Christina Shusho and Saint Stevoh - Mifupa Mikavu (SKIZA 1051719)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 912

  • @veetv5485
    @veetv5485 6 ปีที่แล้ว +96

    Aliyebarikiwa na hii nyimbo kama mimi gonga like...

  • @junngatotia9666
    @junngatotia9666 8 หลายเดือนก่อน +28

    Don't ask if we are here in 2025 coz we never left

  • @mimilamar937
    @mimilamar937 6 ปีที่แล้ว +5

    natabiria maisha yangu,uhusiano yangu kwa familia , watu wa ukoo,rafiki zangu na watu wote, Kazi yangu na chochote kile kilicho Poa au kufa Ndani yangu...kwa jina LA Yesu lifufuke na kusimama tena...
    kama vile maombi yake Ezekiel

  • @princenick4728
    @princenick4728 6 ปีที่แล้ว +26

    I love Tanzania ,Kenya,Burundi,Uganda, nk Africa zima like hapa inchi yako ikawe hai tenaa kwa jina la Yesu.

  • @imfetty1807
    @imfetty1807 2 ปีที่แล้ว +5

    many of you don't understand the significance of this message to the people of Africa. the prophecy will be fulfilled soon!

  • @kindulijumanne7632
    @kindulijumanne7632 7 หลายเดือนก่อน +2

    Kwa Yesu Kuna Uhai ulio Hai Nimekuwa Hai tena In Jesus Name

  • @aftermath5226
    @aftermath5226 4 ปีที่แล้ว +94

    Who listening to this in 2020?
    She talented and blessed 🔥🔥💎❤

  • @SILO2020
    @SILO2020 6 ปีที่แล้ว

    Mifupa mikavu kwa maisha yangu nakutabiria kwa jina la yesu.. .uwe hai tena.... Amina

  • @mutumakirima7118
    @mutumakirima7118 6 ปีที่แล้ว +22

    this song is a blessing to us! Trust in the Lord our God and He will move you from nothing to something like the way he moved Ezekiel!

  • @alluser1955
    @alluser1955 6 ปีที่แล้ว

    Mifupa mikavu katika maisha yangu nakutabiria kwa jina la Yesu uwe hai tena

  • @magdallenarichard5444
    @magdallenarichard5444 6 ปีที่แล้ว +40

    The Name of Jesus Maisha yangu,na Kila lilokuwa limekufa ndani yangu liwe,biashara,kazi,elimu,mafanikio lwe hai tena..Amina

  • @anethgerry8000
    @anethgerry8000 6 ปีที่แล้ว +1

    Jamani nashindwa kuelezea vile nimebarikiwa na wimbo huu...sichoki kuurudiarudia zaidi ya Mara kumi kwa siku...shukrani kwenu

  • @getrudaedward3342
    @getrudaedward3342 6 ปีที่แล้ว +142

    Kila jambo lililokufa ndani yangu linaenda kufufuka tena in Jesus name

  • @victoriadavid6286
    @victoriadavid6286 ปีที่แล้ว +1

    Neno hili amenihubiria mume wangu jana jus to come here hearing this...Amen is all I can say mifupa mikavu itakua hai tena

  • @saintstevoh
    @saintstevoh  6 ปีที่แล้ว +202

    Glory to God #MifupaMikavu Ezekiel 37

    • @tinaulim494
      @tinaulim494 6 ปีที่แล้ว +2

      saint stevoh Amen its a touching song.

    • @noelamfikwa1936
      @noelamfikwa1936 6 ปีที่แล้ว

      I love the song

    • @monicahatueno5356
      @monicahatueno5356 6 ปีที่แล้ว

      saint stevoh amen

    • @ombius
      @ombius 5 ปีที่แล้ว

      Love the song. very Touching!. I can't find it on Spotify.

    • @maryannwanjiru2696
      @maryannwanjiru2696 5 ปีที่แล้ว

      Be bless

  • @SILO2020
    @SILO2020 6 ปีที่แล้ว

    natabiria chote kilichokufa kwa maisha yangu...kiwe hai tena kwa jina la yesu...amina

  • @Qua_dro
    @Qua_dro 5 ปีที่แล้ว +94

    This woman is so talented, her voice is just amazing! Really blessed.

    • @saintstevoh
      @saintstevoh  5 ปีที่แล้ว +3

      Good Music God bless you

    • @johnmaingi1601
      @johnmaingi1601 4 ปีที่แล้ว

      Praise God your voice is reaching the world

    • @henryvuna1348
      @henryvuna1348 4 ปีที่แล้ว +1

      @@saintstevoh nakumbuka ukianza Ngoma yako "nimekataa"2008 them days river of life makongeni thika...

    • @jorgetrenton8991
      @jorgetrenton8991 3 ปีที่แล้ว

      Instablaster...

  • @flavykhatenje9908
    @flavykhatenje9908 4 ปีที่แล้ว +1

    mifupa mikavu iliyokauka kwa maisha yangu naitabiria iwe hai tena kwa jina yesu iwe hai tena

  • @itsngaki4507
    @itsngaki4507 4 ปีที่แล้ว +4

    Who else 2020? Mifupa mikavu nakutabiria kwa jina la yesu

  • @mercymuhati5285
    @mercymuhati5285 5 ปีที่แล้ว

    Mifupa mikavu maishani mwangu,nakutabiria uwe hai tena kwa jina la Yesu.

  • @lynnwanjiru4713
    @lynnwanjiru4713 6 ปีที่แล้ว +15

    Mifupa mikavu nakutabiria kwa jina la yesu uwe hai tena🔥🔥
    ❤️❤️from the 254

    • @doraalpheo7370
      @doraalpheo7370 4 ปีที่แล้ว +1

      Kuimba unaimba vizuri, lakini huyo kaka anyoe nywele ziendani na madili ya mungu.

  • @nancygachoki3797
    @nancygachoki3797 ปีที่แล้ว +1

    I declare mifupa mikavu in my life come back to life in jesus mighty name in accordance to Eziekel 37

  • @DjLapoze
    @DjLapoze 6 ปีที่แล้ว +119

    The dry bones will surely rise again.....This is the year of greater works, God is raising successors this year to represent the ministry of Jesus Christ in truth and in spirit.

    • @tetuwamuthonitetu715
      @tetuwamuthonitetu715 6 ปีที่แล้ว

      Amen may it be

    • @carolynemugwanya2549
      @carolynemugwanya2549 6 ปีที่แล้ว +1

      Please can you translate the all song for us who doesn't understand Swahili, it sound good and I can hear yesu. Thanks

    • @blessedone5121
      @blessedone5121 6 ปีที่แล้ว

      Carolyne Mugwanya
      Ezekieli akiwa katika roho (Ezekiel while in the spirit),
      Bwana akamweka chini katika bonde (The Lord sat him down in a valley)
      Nalo limejaa mifupa (which was full of bones)
      Kamwambia Ezekieli (He said to Ezekiel)
      Je, mifupa yaweza kuishi? ( can these bones live?)
      Naye akajibu, Ee Bwana, wajua wewe. ( and he answered, only You know Lord)
      Bwana akamwambia, tabiri juu ya mifupa hii. ( The Lord said, prophesy to these bones)
      Enyi mifupa, isikie neno la Bwana ( bones, hear the Word of the Lord)
      Chorus:
      Mifupa mikavu, nakutabiria ( dry bones, I prophesy to you)
      Kwa jina la Yesu, uwe hai tena ( in the Name of Jesus, live again) X2
      Natabiri kwa upepo na mwili ( I prophesy to the wind and flesh)
      Roho ya Mungu aiweke dhahiri (The Spirit of the Lord to confirm it)
      Kwa mwanadamu waliona nchi kavu ( for man, they saw a dry land)
      Kwa Mungu aliona jeshi shupavu ( for God, He saw a Mighty army)
      Kuna wengi wetu tunapambana ( there are many of us contending)
      Ng'ang'ana, maisha yetu ngumu zaidi ya janga ( hanging on, our lives harder than a disaster)
      But, hio tu ni (that's just)our current condition,
      Position yetu (our) in Christ more than victorious,
      Healthy, wealthy and righteous.
      Maandiko inasema, si warithi wa ufalme ( scripture says we are inheritors of the Kingdom)
      Hautakufa, utaishi, na kusimulia wema wa Bwana ( you will not die, but live, to declare the works of the Lord)
      Chorus X2
      Natabiri juu ya afya yako ( I prophesy over your health)
      Natabiri juu ya kazi zako ( I prophesy over your work)
      Vilivyokufa, viwe hai, viwe hai tena
      ( That which is dead, to live, to live again)
      Natabiria ndoa yako ( I prophesy over your marriage)
      Natabiria watoto wako ( I prophesy over your children)
      Vilivyokufa, viwe hai, viwe hai tena
      (That which has died, to live, to live again)
      Hautakufa, utaishi, uyasimulie mema ya Bwana. ( you will not die, but live, to proclaim the works of the Lord)
      Vilivyokufa, viwe hai, viwe hai tena.
      ( that which has died, to live, to live again)
      Chorus X5.

    • @sussykantai7979
      @sussykantai7979 6 ปีที่แล้ว

      Amen

    • @todayiwillmakeadifference3954
      @todayiwillmakeadifference3954 6 ปีที่แล้ว

      Hallelujah

  • @jacklinemwadime4777
    @jacklinemwadime4777 27 วันที่ผ่านมา

    2024 and we are here Manifesting restoration to all dry,unmoving and stagnant plans.Amen!!!

  • @kyalokennedy6625
    @kyalokennedy6625 4 ปีที่แล้ว +28

    Will my marriage thrive again, will my wife love me again? Mungu uliye peana maono ya mifupa hii nipiganie sasa.

    • @faithmokua7458
      @faithmokua7458 4 ปีที่แล้ว

      Hold on to God.. He is the restorer, it is well.

    • @kyalokennedy6625
      @kyalokennedy6625 4 ปีที่แล้ว

      @@faithmokua7458 Too bad. It is finished. It finally ended

    • @faithmokua7458
      @faithmokua7458 4 ปีที่แล้ว +2

      Everything happens for a reason... Only that we can't get a clear picture of the same at that moment..... Too bad it happened the way it did But.. Just know we are all human and fond of mistakes. Chill and Relaxs, God has Better plans...

    • @kukundagloria8725
      @kukundagloria8725 4 ปีที่แล้ว +1

      Settle and try figuring out the coz of that misfortune then pray to God he’s the breath of life in every dead or dry situation.

    • @petermakachia4542
      @petermakachia4542 3 ปีที่แล้ว

      So amazing

  • @ashleytoto3356
    @ashleytoto3356 5 ปีที่แล้ว

    Mifupa mikavu kwa maisha yangu familia yangu baraka zangu nakutabiria katika jina la Mungu uwe hai tena katika Jina la Yesu vilivyo kufa vinarundi hai tena Amina

  • @daizzykolman9371
    @daizzykolman9371 6 ปีที่แล้ว +16

    Huu sikuujua but nimeona Wema Sepetu akiimba nikakimbia mbio huku niusikilize...waaaaoh nice song am blessed.

    • @saintstevoh
      @saintstevoh  6 ปีที่แล้ว +1

      Daizzy Kolman Mungu akubariki

  • @lucyrobert936
    @lucyrobert936 5 ปีที่แล้ว

    Natabiria ndoa yangu natabiria watoto wangu kwa jina LA yesu

  • @ruthnzegenuka565
    @ruthnzegenuka565 5 ปีที่แล้ว +2

    Wimbo unagusa Sana nafsi. Unaleta utabiria wa kuishi miliele na Yesu Kristo. Wimbo unaponya majeraha ya mwili na roho. Asante Christina na Stv. Be blessed for this powerful message

  • @muthonimwangi2965
    @muthonimwangi2965 6 ปีที่แล้ว

    Mifupa mikavu nakutabiria uwehai tena in Jesus name Amen

  • @uwaseaminatha3131
    @uwaseaminatha3131 6 ปีที่แล้ว +7

    Mifupa mikavu furaha yamaisha yangu nakutabiriya uwehai tena,kwajina la Yesu Christo.

  • @kevinonyango9208
    @kevinonyango9208 4 ปีที่แล้ว +1

    Mifupa mikavu imetabiriiwa kwa jina la yesu iwe hai tena amen

    • @saintstevoh
      @saintstevoh  4 ปีที่แล้ว

      Amen bless you brother thankyou for watching

  • @heavenlyprincess1122
    @heavenlyprincess1122 6 ปีที่แล้ว +70

    Everything that is dead in my life is going to rise up again in JESUS name...powerful song

    • @eliasouma8854
      @eliasouma8854 6 ปีที่แล้ว +3

      AMEN and AMEN

    • @beathapaschal4147
      @beathapaschal4147 4 ปีที่แล้ว +1

      Uko vizuri dadangu mungu aendelee kukulinda uone wema wake

  • @Ptmacharia
    @Ptmacharia ปีที่แล้ว +2

    We need this song on 31st December 2023❤❤❤

  • @kamaukamau6233
    @kamaukamau6233 3 ปีที่แล้ว +6

    Christina Shusho your music is always great your voice and lyrics and all..."CHRITINA SHUSHO IS A BRAND",I love you

  • @lydianabwire396
    @lydianabwire396 ปีที่แล้ว

    Claiming this in 2023. I will not die but live to testify the goodness of the Lord.

  • @mceesilas
    @mceesilas 2 ปีที่แล้ว +4

    This song has been ordained and inspired by God for the Love of mankind...my all time tune

  • @willeyiragi7657
    @willeyiragi7657 5 ปีที่แล้ว

    Natabiri juya afya yako ,natabiri juya kazi yako vilivyo kufa viwe hayi tena,na tabiriya ndoa yako,natabiriya watoto wako.unani bariki sana amen amen

  • @mariammwaipopo5561
    @mariammwaipopo5561 6 ปีที่แล้ว +105

    Prophetic song. Kila chema kilichokufa maishani mwangu kinakwenda kuishi tena.

  • @patiencemutunga7711
    @patiencemutunga7711 5 ปีที่แล้ว +1

    kilichokufa kwa maisha yangu kitafufuka kwa jina la yesu!

  • @prestonebaraza7642
    @prestonebaraza7642 5 ปีที่แล้ว +17

    this song in a 2000W woofer is baaaad news!!! good job producer..

  • @ariannamoriey6302
    @ariannamoriey6302 5 ปีที่แล้ว

    Natabiria uhai na amani maishani mwenu kwa jina kuu la Yesu

  • @mojo50ful
    @mojo50ful 5 ปีที่แล้ว +11

    Very powerful message,God please touch our souls,we are walking dead we need to rise again in Jesus name...Amen.

    • @jacksonkioko6749
      @jacksonkioko6749 4 ปีที่แล้ว

      Amen

    • @mureithialice
      @mureithialice 4 ปีที่แล้ว

      Indeed. A very powerful msg. I agree. We can no.longer bear these burdens as you mention specific to the dead bones in relation to our current positions as Africans. Time to rise up. No longer walking dead! Until the end of times! 🙏🏾

  • @fredrickmbaruku7827
    @fredrickmbaruku7827 4 ปีที่แล้ว

    Mifupa mikavu ya AJIRA iwe hai tena Kwa jina la Yesu huu mwaka hautaisha niwe nimeitwa kazini

  • @upendopeter6523
    @upendopeter6523 5 ปีที่แล้ว +28

    Who else with me in dec 2019?🌹🌹

  • @pendokilimba1364
    @pendokilimba1364 3 ปีที่แล้ว

    Kila eneo la maisha yangu liwe hai teena kwa jina la Yesu

  • @jasminelove9587
    @jasminelove9587 5 ปีที่แล้ว +11

    I prophecy over everything dead in my life to rise in Jesus mighty name.for with man it’s impossible but with GOD ALL THINGS ARE POSSIBLE 🙏🙏.

  • @Knightmare189
    @Knightmare189 4 หลายเดือนก่อน

    Mifupa mikavu ewe Kenya! Uwe HAI tena!!!!!

  • @ptax5949
    @ptax5949 6 ปีที่แล้ว +3

    Song on repeat everyday every hour. Eish can't get enough. I had to look for the lyrics and meaning of e song. Glad I bumped into this now I understand Whts being sung. Very nyc song Shusho and Saint Stavo. Like your combination. Shusho u have a beautiful voice tt speaks to my soul. I love ur work guys.
    Ezekieli akiwa katika Roho (Ezekiel when in a vision)
    Bwana akamweka chini (God placed him down)
    Katika bonde nalo limejaa mifupa (In a valley full of bones)
    Kamwambia Ezekieli “Je mifupa yaweza kuishi?”
    (He asked Ezekiel “Is it possible for the bones to live?”)
    Naye akajibu, “ee Bwana waijua wewe”
    (And he replied, “Oh Lord You know”)
    Bwana akamwambia “tabiri juu ya mifupa hii”
    (The Lord told him “Prophesy over these bones”)
    “Enyi mifupa, lisike neno la Bwana”
    (You bones, listen to the word of the Lord)
    Refrain:
    Mifupa mikavu nakutabiria (Dry bones I prophesy to you)
    Kwa jina le Yesu, uwe hai tena
    (In the name of Jesus, to become flesh)
    (Repeat)
    Tabiri kwa upepo na mwili
    (Prophesy in the spirit and in the flesh)
    Roho wa Mungu aiweke dhahiri
    (The Spirit of the Lord to make clear)
    Kwa wanadamu waliona jikavu
    (For as humans who only saw dry bones)
    Kwa Mungu aliona jeshi moja shupavu
    (God saw a mighty army)
    Kuna wengi wetu tunapambana
    (There are many of us who struggle)
    Ng’ang’a na maisha yetu ngumu zaidi ya janga
    (We wrestle with our tough lives)
    But hiyo ni tu ni [.?.] rudisha
    (But all that is […], it will be restored)
    Position yetu in Christ, more than victorius
    (Our position in Christ…)
    Help thee, wealth thee and righteous
    Maandiko imesema si waridhi wa mfalme
    (The scripture says, we are inheriters of the kingdom)
    Hautakufa, utaishi na kusimulia wema wa Bwana
    (You will not die, but live and tell of the Lord’s Goodness)
    (Refrain)
    Natabiri juu ya afya yako (I prophesy over your health)
    Natabiri juu ya kazi yako (I prophesy over your work)
    Vilivyo kufa viwe hai, viwe hai tena
    (Whatever was dead to live, to be live again)
    Natabiri juu ya ndoa yako (I prophesy over your marriage)
    Natabiri juu ya watoto wako (I prophesy over your children)
    Vilivyo kufa viwe hai, viwe hai tena
    (Whatever was dead to live, to be live again)
    Hautakufa, utaishi na kusimulia mema wa Bwana
    (You will not die, but live and tell of the Lord’s Goodness)
    Vilivyo kufa viwe hai, viwe hai tena
    (Whatever was dead to live, to be live again)
    (Refrain)

  • @winniewera2510
    @winniewera2510 2 ปีที่แล้ว

    Kwa jina la Yesu
    Mifupa yote mikavu kwangu iko hai kwa jina la Yesu
    Amen 🙏

  • @sheilahluchombo6570
    @sheilahluchombo6570 6 ปีที่แล้ว +49

    Mifupa mikavu 254 lets figure out this thanks Shusho and Stevo much love from 254😍😍😍😍😍be blessed

  • @rizicknzowa4912
    @rizicknzowa4912 5 ปีที่แล้ว

    Mifupa mikavu nakutabiria kwa Jina La Yesu uwe hai tena

  • @nanaking1946
    @nanaking1946 6 ปีที่แล้ว +23

    Oh Christina we love you. God continue to bless to be a blessing to us😘😗😍😍🙏

  • @chasiamorgan371
    @chasiamorgan371 5 ปีที่แล้ว +2

    Natabiri utaiona 2020 wewe na familia yako kwa jina la yesu

  • @gabbybenda4327
    @gabbybenda4327 6 ปีที่แล้ว +8

    I will be lifted and live fully life again.. everything will be sorted and covered in Jesus name amen!

  • @cpaissachengo4705
    @cpaissachengo4705 5 ปีที่แล้ว

    ukwel huu wimbo umenigusa.......mungu awasaidie muendelee kufanya kazi ya mungu

  • @cynthialangat8786
    @cynthialangat8786 5 ปีที่แล้ว +12

    I love this song,cant stop listening to it,very powerful i prophecy upon the dry bones in my life,in the Name of Jesus you're life again.God bless you Servants of the Most High God.

  • @pendokilimba1364
    @pendokilimba1364 5 ปีที่แล้ว

    Kila kilichokufa Maishani mwangu kinaenda kufufuka kwa jina la yesu

  • @fridahmwangi9959
    @fridahmwangi9959 6 ปีที่แล้ว +26

    Newest favourite song
    Fav line-Hautakufa, utaishi na kusimulia wema wa bwana...

  • @maureenmutile5989
    @maureenmutile5989 4 หลายเดือนก่อน

    Tabiri kwa upepo na mwili roho was Bwana aiweke dahahiri!! Eish!! I came to listen to this verse alone!!

  • @blessedforever9486
    @blessedforever9486 6 ปีที่แล้ว +72

    Let the dry bones in my Life breath again.Arise in JESUS NAME.Amen.
    Hallelujah.
    GOD BLESS YOU Christina Shusho.We Love You&Thank GOD for You💞

    • @abilamillicent4712
      @abilamillicent4712 6 ปีที่แล้ว

      Mifupa mikavu, nakutabiria uwe hai tena.🙏

  • @mercynamusia3644
    @mercynamusia3644 6 ปีที่แล้ว

    Kilakitu kilicho kufa katika maisha yangu kiamke tena kwa jina la Yesu Amen 🙏🙏 ...big 👆 Saint ft Shusho

  • @yudelleanlisatajirikenyana4519
    @yudelleanlisatajirikenyana4519 6 ปีที่แล้ว +4

    Christina Shusho is really anointed. Really nice collab

  • @daisynyerere5730
    @daisynyerere5730 4 ปีที่แล้ว +1

    Tanzania tumekuwa hai tena kwa jina la Yesu, proud to be Tanzanian

  • @hildakibor5213
    @hildakibor5213 5 ปีที่แล้ว +9

    My best song .Inspiring ,it always relieves my heart from so many things .When I am stressed or going through a though time then I listen to it everything changes..Vilivyo kufa viwe hai tena Amen

  • @jacquelinejackson6124
    @jacquelinejackson6124 6 ปีที่แล้ว +1

    Thank u Christina I Worship Jesus I speak total healing and replacement of a new eye to my dad.

  • @eddamwakyahi9791
    @eddamwakyahi9791 6 ปีที่แล้ว +5

    I feel strong and hopfull.nimetabiriwa uzima.😍😍🙏nitaishi nisimulie wema wa bwana AMEN

  • @hildamwende8426
    @hildamwende8426 9 หลายเดือนก่อน

    This song has been such a blessing to me this past few days.Be blessed

  • @ummumohdaboud4406
    @ummumohdaboud4406 2 ปีที่แล้ว +4

    This song always lifts me up when I'm down

  • @rosemassawe1979
    @rosemassawe1979 4 ปีที่แล้ว

    Hauta kufa,utaishi na kusimulia wema wa Bwana..🙌

  • @blessedone5121
    @blessedone5121 6 ปีที่แล้ว +5

    Only Abba knows how you two have encouraged me. I agree with your prophecies that all things that have died shall now live in Christ Jesus' Name. Mmeyafuta machozi yangu na mtawainua wengi tuu. The power of the Holy Spirit is tangible in this song. I prophesy that the lost shall see and know Christ because of this song. Much love and blessings to you both!!!

  • @deborapaschal3582
    @deborapaschal3582 6 ปีที่แล้ว

    Natabiri juu ya maisha yangu hayatakua hivi yalivyo nitabarikiwa zaidi ya hapa kwa jina la YESU 🙌🙌🙌👏

  • @leontineflorance5198
    @leontineflorance5198 6 ปีที่แล้ว +26

    Mungu Saidia watoto wako waonyeshe njia yauzima tena....

  • @wangariflorensa7559
    @wangariflorensa7559 6 ปีที่แล้ว

    When pple see u kaa mifupa then the say all is gone ...remember we serve a living God.. Mifupa mikafu nakutambilia kwa jina la yesu use hai tena

  • @Marstiq
    @Marstiq 6 ปีที่แล้ว +7

    I can't get enough am loving this tune right know I

  • @stellabonagwa
    @stellabonagwa 4 ปีที่แล้ว

    Yes all that not life in our community we pray in Jesus name to rise up again and to have life for his Glory.🙏

  • @djmj3291
    @djmj3291 6 ปีที่แล้ว +11

    shusho shusho shusho...my all time favourite

    • @mcawickyde2738
      @mcawickyde2738 5 ปีที่แล้ว

      Grace ya God ni sufficient tu sana
      This song is powerful who is still listening in 2019 we need more likes

  • @seamansilver1840
    @seamansilver1840 6 ปีที่แล้ว

    Sintakufa....nitaishi ili nisimulie mema ya Bwana Ameen 🙏🙏the song give me life

  • @phillyfamous6336
    @phillyfamous6336 6 ปีที่แล้ว +8

    Mama ubarikiwe ni nyimbo nzuri sana nimeipenda niya tofauti kabisa

  • @moureenwowsopowerfulimbles2516
    @moureenwowsopowerfulimbles2516 4 ปีที่แล้ว

    My favourite artist,nakupendaaaaaaaaaaaa Sana mama shusho,utukufu umrudie Mungu

  • @journeywithjesus
    @journeywithjesus 6 ปีที่แล้ว +3

    Aiseee, very powerful song!! Hongera sana Christina Shusho.

  • @kelvinjoseph5943
    @kelvinjoseph5943 6 ปีที่แล้ว

    Dah kawimbo katam kweli plus ujumbe wenye uzima wa milele kabisa. Shusho nice chorus...

  • @gloriamwanjala1455
    @gloriamwanjala1455 6 ปีที่แล้ว +26

    The valley of dry bones🔥🔥🔥🔥👌 enyi mifupa lisikie neno la bwana..

  • @premiumdeals7950
    @premiumdeals7950 6 ปีที่แล้ว

    Kwa wanadamu waliona nchi kavu kwa mungu aliona jeshi moja shupavu!

  • @joshuamogoiombati1303
    @joshuamogoiombati1303 3 ปีที่แล้ว +4

    I love how the beat of this song starts......it's my ringtone kwa phone yangu😚, the message is clear and uplifting🙏. Producer aliweza!!

  • @abedmbuvi611
    @abedmbuvi611 ปีที่แล้ว

    Indeed every dead situation in my life God has changed the story... blessings over blessings

  • @gitongajames521
    @gitongajames521 6 ปีที่แล้ว +19

    Lovely song Mungu awabariki sana from Kenya TWA wapenda sana

  • @Jeshurun.k
    @Jeshurun.k ปีที่แล้ว

    An army has risen .. a mighty army .. in thr name of Jesus

  • @rosealoyce5937
    @rosealoyce5937 6 ปีที่แล้ว +5

    Mifupa mikavu nakutabiria kwajina LA yesu uwe hai tena

  • @abelakabelinde9080
    @abelakabelinde9080 6 ปีที่แล้ว +2

    Asante jehova tenda miujiza juu yangu juu ya mifupa mikavu kwa jina la yesu ctakufa ntaishi na ntayasmulia mema yako bwana nibariki na mm tabr juu ya afya yangu pia ndoa yangu na vilivyokufa viwe hai tena asante yesu😇😇

  • @esthermbeke5866
    @esthermbeke5866 6 ปีที่แล้ว +5

    my favourite.. i love this song

    • @saintstevoh
      @saintstevoh  6 ปีที่แล้ว +1

      Esther Mbeke Thankyou dear #Mifupamikavu

  • @bonifacelutumo1196
    @bonifacelutumo1196 7 วันที่ผ่านมา +1

    Ivi kwanini wimbo mzuri kama huu wa kumpa utukufu Mungu unakua na Views 1.5 milions tu,ilibidi iwe ata views 1bilion

    • @bonifacelutumo1196
      @bonifacelutumo1196 7 วันที่ผ่านมา

      Lakini Mungu atabaki kuwa Mungu mwenye nguvu ata iwaje

  • @yudelleanlisatajirikenyana4519
    @yudelleanlisatajirikenyana4519 6 ปีที่แล้ว +8

    0:51 is my fav opening 😍😍😍😍😍
    I'll be listening to this jam now 🔥☺️👍

  • @nizasiamehenry
    @nizasiamehenry 3 ปีที่แล้ว

    Every dry bone have life!
    Kwajina LA yesu.

  • @zinapzinap5665
    @zinapzinap5665 6 ปีที่แล้ว +13

    nitaishi kwa jina la ☝Yesu wanazareti

  • @beatriceeyembe6838
    @beatriceeyembe6838 3 ปีที่แล้ว

    Ameen Ameen Ameen..kwa jina la Yesu kristo wa Nazareth

  • @ev.dariuswesley655
    @ev.dariuswesley655 6 ปีที่แล้ว +3

    mifupa mikavu must live again in Jesus name Amen.;Song of the year

  • @fredy8599
    @fredy8599 3 ปีที่แล้ว

    Christina you are my favourite gospel musician in east Africa

  • @stewartnairo4897
    @stewartnairo4897 6 หลายเดือนก่อน +4

    May 2024 anybody?

  • @theonlyonebeautiful3726
    @theonlyonebeautiful3726 6 ปีที่แล้ว

    Wimbo mzuri kweli ila ushauri tu jamani mkijaga huku nje ya nchi jamani mnaringa mno ebu salimieni please mtu unakuta unamfata umsalimie unajua tena sisi tulioko nje tunakuwaga na kiherehere fulani hivi yaani basi tena sooo excited to see them lakini wanavyotukata maini sasa hapo umelipa ela nyingi kweli kwenda tu kwenye matamasha yao imagines unakutana na hilo how will you feel kama ni wewe so please please waimbani mnapokuja haswa mimi nimekutana nao US jamani hebu just trying to be nice for the Lord.badilikeni mtatukatisha tamaa kuja kwenye matamasha yenu.Mungu azidi kuwatembelea kwa kweli.LOVE