BEHIND THE GRAM DIVA & SHEIKH - EPISODE 10

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ก.ย. 2024
  • Usisahau ku"SUBSCRIBE" TH-cam channel yetu kwa videos nyinginezo
    #zamaraditv #mambonimengi

ความคิดเห็น • 35

  • @sharifabahar9905
    @sharifabahar9905 2 หลายเดือนก่อน +9

    😢😢😢 utapata mwanaume anamatatizo kila siku maana kichwa cha moto unaleta brand kwa mume wako

  • @nancyg8664
    @nancyg8664 2 หลายเดือนก่อน +8

    😂😂😂ungekua na muonekano wa kidiva yan kama aaliyah flan hv eeee tungejuta kwakweli

  • @hadijamshimbula7616
    @hadijamshimbula7616 2 หลายเดือนก่อน +5

    Himi kipindi cha diva naomba kiwekwe kila cku jmn😢😢😢😢

  • @nancyg8664
    @nancyg8664 2 หลายเดือนก่อน +4

    we diva mbona mshamba sana hujui viazi

  • @Gloria-vh5bz
    @Gloria-vh5bz 2 หลายเดือนก่อน +4

    Diva hajui viazi vitamu anauliza hizo nini ,khaaa nyie huyu dada

  • @Gloria-vh5bz
    @Gloria-vh5bz 2 หลายเดือนก่อน +3

    Nyie diva anaigiza maisha jamani ,eti hapo kwenye mchaichai anauliza "...kupikicha ndio nini.." kha😂😂😂aibu nimeona mimi huku

  • @rehemayona2223
    @rehemayona2223 2 หลายเดือนก่อน +2

    Sio kweli sio msaafi mtu msafi anaonekan to bhana 😂😂😂

  • @AmanaHussein
    @AmanaHussein 2 หลายเดือนก่อน +4

    In sha Allah mi nalala uku ni usiku mwingi 😂😂😂

  • @rajabdibwa6415
    @rajabdibwa6415 หลายเดือนก่อน +1

    Ukiwa na mke wa hivi siri zako zitajulikana zote😂😂

  • @elizabethmathenge1199
    @elizabethmathenge1199 2 หลายเดือนก่อน +2

    Diva hapa alikosa content kwa kweli

  • @hadijamshimbula7616
    @hadijamshimbula7616 2 หลายเดือนก่อน +1

    Brand unanunuq vitunguu vya 1000😮😮😮

  • @StellahErick-wx5tw
    @StellahErick-wx5tw 2 หลายเดือนก่อน +2

    😂😂😂😂 diva bana Bangi yake ya chooni

  • @user-wy6tv5uq5c
    @user-wy6tv5uq5c หลายเดือนก่อน

    Mtandio kama ujauzoea

  • @lucymtui8680
    @lucymtui8680 หลายเดือนก่อน

    Kadada kashamba haka
    Sasa mtu wa Tanga hajui nazi
    Sasa nazi za pact tenaa... wooooiii

  • @nicholauspeter9454
    @nicholauspeter9454 2 หลายเดือนก่อน +1

    kila kitu chake cha uongo

  • @fathiyahmuzney7367
    @fathiyahmuzney7367 2 หลายเดือนก่อน +4

    Diva ukizaa mtt muite brand maana hilo neno hua unalipenda sana😂😂😂

    • @ireneimbuhira7759
      @ireneimbuhira7759 2 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂

    • @sharifabahar9905
      @sharifabahar9905 2 หลายเดือนก่อน +2

      😂😂😂😂 nimecheka sana

    • @fathiyahmuzney7367
      @fathiyahmuzney7367 2 หลายเดือนก่อน +2

      ​@@sharifabahar9905Eeh ili tumuite mama Brand asipate shida kujitambulisha kua yy ni brand 🤣🤣🤣🤣

    • @bintalmasi2393
      @bintalmasi2393 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@fathiyahmuzney7367🙌🙌 commentators manauaa

    • @jamilaathumani5481
      @jamilaathumani5481 2 หลายเดือนก่อน +1

      Nikwer

  • @Marzzzzzz20
    @Marzzzzzz20 2 หลายเดือนก่อน

    Kipindi kizuri💯

  • @Noor-qq9ut
    @Noor-qq9ut 2 หลายเดือนก่อน

    Hovyiooo kabisa

  • @fatimaharoun-np8uv
    @fatimaharoun-np8uv 2 หลายเดือนก่อน

    Vile upo brand hupatani kitu ata uuziwe million 😂😂😂kwaiyo soko zima hujaona naz shoga mapishi hayapo 😅😅😅mn watu wote wa sokon wameulizwa magimbi yanapikwaje😂😂😂

  • @Sunshine0222
    @Sunshine0222 2 หลายเดือนก่อน

    Hiki kipindi kiwekwe Kila siku 😅

  • @nancyg8664
    @nancyg8664 2 หลายเดือนก่อน +3

    😅kutuachia manyonyo wazi ndo, nyumbani kwenu tanga au bukoba jmn mbona kujifanya hvo we dada

    • @AmanaHussein
      @AmanaHussein 2 หลายเดือนก่อน

      Kuachika manyonyo wazi ni brand

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@AmanaHussein😂😂😂au sio

    • @AmanaHussein
      @AmanaHussein 2 หลายเดือนก่อน +2

      Diva Hana sifa za mwanamke wa kiislam. Pole kakangu Abdul 😭😭😭

  • @Ajijji12
    @Ajijji12 2 หลายเดือนก่อน +1

    She's so fake

    • @Hajer-be2kh
      @Hajer-be2kh 2 หลายเดือนก่อน

      Ivi unajua km kufake ni ghali kuliko uhalisia?😂😂😂 sasa utajua mwenyew ni mtu wa aina gn😊

    • @AmanaHussein
      @AmanaHussein 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂

    • @makamwasina2090
      @makamwasina2090 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂for real aki unasema ukweli ...faking is so hard n expensive