Ila kweli siku zote maamuzi ya mtot akisha kuwa usiyaingilie pale ambapo anapo papenda usitie mkono ama neno kwani kwa kuyaongiia maamuzi yake mbona ita coast mzazi pakubwa na pabaya,ila kama babake Valentino ameweza kumwacha na kumpa mwanae furaha na kulilinda tabasamu lake ili aishi kama apendavyo kwani ugonjwa mkubwa ni moyo kupenda na kushindwa kujizuia wala kujishikilia
Nimeipenda iyo❤❤😊😊😅😅😢😢
This is really encouraging. Ahsante Kwa hiyo simulizi mwafaka Valerian.
Mzee muhelewa sana
Nimefurahia Simulizi ni Nzuri thana na nimependa Maudhui yake yanafikisha ujumbe nzuri kwa jamiii🎉🎉🎉
Asanteee nimefurahi mno simulizi nzuri sana nimeipenda kweli ❤❤❤❤❤❤❤❤
kweli kuchaguliana wasichana wa kuowa haya mambo ya kale saana imenijenga ipo vizuri
Dah! ni nzuri sana big up sana
Ahsante kwa simulizi nzuri kabisa
Asante baba valentine kwa uelewa wa haraka kwa kijana wako nq kumrejesha mkeo ktk mstari nq kukuelewa
Nimependa kulanyma shemej ikowapi3 ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Mmmh aaha kweli ni nzur na tamu sana jaman❤❤❤❤
Asante kwa ubunifu wa story hii upo vizuri sana
😂😂😂Mayai yamekauka eee yarabi
Simulizi nzuli sanaa dada nimeipenda sana❤❤
Nimeipenda sana jamana
Ahsante kwa mafunzo mazur
Bonge la simulizi nimeikubali sana
Ahsante kwa simulizi nzuri kabisa 5:21
❤❤❤
Jaman smlizi nzuli Nan taaaam❤
Naomba nione sura yako mrembo tafadhali🍓🌹
Iyonihaliya zamani sana wazazi kuchangulia mutoto wakiume mwanamuke
Storia nzori sana😊
mbnaaah mahaabahaaaaaaaa 😂😂❤
Nimejifunza mengi kqmq mzazi na kqma kijana piya hakika wazazi tunapaswa kukubaliqnq na matokeo pale pasipokuwq na ulazima wa migogoro
Uhakika hatamm nimwanamke nimejifuza mengi
Ukweli simulizi hii nimeipenda sana je??? Ina mwendelezo au inakomea apa part 2
Like dis Story, teach me Alot Amen 🙏 🙌 ✨️ ❤️ ♥️
Like dis Story, teach me Alot...
Mafunzo mazuri
Kweli nitamu sana nimejifunza mengi sana😅
Nimefrahiyq story
❤tamu Sana nimefurahia
Aiseee story ni Kali sana yan, iko poa
Kama ze story book vile
Smlizi nzuri
Haya hiyo jambo nalifurahiya sana
Simulizilako linanifurahisha
Hassa mbonaUja tuatshiya usiya wowote mbona😊
Mnajiendekeza 2 kila ck mnafanya😂😂
Hahahah
Nzuri 🎉
Asante kwa sauti nyororo ,uvimilivu na hatua zote mulipitia,"mapenzi siyo mwiaka , mwiaka ni idadi tu"
Hapo sasa huyo ndiye mwanaume ,wazazi mwenda tenzi na omo marejeo ni ngamani,
😢😢😢😢❤❤❤❤❤God bless you God only 🙏 ❤
❤❤❤❤❤❤
ni kweli kabisa
Hii ni funzo Tena maneno yenye busara kabisaa
Au sio.
I like
That is beautiful baby where are u
🎉🎉🎉
Unafunza jaman tunapaswa kujifunza vitu
Asnteni Sana nimependa xtor yenu Yani Dada hatar
asante Kwa story nzuri na yenyekufundisha.
Wanaume kama hao niwachache sana wakupenda hivyo dah wanaume Hawa nataman sana na Mimi nipate mwanaume kama Valentino
Wanaume kama hao wako kweli
Hakuna wapo magumegume
❤❤
Nimepanda Sana nanimejifunza MENG kutoka kwenu
Asante kwa kisomo cenye hikima kubwa
Mm sio haooo
kweli simulizi ni tamu..
Ila kweli siku zote maamuzi ya mtot akisha kuwa usiyaingilie pale ambapo anapo papenda usitie mkono ama neno kwani kwa kuyaongiia maamuzi yake mbona ita coast mzazi pakubwa na pabaya,ila kama babake Valentino ameweza kumwacha na kumpa mwanae furaha na kulilinda tabasamu lake ili aishi kama apendavyo kwani ugonjwa mkubwa ni moyo kupenda na kushindwa kujizuia wala kujishikilia
Waoo
🙏🙏
Sasa mimi nataka kufahamu je! Muzungumzaji ndiye huyu tunaye mushuudiya kwapicha hui?
Sidhani
Mwenyewe hasa,namfahamu
Hii ni true story ama ni movie?
Pesa wewe !!¡!!!
Your number?
Ahsante kwa simulizi nzuri kabisa 5:21
Like dis Story, teach me Alot...
Like dis Story, teach me Alot...