AUNT EZEKIEL AANGUA KILIO MAHAKAMANI, KESI YA DAWA ZA KULEVYA "SAID MBASHA NA WENZAKE"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ต.ค. 2024
  • Moja kati ya story ni kutokea Mahakamani Kisutu ambapo Camera za Ayo Tv na Millardayo.com zimemnasa Msanii Aunty Ezekiel aliyefika mahakamani hapo kwa ajili ya kufatilia mwenendo wa kesi ya Dawa za Kulevya inayomkabili Said Mbasha na wenzake.
    Aunty Ezekiel amefika mahakamani hapo leo ambapo akiwa ndani ya chumba cha mahakama alionekana akibubujikwa na Machozi kabla ya washitakiwa kusomewa mashitaka yao.

ความคิดเห็น • 141

  • @biottomollel6527
    @biottomollel6527 3 ปีที่แล้ว +20

    Hovyo sana mwandishi badala ya kuripoti kesi ya mtu anayekabiliwa unatuletea habari ya wasikiliza kesi why ..?🤷🏻‍♂️

    • @thomasmosesmganga2552
      @thomasmosesmganga2552 3 ปีที่แล้ว +2

      Ujinga tu hakuna cha maana kisha anaweka TH-cam niwavivu wakutafuta habari

    • @fadhilarajabu903
      @fadhilarajabu903 3 ปีที่แล้ว

      Sijui wapoje wanakera sana

    • @rukkysayid6613
      @rukkysayid6613 3 ปีที่แล้ว

      🤣🤣mtihani huu wenye kesi imekuwa sio big issue ila kulia kwa Auntie Ezekeil ndiyo issue waandishi wa kibongo bhana sijuwi wakoje🤣🤣

  • @aairraahseif5648
    @aairraahseif5648 3 ปีที่แล้ว +12

    𝖳𝗎𝗃𝗂𝖿𝗎𝗇𝗓𝖾 𝗄𝗂𝗍𝗎,𝗍𝗎𝗌𝗂𝗐𝖾 𝗐𝖺 𝗄𝗎𝗅𝖺𝗎𝗆𝗎,𝖺𝗎 𝗄𝗎𝖿𝗎𝗋𝖺𝗁𝗂𝖺 𝗁𝗂𝗏𝗂 𝗏𝗂𝗍𝗎

    • @africangirls482
      @africangirls482 3 ปีที่แล้ว +2

      Umeongea point sana mkuu mwenye akili timamu ataelewa ulichomaanisha

    • @juxjemc5768
      @juxjemc5768 3 ปีที่แล้ว +1

      Ameongea point lakin kuna mambo mengne tunajitakia
      Yaan una mzin mke wa mtu halaf unasema ni mtihan mungu ndio amepanga je hilo ni la mungu??

    • @jenyyusuph4973
      @jenyyusuph4973 3 ปีที่แล้ว

      Utauzaje dawa za kulevya? Upumbavu tu WAPIGWE Sawa sawa

  • @muanashaswaleh5110
    @muanashaswaleh5110 3 ปีที่แล้ว +12

    Hawa wauza madawa mtu akishikwa nikifungo tu bila mbwe mbwe wamàearibu vizazi vya watu kwakutaka pesa za araka sahii maskini ukiwa na mtoto wakiume mtukutu roo yako yote iko juu

    • @juniorsmart2483
      @juniorsmart2483 3 ปีที่แล้ว

      Malezi yako2 uxxinmgizie madawa ya kulevya🙈mtoto umleavyo ndivyo akuavyo

  • @tamaraseff.9707
    @tamaraseff.9707 3 ปีที่แล้ว +22

    Mnafanya kinyume cha sheria na mnaaza kulia.asiesikia mwisho uvunjika guu.

  • @simonlukiko2850
    @simonlukiko2850 3 ปีที่แล้ว +1

    KUNA TAJIRI MMOJA MKENYA NILIKUTANA NAE ROCK UP AKANIAMBIA HV "TANZANIA NDO NCHI PEKEE YA AFRICA MASHARIKI AMBAYO TAJIRI ANAWEZA FUNGWA JERA HA HA HA"

  • @fatmamashua4789
    @fatmamashua4789 3 ปีที่แล้ว +6

    Yaani aunty akilia ananaswa mimi nalia kila siku hamunioni... Nkt😂😂

  • @ladislausngoyinde4384
    @ladislausngoyinde4384 3 ปีที่แล้ว +46

    Yaan badala ya kulilia vjana wanaoharibiwa na madawa, yeye anamlilia anayewaharibu, kweli bongo nyoso

    • @mdzainb3722
      @mdzainb3722 3 ปีที่แล้ว +3

      😄😄😄anatuzingua

    • @kenybenjiz7850
      @kenybenjiz7850 3 ปีที่แล้ว +5

      Hopeless kbsa hawa watu tena si ajabu walikuwa wanajua shuguli zaooo

    • @stelakiula917
      @stelakiula917 3 ปีที่แล้ว +2

      Haahahahah

    • @kenybenjiz7850
      @kenybenjiz7850 3 ปีที่แล้ว +6

      Ukiona hivyo hao walikuwa wanawapa hela

    • @ivaniavianarodrigo7201
      @ivaniavianarodrigo7201 3 ปีที่แล้ว +8

      anahofia watamtaja na yeye,

  • @junioryasin5306
    @junioryasin5306 3 ปีที่แล้ว +12

    Kamateni wote hao kwann wawalilie wauza madawa wanaoharb akil za watu

    • @kenybenjiz7850
      @kenybenjiz7850 3 ปีที่แล้ว +1

      Alaf eti utawaskia mm kioo cha jamii
      Kmbe wanaambatana na wauza sembe

  • @lameckmichaelmagazi6345
    @lameckmichaelmagazi6345 3 ปีที่แล้ว +26

    Mastar woote niwauza madawa asikudanganye mtu. Et,kaenda kupiga shoo mchifrani? Hukohuko dawa zinauziwa. Ila Hawa wadogowadogo wakifeli ndo wanafinyw

    • @haimahaima9473
      @haimahaima9473 3 ปีที่แล้ว +4

      Kwel

    • @nasrahassanabioll6559
      @nasrahassanabioll6559 3 ปีที่แล้ว +4

      Hakika

    • @ifgodsayyes.nobodycansayno1796
      @ifgodsayyes.nobodycansayno1796 3 ปีที่แล้ว +2

      KABISA UMEGONGA NDIPO KENYA PIA NI HIVYO HIVYO BADALA WAANZE NA WENYE KUINGIZA MADAWA YA KULEVYA KISHA WAKUBWA WENYE KUUZA NDIO WAINGIE MITAA WANAO UZA NA WANAO NUNUA ILA AFRICA WANAPENDA KUPUMBAZA WATU AKILI NAVILE WANAPENDA HONGO

    • @lameckmichaelmagazi6345
      @lameckmichaelmagazi6345 3 ปีที่แล้ว +2

      @@ifgodsayyes.nobodycansayno1796 Hakika,maana ukija kujiuliza walikuwepo kina 20pasent walikamatwa harafu waliokua wamewatuma niwakubwa wanchi, wakawatelekeza wakafungwa miaka. Atasasa wasaniiwengi wanapata pesa kupitia madawa ila hizizingine nimbwembwetu.sasa Hawa wadogowadogo kaicheza vibayatu tayar wanadakwa. Lakini ukija kufikilia huumchezo unatoka mbalisana lait Kama wangewahoji kwakina usishangae kutajwa mtu mkubwa selekalini nae anahusika namadaw

    • @adameyes
      @adameyes 3 ปีที่แล้ว +2

      Do you have any proof

  • @yahyahamad1802
    @yahyahamad1802 3 ปีที่แล้ว +11

    Duh ayo sikuizi umekuaje? Unaenda mahakamani kutupa taarifa za wanaolia badala ya kutupa taarifa za watuhumiwa

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 3 ปีที่แล้ว +9

    Kulishawatu haram inageuka Mungu ndiye huyu huyu habadiliki kazikwetu binaadam

  • @madinakheri487
    @madinakheri487 3 ปีที่แล้ว +36

    Mungu atusaidie Sana tutafute riziki halali haram tuziache

  • @kenybenjiz7850
    @kenybenjiz7850 3 ปีที่แล้ว +12

    Lazima wakaozee jela tena kwa sheria za madawa ya kulevya sahvi si mchezo

  • @sherin3171
    @sherin3171 3 ปีที่แล้ว +7

    Me napenda tanzania haina masiara wallah

  • @benardmwakilasa3969
    @benardmwakilasa3969 3 ปีที่แล้ว +8

    Wako segerea wamevua nguo wanaambiwa wanye ndo waiingie selo ya spea ,,Jela nyoko

  • @Waytozanzibar
    @Waytozanzibar 3 ปีที่แล้ว +1

    Mtu baada yakuwa uuze unga wano ngano na sembe, unajifanya ndege mjanja unauza unga wakulevya. Sasa ngoja wanase ktk tundu bovu, ndio dawa ya ndege mjanja.

  • @ashaali7154
    @ashaali7154 3 ปีที่แล้ว +5

    Wanaliliana hawa birds with feathers fly together. Hawa vijana wadogo wanatumiwa kuvusha maskini wenye mizigo yao wako kimya.

  • @jumakiatu.628
    @jumakiatu.628 3 ปีที่แล้ว +1

    sA.kWani.uYo.aMTi.eZeKeLi.yE. nA.yE.kwAni.a.Mi.i.bA.dAwa.aPo.nDo.aLiE.eTi.jAmAni
    .si.mAjAbU.dU.ni.mAkAmAni.wAmishtAkiWa.wAnGiNe. SA.yE.aPo.nDo.siJaELewA.mi.

  • @fadhilplatnumz6209
    @fadhilplatnumz6209 3 ปีที่แล้ว +3

    Kwahio umeona kilio chake nimuhimu kuliko wenyekesi sio kueni makini bhana mnafeli.

  • @halimasaleh5705
    @halimasaleh5705 3 ปีที่แล้ว +3

    Allah tusitirie vizazi vyetu viwe vyenye kuridhika na kipato cha halali

  • @TeamKRX
    @TeamKRX 3 ปีที่แล้ว

    Ila mnakosea Munawashik Tumbili wanaowapa kazi Haram magorila ndio mufungwe wote kaa Mie nawataja babu eeee☠️☠️tufugwe wote ikitaka wanawataja ila wanatia rushwa sana pesa nyingi WAO hawaguswi wanajirizisha mahakama kwa hili dagaa yanii inauma lazima wanawataja ila Afrikas Mafrti mahakama hamna kitu

  • @gosbertmuta5421
    @gosbertmuta5421 3 ปีที่แล้ว +1

    Analia nn Sasa wakt walikua wanakula wote

  • @azizayassin3623
    @azizayassin3623 3 ปีที่แล้ว +2

    Tamaaa ya pesa za haraka na kuwatumia wadogo znu ona sasa😏😏😏😏

  • @hatamimnimempendabulejaman1596
    @hatamimnimempendabulejaman1596 3 ปีที่แล้ว

    Washtskiwa wamejificha uwa wanajifichaga kama hivyo

  • @almasially6509
    @almasially6509 3 ปีที่แล้ว

    Anakesi afu havai barakoa? Anataka afe kabla hatujamfunga

  • @christophermsekena616
    @christophermsekena616 3 ปีที่แล้ว +1

    Vijana acheni tamaaa

  • @danielimeshack3712
    @danielimeshack3712 3 ปีที่แล้ว +1

    Peleka jela hao huyo amaelia na yeye weka ndani

  • @stevenoiro3815
    @stevenoiro3815 3 ปีที่แล้ว +3

    Siku hizi watu wanalia ki digitali...ndani ya miwani🤔

  • @hatamimnimempendabulejaman1596
    @hatamimnimempendabulejaman1596 3 ปีที่แล้ว

    Saidi ni nani yake ant ezekiel

  • @hidayaabubakary8250
    @hidayaabubakary8250 3 ปีที่แล้ว +1

    Jmn Pesa tamu lkn mbaya mnaona sasa 😌😌

  • @sarahtaste2876
    @sarahtaste2876 3 ปีที่แล้ว +6

    Yani miaka 30 wakae tu huko shenzi waathirika wa madawa wanavyoteseka huko mitaani ni zaidi ya iyo jera watu wanapoteza maisha shenzi yani wafungweeeeee

  • @Zainab-sq1tc
    @Zainab-sq1tc 3 ปีที่แล้ว +1

    Ni nan yake huyo mbasha

  • @daslamonline4665
    @daslamonline4665 3 ปีที่แล้ว

    Tupambaneni wajasiliamali rizki ya halali ngumu jamani
    unapishana na felary roho inakuuma na umaskini wako unamlilia mungu kumbe imenunuliwa kwa hela chafu.

  • @roseatieno6691
    @roseatieno6691 3 ปีที่แล้ว +1

    Wana uhusiano gani na aunty Ezekiel? .Dah usione watu wana hela hujui wana deals gani .

  • @charlesmwisera7175
    @charlesmwisera7175 3 ปีที่แล้ว +1

    Huyo malaya wa bongo movie anaigiza mpaka mahakamani.

  • @abduutali3689
    @abduutali3689 3 ปีที่แล้ว +1

    Sikuiz jamaa wamekuwa watafuta view kama wengine.... Hakun nlichopata zaid ya kuon mtu kalia

    • @joharhamis855
      @joharhamis855 3 ปีที่แล้ว

      Ana boa kweli siku izi sijui yupoje

  • @jennifermaldini1129
    @jennifermaldini1129 3 ปีที่แล้ว +1

    Sasa hao wanaficha sura za ninj

  • @imeldakapembe4438
    @imeldakapembe4438 3 ปีที่แล้ว

    Duuu

  • @aishasalum4601
    @aishasalum4601 3 ปีที่แล้ว

    Kamanikweli wanauza achawahukumiwe ukiwaangalia mateja wanatia huruma.mapusha wanapendeza kilacku

  • @hashimuramadhan6530
    @hashimuramadhan6530 3 ปีที่แล้ว +4

    Pole ake

  • @malopemaliyamungu5243
    @malopemaliyamungu5243 3 ปีที่แล้ว +1

    Nyie Ayo mnariport nini sasa? Msifuatilie watu hivyo.. Mtu anafuta jasho nyie tayari machozi. Kwann msiseme afuta jasho mahakamani.. After all ni mtu mzima huyo hamuogopi mvi ?

    • @tiamo726
      @tiamo726 3 ปีที่แล้ว

      Sasa mbona wale wambea hamuwambii hivi

  • @mdzainb3722
    @mdzainb3722 3 ปีที่แล้ว +1

    Sikuizi huyu ayo tv wanatuletea Maura uza

  • @kanyewest1850
    @kanyewest1850 3 ปีที่แล้ว +19

    Tujifunze kituuu✅

  • @sir_ENOCKMACHA
    @sir_ENOCKMACHA 3 ปีที่แล้ว

    Hao watuhumiwa ni akina nani kwake? Mwenye kujua anijulishe

  • @husnamahadhi7437
    @husnamahadhi7437 3 ปีที่แล้ว +1

    Sasa ni ndg zake au jamaa

  • @abuyunusmohamed6961
    @abuyunusmohamed6961 3 ปีที่แล้ว

    Machozi ya mamba hayo.Hamuumii vijana wetu mnaowauzia hizo dawa wanavyoharibikiwa afya zao?

  • @alexanderhaule7667
    @alexanderhaule7667 3 ปีที่แล้ว

    Nyanya mashambani zimejaa kibao jamani
    Unga tuwaachie wamexico

  • @leahkitundulu7004
    @leahkitundulu7004 3 ปีที่แล้ว

    Hi

  • @veronicalufingo3513
    @veronicalufingo3513 3 ปีที่แล้ว

    ngoja niendelee kudanga tu hakuna wakunishtaki😀😀😀😀

  • @hatamimnimempendabulejaman1596
    @hatamimnimempendabulejaman1596 3 ปีที่แล้ว

    Halafu wasanii wengi ndo kazi zao izo utakuta matajir Sana hauolew pesa wamepata wapi mim nilijuwa ant na mwenyew Ana hela sana hata kama gemu ya mda sio kivile sema ukiwa, star na nyota nayo unaweza kupata mafanikio Makubwa

  • @youtub8320
    @youtub8320 3 ปีที่แล้ว

    Naombeni kuuliza hivi huyu saidi mbasha ninani au kabla ya hapa ana umaarufu upi?

  • @sylvesterjose3286
    @sylvesterjose3286 3 ปีที่แล้ว +3

    Ayo TV imeshapoteza umakini, kweli Ngoma ikilia Sana haikawii kupasuka. Sikutarajia ujinga Kama huu kutoka kwenye media maarufu na yenye uzoefu. Hivi huyu mwandishi alieenda kuripoti mwenendo wa kesi au kuonesha machozi ya Anti Ezekiel. Upumbavu mtupu!

  • @husseinkarim6745
    @husseinkarim6745 3 ปีที่แล้ว

    Wanawaua watoto wetu kwa tamaa zao za kujitarijisha. Wangemkamata supplier wao Msumbiji na kumwuua kabisa. Wangetega.mtego kumpata moakani lazima kuna mmoja alikuwa anakwenda kumpa pesa.

  • @michelinemapendo6652
    @michelinemapendo6652 3 ปีที่แล้ว

    Ameliya nini? Mwanakulitafuta mwana kulipata 💪💪💪

  • @abdulwahababdulkadir9965
    @abdulwahababdulkadir9965 3 ปีที่แล้ว +12

    Ukute hawahusiani kabisa yaaani mm bongo sihami

    • @expert5898
      @expert5898 3 ปีที่แล้ว

      Hahahaha

    • @expert5898
      @expert5898 3 ปีที่แล้ว

      N kwel kabisa

    • @happynesssamwel2917
      @happynesssamwel2917 3 ปีที่แล้ว

      Huna pakwenda ata ivo,,,,

    • @expert5898
      @expert5898 3 ปีที่แล้ว

      @@happynesssamwel2917 Au aunt analia sababu na madawa yake yalikuwemo kwenye hayo yaliyokamatwa

  • @careenmumy192
    @careenmumy192 3 ปีที่แล้ว

    hata mzazi anayemuona mwanae kazama kutumia hayo madude ndio anaumia zaidi huku wao wanataka maisha mazuri wafungwe tu

  • @jumashukani8472
    @jumashukani8472 3 ปีที่แล้ว

    Uyo kahaba analia nn watu wanauza mihadarati wana angamiza vijana nguvu kazi. Inapptea taifa lakesho linaanhamia alafu watu wamekamatwa wewe unalia ngombe wewe

  • @carolshiru4374
    @carolshiru4374 3 ปีที่แล้ว +1

    Said ndo nani jameni 🤔🤔

  • @sambayetisfamily2116
    @sambayetisfamily2116 3 ปีที่แล้ว +1

    Nikweli au

  • @miriammuthoka8721
    @miriammuthoka8721 3 ปีที่แล้ว

    Sasa analia nini, vijana wa watu wanaharibika ju ya hizo dawa za kulevya

  • @petermahimbo6703
    @petermahimbo6703 3 ปีที่แล้ว +1

    Kumbe wana sura nyeusiii😂😂

    • @yvonneauma3832
      @yvonneauma3832 3 ปีที่แล้ว

      Ata mimi nimeshanga aunt mweusi sana kama yobo

  • @sheryphamwenevalley6124
    @sheryphamwenevalley6124 3 ปีที่แล้ว

    kwa kuteketeza nguvu kazi, hili nyinyi muwe vizuri mfungwe tu hakuna namna

  • @biggestnasritv2601
    @biggestnasritv2601 3 ปีที่แล้ว +1

    THE BIGGEST BOSS NASRI

  • @hajjishira3775
    @hajjishira3775 3 ปีที่แล้ว

    mbona wafungwa wa siku hizi mnawadekeza, mtu yupo rumande bado anakiduku kichwani kweli vinyoz wa magereza wote walistaafu? kwako mwal kashasha😆

  • @frediusifrednand3363
    @frediusifrednand3363 3 ปีที่แล้ว +1

    Pole Sistar anty

  • @azzamahamdu7039
    @azzamahamdu7039 3 ปีที่แล้ว

    Tamaa mbele mauti nyuma....mungu tulindie vizaz vye2....

  • @nipolive..2745
    @nipolive..2745 3 ปีที่แล้ว

    Wanatusumbua sana hao wafungeni

  • @hatamimnimempendabulejaman1596
    @hatamimnimempendabulejaman1596 3 ปีที่แล้ว

    Paka Dai Walisemaga yumo naye

  • @kakurukakurupacha859
    @kakurukakurupacha859 3 ปีที่แล้ว

    Sisi tunasema hiviiiiii anachezea kamasi.

  • @zainabuabdul7852
    @zainabuabdul7852 3 ปีที่แล้ว +1

    Nyie ayo wapuuuzi

    • @jackierama1817
      @jackierama1817 3 ปีที่แล้ว +1

      Sasa upuuzi wao ni nn ndugu

  • @maureennyadzua6394
    @maureennyadzua6394 3 ปีที่แล้ว

    I see young ladies in tanzania living a lavish life style n who can almost make you feel like robbing a bank, but madawa ya kulevya I didn't see this coming. Inafaa tupende utajiri but na kiac. If this is real then I don't pitty this lady I can imagine those useless lives out there which are wasted due to drugs while she flauts her cars, and lives like a queen. But ka ni story acha tu MUNGU akusaidie.

    • @dolldoll8483
      @dolldoll8483 3 ปีที่แล้ว

      She's not involved but she's there to listen a case of someone/a man she knows who is involved.

  • @maryoswad7022
    @maryoswad7022 3 ปีที่แล้ว

    Yani kwakweli ni mbaya watoto wetu wameharibika kwa madawa jamani mmmm Mungu anakuona ujue

  • @ivonaevarista4654
    @ivonaevarista4654 3 ปีที่แล้ว +2

    Ajira ya shetan huangamiza Bali upendo Wa Kristo huokoa,njooni kwa Yesu awaajiri kazi inayompa utukufu Mungu wetu,yohana 3:16,

    • @WivianRich
      @WivianRich 3 ปีที่แล้ว +1

      Aminaaaa ,ukimuamin Mungu utatusua maishan mpaka ushangae

  • @stellamajura4593
    @stellamajura4593 3 ปีที่แล้ว

    Me nkadhani ameangua maembe

  • @sebmalunde5945
    @sebmalunde5945 3 ปีที่แล้ว

    Wauza ngada bhana

  • @rogermomodesty3568
    @rogermomodesty3568 3 ปีที่แล้ว

    Ananyege uyo kinamuwasha

  • @rogermomodesty3568
    @rogermomodesty3568 3 ปีที่แล้ว

    Ananyege uyo kinamuwasha

  • @rahmattanzania3869
    @rahmattanzania3869 3 ปีที่แล้ว

    Wambeya

  • @alibinali_
    @alibinali_ 3 ปีที่แล้ว +3

    Pesa tamu sana ilaukisha shikwa 🥲🤣🤣🤣

  • @juniorsmart2483
    @juniorsmart2483 3 ปีที่แล้ว +1

    Watafute mzizi uko wapi wakishaung'oa mamemaliza kazi lakini nila hivyo,kax iko palepale🏃🏃🏃

  • @rubensaitoti6839
    @rubensaitoti6839 3 ปีที่แล้ว +3

    Daa pole Sana mungu atawajalia ila jamani t2tavuteni pesa yahalali naimani t2tafanikiwa asanten

    • @mzeekitambazi4707
      @mzeekitambazi4707 3 ปีที่แล้ว +1

      pesa gani halali wakati tunaagiza sukari, mafuta ya kula kutoka Zanzibar kuja bagamoyo tunaporwa na TRA.. yaan cwezi kumcheka mtafutaji wa aina yeyote hata cku moja

  • @lucasmhagama8166
    @lucasmhagama8166 3 ปีที่แล้ว +2

    Kuuza unga mwisho wake mbaya

  • @sophiamfikwa7340
    @sophiamfikwa7340 3 ปีที่แล้ว +2

    Duuu pole Antiii

  • @emanuelmichael9784
    @emanuelmichael9784 3 ปีที่แล้ว

    Duh🏃🏃🏃🏃

  • @ab3ab313
    @ab3ab313 3 ปีที่แล้ว

    mungu akusimamie maman kuki

  • @rajabmsinzia7921
    @rajabmsinzia7921 3 ปีที่แล้ว +2

    NA YEYE NI MMOJA WAO HUYO SEMA HAJASTUKIWA TU HAHAHA