AHMED ALLY APEWA KUKU AMWAGA MAKOPA KWA HUSSEIN ABEL NA FREDDY/"FREDDY AMEKUA TISHIO
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 16 พ.ค. 2024
- SUBSCRIBE NOW:
▶
🌐 Site: simbasc.co.tz/
📱 App: Iphone User: apps.apple.com/us/app/simba-s...
📱 App: Android User: play.google.com/store/apps/de...
🔵 Facebook: / simbatanzania
📸 Instagram: / simbasctanzania
𝕏 Twitter: / simbasctanzania
🎶 Tiktok: / simbascofficial
About the Official Simba SC TH-cam Channel:
Simba Sports Club is the most successful club in the history of football in East Africa. Enjoy the best goals, highlights, tricks, new players, training's,exclusive interview and live press conference
🔵🔴⚪ #NguvuMoja #Wenyenchi - กีฬา
Mungu ibaraki Simba tuna kuomba Mungu msimu ujao tuchukue ubingwa wa michuano yote tutakayo shiriki🙏💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻
Alhamdulilah tunashukur Mungu tumepata alama tatu muhimu Simba nguvu moja naipenda Simba mpaka naipenda tena 🥰🥰🥰🦁🔥
Tunaipenda wote my frend
Tuipende timu yetu yote ni mapito tu yatakwisha Inshallah 🙏
Kweli kabisa kuipenda Simba kuko palepale
Simba nguvu moja
Abely ni kipa mzuri Sanatunapenda kumuona mara kwa mara akicheza tunashukuru kwa viongozi kumpa nafasi kipa huyu aminiwe ahsante Sana SIMBA NGUVU MOJA
Mpira mwingi.❤❤❤
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ simba
Semaji la caf 👏👏👏👏👏👏👏👏
SIMBA NGUVU MOJA ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Badilisheni Mic bhana mnatuangusha bhana Digital
😂😂😂😂 semajiii oyeeeeee ❤❤❤
Vipi leo, wamejituma?
Wewe umeonaje!
Asante mungu
Let's go simba 🎉🎉
Hakika mungu ni mwema hatatuacha mpaka mwisho amiiiiiiiin
Amiin
Mungu ni wetu sote
Simba yangu mim🤍🤍🤍❤️❤️❤️
SIMBA NGUVU MOJA
Asante Mungu tumepata ushindi
MUNGU atubariki pamoja na kwanza wenzetu young Africa Wana maduka 6 kwenye NBC bado tuna itafuta nafasi ya 2 au 3
Ukitoa point za bure walizo pata yanga kwenye izo team 6 ambazo Ni 36
Utagundua Young Africa alitakiwa amalize nafasi ya ngap
Simba nguvu moja lkn tukishindwa tusitukane viongozi
Mashine ya mnyam🎉❤
Daaah jamaa anaonekana hana furaha kabisa. Sema mtakaa sawa tu.
Goli la 6 hlo mpenz sio la 5🙌🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️
Husen Abery nbonge kipa Mimi sehem ya golikipa sina swali kabisa
Mic miyeyesho bhana
Simba simba semaji kapewa kuku om mh mangu
Freddy sio mchezaji mbaya ila naona asiwe tegemeo msimu ujao maana tuna hitaj kuionyesha dunia kuwa Simba ni mkubwa msimu ujao
Nina wasiwasi na huyo kuku kwa jins mashabiki wa simba walivochafukwa wanakuzadia kuku
njooni mcheze na huku Arusha bas
Golini pale sina hofu kabisa
Tuna itaka nafasi ya pil😢😮
Hatuna kocha wa viungo
ALAMA TATU ZA NINI SASA,SASAHIV KINACHOHITAJIKA N MAGOLI MENGI SIO ALAMA 3
Kabixa maana azam xo pow
KWANI AZAM NA SISI TUKIWA POENTI ZETU SAWA WANAPITA WAO?? AU NIJULISHENI PLZ.
Muhimu point tatu magoli baadae tungetoka Leo tatu tatu ntukapata magoli mengi na point moja ingesaidia nini
Wanapita wao wanatuzidi goli 5
@@adventureernest5599 DUH KUMBE SIMBA MWAKA HUU SIDHANI KAMA TUTAPITA
🤍🤍🤍🤍🤍❤️❤️🦁🦁🦁💪💪💪💪💪
Hivi jamani kwanini wachezaji wetu wanaumia mara kwa mara shida nini? 😭😭😭😭
Umri
Ni njia ya wapinzani wabayakabisa kuitengua timu na nguvu na plani yake Jambo ambalo Simba imepitia mfululizo mfani siku ile beki kisiki inonga alipoumizwa mgumu na kutoka nje ndo lango la Simba lilipoanzwa kufungwa magoli na kupoteza mchezo,na pia wengine siku nyingine hivyo mfululizo.
@@kaismwambona9860NI NJAMA ZAO MACHOGO FC
Hawana fitness kabsa hao kocha wa viungo hatuna
Mimi ni Yanga ila namkubali Ally Kamwe hakasiriki kabisa anafaa kuwa msemaji.
ALI KOMO MSEMAJI WENO MACHOGO FC 😂😂😂😂😂😂
Sasa Kuna ally kamwe hapa mwiko nyuma bhn
Ali kuma
@@user-bn3yn8uj7p🙄 Duhhh 😂😂😂😂