IBADA MAALUM YA WANAWAKE: KUMALIZA MATATIZO YALIYOANZIA TUMBONI
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 5 ม.ค. 2025
- BWANA YESU asifiwe, karibu na ahsante kwa kujumuika nasi katika ibada njema na maalum ya Wanawake kwa mwezi Octoba 2023 inayokujia mubashara kutoka Heart of Worship Ministry HQ Mbezi Beach Dar Es Salaam.
Ibada hii ina kichwa cha somo "KUMALIZA MATATIZO YALIYOANZIA TUMBONI" na inaongozwa na Mtumishi wa Mungu Amoke Nkonoki.