HANNAH - Mzinga Youth Choir, MYC

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ก.ย. 2024
  • Choir: Mzinga Youth Choir (MYC)
    Song : HANNAH
    Audio : IB Pro
    Video Dr: RJ
    Composer: Oswald Rupiah
    Choir Mater/Arranged: Gilliard Sospeter
    I SAMWELI 1:
    1. Palikuwa na mtu mmoja wa Rama, Msufi, wa nchi ya milima milima ya Efraimu, jina lake akiitwa Elkana, mwana wa Yerohamu, mwana wa Elihu, mwana wa Tohu, mwana wa Sufu, Mwefraimu
    2. Naye alikuwa na wake wawili; jina lake mmoja akiitwa Hana, na jina lake wa pili aliitwa Penina; naye huyo Penina alikuwa na watoto, lakini Hana hakuwa na watoto.

ความคิดเห็น • 55