Micky Singer - Wanijue (Official Video) SMS [Skiza 8091509] to 811
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 12 ม.ค. 2025
- MickySinger #Wanijue #SlideDigital
SMS VCT 10813281 To 15577 Vodacom Tz
(C) Slide Digital
Micky Singer Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:
bfan.link/wanijue
Written & Performed by Micky Singer
Micky Singer Songs is Now Available on All Digital Platforms
Link: ffm.to/mickysi...
Follow Micky Singer on:
/ micky_singer
/ mickysingermusic
/ micky_singer
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: / slidedigitaltz
Hii nyimbo kubwa sana …ipeleke tik tok challenge fasta tu show zitamiminika
th-cam.com/video/U5AsYNhf8Og/w-d-xo.html
Song yenye uasilia wa kiasili wa Tanzania ukipata mtu konki kama wewe Micky Singer ni full vibe tu💪
Ambao tunamuelewa na kum bless dogo awe Top kwenye game EA. Gonga Likee hapa🔥🔥🔥🔥
Underated song, hii ndio huwa inawafanya wasanii waaangue kwenye madawa au kuroga kusafisha nyota, wimbo mzuri lkn hadi leo views zake zinasikitisha, lkn wanaoimba matusi na chapat siku moja views 1M
Acha kabisa broo..so powa😂😂😂😂
@@jasiri25 umaarufu umebeba Siri kubwa sana nzito
Wangapi tumeludi kuucheki huu wimbo kwamala nyingine huu mwaka 2024. 10. 08.
Wadau tulioletwa na Babu Tale tujuane😍😍
Hivi ndio vitu vya Bongo kabisa aisee big up man 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Kubwa sana hii
🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Huu ndo muziki wa Tanzania. Sio haya manaija fleva na mapiano.
Big talent ✊✊✊✊✊✊
Inchi ya kwanza East Africa kwa vipaji ni 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Umejua jupangalia vocal melody daah bonge la dubwana lazima lifanye poa kweli mziki mzirii unapenya bila Kiki Wala viki
Umetisha
Nilipenda kila kitu kabla hata ya kumjua mwenye wimbo ama source...jamaa angu umeua sana...huu ndo mziki...fucking mziki...👊
Babutale kanileta hapa.
Asante sana
Wimbo mkali balaa nimeusikiliz hamu hainiishi
In babutale promotion,I'm here now
same here😂
I too 😄
N mm pia
Me too🤜
Me too😀
Daah hili song bar ya mtaani kwetu limekiki saaanaa
Kikweli unauwezo mkubwa sana wakuimba nakutunga Sema tuu babutale ndokatuleta huku hongera ndugu piga kazi yani na mimi ipo siku moja na mimi nita nunua Gari ila izi pesa zitanitoa roho
Tumia akilii huyu ka copy
🙏🏾🙏🏾
Daaaaaaah kweli meneja Mobby akosei
Huuu ndio muziki mzuli tunao utak ss mashabk wa mzk mzul usiache hii content, bravo 👏
Gonga like kama na wewe ulikuja baada ya posti ya babu tale
Tuliokuja baada ya babutale tujuane.. ila ngoma kali
🙏🏾🙏🏾
Ngoma tam sana mungu akubaliki kwenye kazi zako nyengine zote
picha ya afrika kwa video! nimeipenda!
Asante babutale hii kitu hatari sana 🔥🔥🙌🙌
Babu tale ametuleta huku kweli mziki promo ila ngoma kali
Tamu Sana hii Ngoma nimeona kipande Kwa bilinas ,,
dah iko kipande nilichomshikia kisu dogo usingekiweka au bora ungesema tu
Unajua San blood
Underrated song🇰🇪
Hii goma nililiskia kweny power breakfast ya clouds, nikaona Hamisi kigwangala ameipost daah nikasem ngoja nije huku,🙌🙌big up San me nimeipenda sanaaaa
Big up Sana babu tale umetuonyesha mziki Tam sana 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Enjoy good music
Call him superman
@@mirrahofficialtz4643 bigup Sana
Babutale amefanya niiupende huu wimbo ,lkn he's the best , God bless you,
Baada ya efm na babutale kupost ndio maana nipo apa✍️
Babu tale kanileta hapa kutizama hii video asee Kali mno🤩
Unazingua........!!!!!
Big live Sunday wasafi, imenituma hapa kanyimboo🥰🥰🥰🥰 Tena nimejiunga Kama shabiki kabisa kutoka kenyaaa... #wasafimedia
Mwamba nakubali sana
❤❤ 1:16
Nimeisikila hii nyimbo non stop aiseee the besssstt
Since day one nilipokuona kwenye mashup EATV Kama sikosei 2017 nilijisemeaga kuwa ww ni mkali
Support of babutale am here
Mzee wa kukopy na kupest
Kali sana hii 👏👏👏
Umepata shabik from now on🔥🙌🏾
Production iko poa sanaaaa
Babutale take me here 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
kubwa sana hii kaka
🙏🏾🙏🏾
Wooohhhhhhh Kigwangala kanileta hapa
All the way from 254 Kenya🇰🇪💥💥ngoma imetiiii👌
Kama mkenya nimeisikia nyimbo hii siku mbili mtawalia redioni, Big up Mickey Singer 👌
wwe si mkenya
kali
kali kinoma noma...
Big up bro pambana
Nimekuja kuicheki baada ya kuona babu tale kaipost...
Nakubal Kaz nzuri
Wimbo mzuri video nzur pia
Nimemjua uyu bwana mdogo kupitia the cruz ya eastafrica radio kwenye kipengere cha karaoke respect sana brother
Nimekupenda bure ukisikiliza usipo tikisa hata kichwa unalako❤️❤️❤️❤️❤️❤️ nzur sanaaaaa
Aisee bonge la wimbo, nimetoka FNL kuja hapa kumcheki mshikaji
Idea ya huu mzk unafuraisha😂😂😂 sema nn sauti nzuri mno
natamani siku moja nije kwenye shoo zako nipge vaibu ukiimba live kaka nakukubali sana
Noma sana
Boss akinuna n mm ninune# good music
Babu tale kanileta ngoma kali 🔥
Hii nyimbo naisikia cjui kaimba nani nimeon Mr nwany inst nikasem leo ngoj nikasachi hongera
Pamoja bro
Billnass promo am her
Hehehehe maaake apo kwanza ncheke 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
BIG UP BRO
Nawazaa kwanza ngoja kwanza nichekee
Ebu kwanza tucheke izi pesa zisitutoe roho🔥🔥🔥
Umeimba vizuri Sana nimependa kilakitu
Nyimbo kali sana, video usipime. Ngoma ya karne hii
We mnyama jamaa dah saf sn mzee ngoma kali....umeua by kip cash hapa
🙌🏽🙌🏽
umetisha brother
🙌🏽🙌🏽
Guy,s TANZANIA we have talented people🙌
From tiktok 😍 who else
Me
Guilty
Nyimbo nzuriii had nimekupenda na sijakuona ❤️
daaaah ngoma kali sanaaaaa🔥🔥🔥
Kazi nzuri Black X
Umeuwa🥰🥰🥰🥰
Hii ngoma balaaa
Hii ngoma kali Sana.keep it up brother
Huu wimbo ni 🔥🔥🔥
Hii nyimbo inahitaji 1m+ aiseee🔥🔥
Sawa mkali bonge la ngoma.🔥🔥🔥🔥
Kaliiii mnooo
Songi songi songi maama😊
Finally nimemjua mweny nyimb ❤️ bravoo ❤️
mziki mzuri sana i wish wangeupa push inayotakiwa . Good music
🍸one day
Dah msanii nampenda huyu...dah
Nimependa video ipo vizuri sana
Kaka ngoma karii
From Big Sunday Live
Mziki umeniamsha huu... well done brother keep it up.
Dah ngoma Kali sio utani
Bomba sana🙌🙌🙌