Huyu Madam Jokate ni mchapakazi sana, mm binafsi nakukubali na kukupongeza kwa kazi nzuri Unazofanya katika kujenga nchi yetu. Nashukuru Mungu Mama kaona hilo na Mungu akakulinde Jokate
unastahili,wewe mchapakazi hakuna ubishi,unajiamini, unaweza unaweza sana,wapuuze wasema ovyo hayo ni " madebe tupu hayaachi kuvuma" "kwa mkono wake bwana amekubariki.nakupenda sana !!!
Da mange umezidi jaman magufuli si kasha ondoka mbn wapenda kumsumbua sana kwakwel cku unatia milingoti yako Tanzania🇹🇿 lazima magufuli afufuke na akumalize domo kaya mmoja
Joket pigakazii hapoulipo Mungu amekuamini akakupa kibali kwa watu wakakupenda wakakuchagua baada ya kuona unafaa maneo yoote mabaya wakubeneayo MUNGU AGEUZE YAWE BARAKA KWA KO usiishie hapo tu neenda kwajina la YESU KRISTO mpaka jwenye URAIS nawale woote wakuchukiao wakakupende kupitia utendaji kazi wako

Mungu aendelee kukutetea
Mange aliposema kuhusu waarabu kapewa mkwanja ndo kanunua Range hebu mkome JPM hakupenda ujinga wako endelea na maisha yako kimbaombao fyoooooooo
Acha wivu Jokate ndie ataiinua sana Ccm
Kila kitu Mungu anapanga hongera joket Mungu yupo nawe
unastahili,wewe mchapakazi hakuna ubishi,unajiamini, unaweza unaweza sana,wapuuze wasema ovyo hayo ni " madebe tupu hayaachi kuvuma" "kwa mkono wake bwana amekubariki.nakupenda sana !!!
Da mange umezidi jaman magufuli si kasha ondoka mbn wapenda kumsumbua sana kwakwel cku unatia milingoti yako Tanzania🇹🇿 lazima magufuli afufuke na akumalize domo kaya mmoja
MANGE MANGE HEBU MUACHE JOKATE LAAH
Hongera
Jiwe walilolikataa waashi.....
Roho mbaya na wivu wako Acha kumuonhelea joket
❤❤❤
tunamuhitaji kwenye campeni 2025 anaushawishii mkubwa
Joket pigakazii hapoulipo Mungu amekuamini akakupa kibali kwa watu wakakupenda wakakuchagua baada ya kuona unafaa maneo yoote mabaya wakubeneayo MUNGU AGEUZE YAWE BARAKA KWA KO usiishie hapo tu neenda kwajina la YESU KRISTO mpaka jwenye URAIS nawale woote wakuchukiao wakakupende kupitia utendaji kazi wako
weee tuachie huyu mtuuu
😂😂😂