Jukwaa La Wakulima : Mafanikio Kiuchumi Kilimo Cha Miwa (03) "Channel Ten"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 พ.ย. 2018

ความคิดเห็น • 2

  • @daniellushiku8772
    @daniellushiku8772 2 ปีที่แล้ว

    Asante sana kwa info za kilimo cha miwa. Lakini kwa upande wa faida ya kilimo cha miwa uliyoainisha hapa kwa acre, mtaalamu sidhani iko realistic. Kilimo cha miwa kina gharama nyingi sana kuanzia utayarishaji wa shamba mpaka uvunaji wa muwa. Vile vile pia kuna makato mbali mbali ya kodi, tozo, michango, third parties fees, nk wakati wa uvunaji. Pia kuna changamoto ya uhakika wa soko nikimaanisha kuvuniwa miwa kila mwaka!

  • @user-ox9cu9hx2r
    @user-ox9cu9hx2r 3 หลายเดือนก่อน

    Please tu naomba na sisi bagamoyo tupate kibari cha ardhi ya kilimo cha miwa tushiriki kama out growers tumeomba ardhi hivyo toka 2021 vijana tumechoka na mention town bagamoyo hakuna ajira tumejipanga kiwanda ikinikikubwa KUKOSA WAKULIMA WA NJE NI AIBU Mama tu nakuomba tuone tccia bagamoyo wanachama hawajui khatma ya maombi yao