ZITTO ATEMA CHECHE ZA KISOMI | TUTAPATA RAIS MUUZA UNGA TUSIPO TOA RUZUKU KWA VYAMA VYA SIASA NA...

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 26

  • @anafikamugisha8834
    @anafikamugisha8834 6 หลายเดือนก่อน +3

    Yaani kama kuna MTU aliondolewa bungeni Kwa hila likaniumiza ni zitto kabwe.zitto ukigombea uraisi namimi nitakupigia kampeni

  • @user-no2ut7yd3e
    @user-no2ut7yd3e 6 หลายเดือนก่อน +3

    Wanasiasa acheni kuongea maneno juu mwamba Jpm aachwa apumuzike,ni Rais wa kwanza Bara ubora Afrika .Ni maoni yangu.

  • @salimsaid8348
    @salimsaid8348 6 หลายเดือนก่อน +4

    Huyu Mtu yupo vzr MashaAllah. Na ndiyo maana ACT-Wazalendo ni chama mbadala chenye maono Pana ya Uzalendo na Maendeleo mm navutiwa sana na hiki chama mwenendo wake sio wapiga kelele ovyo ovyo mihemko isiyo na Tija km wale wengine.

  • @princekelvin5834
    @princekelvin5834 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera sana zitto na serikali kwa ujumla

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 6 หลายเดือนก่อน +1

    ccm oyeeeee yetu macho na masikio na bado bado sanaaaa kila lenye mwanzo halikosi mwisho

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa kweli jitahidini hapo msije mkapata kweli Rais muuza unga maana wamejipanga kweli kweli maana humo kwenyewe ndani ya ccm kuna nsugusno mkali maana Mama mwenyewe wamemgeuka aliyowaoa vyeo vya Uwaziri Laana inawatafuna inshallah mungu atatoa jibu tu

  • @AugustKisaka-qy7kl
    @AugustKisaka-qy7kl 6 หลายเดือนก่อน +4

    Ruzuku,ela za Walala hoi na nyie mnazitaka ,mnatakiwa mjitegemee vyama vyote zisitumie ela za walala hoi,stop kutumia ela zetu atutaki .

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 6 หลายเดือนก่อน +1

      Ila CCM mnairuhusu kutumia Kodi za walalahoi?

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 6 หลายเดือนก่อน +3

    Hoyee Zitto ndugu yangu🎉❤

  • @stephenmzimya9632
    @stephenmzimya9632 6 หลายเดือนก่อน +1

    Vijana wenye akili hawa wanahitaji utulivu wa akili kuwaelewa. Bahati mbaya wengi hawapendi kutulia kuwasikiliza. Tungekuwa mbali sana ktk uwanda wa siasa kama hawa tungewasikiliza na kuwatumia

  • @maase2023
    @maase2023 6 หลายเดือนก่อน +1

    Ss hawa wapinzani wanategemea ruzuku toka serikali ambayo ni ya ccm hivi kweli kuna upinzani hapa????

  • @bonabonala5559
    @bonabonala5559 6 หลายเดือนก่อน +1

    muuza democracia kiongozi wa HIMA EMPERE ni zito kabwe hununuriwa N ccm kuharibu ajenda za democrasia ya tz au tanganyika

  • @zuberisalum2004
    @zuberisalum2004 6 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe in mnafiki kauli yako tunaikumbuka

  • @hamzaathuman9703
    @hamzaathuman9703 6 หลายเดือนก่อน +1

    1) Mishahara ya wabunge ipunguzwe kabisaaaaa ibakie nusu. 2) ukomo wa ubunge na Uwaziri iwe ni mihula miwili tuu nasio zaidi. Pia kila chama kijitegemee kwny ruzuku habari za wauza unga hata km chama kitapewa ruzuku muuza unga akiingia hapo itakuwa imetoka kama hujui

  • @luganomwakyusa7697
    @luganomwakyusa7697 6 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu ni sungura mjanja

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 6 หลายเดือนก่อน +1

    Ndugu yangu anasema ukweli🎉

  • @ChristerShao
    @ChristerShao 6 หลายเดือนก่อน +2

    Mnaeleza vizuri,tatizo mnakuaga kigeugeu.

  • @user-hf7id2oi7g
    @user-hf7id2oi7g 6 หลายเดือนก่อน +1

    Ujiji Oyee, ese ebalo 💪

  • @user-ti4gw9jb8w
    @user-ti4gw9jb8w 6 หลายเดือนก่อน +1

    We ndumilakuwilii

  • @user-zu9jg8hx5l
    @user-zu9jg8hx5l 6 หลายเดือนก่อน +1

    Angalieni kuweni makini urais nao umekuwa ni wa kugawa tu utampa pekee yako

  • @abdallahmsham-eb7jz
    @abdallahmsham-eb7jz 6 หลายเดือนก่อน +1

    hahahaha wakishaa kuona wameshidwa kucheza mpira uwanjani wanautiya mpira kwapani watakwenda nao mbio wanaanza propagandaa na mapemaa duuuu

  • @zuberisalum2004
    @zuberisalum2004 6 หลายเดือนก่อน +2

    Huna lolote mpaka naandika text hiii. Magufuri licha yakuwa amekufa ndio kiongoz mwenyewafuwas wengi kuliko mwanasiasa yyt Tanzania. We zito nimnafiki tuu

  • @jeiranikinunda151
    @jeiranikinunda151 6 หลายเดือนก่อน +2

    Kchw ch Kgm☀️☀️

  • @HhhTt-vl9ct
    @HhhTt-vl9ct 6 หลายเดือนก่อน +2

    Mtu anaeleza kweli anaambiwa Asante ili akae kitako. Makunaliano wameyapiga teke kumbe manyagh'au dah !!