Timu wachokonozi tujuane,hongera sana wachokonozi fundisheni sana jamii yetu na wataalam wawezeshwe na selikari tupate madawa yetu ya madawa aina mbalimbali,big up sana!!
una mlima mrefu african, una mbuga kubwa africa serengeti, una tanzanite pale arusha, una rubi manyara, una leganga na mchuchuma, una misitu na mapori ya kutosha, una almasi na dhahabu kila mahari, una uranium una almost kila kitu... unasikia kuna kauli ety, 'oooh hayo madini huko mbugani watakula wanyama ni lazima yachimbwe' hii nchi ina wapumbavu wengi sana kazi kuwaza kula na madaraka. yaani achaa tyuu .
Yan Baba Mwenye Nyumba Kaur Anazoongeaga 🤣🤣 Natamanig Nimwmbie We Mzee Kizaz Chako Nichakulipuliwa Maana Mnanenepa Matumbo Ila Kichwan Debe Tupu🤣🤣 Nots) ,,,,,,
Mi naomba kila sku mungu awaweke. Au ulimwengu uwaweke whatever Ivo Ivo... Naona kam malaika mmlokuja kuukomboa ulimwengu. Aseeh nyie ni hazina ilotumwa. Big up broo Jose. Only for genius
@@SuleimaniDaudi-k1s unaambiwa MUNGU baba mungu mwana yesu kristo na MUNGU roho mtakatifu wa wazungu (ISLAEL) kutoka ROMAN EMPIRE Hataki watu wakatibiwe na Waganga wa kienyeji ni Dhambi
@@yusuphkabora7685 Vitisho vya kwenye Koroani au Biblia Vinakusumbua ndo maana uko tayari kumtukana mtanzania mwenzio ila Yohana, Ruka nabii MSA uwabaliki
Upo sahihi, niliwai kuona kwenye movie 🎥 jamaa alifanya chekamp ya mwili mzima , vipimo vilipokuja daktari akamwambia yupo sawa hana tatizo lakini akamwandikoa dawa za kula etii zitamfanya awe imara zaidi. Nikajiuliza kwanini daktari aandike dawa wakati jamaa hakuwa na tatizo, nikakosa majibu... Ahsante umenipa ufumbuzi
Ila Kuna jamaa anaitwa tz genius yeye anasema kama ni mwathirika nenda akutibie muandikishane mkataba ukipona ndo umlipe pesa yake dawa anasema anayo na alinamsaidia yule dada ambae kila akifanyiwa upusuaji utumbo una jifunga hata Mimi najiuliza kama unaweeza kufubaza kwanini usiue huu ni mchezo
Brother Umeniku Mbusha Mbali Sana Mwaka 2017 Niuguwa Ugonjwa WA mafigo Nilihangaika Sana na Dawa Za Kizungu Nika Chomwa Sindano Nyingi Nasikupona Akaja Mzee Mmoja Wadawa Ya Kienyeji Nikamu Eleza Jinsi Nimavyo Jisikia Akanipa Chupa Moja Ya Dawa Akaniambia Ninywe Marambili Tu Nakweli Nikapona Adi Leo nipo sawa
TUZUNGUMZIE UNAJIMU KIASI JUA, NYOTA NA MWEZI, KILA SIKU JUA NI LILE LILE MWEZI NI ULE ULE ILA SISI NDIO TUNACHANGE MOVEMENTS KILA SIKU KUNA UHUSIANO GANI HAPO
Mwaka flan kipindi cha nyuma tulikuwa tunapiga cm redioni one,nikatoa mawazo kwamba ili kukomesha ukimwi waache kuwapa dawa waathirika na wakifa wengi kwa pamoja ndio watu watajifunza kujilinda na ukimwi,wakanijibu vp familia zao nani ataziangalia,nikawajibu watajiangalia wenyewe na watajifunza kujilinda na wataishi bila kuathirika na ukimwi na utaisha lkn hizi dawa wakitumia ndio kwanza wanakuwa wazima na hawaonyeshi chochote kumbe ndani yake wanaamukiza mpaka watoto wanaozaliwa na kupewa dawa na kuishi kwa kuambukiza wenzao,ni upumbavu huo ila kwa mwenye akili na ili kuuondoa ukimwi pasiwe na dawa yyte ile tufe kizazi hadi kizazi na waliobaki wajitawale waanze maisha bila ukimwi!!! Wakabaki wananijadili kwamba pia ni wazo la kuondoa ukimwi ila linataka utekelezaji wenye vision kubwa sana,fikiria mpaka leo tangu 2005 nadhani ule uoga wa maambukizi ungepunguza hata dhambi za uzinifu
Tuwatengenezee sanamu la wachokonoz kariakoo
Acha tufe
Timu wachokonozi tujuane,hongera sana wachokonozi fundisheni sana jamii yetu na wataalam wawezeshwe na selikari tupate madawa yetu ya madawa aina mbalimbali,big up sana!!
Sio wazee tu hata hawa vijana mafala wanaoshangilia timu za mpira na kusema ccm oyee wapigwe risasi za vichwa wanaliabisha taifa💪💪💪
Kunywa soda
🔥🔥Umeanza February kwa kishindo maneno kuntu
Duuuuh leo umeongeya sana aisee hasa serikali yetu ya tanzania wanataka wale wao tu.
Mda wa Afrika umefika akuna kurudi nyuma tena kila kitu kina wakati yao. Na mda wetu wa Afrika ✌🏿✌🏿✌🏿
Big up my brothers 💪💪💪,
Wataelewa tu hawa mafala ambao waliokuwa wanawabeza 🎉hapo mwanzoni
Nihatari sana malizote hizo ila inchi yetu Inamikopo kama yote jamani waafrika tuamkeeeeee
Fact 💯 📌 fact
Huo ni ukweli mtupu. Ila maongezi yenu yasiwe na matusi😂.Nawapenda sana
Sasa pumbavu sio tusi ndugu.
Mafala sio matusi na hicho kitengo cha kuwalipua na mabomu nikabiziwe mimi😂😂
Watumie lugha zuri sababu hizo junbe zinaishi miaka hamsini ijayo bas na vizazi vijavyo vijifunze kupitia wachokonozi lugha Kali punguzeni
una mlima mrefu african, una mbuga kubwa africa serengeti, una tanzanite pale arusha, una rubi manyara, una leganga na mchuchuma, una misitu na mapori ya kutosha, una almasi na dhahabu kila mahari, una uranium una almost kila kitu...
unasikia kuna kauli ety, 'oooh hayo madini huko mbugani watakula wanyama ni lazima yachimbwe' hii nchi ina wapumbavu wengi sana kazi kuwaza kula na madaraka. yaani achaa tyuu .
Upewe uraisi wa africa mzima msaidiane na traore sjui kama ivi maraisi woote waafrica wanakusikia unavotema madini
Na wakimsikia unafikiri watamfanya nini maana hawapendagi ukweli
Negative tu kama fala hv yani uoga tu @@edithcasmir2565
Mmoja alijaribu kuwatetea akachukiwa na kudhihakiwa wakaona hatoshi akauwawa rest in peace jpm@@edithcasmir2565
@@mwakiosalim2914 acha mawazo kurupushi
Yan Baba Mwenye Nyumba Kaur Anazoongeaga 🤣🤣 Natamanig Nimwmbie We Mzee Kizaz Chako Nichakulipuliwa Maana Mnanenepa Matumbo Ila Kichwan Debe Tupu🤣🤣 Nots) ,,,,,,
Saw aisee
Mi naomba kila sku mungu awaweke. Au ulimwengu uwaweke whatever Ivo Ivo... Naona kam malaika mmlokuja kuukomboa ulimwengu. Aseeh nyie ni hazina ilotumwa. Big up broo Jose. Only for genius
Nawakubali sana mmechagua kutusemea sisi wananchi
chokonoaa mzee sas sisi waafrika ndio mama ndio uhai wa dunia nzima lakini kama ulivosema tumeuziwa uwoga😂 nawakubali sanaaa
❤❤❤❤ Brothers
Akili kubwa kaka
Aiseee daima nitabaki mchokonoziiiiiiii
👌👍
Unaambiwa imeandikwa kwenye vitabu vitakatifu❤ mungu Wa nazareti hazipendi ni Dhambi kutumia DAWA zetu za ASILI ni USHILIKINA 😮😮😂
Wewe sio mzima
Hapo ndo mzungu alipo tupiga😢
@@SuleimaniDaudi-k1s unaambiwa MUNGU baba mungu mwana yesu kristo na MUNGU roho mtakatifu wa wazungu (ISLAEL) kutoka ROMAN EMPIRE Hataki watu wakatibiwe na Waganga wa kienyeji ni Dhambi
@@yusuphkabora7685 Vitisho vya kwenye Koroani au Biblia Vinakusumbua ndo maana uko tayari kumtukana mtanzania mwenzio ila Yohana, Ruka nabii MSA uwabaliki
Ujio wa Walokole ndo ukiharibu WATU wengi SANA AKILI Zao 🚮
nakubali sana wachokonozi ❤❤❤ more love 6:37
Kiukweli wazee mmenitoa Gizani nawashukuru sana
Upo sahihi, niliwai kuona kwenye movie 🎥 jamaa alifanya chekamp ya mwili mzima , vipimo vilipokuja daktari akamwambia yupo sawa hana tatizo lakini akamwandikoa dawa za kula etii zitamfanya awe imara zaidi. Nikajiuliza kwanini daktari aandike dawa wakati jamaa hakuwa na tatizo, nikakosa majibu... Ahsante umenipa ufumbuzi
Nimechelewaa sana Kuwa mwanafamilia
safi
Aisee, jumbe Sumaku sanaaa❤❤
Kaka polepole bas 😅
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
viongozi wa africa ni wabinafsi sana
Oloo nyie nomaaa
Watu wananenepa Matumbo badala ya kichwa😂😂😂
Safi sana,tukuze ukuu wetu.
Umoja wa Africa ni uongo maneno hamna kitu
HAWA JAMAA WANASEHEMU YAO IKULU PALEEEE
Ila Kuna jamaa anaitwa tz genius yeye anasema kama ni mwathirika nenda akutibie muandikishane mkataba ukipona ndo umlipe pesa yake dawa anasema anayo na alinamsaidia yule dada ambae kila akifanyiwa upusuaji utumbo una jifunga hata Mimi najiuliza kama unaweeza kufubaza kwanini usiue huu ni mchezo
@@bakarikayugwa3295 yule dada hajapona mshono umefumuka Tena juzi fuatilia.
Ni kweli sana sana ila punguza ukali wa maneno.
Afrika so rich 🔥🔥👌
MnAonge sana ukweli wakuu naona tunazidi kufunguka taratibu wakuu
big up to you me siku hizi naheshim mtu mwenye mawazo chanya wazee wengi akili ndongo mana umri ni namba tuu
Wazee mpewe kitengo mchokonozi mkubwa iwe raisi na mchokonozi mdogo uwe makamu wa raisi hii nchi itanyooka sanaa
Nipo hapa😅😊
Nakubari
Hahaahahaaa"tunawafungia mtoke na dawa za ARV's mkishindwa tunawalipua"
❤
Nakupenda bure nyie jamaa
Wachokonozi..💥💞💖💯
Nakubali
Number one here
❤❤❤254 pale pale penyewe miamba
Meongea point sana
🎉
Tupo live kichokonozi 💥
HAMCHOSHI ASEEEE
Huyu jamaa anatakiwa awe wazir mkuu sas
🎉🎉🎉🎉
Wazee wapo kanisani eti😂😂😂
Dah wazee mmetisha Sana kwa fact,mmepiga kwenye mshono,tungepata Marais Kama lbrahim twaore Afrika 1000,wazungu wasingesogeza pua zao😂😂😂
Nina mpango wa kuwatengenezea sanamu ya kuwaenzi kaka zangu ninawaelewa sana kila mnacho kiwasilisha!
Kuku kuku kabsa selfish politics, truly speaking wachokoz
Kweli kabisa ❤🔥🔥🔥😂😮
yap
mpewe ulinzi na malimwengu aise😂
🎉🎉
Ukuu wa MWAFRIKA
Nazidi kujinoa kupitia hii chanel
Tushushieni na nondo za m23 congo uko
Muko sawa kuliko wengine wengine wanatuuzia uongo
❤❤❤❤❤ WACHOKONOZI
Sahihi kabisa
Hakikq ndivyo ilivyo
Hii ni kwenye mshono kabisa
Yaani wanaotuaminisha kwamba kanadawa ya ukimwi
Itangazwe kwamba wajiandikishe waongo kifungo ca myaka saba wa kweli wapewe dau
ONGEZA SAUTI CHAWA WASIKIE
Wakuuuu...
Brother Umeniku Mbusha Mbali Sana Mwaka 2017 Niuguwa Ugonjwa WA mafigo Nilihangaika Sana na Dawa Za Kizungu Nika Chomwa Sindano Nyingi Nasikupona Akaja Mzee Mmoja Wadawa Ya Kienyeji Nikamu Eleza Jinsi Nimavyo Jisikia Akanipa Chupa Moja Ya Dawa Akaniambia Ninywe Marambili Tu Nakweli Nikapona Adi Leo nipo sawa
Tatizo Sikumuona Tena Ili Nimu Shukuru
@@ShukuruMasumbuko-s9y siku nyingine ukipata mtu kama huyochukuwa mawasiliano yake hata ya ndugu zake
Mungu pesa wakimarekani akiondoka watu wetu watarudi kazini wataanza kutumia akili zao
Ibrahim Traore
Jose ety chupi
Uyu jamaa anastaili
Kuwa rais wa afric😂😂
Wachokonozi tunafanya ucku na mchana
hahahaaaaa iyo nzuli kaeni apo tunataka dawa.
Nzuri siyo nzuli
Kweli wafe tu tena wafe kama utitili
Utitiri siyo utitili
Kweli kuna issue hile nyota ya kijani eti uzazi wa mpango mbona fresh adi sasa.
Viongizi was kiafrika wanaingia kuteminate sio kukodinate zaidi ni kupefom na vizazi vyao
Awa wamba wapewe nchi dadeki mbona akili kubwa kiasi hiki
😂😂😂😂😂
Mko sawa Sana wajinga bila kuwatukana hawaelewi😅😅😅😅😅
Bonge la Content Bro.SPEAK IT LOUDER BRO.
Duuu nyie jamaaa hatariii
wamezuia ARV, wanaleta VAR.ili mjiangalie tena.
Acha wasitishe ili akili iwepo
TUZUNGUMZIE UNAJIMU KIASI JUA, NYOTA NA MWEZI, KILA SIKU JUA NI LILE LILE MWEZI NI ULE ULE ILA SISI NDIO TUNACHANGE MOVEMENTS KILA SIKU KUNA UHUSIANO GANI HAPO
Mwaka flan kipindi cha nyuma tulikuwa tunapiga cm redioni one,nikatoa mawazo kwamba ili kukomesha ukimwi waache kuwapa dawa waathirika na wakifa wengi kwa pamoja ndio watu watajifunza kujilinda na ukimwi,wakanijibu vp familia zao nani ataziangalia,nikawajibu watajiangalia wenyewe na watajifunza kujilinda na wataishi bila kuathirika na ukimwi na utaisha lkn hizi dawa wakitumia ndio kwanza wanakuwa wazima na hawaonyeshi chochote kumbe ndani yake wanaamukiza mpaka watoto wanaozaliwa na kupewa dawa na kuishi kwa kuambukiza wenzao,ni upumbavu huo ila kwa mwenye akili na ili kuuondoa ukimwi pasiwe na dawa yyte ile tufe kizazi hadi kizazi na waliobaki wajitawale waanze maisha bila ukimwi!!! Wakabaki wananijadili kwamba pia ni wazo la kuondoa ukimwi ila linataka utekelezaji wenye vision kubwa sana,fikiria mpaka leo tangu 2005 nadhani ule uoga wa maambukizi ungepunguza hata dhambi za uzinifu
Kaka zangu, nina mada mpya apa naomba tuijadili. JE, TUNAPASWA KUWAPENDA ADUI ZETU ALAFU TUMCHUKIE SHETANI?.
UNAMCHUKIAJE SHETANI AMBAYE HAYUPOO😂😂😂
Shetani yupo na tunatakiwa kuwapend adui zetu
@ismailmaulidi7783 hongera 🤭🤭🤭
Ndani ya maadui Kuna mema hii ndio maana ya kuwapenda maadua lakini hivyo ni vitu vya gizani huwezi kuelewa mambo ya rohoni huwezi kujua
Yaani wanangu tangu nianze kuwasikiliza Leo mmesema kitu kikubwa sana.
CNN
Why mke. Wake mshenzi!?😂
Ili nawao wajulikane duniani,watusaidie afrika
Ni michezo ya mfumo ya ushoga