MAIMAI KUPAMBANA NA M23 : JE? SEREKALI YA CONGO IMEKUBALI? NINI KINAENDELEA RUTSHURU KWASASA?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ก.ย. 2024
  • USIKOSE KUWA NAFATILIYA AC COMPANY TV KILA WAKATI ILI KUKULETEA HABARI ZENYE UAKIKA

ความคิดเห็น • 29

  • @saidibaraka931
    @saidibaraka931 ปีที่แล้ว +1

    from 🇨🇩congo fizi m'bembe m'bondo

  • @chachawambura4030
    @chachawambura4030 ปีที่แล้ว +1

    Vita haiwezi kuisha Congo kwa sababu inavyoonekana baadhi ya wakuu wa jeshi la Congo wananufaika na hivi vita (They benefit from that war). Sasa wakisitisha mapigano hawawezi kuchuma mali wanazochuma sasa. Wape MaiMai waingie kazini uone moto. Congo government cant stop that war.
    Natizama toka TANZANIA

  • @saidisaidi5344
    @saidisaidi5344 ปีที่แล้ว +3

    Anae kupiga mpige wewe congo ingieni Rwanda hapo vita vitakwisha acheni kuwasikiliza hao weupe wazungu

  • @congoleseyouthnetworkc.y.n1803
    @congoleseyouthnetworkc.y.n1803 ปีที่แล้ว

    Ni kweli tunapiganiya Congo na vita tunayo ni Rwanda na Uganda.
    We must enter Rwanda

  • @assadelphinstephano
    @assadelphinstephano ปีที่แล้ว +1

    Mutoke pâle bashezi sheria ngani muta tuletea kwetu Congo? Maimai ni jeshi yetu nayo iungane n'a jeshi yetu ya inchi ipingane n'a andui kutoka Rwanda 🇨🇩💪💪💪

  • @jacobletema3681
    @jacobletema3681 ปีที่แล้ว

    Austeri Malivika asante kwa kazi nzuri, sasa upumzike ule fedha yako kazi hiyo ni ya hatari sana

  • @saidibaraka931
    @saidibaraka931 ปีที่แล้ว +1

    Congo akuna kabila ambalo lina itwa wanyamulenge mtusi akuna kabisa mtu ambaye ana jihita mnyamulenge mtusi kwao ni rwanda warudi kwao rwanda wapumbavu hao mbona sisi wacongmani tupo Tanzania atuja jihita watanzania pia wengine wapo kenya pia na sehemu zingine warudi kwao mucongo akuna kabila ambalo lina itwa wanyamulenge mtusi akuna kabisa warudi kwao rwanda

  • @maselemasele5959
    @maselemasele5959 ปีที่แล้ว +1

    AC channel kiswahili ni.habali kamili kila siku Toka Congo nk asanteni Sana ac

  • @michaelkeresungura1203
    @michaelkeresungura1203 ปีที่แล้ว +1

    Kwanini hao raiya wa kitusi hawaandamani pamoja na wengine? Ila wajitenga na kuwa na wasiwasi?

  • @rizikivincent5255
    @rizikivincent5255 ปีที่แล้ว

    Wazungu panda puliza maana wanapenda kila mara wamajimaji wawe wanaojiwa ili kuwateka mawazo yao nao

  • @jeremiatshiunza8845
    @jeremiatshiunza8845 ปีที่แล้ว

    Wewe ni mjika nie sio wa Congo

  • @j.bjacobbasubi2187
    @j.bjacobbasubi2187 ปีที่แล้ว +1

    Sasa wale watusi siwa rudi kwawoo ama waitike ku nyenyekea

  • @wimanamaniteze2801
    @wimanamaniteze2801 ปีที่แล้ว

    M23 kamawanasema niwakongomani kwanini hawaache mapigano? Nauliza munijibu.

  • @saidibaraka931
    @saidibaraka931 ปีที่แล้ว

    ila diplomasia gani ambayo itatumika kati wanyarwanda wame famia inchi yetu congo kama niku kaha kwenye meza yama zungumuzo wamesha hongea sana b.b.c kiswahili imetangaza kwamba waasi wa m23 wame igabizi serikali ya congo sehemu zote ambazo ili kuwa imekamata sasa tena mbona vita ni pale pale kati wali kaha kwenye meza ya mazungumzo cha msingi tu nikupigania inchi uchinga waku sema diplomasia gani ambayo itatumika kati wanyarwanda wame famia inchi yetu congo

  • @j.bjacobbasubi2187
    @j.bjacobbasubi2187 ปีที่แล้ว

    Niwakati sasa wa mai mai kukamata silah niwakati sahihi kabisa mai mai ingiyeni jeshini sasa ili muka ilinde inchi

  • @mihigonyagahigi8017
    @mihigonyagahigi8017 ปีที่แล้ว

    Gongo muwachaubabuzi wamakabila watusi wameigiza uchoganishiwakikabilakusundiwakamatekongo mukumbuke wakatiyamombutu kwanini hamuone bali

  • @elishalugano5679
    @elishalugano5679 ปีที่แล้ว

    Akuna raia mtusi my Congo akuna .wa rwanda wa rudi kwao

  • @justinklins335
    @justinklins335 ปีที่แล้ว

    wa congo Mani wakati wa mutebusi mbana kabila hakulomba njeshi Kenya Uganda munusuko njeshi la congo lilipigana mutebusi alokimbiya Rwanda acha njeshila congo lipigane

  • @wimanamaniteze2801
    @wimanamaniteze2801 ปีที่แล้ว

    Nauliza M23 wamekubali kuacha eneozote ambazo wamekuwa wamekamata

  • @jeaninezanika2333
    @jeaninezanika2333 ปีที่แล้ว

    M23 courangee mingi sana Mungu bele yenyu Batoto ya haki ya Mungu

    • @mundelejudith3940
      @mundelejudith3940 ปีที่แล้ว

      Musenge wewe wa mayi bobo mutakufa meno inje wa masikini tuwa choma tena musenge

  • @nzeyimanaambari9754
    @nzeyimanaambari9754 ปีที่แล้ว

    Mona hampatikani mara kwamara

  • @rizikivincent5255
    @rizikivincent5255 ปีที่แล้ว

    Lakini wakongomani wanasoma lakini elimu aikai kichwani watu wanapitia mateso ya kuuliwa na watu wanaowaona majirani wa karibu tu lakini wao kila mara wanasema Sema tu mitandaoni kuwapa maadui zao njia na maarifa hacha kabisa wawambie hivyo ni kweli wanyarwanda wanapoona wamelemewa na mambo wanakimbilia kusema heti wafanye meza ya mazungumuzo na wakongomani wanaregea kumbe wenzao tena wanajipanga sawasawa na kujiandaa acheni ujinga wacongomani mujiokowe na mkomboe inchi msijali mashauri ya kutoka nje tazameni jinsi ya kutaka kujipatia amani na usalama kwauo mpango ulioko kwamba wakishawatawala naiyo sheria ya kwamba anaposikizana akutakuwa mtu kutoa kauli yakusema heti mgeni atakaye bainika atachukuliwa atuwa wacongomani juweni nanyi imekula kwenu ndo mtamalizika kimya kimya na hivyo munakuwa watumwa muinchi yenu musikubali mazungumuzo kataeni kabisa

  • @justinklins335
    @justinklins335 ปีที่แล้ว

    musiwaze ruto alikuya leta amani alikuyabe pesa za wa asikari wake wenye wako goma asikari mumoja munakuwa makutagapi Felix ambiye raiya njeshi lake mushahara mwana njeshi wakenya na congo kama watalingane

  • @nyotaramadhani66
    @nyotaramadhani66 ปีที่แล้ว

    Akunaraiya munyarwanda mucongo.