Hongera sana kwa Rubani Kiongozi wetu Captain Neema Swai na Wanawake Wapambanaji wote. Hongera kwa sisi Wachaga sababu tunaongoza kuwapa Elimu Bora na Maisha Bora watoto wa kike bila ubaguzi wa Jinsia. Tanzania Imara Kazi Iendelee 🇹🇿🇹🇿
Binti Hongera Pia niwapongeza wazazi na Tanzania pia Ni fahari kwa Mungu kuwajalia Binti mwenye uwezo na upeo mkubwa Mwanamke akiamua anaweza" CONGRATULATIONS"
@@joycelinelyimo-fenske8745 Kuimba nayo hambahatishi....Twapenda nyimbo za bongo huku kuliko hata NGONO...zinachezwa kila pembe hapa Kenya...hadi wimbo kama Amelowa ziko on repeat kwa mazishi🤔🤔🤔🤔 mengineyo...bure nyinyi🤗🤗🤗
Ninyi mkoje? Haiwezekani rubani mmoja kuendesha ndege toka marekani had I tz! Alikuwa anapokezana na wengine! Huyu halali? Haoni usingizi? Rubani wote hao walikuwa na kazi gani kwenye ndege hiyo? Na kiongozi mkuu wa marubani kazi yake ilikuwa IPI kama siyo kumsaidia Huyomama? Yaani hats marubani wa Boeing ndani bado tunapamba watu!
Hongera sana rubani Swai. Ningetamani kusikia ukitamka Mungu kwanza. Asante🙏
Captain Neema hongera sana,umeonyesha njia kwa akina mama,Mungu akulinde.
Mashallah mashallah mashallah ❤dada mrembo mziri na kazi yako nzuri hongera dada mwezi mungu akutiye nguvu
hongera sana dada yetu mungu akulinde sana na akuongoze ktk kazi yako
Hongera dada mwenyezi Mungu akulinde..
Safi sana mama mungu wa haki na ukweli namuomba akubariki amina.
Hongera sana dada
Hongera captain shwai
Hongera sana kwa Rubani Kiongozi wetu Captain Neema Swai na Wanawake Wapambanaji wote. Hongera kwa sisi Wachaga sababu tunaongoza kuwapa Elimu Bora na Maisha Bora watoto wa kike bila ubaguzi wa Jinsia. Tanzania Imara Kazi Iendelee 🇹🇿🇹🇿
Mungu Ni mwema mashaallah Asanteeeee Hillary mrema❤
Tayari umeweka ubaguzi kutaja tu wachaga fyuuuuu
Nimekupenda mamy
Congrats, Madam. God bless you.
Hana kiswanglish ha ha ha
Wasanii mna cha kujifunza3
Congratulations 🎊 🎉🎉🎉🎉
Mungu akulinde Mama
Congratulations girl
Ange kuwa msanii hapo angetaja Mama Samia alipofikia hapo hongera dada yetu umeona shs njia kwa watoto w kike Tanzania
Ungemtanguliza mungu
Kwanza
Kisha wazazi
Hongera binti yetu
Was kwa Swai tupo Good
Hongera sana dada unahaki yakuwa shupavu maana mama nae ni jembe
amejitahidi
Binti Hongera Pia niwapongeza wazazi na Tanzania pia Ni fahari kwa Mungu kuwajalia Binti mwenye uwezo na upeo mkubwa Mwanamke akiamua anaweza" CONGRATULATIONS"
Nasubir akhera allah nahakika atanipa zaidi ya hayo inshaalah
Masikini very humble hana hata maneno mengi 😅
Yaani wanawake sasa hivi haina hata haja ya kuwatolea mahari...pesa wanazo,ujuzi @ kitu..
Mbona kigugumizi ww
Lile li aggy liko wapi?
Hongera Sanaa Dada 🙏🏿🇹🇿
Familia bora wengi hutimiza malengo yao...Mtoto wa mkulima hata kazi ukiiipenda Ada utaitoa wapi😂😂😂
Kweli
Kabisa
😂😂😂😂kwakweli
Ni kweli "Pangu pakavu tia mchuzi"
Ukisikiliza accents tu unajua huyu dada kasoma njee co shule zetu
Mademu wa kawaida ndio wanaotoboa kwenye elimu.
😂😂
Pili kali wanahangaishwa na wanaume wakora kiasi hata shule wanaona ni kupoteza muda mtizame paula😅😅😅
@@hassanmfaume4522 siyo kweli ni msimamo wa mtu na kujitambua anachotaka ninini kama usumbufu ni kwa wasichana wote ni maamuzi ya muhusika
Siyo kweli ni maamuzi ya mtu na kujitambua
Kweli hasa
Kenya rubani wa kike ni kawaida🇰🇪🤗🤗🤗...wala hatushangai wakiendesha ndege za abiria...Boeing 787...Nairobi 2 London 2 New York 2 Joburg...tumezoea😏😏😏
Acha wivu. Hata Tanzania kuns marubani wa kike kibao. Ila huyu ni kwanza kuendesha ndege kubwa hivyo AFRIKA 🎉❤
@@joycelinelyimo-fenske8745 Africaa.....😏😏😏😏😏😏😏😏
@@joycelinelyimo-fenske8745 Kuimba nayo hambahatishi....Twapenda nyimbo za bongo huku kuliko hata NGONO...zinachezwa kila pembe hapa Kenya...hadi wimbo kama Amelowa ziko on repeat kwa mazishi🤔🤔🤔🤔 mengineyo...bure nyinyi🤗🤗🤗
The last class to attend is jealous before becoming a witch 😒
@@lilyrose7983 maybe kule Tzd...Kenyans we're aggressive and go getters enough🇰🇪🤣🤣🤣🤣
Mchaga asije kuuza ndege yetu jamani...Haya wapare mjipange
😂😂😂
achaaaaa wivuu bhanaaaa Neema swai And Me Happy swai
Uthijali mtani. Nyie jopangeni tu😂
Kwani wanawake sio watu?? Mbona hadi rais mwanamke na kawaida tuu kwahiyo ni kawaida tuu
Me mwenyew nashangaa akifanya kitu mwanamkee wanashikilia bango utasema wao wanatoka dunia nyingine
Mkasiriko😁
@@ghayamjombo6582 Sio makasiriko mkasiriko nimecheka kwa sauti 😆😆😆😆 Wanawake oyeee 😂😂😂
The last class to attend is jealous before becoming a witch 😒
Ninyi mkoje? Haiwezekani rubani mmoja kuendesha ndege toka marekani had I tz! Alikuwa anapokezana na wengine! Huyu halali? Haoni usingizi? Rubani wote hao walikuwa na kazi gani kwenye ndege hiyo? Na kiongozi mkuu wa marubani kazi yake ilikuwa IPI kama siyo kumsaidia Huyomama? Yaani hats marubani wa Boeing ndani bado tunapamba watu!
Cha ajabu Nini Sasa..Tanzania vitu vidoogo kuvikuza 😂😂😂
Mpongeze
Mboni dada kafanana na Mstaafu Jenerali Mwamunyange jamani?! Kama mtoto wake vilee
JAMANI NAOMBA NISAIDIWE KUJUA MANAKE NIMEWAZA MPAKA NAHISI KUFA???? HII NDEGE ITAKUWA INABEBA MIZIGO YA AINA GANI AU ITAKUWA INAKODISHWA?
Swali zuri sana hilo😊