Amos Makalla aunda chombo cha kutatua migogoro ya ardhi Mwanza

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ก.ย. 2024
  • Mkuu wa mkoa wa Mwanza Amos Makalla ameunda chombo maalumu kitakachoshughulika na kukusanya taarifa za migogoro ya ardhi kwenye wilaya na halmshauri za mkoa huo ikiwa ni hatua mojawapo ya kutatua kero za wananchi kupitia mikutano inayotarajiwa kuanza Septemba 18 mwaka huu, 2023.

ความคิดเห็น • 5

  • @psttitonakazaelimjema.9562
    @psttitonakazaelimjema.9562 11 หลายเดือนก่อน

    Kwa hili, Mungu akubariki sanna.

  • @kimodomusic9760
    @kimodomusic9760 11 หลายเดือนก่อน

    Nice 😊😊😊😊

  • @justinsamson7316
    @justinsamson7316 11 หลายเดือนก่อน

    Saruty kwako mkuu

  • @user-es7ei7md1v
    @user-es7ei7md1v 11 หลายเดือนก่อน

    Hakuna kitu kama hicho migogoro ya ardhi haiwezi kutatuliwa na mwanasiasa

  • @user-ql6sz9dx7k
    @user-ql6sz9dx7k 11 หลายเดือนก่อน

    Mkuu tusaidie na suala la maji pia. Maji ni tatizo kubwa jiji la Mwanza.