Mwanga Wa Akili (Intelligence) Dr.Elie V.D Waminian.
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024
- Kuendelea kupata mafundsho mengine zaidi ya Dr Elie V,D Waminian,tufuatilie kupitia mitandao yetu ya kijamiii:-
Facebook : / gospeltvshow
Instagram : / chomozanews
TH-cam : www.youtube.com...
#ChomozaTv#DrElieWaminian#MwangaWaAkili.
Dr Ellie ukimsikiliza mara moja huelewi hadi uende tena TH-cam
Kwa kweli huyu mtu anamengi ya maana ambayo dunia inayaitaji Ili kuwa na amani na mafanikio ya kwelii
Mungu azidi kukusimamia dr ili tuendelee kula chakula cha ubongo
MUNGU aendelee kukubariki na kukutumia Dr.Elie na Team zima ya chomoza. Tunabarikiwa sana, kujifunza na kuelewa mengi kupitia Dr. Elie na kipindi cha chomoza 🙏🏾
Napenda sana hiki kipindi
Naitwa Hafidh Ibrahim nipo Zanzibar yaani Darara la Dr Ellie linawafanya wamfuatiliao vyema wameanza kuakisi vyema na wanaona ipasavyo katika jamii.
my one n only role model
Dr Mungu Akufanyie Wepesi Katika Maisha Yako
I like that
Jitahidini kuweka karibu maik zenu boss mnacho kizungumzia nikitu Cha maana Sana lakini sauti ziko chini sana
Ila chomoza mnanifundisha mengi sana kuhusu dunia
Habari, nawezaje kupata na kusikiliza mafundisho ya Dr. ya kwenye Terminal ya clouds media
Asanteee Sana Dr Elie 🙏🙏🙏🙏
Tunaomba muongeze sauti...siku hizi sauti iko chini sana
Me i love this man sana mnooo
Mungu akubariki sana Dr eli
Dr. Umetuponya wengi kupitia chomoza
We love deally and always will do
i guess im asking the wrong place but does any of you know a way to log back into an Instagram account??
I was dumb forgot the password. I appreciate any assistance you can offer me
@Andy Hank Instablaster :)
Ananijenga kichizi
🙏
Dr. Ana Vitabu alivyoandika? Tafadhali naomba majina kama vipo na namna ya kuvipata
We can never be united, we can never be one. Even you, yourself know that. Stop giving false hope to people.