Sasa hii interview mmekaa special kumsema Zuchu... Hamna watoto nyiye... ??? Kila MTU Ana amali yake Kuna wanawake wanakwenda uchi na wamepata waume na wameolewa... Na wanojifunika wakakosa ndoa basi mjuwe kama ndoa inaandikwa mbinguni.. Mtangazaji wewe ni MTU mnafik ... Unataka kuyajuwa ya Zuchu yako mwenyewe kumbe yanakushinda...
Uyu baba mulevi
Wewe nae labda kamuowe mama yake Zuchu
Ndoa sio mavazi. Mapenzi kama iko hata Zuchu avae nini Diamond anampenda zaidi.
Kama kupenda basi Diamond angemuoa Zari na Tanasha.....
Sasa kamaanamuongopa nungu mbona kazini nambona kutwa yukoucho hatara hana kujichetua tu kama kaha
Lugha gani hii?