Jokha Kassim - Domo la Udaku . AUDIO | MARJAN SEMPA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 2 ส.ค. 2024
- FOR MPESA GIFTING - 👉 me.creator.co.ke/c?aff=marjan...
The authentic and genuine traditional Swahili Music, that has its origin in Zanzibar and coastal area of Tanzania. The lyrics (Mashairi) in Taarab music are not just ordinary lyrics they're poems or more precisely it's poetry containing significant and instructively information.
In fact all Taarab songs follow the formal rules of traditional Swahili poetry, with intricate rhyming schemes. Furthermore Taarab is one of Swahili people ways of delivering messages to specific individual or individuals with very special metaphor or language codes that most likely and mostly only Swahili people can interpret, so even if you understand Swahili that doesn't mean you comprehend the messages behind, contents and significance of Taarab lyrics.
#MarjanSempa
#WasafiMedia
#Taarab
#Nonstop
#2020 - บันเทิง
2024 let's gather here 🔥🔥🔥
Gonga like hapa kama nawewe ulikua unatafuta hiisong kama mimi
Asante sana dada ake naikubali kazi yako
Dhaaaa nakumbuka mbali sana
Kama wamkubali jokha kassim gonga like
Marjan tuekee nataabu. Inaimbwa walimeengu muschechuki iizo iposiku mtaanguka shimoni sintowaokoa kwanguvu zake rabuka ushindi ntashangilia
Asante
@@jokhakassim4241 hatareee 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙄
@@sinaeawadha4784 💕💕💕💕💕
Asante sana jokha kassim
Umezima zote jokha
Duh wabongo mnajua kuchambana kimistari.... Message sent
One of the top 3 best taarab songs of all time ❤🔥🤲🏿
Buradani safi ushamfikia ujumbe atakoma yeye👌👌
Napenda sana
Kwa majirani wangu wadaku👌👌👌
Huyu dada anajua kusimanga jaman😂😂😂😂😂mziki mzuri sana 2022
😂😂✌️
😂
Nakumbuka mbali sana2012 hadi2013 kipindi chavigodoro jokha huna kazi mbovu rudi tena jiji lichangamke
Ngoma halichuji wapi kelele yake... Akhsante kutupa support
❤❤❤❤
Nikisikiliza nyimbo hii huwa na mkumbuka mama yangu mdgo ilikua nyimbo yake best enzi za uhai wake, 😓
Mgoma wa karne
Da jokha unajuwa sana nakuomba basi ujiunge insta nikufolow
Mashaallah sister jokha kwa kazi na unajua kukitumia kipaji chako asanteeee sanaaaa 👍👍👍na uzidi kuwachoma 🔥🔥🔥
Naipenda sana hii nyimbo jaman 😘😘
Ni nzur mno ety
2024 old is Gold
Jokha kassim namkubali sana ila kwa sasa amepotea sana ktk game
Marjan kazi nzuri bro naomba ututaftie ile mtenda akitendewa ya jokha kassim pia
Afu tatizo langu ni eti nakupendeni nyote, wewe na yule mwafulani(ni yale yale)🤣🤣🤣🤣🤣mwanieka njia panda wapenzi
MORE LOVE ❤️ FROM 254
Kama mpya yani 👌👌👌👌
I the way instruments singing 😍😍😍
Noma iinyimbo konki 2020 ni shidaaaaaaa full vinanda ni mzuka tu bigap sana bidada Jo
Hujiamini bona kuja na kuchukuo Bwana yangu tafuta wako kama wewe unnajiami wewe ni muke muzuru
Sempa Shukran sana tena kaka yangu maana niliitafuta kitambo sana big up sana✌️❤️💯
Ok Lllllllllpp
Pambee
Joha kasimu uko juu miaka mia hongera kwa songi hili.
Nyimbo kali haichujii😍
Tenaaa!
Sijaona bwana uyo mimi kushea na wewe🔥🔥🔥
Wewe Domo la udako bure wapiga kelele😆
hapa tulivu sana uwezo mpana wa utunzi mkali mno{maji usiyavulie nguo yasio kutoa takataka}Jokha ni mkali sana hua'salute salute salute'
Mtapayuka sanaaaa
2024🎉🎉🎉❤❤
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Ndo yaleyale mnayapaka rangi yapate kungara.jibu lake
Hahahahaa kumbe umewaza kama mimi
Mm shoga angu nlkuwa naitafta
Hatareeeee
🔥🔥🔥🔥🔥😘😘😘😘Domo la udaku
Kucha wapiga kelele mm sio mke mwezio bibiweee nina yangu mitikasi😆😆😆😆😆😆
Hongera johaa kasim
Shukran
But hututolei nyimbo mpya jokha huwa napenda sana nyimbo zako
Asanteee
Hapo chacha
Moto 🔥
Mambo motooooo
Kali Sana yni mambo🔥🔥👌👌
Liwafikie domo la udaku wote
Leta video
Nilishautafuta jmn mtuletee na ndugu wa mume
ndugu wa mume naam
Kweli inanikumbusha mbali sanaa domo laudaku naikubali sana nimeitafta mpaka nimeipata
nimeitafuta sana hii nyimbo
Yaan sichoki kuisikiliza
Aiii weweee hapo Sawa... Atakoma yeye..
Weeeeee
Safii
Nipe like yako umekuja huku baada ya kuikuta tiktok
DoMoLAuDAku
Sipo tayari kuishona nguo niliyoichana mwenyewe... Kali sana na sio tafadhali... 😜 Kereketwa bila kunitaja matapishi wewe 🙈
❤❤❤
Uligonga ndipo👌👌
Tena je pambe tuuuuuu
Woyo Woyo Woyo Woyo Woyo shukrani my brother
Apoapo ndo penyewe chezea domo la udaku weeeee
Hatari sanaaaa
Walitungaga nyimbo mpya akuna kuomba pooo
Hilo lako rohoni daima litakutesa
Nomasana
Weweeee hapa kwetu raha tyuuu
Daaa wenye maneno maneno apa mwisho
Atakoma dadek zake😅😅
Wimbo huu mzuri
Jokha kassimu
💙💙💙
Lakini mbona aina vidio tunaomba mpley ya kuonesha kiukweli mm naipenda sana iinyimbo
Hatari
Marjan tafadhali naomba wimbo wa gwagu ulioimbwa na Hadija Yusuf
Ssawa
Yaan hii nyimbo kila nikiitafuta nilikuwa siipati ahsante sana tuletee na ya marehemu mariam khamis mti wenye matunda ndo unaoshambuliwa mawe nayo iyo mpenzi tuletee
@@bibiejumabibie8835 wewe nimekuja mbio kuidownload nlipoona hiyo comment yako ...mana ckujua kama ililetwa
Mwambie ajijue
Hii nyimbo Ina maneno ya kuumiza😂😂😂😂😂
Good
Nnaomba mnijuze jinxi ya kuzi download niwe nazo kwenye xm jaaamani 🙈🙈🙈🙈
Download app inaitwa snaptube
@@mwanahawaomarimashaka197 🙏🙏🙏🙏
Kuna time naskliza hipPop lkn kuna mdaa pia nataka kuskiliza taarabu😅😅
2023🔥🙌🏾
ok
Nice💖💖💖
Kwaza unasaut mzul yakuimba ala unaenda nabit alafu unamipaxhooo bibiww unajua mhmh 😅😅😅😅😅
Naipnd
Hahahaha 😂🤣🤣 🤣 huna bize wee mzushi si wa hamsini wa mia 🤣🤣🤣🤣huna baridi wala joto jijue wewe punguwaniiii 👌👌👌
usiombe uchambwe na hyu mdad utaomba poo maneno yke kuntu 😆😆(ungetushushia album yke ingkua pw xna)
Doma laudaku hikopoa
❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
👌👌👌👌
Linalomuhusu bas limfikie 😜😜😋
Joh km hoha love you
Ok
Sio poa
2wende humo
mm natafuta nyimbo ya umelikoroga yake jokha kassim
😂kujeni tunyambie huku
Kuntuuuuu
@marjan na nyimbo za sikudhani Ally
Sio aly
Tunaka naile message za nini
Mbona ile ya Vidio amna ni Audio tu
Video jamani
Ñ
Wimb pamb nakumbuk ii nyimb nilikuwa na shog yangu alikua anahis natembea na bwan ake lkn. Uyo bhna yy alikuwa ajampend akaj kunitongoz mm mm sikumkataa bifu likaazia hp n mpk ss ni mume wang nin miak km nane ivi lkn baadae tukaerewn ushog mpk leo
Mmh!!
Mhh
Dar kuna madada wanajuwa kusimanga wenzao ety Domo la udaku weee dada mungu Anakuona ujuwe🤣🤣🤣🤣
Da shakil nimekukumbuk shog yangu jp nik mbl na nyumbn mungu akufanyie wepes ishaalah allah tukutane ten
❤❤❤