SESSION MAALUM YA WASICHANA: KILA NILICHOFUNGAMANA NACHO NA NILIYEFUNGAMANA NAYE PIGWA KWA RADI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ม.ค. 2025
  • BWANA YESU asifiwe, karibu na ahsante kwa kujumuika nasi katika kipindi cha neno, maombi na maombezi kwa ajili ya wasichana inayokujia leo Jumapili ya tarehe 22 Octoba 2023 mubashara kutoka Heart of Worship Ministry HQ Mbezi Beach Dar Es Salaam.
    Session hii inakujia mubashara kutoka Heart of Worship Ministry HQ Mbezi Beach Dar Es Salaam na ina kichwa cha somo "KILA NILICHOFUNGAMANA NACHO NA NILIYEFUNGAMANA NAYE KIBINADAMU NA KICHAWI NA ANANIZUIA KWENDA KWENYE NDOA PIGWA KWA RADI".
    Session hii maalum inaongozwa na Mtumishi wa Mungu Amoke Nkonoki.

ความคิดเห็น •