ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Mzuri sana mke wa Pilipili unajuwa kuchaguwa mkewe wa pilipili unajuwa kuongea kweli mtu kukutogoza inakuwa umemruhusu mwenyewe
Watu tunacho tafuta ni kukidhi tamaa za kingono hatuna mapenzi tamaa zako lazima zikuweke Kwenye sehemu mbaya sana.Kwa hiyo kuweni makini hasa wake za watu.
Sijapenda kuulizana chupi kwenye mitandao
kaongea kweli kbs mbona dalili za mtu ane kutaka zinaonekana ww kazi yako ni kumkatisha
Sasa mambo gani hayo yakuuliza jamaniiii
Anataka kufanana na caren simba
Fanyeni interviews zenye mashiko jifinzeni kuuliza maswali
Wabongo bhana
Hakuna waandishi hapa
Sio kweli wakati mwingine unatongozwa na mtu bila kujua
Nimekubar
Kwahyo hii mimba ndio imevunja ndoa😢jaamaanii
Maswali uetu Watanzania
Huyu mama hajitambuagi na hana hekima full stop
Swali gan hilo ujinga t
Hakuna la maana hata
Waandishi wajinga tuuu
safi sana mama mchungaji umeogea kiutumishi mungu akubarik sana
Ujing tu