Happy birthday mwanangu Izzo Mr Xmas najua wengi hawajui kama ndio unazaliwa leo mungu alikuwa na makusud yake kukuleta siku ya Xmas ndio maana kila mwaka tunaenjoy siku yako ngoma kali sana
Mmh.. 99 well 🔥 yo dakika ni 9 : bado nasubil unju kweny section g 🥷 wo wo woo yupo juu ananinginia km 💧la kamasi 😋 rapa wk namba ngp ? Mido * wing Unju kachinja 🔪 kadisappear 🔥🔥🔥
Wazo la kutoa hii nyimbo Desemba mosi lifikiriwe siku ya birthday yako Izzo angalia namna nyingine aisee... Been waiting every year Muumbaji atujalie uzima. Hii project isirudie wasanii itadumu generation zote. Salute kwa Duppy, Izzo na wote feel Irie!!✊🏾
Who else was waiting for this XMAS song from IZZO Bizness(as always) eish mpaka nime kata tama kwamba this time aroung akuna XMAS song... Big up to my CHEMICAL🥰🥰🥰🥰(8:46🥺🥺🥺)
Wadada ndo wameimba right content that was needed (X MAS). wanaume nao michano mikali but most of them hawa kufocus na content ya wimbo . But its jam 🎉
Nyimbo kama hizi zinatakiwa zitolewe tangu Desemba Mosi, hili mwezi mzima ipate Airtime
Kabisa aisee
Point hii ofsa
Kaka umenena aseee
iyo hata kwangu imeenda kk🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌
th-cam.com/video/6VA-oLqU_JM/w-d-xo.html
Eyoooo NIKKI MBISHI kauwa sana wazee na uyu mtoto wa musoma Rasco sembo kauwa sana
Happy birthday mwanangu Izzo Mr Xmas najua wengi hawajui kama ndio unazaliwa leo mungu alikuwa na makusud yake kukuleta siku ya Xmas ndio maana kila mwaka tunaenjoy siku yako ngoma kali sana
Been waiting for the new version 2023 since last week!!!!!thanks izzo for the delivery
Dada akitoa mambo natoa tofali sembo kauwa san nipeni like zangu 😢
Mmh.. 99 well 🔥 yo dakika ni 9 : bado nasubil unju kweny section g 🥷 wo wo woo yupo juu ananinginia km 💧la kamasi 😋 rapa wk namba ngp ? Mido * wing Unju kachinja 🔪 kadisappear 🔥🔥🔥
Asante kwa kuniamini kwenye hili jambo kaka ✊🏿
Congratulations 🎉
Fivara
Nikk mbishi akichana lazima nirudishege nyuma nianze tena upya mzee hatari sana aisee
Rapcha
Tabora boy..... 😂😂😂😂😂 Toronto on the map🎉🎉🎉🎉
Appy umetishaaa Kwa maandishi ya kontawaa
December 2023
It's even more better 👏 👏
Rapcha last king of 90s,Niko dawa unadhan ni pharmacy 😂
Mshtue zai tuna throw house party, Kama Haji naita bebe mbili one night. mhh hii sio manara Diss 😂😂😂 ❤ thou
Endelea kuachia hili dude kila mwaka bro ,ngoma la mwaka jana lilikuwa balaaaa
MUNGU WETU AMPE KILA MMOJA MAISHA MAZURI NA KUTIMIZA NDOTO ZA KILA MMOJA 2024 AMEN
Sikukuu inaenda vzr huku nikisikiliza X mass ( V ) wananguu mmeuwa RASCO SEMBO , UNJU , RAPCHA , IZZO 🙌🏿📣
Appy, chemical, nikki mbishi🙌🏾
Huyu Appy nyie 🙌🙌🙌
Mungu kanipa ninachokitaka ajanipa ninachotamani ndiomana sivuki mipaka 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Kama unamkubar huyu mwamba kwautendaji wa kazi basi like zianzie hapa
Nikki Mbishi 🎯
Big up song Na enjoy muziki mzuriii 🎉🎉🎉 Mr X mass bakubaliii
Moja kwa moja toka Nairobi. Merry Christmas to you all ninjas. Cheers 🎉🎉🎉
Ukiacha NIKKI MBISHI nimemzigatia sana CHEMICAL ase kapita vyeed knoma noma
Nikki mbishi unju killed it
Appy 🎉fifi🎉🎉
Appy kaaamua kutokuwaheshimu aiseee.... She killed it
Video mtoe Sasa maan n ngoma kali sio mkae tu video mstoe
Last king of 90's
Dude kweli, unasikiliza kuanzia asubuhi mpk unalala
Hats off for rapcha...... He cooked
Wazo la kutoa hii nyimbo Desemba mosi lifikiriwe siku ya birthday yako Izzo angalia namna nyingine aisee... Been waiting every year Muumbaji atujalie uzima. Hii project isirudie wasanii itadumu generation zote. Salute kwa Duppy, Izzo na wote feel Irie!!✊🏾
KAMA UMEMUELEWA NIKKI MBISHI KAMA MM GONGA LIKE 👍
Kila mtu alikill great project every year Izzo bizness
Ktambo sana ii ngoms
Hii verse ya rapcha ya moto mno
Big up to Mr Xmas 🎅 salute Fivara 🔥🔥📝🙌🏾🙌🏾
Noma sanaaaa mzeeee wngu
Nlisubl Sanaa hii kaz
Nikki bado ni mbishi🎉
Siwadai wote
nikki mbishi na rapcha wameharibu sana
Duppy kanyonga unju kachinjaa
2024 who is with me...?
Who else was waiting for this XMAS song from IZZO Bizness(as always)
eish mpaka nime kata tama kwamba this time aroung akuna XMAS song...
Big up to my CHEMICAL🥰🥰🥰🥰(8:46🥺🥺🥺)
Wimbo huu toka muda ungetoa Anko sema SEMBOO yu kill it bruv 🙌🏿
Unju kadis had kwny ngoma za pilau .. daaa ubishi ni mwingi
Duppy hili beat ni blessing
Niki Mbishiii kapaniaaa sana humuuuuuuuu
Izo bizness mistari unaunga unga sana..haieleweki amna topic kwenye stanza
Nisaidieni kumjua huyu jamaa aliyesema UNAKULA TANO KAMA MNYAMA kwenye verse ake
Green CITY Tujuane kwa likes
Mwanangu CONBOI na MexCortez wanahitajika humu,
Rapcha Rapcha Rapcha Nimekuita Mara 3 Umeua Sana Huu
I see lapcha ,appy ,unju ,mwanangu fivara [nyati]
Stamina angekuwepoo ingekuwaa unyama ila kuna watuuu wameuwaa sanaaa umu %97.9
Hili goma angepiga semboo hata dkk mbili kabisaaa maana ni massive
>>>Fivara nyati 🙌🔥
Umetupa zawadi kali sana b'day Boy
Rapcha and Appy 🙌🙌🙌🙌
Unjuuu 🔥🔥🔥
Sembo yu kill it 🔥🙌🏿
Ulichelewa kuachilia hii dude
Rapcha na Chemical wameua zaidi
Semboooo 👏 nice verse and style .......
bado tupo pamoja aisee ❤❤❤
From KALOLENI TUNDUMA
Big Up.... Appy umefanya vzr sana kwenye hii ngoma... Masikitiko tumeyapunguza ❤
Mbishi bd n niki qmamamaq rapcha🎉🥶👊
Oy umu ni unyama mwing san 🎉🎉🎉🎉
Izoo mbna umechelewa kutoa nyimbo broo
Og n og tu mwanakwetu aliua sana hua haichuj bt big up kwa kuendelea kuipa uhai ngoma
Happy birthday Wajina
aseeeeeeeeeeee hii ni funga mwaka kubwa kuliko
Nyimbo ilibidi itoke mapema, unatoaje siku ya xmars
Sembo, Fredrick Mulla & Appy Unyamaaa kilo
Duuuuh umu ndani kila mtu kamwaga midamu tuu atarii 🌟🌟🌟 unju 💪💪
Haichuji kamweeeeeeeee
Namuona raptcha huku
RASCO SEMBO 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Na wewe young kunya tukikwambia wewe bado unatakiwa utuelewe huwa tunamaanisha.
Fivaraaaaa
Chemical atabaki kuwa number moja aiseee😊🎉
Rapcha 🔥🔥🔥Appy🔥🔥Sembo🔥
Appy 👑👑👑👑👑👑👑
Ngoma hii hatarii kwa hiphop imeuwa
Hii Ngoma uwa tunasubiri kwa Amu so Desember 5 uwe una achia Ngomq kari...
Nikiwa mkubwa nataka kuwa kama wew
Boooongeee la ngoma 🙌🙌🙌
Awezaa brother🤝
Toronto boy you kill it brother
Ahsante @Rapcha🎉🎉
Appy Umetisha mamaaaa
Wadada ndo wameimba right content that was needed (X MAS). wanaume nao michano mikali but most of them hawa kufocus na content ya wimbo . But its jam 🎉
😅😅😅😅 huwez kutoboa ukiendekeza mboga za tinder😅😅😅😅
Salute kwako🔥🔥🔥 nikki
Hilo verse bovuu sana mkuu Sembo 🔥🗣
This song special to Xmas semboo izzo rapcha 🔥🔥