PENZI LA MTOTO WA BOSS 💞 NA DADA WA KAZI PART 14 | Love Story

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ก.ย. 2024
  • BONYEZA LINK UJIUNGE NA GROUP LA DONTA TV HAPA 👇
    chat.whatsapp....

ความคิดเห็น • 2K

  • @Dontatv255
    @Dontatv255  13 วันที่ผ่านมา +973

    JAMANI TUNAOMBA MSUBSCRIBE CHANEL YETU JAMANI MBONA HIVYO AU ADI TULIE 😢😭

    • @Hadijawashuma
      @Hadijawashuma 13 วันที่ผ่านมา +16

      Labda mlie kwanza😅😅😅😅😅

    • @willykijanaa
      @willykijanaa 13 วันที่ผ่านมา +8

      Baaas baas msilie tunafanya hvooo🤣🤣🤣🤣

    • @SuzzyMatei
      @SuzzyMatei 13 วันที่ผ่านมา +3

      haah ulie tena

    • @RehemaMwakisyala-k9u
      @RehemaMwakisyala-k9u 13 วันที่ผ่านมา +7

      Kelvin Kaz nzur sana kiukweli

    • @priverpriva4144
      @priverpriva4144 13 วันที่ผ่านมา +15

      Afu kunawatu wanatuzingua sana wanaigia jina la movie yetu wanaweka mauchafu 😂

  • @purityrotich1703
    @purityrotich1703 13 วันที่ผ่านมา +206

    Babake Kevin amefunguka akili ❤❤❤❤mama Kevin funguka mama shemenji wenu wazazi wake na Tina atawasambaratisha😢😢😢😢 wanaokubali loveless na Kevin ngongeni like❤❤❤❤❤

    • @aldomtate575
      @aldomtate575 13 วันที่ผ่านมา +5

      Baba leo kanyoosha maelezo

    • @PHYLICEANDEGA
      @PHYLICEANDEGA 13 วันที่ผ่านมา +4

      ❤❤❤❤

    • @joharithabiti334
      @joharithabiti334 13 วันที่ผ่านมา +4

      Kamama kabishi

    • @Ysga-s5b
      @Ysga-s5b 13 วันที่ผ่านมา +5

      Nikweli kabisa Kevin very true 👍 👌 ❤❤❤❤❤❤😢😢😢😢🎉🎉

    • @SadaMafulu
      @SadaMafulu 13 วันที่ผ่านมา +3

      ❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @brendadavid2711
    @brendadavid2711 13 วันที่ผ่านมา +190

    Moyo poleee!! ile fumba Fumbuaaah!,Namba yangu Sifuriih, vyote vimepoteaaah❤ hari yangu majalala sina pakula pakulalaa! kila siku nimisala,oooh Baba Mulika jicho nione nami uniponye,Kila nalo fanya kwao Baya binadamuu!nafsi zao hazina haya unafahamu wanataka niteseke ninyanyasike kesho wanizikeeeh!...

  • @BrendaAlexiousmkandawire
    @BrendaAlexiousmkandawire 13 วันที่ผ่านมา +31

    Kevin don't give up, Jamani naomba like zenu kutoka 🇲🇼 Malawi

  • @umfahad2609
    @umfahad2609 13 วันที่ผ่านมา +10

    Leo nimefurahi saana. Loveness amejua km Amina sio mtu mzuri kwake. Bado Kelvin ajue nae km James pia sio mzuri kwake. Na nimefurahishwa na Baba Kelvin amempa faraja Kelvin wetu. Sbb tulikua tunaumia wengi. Kwa maumivu aliokua anapata Kelvin.❤

  • @JanethJoseph-tq2ns
    @JanethJoseph-tq2ns 13 วันที่ผ่านมา +192

    Leo nimempenda sana baba kelvin jamaniii 🎉, kama nawe umependa mazungumzo yake kwa mkewe weka like apa😊

    • @TinaChiphwafu
      @TinaChiphwafu 13 วันที่ผ่านมา +1

      😂😢😅

    • @user-gl4wj1jc8r
      @user-gl4wj1jc8r 13 วันที่ผ่านมา +1

      Weeee nimefurahi sana vile ameambia Kelvin 😅😅😅😅😂😂😂

    • @DamasiSimtowe
      @DamasiSimtowe 12 วันที่ผ่านมา +1

      umetsha broo

    • @solomartini
      @solomartini 11 วันที่ผ่านมา

      Penzi

  • @MussaLipalika
    @MussaLipalika 13 วันที่ผ่านมา +117

    Amina pamoja na wenzako mkae mkijua mwisho wa ubaya ni aibu kama umeikubali kauli hii gonga like hapa

    • @zugulaloho1177
      @zugulaloho1177 10 วันที่ผ่านมา

      Pamoja sana asifosi upendwi kaa chemba. Mwache mwenzio apate laaha. Jomoooonoooooo

  • @NuruenezaJosephEnock
    @NuruenezaJosephEnock 13 วันที่ผ่านมา +43

    Nimefurah sana Kelvin amejua ukweli kuhusu Amina lkn piah Loveness asikubali kwenda hiyo safari aliyoambiwa na Amina

  • @Faines-qj1nt
    @Faines-qj1nt 12 วันที่ผ่านมา +9

    Kelvn unajua mpka unakela Yani honger sanaa mi nafrahi mkiwa na lovenes pokea maua yakoo🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤

  • @hamzaamry6251
    @hamzaamry6251 12 วันที่ผ่านมา +13

    Loveness plz nijibu ni vimbe plz nakukubali sana unajua plz nijibu nijivunie kujibiwa na msanii bora kwangu💪

  • @user-jp9ec7gh7y
    @user-jp9ec7gh7y 13 วันที่ผ่านมา +26

    Aziza hongera Sana kwa mawaidha yako kwa Kelvin umemponya Kelvin kidonda kidogo sasa shida ni Loveness angekubali Kelvin amchukulie nyumba atoke kwa Amina kabla ya Amina kupeleka Zanziber ndio ampate Kelvin. Kelvin na TEAM yako hon kwa kazi nzuri. CHUKUWENI maua🎉🎉🎉🎉 much ❤❤ from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 nikiwa 🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦

  • @HassanMajaliwa-te1ke
    @HassanMajaliwa-te1ke 13 วันที่ผ่านมา +140

    Hi,wadawu wangu tunaoshilikiyana kuhangalia hii movie kuanzia part1-14 ata like Moja sijapata Leo naomba like zangu❤❤

  • @Gstartz_official
    @Gstartz_official 13 วันที่ผ่านมา +125

    Sijachelewa xana gonna like kwa kelvin khan

    • @SefuIsmail-m5v
      @SefuIsmail-m5v 11 วันที่ผ่านมา

      Kazi nzuri saana wanangu maisha malefu kwenu

  • @hawababy120
    @hawababy120 12 วันที่ผ่านมา +10

    Leo nimechelewa kweli😢ila kazi nzuri kelvin tunasubiri muendelezo👊🥰🇧🇮

  • @josephineuwizeye8250
    @josephineuwizeye8250 13 วันที่ผ่านมา +8

    Kwa kweli leo mimi nnafurahi sana kumuona Kelvin anacheka. BABA kelvin hongera zako we ni mzazi mzuri❤❤❤❤ from Burundi🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @BimkubwaOthman
    @BimkubwaOthman 13 วันที่ผ่านมา +188

    Weweeeeee team dontaaaaa mko wapi????anaempenda Aziza juu ya kumsaidia Kelvin piga kelele 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 Aziza nakupenda sana unavo ongea kipenxi ❤❤❤

    • @SalhaNelson
      @SalhaNelson 13 วันที่ผ่านมา +1

      🌹🌹🎉🎉🎉🎉🥳🥳🥳🥳🥳🥳😊

    • @AmaniNehemia
      @AmaniNehemia 13 วันที่ผ่านมา +2

      🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤

    • @user-pv4tu1xp6k
      @user-pv4tu1xp6k 13 วันที่ผ่านมา +1

      Weweweeeeeeeeee😂😂

    • @irinepamphil7966
      @irinepamphil7966 13 วันที่ผ่านมา +2

      🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤Ya azizaaa haya makopakopa jamani😂😂😂❤❤❤

    • @scolas3134
      @scolas3134 13 วันที่ผ่านมา +1

      🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️

  • @Glorian-iv6xz
    @Glorian-iv6xz 13 วันที่ผ่านมา +66

    Aziza nakukubali kwaushauri unaompa kelvin jamani naakupenda bure❤❤😊🎉 nawapenda wana donta kwa jumla❤️❤️

  • @HappyEmanuel-p7k
    @HappyEmanuel-p7k 13 วันที่ผ่านมา +74

    Hatimae baba kelvin kakubali kuungana na maamuzi ya mwanao kelvin polepole watakubalia loveness kuwa mkamwana wao wanaoamini like

    • @TomWizzy-x4z
      @TomWizzy-x4z 12 วันที่ผ่านมา

      Lazm mwanaume uwe naa maamuz. ila Mama kelvn. 😅😅😅😅😅

  • @AshaNzara
    @AshaNzara 13 วันที่ผ่านมา +4

    Wow baba Kelvin Kaz nzuri sana unabahat vip mipango ya mama tina?????🎉🎉🎉🎉❤❤

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 13 วันที่ผ่านมา +3

    Kevin ushavurugwa dada aziza marhaba umependeza sana hongera kuungana ktk kufanya kazi na hiyo grop

  • @liliannafula-wv2jg
    @liliannafula-wv2jg 13 วันที่ผ่านมา +28

    Mama kelvin na wewe utalia badae heee... Kelvin wewe na loveness mnaenda sana❤❤

  • @samratsalim-j5p
    @samratsalim-j5p 13 วันที่ผ่านมา +83

    Ila aziza umrembo sana mpeni like zake aziza

    • @azizaaziz9261
      @azizaaziz9261 13 วันที่ผ่านมา

      Wapi wakina aziza wajina ametishaa

  • @ShazChem
    @ShazChem 13 วันที่ผ่านมา +15

    😂😂😂😂😍❤Baba Leo ni mpoa kev...Na Asante kwanza kwa kumjulisha loveness truth about amina na starehe za tamaa mbaya....nimefurahia sana...Mambo yanaenda kuwa mema vile😅😅

  • @JullietPeter
    @JullietPeter 13 วันที่ผ่านมา +7

    Jamani tunatamani ndoa ya kevina love naombeni like zenu🎉🎉🎉🎉

  • @BintiM-di1wm
    @BintiM-di1wm 12 วันที่ผ่านมา +3

    Bbe Kelvin umeongea kaa baba hongera sana Aziza nae salut kwa ushauri mzuri ila loveneee uache msimamo mkali usaidike

  • @marykinyanjui1055
    @marykinyanjui1055 13 วันที่ผ่านมา +20

    Waah team kenya mko wapi... ndio naingia humu....❤❤❤hii kipindi haiezi tupita likes tukienjoy

  • @RamadhanibeniBeni
    @RamadhanibeniBeni 13 วันที่ผ่านมา +216

    Jaman leo mimi wa kwanz naombeni like hat tano tyu

    • @AishaAlly-ob7vd
      @AishaAlly-ob7vd 13 วันที่ผ่านมา +2

      Inamaana baba kevi na mama kevi nyote hamjielewi yaani hamuoni km hammtendei haki kevi

    • @JescaKivaria
      @JescaKivaria 13 วันที่ผ่านมา +1

    • @ArafaMazinda-ni2iz
      @ArafaMazinda-ni2iz 13 วันที่ผ่านมา +2

      Nimempenda Aziza

    • @user-ro7jm8ui6m
      @user-ro7jm8ui6m 13 วันที่ผ่านมา

      🙏

    • @HMiddo
      @HMiddo 13 วันที่ผ่านมา

      Kweli yako

  • @MauwaAmida
    @MauwaAmida 13 วันที่ผ่านมา +20

    wanao mpenda kelvin na lovenes tujuwane 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @user-yt7bq2hp4y
    @user-yt7bq2hp4y 12 วันที่ผ่านมา +4

    Saf sana baba kelvin umeshaukwepa ubaya wa baba tna na mama tna wanaokubal gonga like

  • @user-wk5yv4um4m
    @user-wk5yv4um4m 13 วันที่ผ่านมา +6

    Team baba kelvin 😍😍😍😍😍😍 tujuane half tumuombeee kelvin ili amuoe lovenens

  • @ErastoNgerangera
    @ErastoNgerangera 13 วันที่ผ่านมา +104

    Wakwanza jamn sijawah kukoment nileo tuu naombenu zangu toka mbeyaa🎉

    • @SarahRichard-iv2dl
      @SarahRichard-iv2dl 13 วันที่ผ่านมา +2

      Mbeya sehemu gani 😂😂

    • @ErastoNgerangera
      @ErastoNgerangera 13 วันที่ผ่านมา

      @@SarahRichard-iv2dl airport ya zamni

    • @scolas3134
      @scolas3134 13 วันที่ผ่านมา

      Chukua hiyo kutoka Saudi Arabia 🇸🇦🇸🇦🇸🇦❤

    • @ErastoNgerangera
      @ErastoNgerangera 12 วันที่ผ่านมา

      @@scolas3134 Asante

  • @SammySamanto
    @SammySamanto 13 วันที่ผ่านมา +28

    Acha nijaribu kuomba likes leo...
    Maana ata cjajua muhimu wake n nn..
    Nipeni likes zangu tano..😂

  • @khafidamkambeKhafidamk-dq7nj
    @khafidamkambeKhafidamk-dq7nj 13 วันที่ผ่านมา +51

    Jamani aziza na baba kelvin leo nmependa sana maua🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 yenu hyo kuchangua anaekutaka ila akuchaguliwa vzuri. Sana❤❤❤❤ mama tina kaa kwqkutulia kingaganizi mkubwa ww like kwa baba kelvn na aziza❤❤❤

    • @ZamraniSuleiman
      @ZamraniSuleiman 13 วันที่ผ่านมา +1

      Kelvin acha urafiki na Jemss

    • @user-ro7jm8ui6m
      @user-ro7jm8ui6m 13 วันที่ผ่านมา

      🎉🎉

    • @MaryKenedy-r8z
      @MaryKenedy-r8z 12 วันที่ผ่านมา +1

      Huyu n aziza wa bongo fm??

  • @MaryOmwenga-sc3tc
    @MaryOmwenga-sc3tc 13 วันที่ผ่านมา +9

    Wanaokubali aziza gonga like tukizonga ❤❤❤❤❤

  • @esterkimalio8846
    @esterkimalio8846 13 วันที่ผ่านมา +8

    Loveness ukienda Zanzibar umekwishaaaaaaaaaa,,,,,,Amina ni nyoka kwenye maisha yako

  • @PriscarGodrick
    @PriscarGodrick 13 วันที่ผ่านมา +14

    Leo Baba Kelvin kaongea point barikiwa sana Baba yetu kwakurudisha moyo kwa kjana wako❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @judithogaya9730
    @judithogaya9730 13 วันที่ผ่านมา +57

    Sijachelewa naombeni like jamani😂😂😂😂 I'm very interested with this movie I'm watching from Kenya 🇰🇪 currently Qatar ❤❤❤🎉

    • @MariamPacha-y8m
      @MariamPacha-y8m 13 วันที่ผ่านมา

      🎉🎉🎉🎉

    • @MsukaAphrah-qm7zm
      @MsukaAphrah-qm7zm 13 วันที่ผ่านมา

      Uganda Tanzania currently Doha,🇧🇭

  • @RashidKhanOmar
    @RashidKhanOmar 13 วันที่ผ่านมา +110

    wakwanza leo like zangu ziko wapi?? halafu kunambi murimuacha wapi jamani??

    • @ViannaFransisco
      @ViannaFransisco 13 วันที่ผ่านมา

      Nani

    • @Mwajuma-bx7wk
      @Mwajuma-bx7wk 13 วันที่ผ่านมา +1

      😂😂😂 umevurugwa au 😂😂 Jamaa gani huyo

    • @RashidKhanOmar
      @RashidKhanOmar 13 วันที่ผ่านมา

      @@Mwajuma-bx7wk kunambi

    • @RashidKhanOmar
      @RashidKhanOmar 13 วันที่ผ่านมา +1

      ​@@ViannaFransiscoKunambi

    • @Nancybosibori-sz5nb
      @Nancybosibori-sz5nb 13 วันที่ผ่านมา

      Amen baba ndio kusema na barikiwe

  • @isack6727
    @isack6727 13 วันที่ผ่านมา +5

    Aix leo nimefulahi San Kwa kuw Mzee ameelew ni mawumivu gan mtu anapitia akiw kwenye mahusiano na Asie mpenda! Kelvin hap sas usimwambie rafiki yak James atakuvunjia mpango! Nawapenda sana kutoka 🇧🇮🇧🇮

  • @user-rb2po5ne2m
    @user-rb2po5ne2m 12 วันที่ผ่านมา +2

    Sema mama tinah mzuri anaonekana aliwatesa wazazi wetu kipindi hicho😊😊

  • @SERGEDEPAUL
    @SERGEDEPAUL 13 วันที่ผ่านมา +26

    Wakwanza kutoka Congo 🇨🇩 naombeni like zenu jmn

  • @NonosiusNgui
    @NonosiusNgui 13 วันที่ผ่านมา +50

    Wa kwanza leo kelvin like hapa kwa dg lako

  • @SkolaRichard
    @SkolaRichard 13 วันที่ผ่านมา +14

    Waooo nilifunga kuto kula tok hii move ianze kumuombea kev asiingie kweny mtego wa wazazi matapel saiv naanz kumuombea lovenes sasa

  • @judithpendo9985
    @judithpendo9985 13 วันที่ผ่านมา +8

    Mwisho wa ubaya n aibu Amina n James 😢🇰🇪🇸🇦like ata km nmechelewa jmn nawapenda 😅

  • @user-ec6ow2cx7c
    @user-ec6ow2cx7c 13 วันที่ผ่านมา +5

    Ww ulichaguliwa huyo mumeo mama'ke kelvin fungua macho angalia mbele na ww loveness jungana na huyo Amina unatuambia n shoga yako 🎉🎉❤❤❤

  • @JenifaNyamhanga
    @JenifaNyamhanga 13 วันที่ผ่านมา +25

    Jamani kwani watu mnalala humu duuh movie ina dakika tano tu ila watu wamewahi sana basi tupeni like na sisi tuliochelewa❤❤❤

    • @jamilashabani8580
      @jamilashabani8580 13 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @jamilashabani8580
      @jamilashabani8580 13 วันที่ผ่านมา

      kila mtu ana jiita wa kwnza Sijui sasa wengine inakuwaje

  • @FrankMaendeleo247
    @FrankMaendeleo247 13 วันที่ผ่านมา +30

    Jaman tunaopenda kazi za kelvin tujuwane tafadhali maana huwa hakosei kijana wawatu

  • @user-rv9dv9nm9p
    @user-rv9dv9nm9p 13 วันที่ผ่านมา +12

    Wazazi leo mumenifurahisha kwa kweli ❤❤❤❤❤❤ kwa kumuachia kelvin huru yaaani nmefurahi saaaana tena zaidi ya sana

  • @AmosMbiko
    @AmosMbiko 13 วันที่ผ่านมา +10

    Wow jameni Kevin Leo ni tamu guys gonga like hapo kama tuko pamoja appreciate baba Kevin❤❤❤

  • @IsayaMiliya
    @IsayaMiliya 12 วันที่ผ่านมา +3

    Sisi ni familia yenu mna kilasababu ya kutupa kilicho Bora donta TV the next level movies in Tanzania cogratulation by ole miliya

  • @user-rl9sd8hl5o
    @user-rl9sd8hl5o 13 วันที่ผ่านมา +72

    Jamani nimewai nipeni like 3tu wapezi wa kelvin na loveness nawapenda🎉😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤
    🎉❤❤❤

  • @DallyBeka
    @DallyBeka 13 วันที่ผ่านมา +14

    Wa kwanza kutoka kenya😊🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪ninavyowapenda na bundle zangu za 1hr.🥰🥰🥰

    • @AminaPtg
      @AminaPtg 13 วันที่ผ่านมา

      😃😃😃😃20 bob

  • @mildonnydansten9090
    @mildonnydansten9090 13 วันที่ผ่านมา +10

    Kelvin Khan nyce job hakika ningeshauri saanaa ufanye upgrades za dontatv ilí tuwe tunapata burudani hizi kupitia AZAMTV ikiwa ombi langu likikubalika ntakuwa mwenye furaha tele😂❤

  • @everlinekenga437
    @everlinekenga437 13 วันที่ผ่านมา +7

    Baba kelvin hayoo ndo ma'am maamuzi mazur kwa mwanao❤❤❤

  • @ArlèneASENDE
    @ArlèneASENDE 13 วันที่ผ่านมา +4

    Nilifirahi ginsi Kelvin alingunduwa kama Amina ni mutu mubaya kwa loveness, sasa afanya mbinu zake zote, apate kumutowa loveness kwenye nyumba ya Amina.

  • @violetnyakweba1646
    @violetnyakweba1646 13 วันที่ผ่านมา +31

    Naona kila MTU anaomba like jamani, hivi hizo like mwapeleka wapi, hamna lingine la kusema kando na like 🤔🤔

  • @LydiahMoraa-c9j
    @LydiahMoraa-c9j 13 วันที่ผ่านมา +16

    Hapa kilichopakia ni loveness akubali kevin amechukulie nyumba before amina ampeleke Zanzibar ❤❤❤❤❤

    • @malaikajabali-oj2fh
      @malaikajabali-oj2fh 13 วันที่ผ่านมา

      Loveness nikama amebeba akili kwa mikono hana fikra timamu...

    • @LydiahMoraa-c9j
      @LydiahMoraa-c9j 13 วันที่ผ่านมา

      @@malaikajabali-oj2fh afungue akili banae .......kila kitu anakataa mbona

    • @chunaabdullah1333
      @chunaabdullah1333 11 วันที่ผ่านมา

      Anaboha sana kusoma hajui na kuona pia aoni, matukio ya life na Amina lakini bado ashiki somo tu..

  • @5googleuuu727
    @5googleuuu727 13 วันที่ผ่านมา +11

    KELVIN. Tumefurahi ❤❤❤❤❤congratulations movie nzuri

  • @EstellaMuteramyi-ho2lf
    @EstellaMuteramyi-ho2lf 13 วันที่ผ่านมา +4

    good job nawapenda wote munao shiriki kwakutufurahisha mupewe mauwa yenu 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤

  • @rukiahassan7001
    @rukiahassan7001 13 วันที่ผ่านมา +2

    Vizur sana kelvin kumuelezea ukwel love yote uliyoambiwa na amina sasa uamuzi anao mwenyewe loveness kusuka ama kunyoa lkn ashajua anaishi na rafiki wa design gani

  • @Hadijawashuma
    @Hadijawashuma 13 วันที่ผ่านมา +82

    Daah Leo nimewah wanao mkubali kevi gong like

  • @DOREENNKIROTE-gc7cf
    @DOREENNKIROTE-gc7cf 13 วันที่ผ่านมา +32

    Nimewahi wa kwanza leo nipeeni likes zangu jamani kutoka kenya in gulf

  • @ArsenSilayo-r4o
    @ArsenSilayo-r4o 13 วันที่ผ่านมา +63

    Na leo nmewahi mnipe like kwa ajili ya kevy na lovenes

  • @ZAMUTV60
    @ZAMUTV60 12 วันที่ผ่านมา +2

    MZEE KASHAACHIA NAFSI LOVENESS LAZIMA AINGIE NYUMBA YA KITAJILI❤❤🎉

  • @SalomeSumbizi-ll9wc
    @SalomeSumbizi-ll9wc 13 วันที่ผ่านมา +3

    Uyu mama Kelvin litamkuta jambo we muache ila Kelvin bak na msimamo wako huo huo baba🎉🎉🎉

  • @CarolyneNyanchama-yk1gf
    @CarolyneNyanchama-yk1gf 13 วันที่ผ่านมา +10

    Wow leo baba kelvin amebonga kimwanaume at least kelvin amefurahi ila amina😂😂😂

  • @joanitainancioestevao3987
    @joanitainancioestevao3987 13 วันที่ผ่านมา +11

    Babá Kelvin nakupenda sana kwa mahamizi yako, napenda kumuona Kelvin na furah 🥰

  • @franktodory
    @franktodory 13 วันที่ผ่านมา +14

    kelvin akiambiwa na lovenss anajipambania mwenyewe anachukia hatali 😂😂😂😂😂

    • @dautonmdodwe5700
      @dautonmdodwe5700 9 วันที่ผ่านมา

      Anaogopa kusema kama anampenda loveness

  • @RyanAchau
    @RyanAchau 13 วันที่ผ่านมา +17

    Kama hujawai kosa kutazama kipindi hiki bonyeza 👍 tujuane

  • @user-rr1yq9zq9g
    @user-rr1yq9zq9g 13 วันที่ผ่านมา +2

    Baba Kelvin ako sw kabisa lkn kina mama pia tukuwe waelewe but bana Kelvin 🫡🫡 from Kenya like ata kama n 5 Tu please 🙏

  • @user-fh7fx1dq2u
    @user-fh7fx1dq2u 13 วันที่ผ่านมา +9

    Hongera, baba kelvin kwa ushauri bora uliomshauri kelvin na kumweka huru kuchagua anaye mpenda❤❤

  • @Marriam-n5u
    @Marriam-n5u 13 วันที่ผ่านมา +12

    From kenya 🇰🇪 naombeni likes zangu😂

  • @Mwadhani-z9t
    @Mwadhani-z9t 13 วันที่ผ่านมา +6

    UNAE soma coment yangu nakuombea kwa mungu akujaalie kabla mwaka huu ujaisha uwe umetimiza hitaji la moyo wako🤲🤲🤲

  • @NaomiNgute-gu8wc
    @NaomiNgute-gu8wc 13 วันที่ผ่านมา +4

    Nimechelewa but tuko pamoja shabiki from kenya 🇰🇪 congrats aziza kwa kumsaidia kelvin kuja uwogo wa amina

  • @user-di3pd9lw3k
    @user-di3pd9lw3k 13 วันที่ผ่านมา +2

    Kevi siyo siri nakupenda kama hujaoa muoe love (muwe mme na mke sawasawa nawapendaaa donta from kagera kyerwa)

  • @geraldinho240
    @geraldinho240 13 วันที่ผ่านมา +97

    James umekuwa msaliti Ukichukua cha bure jiandae malipo makubwa zaidi kama umeelewa kauli hii gonga like hapa

    • @user-qy1tu1kw2t
      @user-qy1tu1kw2t 13 วันที่ผ่านมา +2

      Uko sahihi sio Bure twende sawa

    • @MalkaNinik
      @MalkaNinik 13 วันที่ผ่านมา

      Kabsaa

    • @user-qq6mv6vh3e
      @user-qq6mv6vh3e 13 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂kabisa

    • @MaureenDeche
      @MaureenDeche 13 วันที่ผ่านมา +1

      Hzi pesa zitamtoka na puan

    • @jamilashabani8580
      @jamilashabani8580 13 วันที่ผ่านมา

      ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @KendaNaomi
    @KendaNaomi 13 วันที่ผ่านมา +10

    Jamani leo mimi wa 636 😢😢😅😅 basi likes zenu From Rwanda ❤🇷🇼🇷🇼🇷🇼 nawapenda tena saaaana ❤❤ Loveness pamoja na Kevin ❤❤🎉🎉

  • @irakozeshela1809
    @irakozeshela1809 13 วันที่ผ่านมา +17

    wa kwanza mie wana donta nawapenda mbarikiwe sna ila kevi😂😂😂😂❤

  • @user-xt3qi7wg6r
    @user-xt3qi7wg6r 13 วันที่ผ่านมา +3

    Mama kelvin atambue moja tu "Amani ni bora kuliko ushindi" ❤🎉

  • @FAITHNZILANI-i2f
    @FAITHNZILANI-i2f 13 วันที่ผ่านมา +2

    Leo baba kelvin amenifurahisha ,,,kama ata wewe umefurahi ngongeni like 😂❤

  • @esthermangoli907
    @esthermangoli907 13 วันที่ผ่านมา +9

    Mbona Loveness hataki kumskiza Kevin,Kevin anajua Amina sio mtu mzuri

    • @user-ic8oj1fy7q
      @user-ic8oj1fy7q 13 วันที่ผ่านมา +1

      Ngoja limkute jambo,😂😂 kulala nje hajakoma😅😅

    • @esthermangoli907
      @esthermangoli907 12 วันที่ผ่านมา

      @@user-ic8oj1fy7q ananiudhi sana

  • @maryamyussufmkubwa
    @maryamyussufmkubwa 13 วันที่ผ่านมา +41

    Leo mim wa kwnz jmnii natak like zngu❤❤

  • @luciatungwa4039
    @luciatungwa4039 13 วันที่ผ่านมา +43

    Wa kwanza Leo msininyime likes ❤❤

  • @BabuAlly-b6z
    @BabuAlly-b6z 13 วันที่ผ่านมา +2

    Mashaallah 🎉🎉🎉❤ mumewahi awamu hiii Safi sana hongereni donta tivii love so much

  • @adelaa.magnusy5820
    @adelaa.magnusy5820 12 วันที่ผ่านมา +3

    Yan episode nzima napenda kipande cha Kevi na Loveness tu sema leo Baba kevi kanifurahisha😂😂😂😂

  • @asanethsanga5591
    @asanethsanga5591 13 วันที่ผ่านมา +10

    Natamani muwe mnaitoa Kila siku ni nzuri ❤

  • @RukiaMwadiga-si3fo
    @RukiaMwadiga-si3fo 13 วันที่ผ่านมา +29

    Leo wakwanza nipeni like zangu basi

  • @JabanFranklin
    @JabanFranklin 13 วันที่ผ่านมา +16

    Mimi wakwanza kutoka Uganda nipen like jaman much love ❤️❤️❤️❤️ from Uganda 🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬

  • @IS-mailyuu
    @IS-mailyuu 13 วันที่ผ่านมา +4

    Jamn kwn hizi like Zina maana gn hebu nipeni na mm japo 100

  • @user-em8qh1pv6h
    @user-em8qh1pv6h 13 วันที่ผ่านมา +4

    Kutoka Uganda 🇺🇬 tujuwane ❤❤

  • @zamdaiddi
    @zamdaiddi 13 วันที่ผ่านมา +19

    Wa kwanza Léo nipeni like zangu

  • @usterbae
    @usterbae 13 วันที่ผ่านมา +10

    Kazi nzuri San Mr Kelvin pamoja na wahusika wako Mungu awabariki 🙏❤

  • @khamisrajab5063
    @khamisrajab5063 13 วันที่ผ่านมา +12

    Hongera sanaa kelvin mukitoa movie n sisi wengine tupeni nafasi y kuekti

  • @MagrethHalla-t1p
    @MagrethHalla-t1p 13 วันที่ผ่านมา +4

    Leo Baba Kelvin nimekuelewa big up

  • @gracechavaliginu7563
    @gracechavaliginu7563 13 วันที่ผ่านมา +4

    Love msikilize kevini Amina siyo mtu

  • @NyaleTheone
    @NyaleTheone 13 วันที่ผ่านมา +10

    Aziza na Kevin,,,mko na vipaji Sana mungu awazidishie

  • @YusraMshomary
    @YusraMshomary 13 วันที่ผ่านมา +36

    Nimekuwa wa kwanza leo naomben like kama unaikubali timu nzima ya Klevin ❤❤

  • @JosephineMomanyi-jp8tv
    @JosephineMomanyi-jp8tv 13 วันที่ผ่านมา +5

    Leo baba Kevin amenifurahisha amejisimamia vizuri sana ❤❤❤amina aolewe na james na Dina awe dada james

  • @user-wp7uk5mb1m
    @user-wp7uk5mb1m 13 วันที่ผ่านมา +1

    Baba Kelvin amesema vizuri kwel nimependa❤❤ wenye tunashiriki pamoja gonga like😂

  • @JoshuaNdekirwa
    @JoshuaNdekirwa 13 วันที่ผ่านมา +8

    Mm sijawahi omba like ata moja Leo sijachelewa san naombeni like hata moja pia niwape mauwa yanu🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 mna wah sana❤❤❤❤❤❤❤❤❤