Slay QueenEp.2
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 1 ก.พ. 2021
- Maslay Queen wamerudi kwa awamu ya pili. Slay Queen huyu aiba kwenye duka la Malaika Store bila kujua besti yaka ndiye mmiliki wa hilo duka. Madini yanayotolewa na Dr. GeorDavie yamsaidia kubadili maisha yake.
NIFUATILIE
☞ Facebook: / geordaviemaarifa
☞ Instagram: / geordavie_maarifa
Fantastic lesson, Kuna funzo ndani yake, imeni-inspire sana, inafundisha kutafuta maisha sio kuzengea vya Watu.
Waooooo.....ndanii ya Geordavie Maarifa kuna madinii ya ukweliii.....God bless you Monah and Lisa.....Nawapendaa
Bless you guys......Mko creative sana,
Aha ndio inaendelea mjini somo zuri sana nalina washtua watu wenye mduka kua makini na maslay hawa.
Waw💗☝️🙏
Haha kumbeeee......
lisaaaa