FUMAU MSHAIRI : ATOA SHAIRI LA GOLI TANO | ASAMBAZA BURUDANI KWA WANANCHI WENZAKE WAKISALIA KILELENI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ส.ค. 2023
  • กีฬา

ความคิดเห็น • 18

  • @user-bl7ft3wu4x
    @user-bl7ft3wu4x 7 หลายเดือนก่อน

    Upo vizuri kak nime kuwerewa

  • @husseinmkwachu6071
    @husseinmkwachu6071 10 หลายเดือนก่อน +1

    Dogo Fumau MASHAALLAH AFYA INAKUBALI sasa

  • @innocentmmandago3029
    @innocentmmandago3029 10 หลายเดือนก่อน +1

    Pila hili ni tiba ya njaa na stress 😂

  • @aishabakari8040
    @aishabakari8040 10 หลายเดือนก่อน +1

    Nikweli mi sisiki njaa naona ata nitalala hivi 😂😂😂

  • @fredrickfrancis4326
    @fredrickfrancis4326 10 หลายเดือนก่อน

    Kwa yanga hii naomba ulinzi

  • @user-ps2yp9ec8k
    @user-ps2yp9ec8k 10 หลายเดือนก่อน +1

    Dogo Upo Vizuri Na Mtunzi Mzuri Wa Mashairi

  • @user-uh7to2kw2z
    @user-uh7to2kw2z 10 หลายเดือนก่อน

    Mfamau watakubali japo kimya kimya💚💛🔥🔥🔥😅🤣

  • @mahmoudukusso4488
    @mahmoudukusso4488 10 หลายเดือนก่อน

    Dogo Famau sote twaipenda Yanga lkn usifikie kimdhihaki Allah, malaija wakheri haandiki thawabu zinzohusu mpira
    Fadhakiir fainna dhikra tanfaul muuminiin
    Kumbusha hakika ukumbusho huwafaa walio amini
    Nimekukumbusha mdogo wangu

  • @KS-iw7qv
    @KS-iw7qv 10 หลายเดือนก่อน +2

    😂😂😂😂😂😂

  • @alimanyeko1386
    @alimanyeko1386 10 หลายเดือนก่อน +1

    kaka unatisha kwa shaili unajua ukiwa shabik wa yang lazima uwe na akili nying

  • @guccij6236
    @guccij6236 10 หลายเดือนก่อน

    😅

  • @neemamanjo5870
    @neemamanjo5870 10 หลายเดือนก่อน

    Aswa fumau ni raha tupu

  • @abdulsalaamkahttan1037
    @abdulsalaamkahttan1037 10 หลายเดือนก่อน

    acha ukuma

    • @user-sg8bu1tk6t
      @user-sg8bu1tk6t 10 หลายเดือนก่อน

      Mbona unatoa povu ndugu acha matusi

    • @user-sg8bu1tk6t
      @user-sg8bu1tk6t 10 หลายเดือนก่อน

      Mbona unatoa povu ndugu acha matusi

  • @FatihuAdamu
    @FatihuAdamu 10 หลายเดือนก่อน

    Dogo unakeraaa

  • @mozanalinga401
    @mozanalinga401 10 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂