleza ile sauti baada ya miezi mitatu pikipiki ikaibiwa, nikagundua ile sauti nilipata hofu haikua sauti ya Mungu

    • @neemaloy889
      @neemaloy889 2 ปีที่แล้ว

      Umenigusà!!!Mungu anakupeleka viwango

  • @pastorchico6388
    @pastorchico6388 4 ปีที่แล้ว +1

    Nitasimulia matendo makuu ya YESU katika Roho

  • @beatricevahaye7917
    @beatricevahaye7917 3 ปีที่แล้ว

    Asante Baba nimeelewa Sana kwa habari ya Roho mtakatifu

  • @christinesavai884
    @christinesavai884 2 ปีที่แล้ว +1

    AMEN AMEN

  • @emmanuelsafari4181
    @emmanuelsafari4181 2 ปีที่แล้ว

    Watching from Kenya, Mombasa

  • @martineherman1220
    @martineherman1220 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @immanuelurio7957
    @immanuelurio7957 3 ปีที่แล้ว

    Mchungaji mimi cjui nisemeje ila Mungu akuzidishie kwa neema hii ya kipekee

  • @hajimnzava3423
    @hajimnzava3423 5 ปีที่แล้ว +1

    Wewe sio mchoyo mungu akubark

  • @farajamkuchu8458
    @farajamkuchu8458 4 ปีที่แล้ว

    Nampenda sana namtamani mmno Roho Mtakatifu nijaze namimi kwaupya

  • @user-wb7cz5li7j
    @user-wb7cz5li7j หลายเดือนก่อน

    Nimependa somo la Namna yakufanya kazi na roho mtakatifuMungu. akutunze Naitwa Daudi Almasi

  • @francismpakasi7683
    @francismpakasi7683 2 ปีที่แล้ว

    Good good thanks and amen 🙏 good news

  • @timoteokajinaki7306
    @timoteokajinaki7306 2 ปีที่แล้ว +1

    Amém

  • @gedeonkabeshakabesha769
    @gedeonkabeshakabesha769 3 ปีที่แล้ว

    Amen mungu akuangaliye akubari nakuzidichiye mutumichi

  • @sarahsoso7202
    @sarahsoso7202 5 ปีที่แล้ว +1

    Amen somo nzuri nimebarikiwa

  • @josphinejosphine8439
    @josphinejosphine8439 3 ปีที่แล้ว +1

    Amen Amen Amen

  • @stellawilson7453
    @stellawilson7453 10 วันที่ผ่านมา

    Asante

  • @sisterolivia9874
    @sisterolivia9874 2 ปีที่แล้ว

    April 2022 and the teaching is very fresh. A kenyan in +974

  • @emmanuelwith1812
    @emmanuelwith1812 2 ปีที่แล้ว

    Nabarikiwa 🙏🙏🙏

  • @penuelfullsalvationchurch3350
    @penuelfullsalvationchurch3350 2 ปีที่แล้ว

    Somo nzuri sana nmelipnda ....

  • @francksindano9582
    @francksindano9582 2 ปีที่แล้ว

    Amen 🙏🏾 mtumishi

  • @priscaprisca3548
    @priscaprisca3548 2 ปีที่แล้ว

    Asante mtumishi wa Mungu,somo nimelielewa sana,umenifungua mambo mengi.

  • @magrethtiliya7034
    @magrethtiliya7034 2 ปีที่แล้ว

    Nimebarikiwa sana na somo hili

  • @IsdoraMushi-lr7vk
    @IsdoraMushi-lr7vk ปีที่แล้ว

    Mch unapatikana wap

  • @lilianmollel5355
    @lilianmollel5355 3 ปีที่แล้ว +1

    God bless you man of God

  • @marinemodest1798
    @marinemodest1798 4 ปีที่แล้ว

    nimependa sana mahubiri yako baba. barikiwa sana

  • @annandossi1022
    @annandossi1022 3 ปีที่แล้ว

    Asante Mtumishi wa Mungu

  • @ambelamwaitebele7540
    @ambelamwaitebele7540 5 ปีที่แล้ว +1

    Asante Kwan kusoma vizuri

  • @collinslyimo8095
    @collinslyimo8095 3 ปีที่แล้ว +1

    Ameeen God bless you.

  • @clementemmanuelmanu1610
    @clementemmanuelmanu1610 5 ปีที่แล้ว +4

    NAKUHITAJI ROHO MTAKATIFU ZAIDI NA ZAIDI.

  • @ireneoulanga9107
    @ireneoulanga9107 4 ปีที่แล้ว

    Asante Mtumishi kwa elimu

  • @Glory-eh7wb
    @Glory-eh7wb 4 หลายเดือนก่อน

    ❤🙏

  • @bahatimichael4504
    @bahatimichael4504 3 ปีที่แล้ว

    God bless you in name of jesus

  • @happymollel9205
    @happymollel9205 2 ปีที่แล้ว

    Nakupenda Roho Mtakatifu

  • @ambelamwaitebele7540
    @ambelamwaitebele7540 5 ปีที่แล้ว +1

    Asante kwa mafundisho ya kiroho

    • @siahmmbando9740
      @siahmmbando9740 5 ปีที่แล้ว +1

      mdau vp eti namna ya kufanya kazi na roho mtakatifu pat 2 imetoka?

  • @emmanuelsafari4181
    @emmanuelsafari4181 2 ปีที่แล้ว

    Nothing more nothing less 🙇‍♂️🙇‍♂️🙇‍♂️

  • @paulinecharo5408
    @paulinecharo5408 3 ปีที่แล้ว

    Am very much blessed thank you man of God be blessed neema ya Mungu iwe juu yako

  • @InChrist2024
    @InChrist2024 2 ปีที่แล้ว

    Being blessed from Kenya

  • @gladysmuhonja2342
    @gladysmuhonja2342 2 ปีที่แล้ว

    Blessings

  • @godlovewarwa
    @godlovewarwa 5 ปีที่แล้ว +1

    Nabarikwe sana na mafundisho yako mtumishi

  • @emmanuelwith1812
    @emmanuelwith1812 2 ปีที่แล้ว

    Amen 🙏