Vitu muhimu vya kujua kabla ya kutumia oven yako / important things to know before using your oven.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ส.ค. 2024
  • Music: Harmony
    Musician: @iksonmusic

ความคิดเห็น • 12

  • @johaririadha5521
    @johaririadha5521 10 หลายเดือนก่อน +1

    Asantee

  • @TabiaAbdallah-zp9eu
    @TabiaAbdallah-zp9eu 5 หลายเดือนก่อน +1

    Tatizo lugha

  • @sitially2112
    @sitially2112 3 หลายเดือนก่อน

    Habari mimi nata kununuwa ovena niainagani yaoveni imara vipihiyo yokwako naziona sana sijuwi ipi niimara nisaidiye nijuwe nataka kununuwa

    • @eva_kasabila
      @eva_kasabila  3 หลายเดือนก่อน

      Ya kwangu ni imara pia inaitwa PMC

  • @ChrizostomChristian
    @ChrizostomChristian 7 หลายเดือนก่อน +1

    Samahan naomba unisaidie kujua kutumia oven ya Kenwood ktk kupika sconzi

    • @eva_kasabila
      @eva_kasabila  3 หลายเดือนก่อน

      Soma kile kitabu kinachokuja na oven , kila oven ina matumizi yake

  • @frankzacharia4526
    @frankzacharia4526 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hii ya kuwasha oven kwa muda wa dakika 15 kwa Kabla hujauitumia kwa temperature ya 250 ni utaratibu wa oven za aina zote au ni kwa baadhi tu?

    • @eva_kasabila
      @eva_kasabila  หลายเดือนก่อน

      Baadhi sio zote integemea oven yako kwenye maelekezo inasemaje

  • @SaimonJeremiah-gg8ng
    @SaimonJeremiah-gg8ng 2 หลายเดือนก่อน

    He oven unapoitumia umeme inatumia wingi?

    • @eva_kasabila
      @eva_kasabila  หลายเดือนก่อน

      Umeme wa kawaida tu

  • @JescaEmanuel-yq7dt
    @JescaEmanuel-yq7dt ปีที่แล้ว

    Eva ninashida na wew plz naomba namba yako

    • @eva_kasabila
      @eva_kasabila  หลายเดือนก่อน

      Ingia instagram yangu inaitwa Eva Kasabila