MJANE ALIYEFUNGWA MIAKA 22 KISA VIPANDE 9 vya NYAMA ya SWALA - MAHAKAMA YAAZA KUSIKILIZA RUFAA....

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2024
  • MJANE ALIYEFUNGWA MIAKA 22 KISA VIPANDE 9 vya NYAMA ya SWALA - MAHAKAMA YAAZA KUSIKILIZA RUFAA....
    MAHAKAMA Kuu Kanda ya Iringa ikiongozwa na Jaji Mfawidhi Elvin Mgetta imeanza kusikiliza kesi ya rufaa namba 84101/2023 dhidi ya Jamhuri inayomhusu Mjane Maria Ngoda mkazi wa mtaa wa Isakalilo Manispaa ya Iringa ambaye alihukumiwa kifungo cha miaka 22 jela kwa kosa la kukutwa na vipande 12 vya nyama ya swala katika ndoo.....
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

ความคิดเห็น • 58

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  8 หลายเดือนก่อน

    JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...

  • @laylayl5166
    @laylayl5166 7 หลายเดือนก่อน +1

    Kwakweli hapo Mimi nakuombeeni mungu wanawake wahapa iringa jinsi mlivokuwa na moyo waimaani Sana na waujasiri mwenyezi mungu awake katika pepo jannat firdaus yaarab kwakumokoa huyu dada kwamaana walipanga kumkandamizatu bila ya huruma

  • @helminamsumule2497
    @helminamsumule2497 8 หลายเดือนก่อน

    Amen,Hakika MUNGU ni mwema sana.hongereni sana Mawakili kazi yenu ni njema sana.Mungu awabariki sana.🙏

  • @YunisJerald
    @YunisJerald 8 หลายเดือนก่อน +6

    Lakin huyo hakimu aliyemuhukumu.hyu mjana kweli anahofu ya Mungu kweli hekima yake iko wapi😢😢sad.

  • @aloycesamba998
    @aloycesamba998 8 หลายเดือนก่อน +6

    Hakuna taarifa iliyoniumiza kama ya huyu mama,na hapa ndiyo nilipoamini kama huna hela kwenye hii nchi utapata tabu sana😭😭

    • @suzanmwita3603
      @suzanmwita3603 8 หลายเดือนก่อน +2

      Sio nchi hii tu dunia yote
      Kama huna pesa utajua ujui

    • @aminaabdalla9949
      @aminaabdalla9949 7 หลายเดือนก่อน

      duh tena vipande 9 si swara mzima mungu amsaidie

  • @festokivuyo7121
    @festokivuyo7121 8 หลายเดือนก่อน +1

    Asanteni sana wanasheria wetu mungu awalinde

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 8 หลายเดือนก่อน +1

    Asanten wanawake wenzetu

  • @MichaelVicent-k7h
    @MichaelVicent-k7h 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hakuna haki ya kumlinda uyo Dada Enyi watu wazima mna makoti makubwa kama miso lakin vipande vya nyama mkamfunge uyo bint kwanza kuuwa Swala peke ake hawez uyo bint ltakuwa Amemkuta swala kajifia mwenyewe kajiokotea kibudu chake ale mnataka kumfunga

  • @CatherineKilulumo
    @CatherineKilulumo 8 หลายเดือนก่อน +2

    mmejua kunifurahisha

  • @dicksonjanuary1262
    @dicksonjanuary1262 8 หลายเดือนก่อน +2

    ivi kwli mama kama uyu anaweza kuua swala inashangaza sana uyu hakimu nahisi animbingu yake

  • @carolineedwin867
    @carolineedwin867 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu awatunze wote mnaojitoa kumsaidia huyo mama

  • @aud548
    @aud548 8 หลายเดือนก่อน +3

    Hivi unawezaje kumchapa mtu miaka 22 asiyejiweza kisa nyama ??? Huu sio ubinadamu ....kuna mapuuzi yanakula hela za barabara ...hela za miradi ...wallahy umaskini mbaya💔🚮

    • @SuhaylahSuhaylahAdam
      @SuhaylahSuhaylahAdam 8 หลายเดือนก่อน

      Yaaan Hakim mwenye haki n Mungu tuuuu

    • @aud548
      @aud548 8 หลายเดือนก่อน

      @@SuhaylahSuhaylahAdam Mkiachia kila kitu Mungu mnakosea sana ndugu zangu ...uonevu umezidi sana ...haya kama yakikuta kwenye familia na ndugu hayavumiliki

  • @mussaluhwago8829
    @mussaluhwago8829 8 หลายเดือนก่อน +1

    Duuu hii nchiii htr

  • @VelonikaMakota
    @VelonikaMakota 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu wang mungu wa yakobo mungu waosaka hooo mungu wang fanya njia pasipo na njia

  • @mangulimanguli3974
    @mangulimanguli3974 8 หลายเดือนก่อน

    Swala unamfunga mwenzio miaka 22!!! ata huruma una kweli kuna wanadam wana roho za kinyama

  • @shukranichomolla-zi5tc
    @shukranichomolla-zi5tc 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu atampigania huyu mama na atakua huru na mama Samia hakika umuone huy mama

  • @vero57
    @vero57 8 หลายเดือนก่อน +1

    NA YULE MBUNGE ALIYE MUWEKEA CHUPA KWENYE MAKALIO KIJANA MUME MFANYA NINI???? KULE ARUSHA?????

  • @MauaHaji-ur4ln
    @MauaHaji-ur4ln 8 หลายเดือนก่อน

    Daaah hiii nchi bwana

  • @azzaalhabsi1505
    @azzaalhabsi1505 8 หลายเดือนก่อน

    Huu ni uonevu jamani yaani vipande 9 vya nyama ndio mama wawatu ahukumiwe miaka 22 na anawatoto nyuma yake wanamtegemea..mbona wapo wanao winda asubuhi na jioni maisha yao wanakula nyama poli hawajaazibiwa hivyo.selikari yetu tunaomba saaana huyu mama anasamehewe apewe azabu ndogo aweze kuwa na wanae karibu.

  • @stanymccary7136
    @stanymccary7136 8 หลายเดือนก่อน +2

    Mahakimu muda mwingine mtumie busara kwenye case sasa nyama ya swala ndo mambo gani kumfunga mtu

    • @FatumaMuya
      @FatumaMuya 8 หลายเดือนก่อน +1

      Na nyama yenyewe sasa si yake ameachiwa tu mtu aliyemwambia amuangalizie

  • @husseinmilao5789
    @husseinmilao5789 8 หลายเดือนก่อน

    Ingekua mwanaume?

  • @GeofreyKalo-ot3we
    @GeofreyKalo-ot3we 8 หลายเดือนก่อน +2

    Waliomfunga huyu mama walaaniwe tu poteleambali

  • @hajimuhammed4442
    @hajimuhammed4442 8 หลายเดือนก่อน

    Dah inasikitisha Kwa kweli kwa kosa gani hadi apewe hukumu iyo?
    Mungu anawaona na atawalipa kwa wanayoyatenda
    Na Mungu atamfanyia wepesi

  • @salcle9702
    @salcle9702 8 หลายเดือนก่อน

    Hivi hao geam pack huwa wanachukua vibali kwenda kuwinda hao wanyama wanao kula na family zao.mapigo huwa hurudi kwako unapo fanya jambo ili upate sifa.vipande vya nyama duh yaaani vinyango haya bana ...

  • @MbwanaSamata-nt6pd
    @MbwanaSamata-nt6pd 8 หลายเดือนก่อน

    Hii nchi jmn nyama ya swala tu alaf ni mwanamke...

  • @kalebphilip3426
    @kalebphilip3426 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hii Tanzania inatosha sana

  • @MohdAli-cx7bc
    @MohdAli-cx7bc 8 หลายเดือนก่อน

    Tufanyeni maandamano ili serikali imuachie uyu mama kuna wati wanaiba mabilioni ya pesa wapo nje nyama ya swala kweli na hali inaonesha ni njaa tu

  • @HamidaKondo-z1s
    @HamidaKondo-z1s 8 หลายเดือนก่อน

    Kumbukeni dunia mapito mnamfunga mtu kwa kumkuta na nyama yaswala je angemchinja mtu mnawacha wenye makosa mnawafunga wasio na hatia

  • @hassaniibrahim300
    @hassaniibrahim300 8 หลายเดือนก่อน

    HONGEERA SANAAA WANANCHI WA IRINGA

  • @shakirashakira-gc2yw
    @shakirashakira-gc2yw 8 หลายเดือนก่อน

    Mama samiya mwangalie uyu mama kwa jicho la hofu siku ya malipo

  • @ainessmbise1009
    @ainessmbise1009 8 หลายเดือนก่อน

    Mama samia raisi wetu,mwangalie uyo mama msamehe, jamani mawakili hawana uruma na watu wanyonge,:

  • @gililwise
    @gililwise 8 หลายเดือนก่อน

    ee Mungu usiyeshindwa huyo hakimu na familia yake wapoteze wafutike kwenye uso wa dunia.ukihukumu i nawe utahukumiwa na Mungu.nyama na miaka 20 vinaendana kweli?

  • @euniestherwilliam1513
    @euniestherwilliam1513 8 หลายเดือนก่อน

    Swala ni wa Mungu, Je simba angeua mtu simba mngemfanyaje?
    Ubinaadam hakuna.

  • @mataypanga5262
    @mataypanga5262 8 หลายเดือนก่อน +1

    Si atoke tu huyo mama,yeye ni mtanzania na nyama ya swala ni chakula.Kwa nini sasa mtu afungwe kwa ajili ya chakula?

    • @AminaAhmed999
      @AminaAhmed999 8 หลายเดือนก่อน +1

      kweli Kabisa hajastahiki adhabu yote hiyo .kosa dogo sana hilo . ni la kusamehewa tu

    • @amerwelder7786
      @amerwelder7786 8 หลายเดือนก่อน +1

      ivi Kwa nn watendaji wa serikali wanaiba hela huwa hawafungwi

    • @hassaniibrahim300
      @hassaniibrahim300 8 หลายเดือนก่อน +1

      YOTE NI UMASKINI ASINGEHANGAIKA

    • @hassaniibrahim300
      @hassaniibrahim300 8 หลายเดือนก่อน +1

      HONGERENI SAANA UWT IRINGA KWA KUMSAIDIA HUYO MAMMA

    • @hassaniibrahim300
      @hassaniibrahim300 8 หลายเดือนก่อน +1

      WANA IRINGA WOTEE AMKENI MSAADIENI HUYO MAMMA

  • @mwanaidisimoni79
    @mwanaidisimoni79 8 หลายเดือนก่อน

    Ushenzi tu fisadi mnawafunga miaka mingapi

  • @EshaHamd-ed9yv
    @EshaHamd-ed9yv 8 หลายเดือนก่อน

    Walana wao Kwa wao madhalimu Wakubwa Majizi Mafisadi Wakubwa Wauwaji Wakubwa hata Bado nyote mutakwenda na maji

  • @BarikiJohn-p8n
    @BarikiJohn-p8n 8 หลายเดือนก่อน

    Daah hii inchi hii uonevu tu

  • @issazalala4907
    @issazalala4907 8 หลายเดือนก่อน

    Eti vipande 9 una mfunga mtu miaka22 daah wakati mafisadi wanakura maisha kiuranni 😂 Dunia sio fea kabisa Yani

  • @hassanmwallimu5767
    @hassanmwallimu5767 8 หลายเดือนก่อน

    Hawa mahakimu wa Tanzania wana akili kweli hivi hilo ni koşa kubwa sana kwa kifungo Chenye uzito huo?rejea kesi ya aliyekua Waziri wa fedha wakati uliopita ndugu Basili pesambili Mramba alivyohujumu uchumi lakini kosa lake lile alifungwa miaka miwili tena mwaka mmoja kifungo cha nje.sasa kati ya haya makosa ya hawa watu wawili lipi ni koşa lenye uzito mkubwa katı ya hayo makosa mawili

  • @jomba6514
    @jomba6514 8 หลายเดือนก่อน

    Naomba mumsamehe uyo mama nyuma yake kuna watoto

  • @YustoMlay-cv4zb
    @YustoMlay-cv4zb 8 หลายเดือนก่อน

    Global tarrifa zenu zunaishiaga katkat

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 8 หลายเดือนก่อน

    Maisha ni magumu wa mama tunateseka na watoto jmn

  • @IssaNasir-v2e
    @IssaNasir-v2e 8 หลายเดือนก่อน

    Hivi raisi haoni au tupaze sauti

  • @euniestherwilliam1513
    @euniestherwilliam1513 8 หลายเดือนก่อน

    Hakimu ni binadamu wa kawaida au ni shetani anayetembea kwa miguu

  • @gracegeorge4848
    @gracegeorge4848 8 หลายเดือนก่อน

    Wanamchosha tu huyu mama

  • @VelonikaMakota
    @VelonikaMakota 8 หลายเดือนก่อน

    Alie mfunga mbwa wenyew wanaiba