As I wrote this song I thought about all mothers and fathers who in their own way worry about their young ones. I remembered that first time you let your child off to school, college, marriage and life in general..how we fear for them. I hope this song becomes a message for both parents and their children. Christina shusho. Nilipo kuwa naandika wimbo huu nilikumbuka sana majukumu ya wazazi lakini pia hofu inayotanda unapo muacha mwanao kupiga hatua mbali mbali..siku ya kwanza anapo tambaa,anapo tembea, anapo ondoka siku ya kwanza kwenda shule,au chuo na hatimaye kuanzisha familia yake mwenyewe. Naomba wimbo huu ukawa ujumbe kwa watoto na wazazi kwa ujumla. Barikiwa sana unapo utizama...
🙏 AMEN Barikiwa tena sana dadangu Christina Shusho 🙏 🇺🇸 Twakupenda . Ombi langu pia kwa mwanangu 🙏 Ewe BABA WA MBINGUNI Mlinde.Namfunika na damu ya YESU KRISTO. Na wanangu wote wa kiroho. WaMama na Watoto wote kote duniani.Amen
Mungu Apewe Sifa Wapendwa. Nianze kwa Kumshukuru Mwenyezi Munngu kwa Uhai na Afya. Nawasilisha Wimbo Mwanangu, ni wimbo ambao kwangu binafsi una uhalisia mkubwa kama Mama. Naomba Wimbo huu ukawe baraka kwa kila Nyumba utakapo sikilizwa..
Christina, you inspire me a lot with your gospel songs,am a Zambian , but I enjoy your music indeed a woman make s change n every place.may God continue Blessing you n yo music love you, marvis nankonde Livingstone Zambia
Dhambi ikitaka kuinuka wimbo huu huniijia akilini.kalipio la huruma na upendo ubarikiwe sana mama yangu mrembooo jamani!!! Ingawa hunijui just pray also for me.
I can't get enough of this song😍😍 tangu huu wimbo utoke nmekuwa nikiuskiza ukiisha naweka replay. Kazi nzuri umefanya mtumishi wa Mungu. Mungu azidi kukuinua na akutumie zaidi. 🇰🇪🇰🇪🇰🇪tunakupenda😍
He seduced me with sweet words and ghosted me after he got what he wanted; despite promising God I wouldn't go astray of the 10commandments, I still fell into the trap smh but I suppose you live and you learn. All one can do now is try to listen to Gods word and actually act on it.
As I wrote this song I thought about all mothers and fathers who in their own way worry about their young ones.
I remembered that first time you let your child off to school, college, marriage and life in general..how we fear for them.
I hope this song becomes a message for both parents and their children.
Christina shusho.
Nilipo kuwa naandika wimbo huu nilikumbuka sana majukumu ya wazazi lakini pia hofu inayotanda unapo muacha mwanao kupiga hatua mbali mbali..siku ya kwanza anapo tambaa,anapo tembea, anapo ondoka siku ya kwanza kwenda shule,au chuo na hatimaye kuanzisha familia yake mwenyewe.
Naomba wimbo huu ukawa ujumbe kwa watoto na wazazi kwa ujumla.
Barikiwa sana unapo utizama...
Amen
🙏 AMEN
Barikiwa tena sana dadangu Christina Shusho 🙏
🇺🇸 Twakupenda .
Ombi langu pia kwa mwanangu 🙏 Ewe BABA WA MBINGUNI Mlinde.Namfunika na damu ya YESU KRISTO.
Na wanangu wote wa kiroho.
WaMama na Watoto wote kote duniani.Amen
.
Tu as quel you il Pop
VAgqgagazasgaqgazasadgkaxvlafvlafvkalglgaagvaagagagafaxazaggaazblagagavagqgafvagalggaagalvlXgaag
Huo wimbo ni powerful
Mungu Apewe Sifa Wapendwa.
Nianze kwa Kumshukuru Mwenyezi Munngu kwa Uhai na Afya.
Nawasilisha Wimbo Mwanangu, ni wimbo ambao kwangu binafsi una uhalisia mkubwa kama Mama.
Naomba Wimbo huu ukawe baraka kwa kila Nyumba utakapo sikilizwa..
Ameen.
Ila Video zinachelewa sana Mtumish
Amen
Amina Christina mungu aibariki na nyumba yako pia
Ameen barikiwa
Amen
Wapi upenzi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki 🇧🇮🇹🇿🇸🇸🇺🇬🇰🇪🇷🇼 ?
Usikubali.
Mwanangu, usikubali.
Fundisha mtoto kwa njiya inaoyo mupasha kwenda kwa mungu wakati atakapo kuwa muze hâta iacha! Mamangu Christine shusho mungu akubariki
God bless you abundantly my dear
Lots of love from Kenya . Aki tuzidi kuwaombea watoto wetu na kuwaongoza Kwa njia njema...
❤ Amina nimeipokea
Nakupenda san huwa zinanibariki mno nyimbo zako tangu kitambo hata ssa bado nafurahia Mungu akuzidishie kila hitaji lako
My mama nakukubali sanaaaa
Singing Proverbs....woow
Daaah Mungu akutunze tuendelee kubarikiwa
Christina, you inspire me a lot with your gospel songs,am a Zambian , but I enjoy your music indeed a woman make s change n every place.may God continue Blessing you n yo music love you, marvis nankonde Livingstone Zambia
Dada nakupenda pia napenda mno nyimbo zako, Moyo wangu unamuadhimisha Bwana Kwa ajili Yako, Ubarikiwe Sana sana
Oooouuw.....acha tu Mwenyezi Mungu akazidi kukupa Hekima dada shusho,Much Abundant blessings to u dear.
Kila siku ni mpya masikioni mwangu
The biblical content in this song is top notch 💞💞
Ubarikiwe sana mungu akikuze kipaji Hadi juu mawinguni
Uzuri wako dada mzuri hutokagi sana nje ya maandiko.safi sana mamitooooo.always love youu to the maxmum point.mwaaaaaaaa!!!
Wakenya wenzangu tuwakuze watoto wetu katika njia inayompendeza Mungu 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Shusho, huu ndio mwito wako, this is your kind of songs, the songs that bless people, like the way you started. Thank you
Nakupenda mama Bishop. Siku moja imbia na Baba plZ
Muziki safi,,sauti safi,neno la uzima
Nakipenda saana kitabo cha Proverbs ❤️❤️🙏
N'aipenda sana 🎉❤ 2:02
Jamani kaujumbe kazuri na wimbo wenywe mtamu...
Hao wanang wenywe wazuri😅
How she ministers to my heart when she is just singing alone without the collabos
She might be slowly coming back to where she belongs. Her old songs ministers spiritually. This is also added to the list. 🙂
I told someone the same another day kumbe si mimi pekee she is anointed
Me tooooooo.i already feel the presence of the H.spirit in the song .dedicated to my three kids.Wanangu msikubali wenye dhambi wawashawishi.
She is so wooooooooooow
Same here she is good without the colabos
Mungu aendele kukubaliki shusho uendele kutupa nyimbo za baraka
Blessed song huu wimbo huwa nakutumia kumpa mwanangu nasaha
Hongera kwa wimbo mzuri una ujumbe mzuri barikiwa sana
Hongera shusho kwa kuiwakilisha uzur Kenya yet
My Mum,my pastor love you more
N'aipenda sana 🎉❤
Dedicated to my little two angels ,,watching from Riyadh KSA...
Team 254🇰🇪🇰🇪🇰🇪drop here our love to our baby christina shusho✊✊✊✊✊🎤🎤🎤🎤🎤🎤🎤🎤
Kweli kabisa Mom Shusho,wimbo huu inanipa nguvu hasa kama mzazi. Asante Mom Shusho.Mipaka Yakko ifunguke Kwa jina la Yesu
Mwanangu usikubali wenye zambi wakushawishi....my beloved son this for you ❤💙💜💖💗💘
Dhambi ikitaka kuinuka wimbo huu huniijia akilini.kalipio la huruma na upendo ubarikiwe sana mama yangu mrembooo jamani!!! Ingawa hunijui just pray also for me.
Ahsante dada Mungu akinipa mtoto nitamuimbia aka kawimboo 🙏🌹
Mungu akujaze nguvu kwa kazi yake. Pia Mungu azidi kulingana watoto wetu. Amen
I love you Ms Shusho🥰🥰sending love from zambia.
Mwanangu usikubali.!!
♥️ Kwa hii kazi ya Holy Spirit Hallelujah 🙏
nakupenda sana dada nyimbo zako zinanibariki.
Mwanangu usikubali wenye dhambi wakusawishi
Maneno ya faida kwa watoto wetu
Nice video God bless you my sister
Asante mama angu 🙏 kwa ujumbe mzur 👌
Amina mama uzidi kubarikiwa
mwanangu usikubali wenye dhambi wakushawishi I love this song
Ubarikiwe mama mtumishi 🙌
So glad to hear from you
Ni halali kwa watumishi kuvaa suruali jmni
Hyo suruali umeniona peke yako, katika mazuri yooote umeona suruali tu,an evil eye cannot see any good🏃
I can't get enough of this song😍😍 tangu huu wimbo utoke nmekuwa nikiuskiza ukiisha naweka replay. Kazi nzuri umefanya mtumishi wa Mungu. Mungu azidi kukuinua na akutumie zaidi. 🇰🇪🇰🇪🇰🇪tunakupenda😍
True my sister,wacha Mungu awafunze wstoto wetu
Daaah! Hanscana uko Juu..!
Kweri dada nakupenda Sana dada angu na nyimbo zako zinaujumbeeee
Ubarikiwe mamy 🧎♀️🧎♀️🙏🙏🙏
Naomba mungu aniepushe kwa dhambi niwe Safi kama pamba
Huuu wimbo unaishiiii milele
UuumH comment nying ngeli!!! kwa hyo sisi ambao hatujui ngeli.. inakuwaje.??.lakn hkn kubaki nyuma yes yes yes thnk you jesus
He seduced me with sweet words and ghosted me after he got what he wanted; despite promising God I wouldn't go astray of the 10commandments, I still fell into the trap smh but I suppose you live and you learn. All one can do now is try to listen to Gods word and actually act on it.
Ipo siku nitaimba na ww dada 🙏🙏
Wow. This should be played in every home. May God save our children
Amen
Amen
yeah shuld be.....
Ohhh gloiry to God , hongera sana pastor christina shushu
Leone my love usikubali wenye dhambi wakushawishi
Awwww wooow,' mshike elimu usimuwache aende 'nmebarikiwa sanaa
Mawaidha mazuri sana.Amina
this blesses my soul every time i listen to it Kongoi Christine🙏🙏🙏🙏🙏
miguu ya wenye dhambi uenda mbio maovuni......i like it this true we are taking this jam to million views guys lets support...
Christina, thank you for your annointed music. Please release instrumental versions of all your albums. Asante sana!
Naamini katka nyimbo zako kuna uwepo wa bwana hakika sitakubali wenye dhambi wanishawishi
To you my children msikubali wenye dhambi wawashawishi
It's all about Mwanangu ❤❤❤❤❤🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿💃🏼💃🏼💃🏼💃🏼💃🏼💃🏼💃🏼🌷🌷🌷🌷🌷
Nabarikiwa sanaaa na sauti yako dada
This songs is a prayer for every parent who wish their children the best in life.
Wimbo na ujumbe mzuri
Mwanangu ya shusho naipenda
am proud of shusho, thank for the song mwanangu very encouraging to us lyk youths
Song of the century ,best for pupils,students,graduates ,is Yankee generation
mama mafundisho mashauri mazuri
Shusho,mi Ni shabiki wako. ningeomba usikize sister Kate .Yuko kwenye mtandao,nahisi UTABARIKIWa.type tu sister Kate na utampata.
ALIYE NASIKIYO AMESIKIYA.
merci bcp maman Christine pour ces bons conseils . que Dieu vous bénissent abondamment
Nice song and very touching but as parents we need to do the best and God will do the rest
Huyo msichana ni mrembo jameni kaumbwa kaumbika yote kwa mungu
Wimbo mzur sana
Amen mama nakupenda sana shusho❤️🙏
Lord bless you and he always love you
Ubarikiwe sana na Bwana
Vraiment j'ai beaucoup aime cette chanson ❤
Very powerful massage beautiful video 100%memory for these kids.🇰🇪🇰🇪🇰🇪pinga like ya christine.
I can't wait for Mwanangu Nabarikiwa Na Huu Wimbo Sana
Another Hit, a really blessed
If you are blessed agree with a like
Amen thanks you for blessing na huu wimbo
Ata mi huwa nawaambia wanangu, Joseph na Janeth wasikubali wenye dhambi wawashawishi!
I dedicate this song to my sons. Will play it over and over for them. Thank you Christina for this song.
Mob love from 254.we love you sana
Nko hapa mbaya sana.
Nakupenda sana shusho