ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Jamani mimi nampenda sana naomba I wish angekuwa mke wangu penda sana naomba
Naomba mriho
Mie ni nkoma nkongwe sizuriwi mpweza mie 😅😅
Nomwagieni like zangu dongo
Sheikh maridhia cc Wana yanga 🙏🙏🙏 twakukabidhi mamelodi mikononi mwako tupite.
Wanaiishii pemba mchang'amdogo.
Mie ni nkoma nkongwe 🎉😂😂😂
Mwatuchanganyaaa dogo
😂😂😂😂naomba kanikumbusha mbali kwel inauma iyo usiche k2 uende usikikute😂😂😂😂😂😂😂❤
Saada wew upo tiktok instagram hadi TH-cam 😅
tuongezeee dakika kake🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲 team fulus mko wapi
Oooi 🇰🇼
Niliitafuta sana hii kumbe mlighafilika ❤
Ndio jmn kughaflika kuko
Zindonwaa nkukuuu
🇴🇲🇴🇲 Good job
Hasema nnaona kitu gani 😅
shukran wadau woote kwa ujmla
😂😂😂😂 dogngo nacheka ajichokowa Kwa kulanjama
kake mau leo iwe episode ya 5hy ya tatu ya juz hyo twakudai😁😁😁
Wamehafulika binadam
Mume tuchanganya
Keep up the great game
Well done
Mke aficha nyama mvunguni mwa kitanda😂😂😂 Naomba na dongo mupewe mauwa yenu 💐💐 sasa
Nikweli Wana bowa Sana wanachelewa
Tunao comment kuhusu episode kukosa mpangilio basi tuwasameheni. Washaona kama wamejisahau na wataongeza umakini kuhusu Hilo. Tuwakumbushe mengine
Nice
Safi sana maashaallah
Mkoma mkongwe😂 ukiona comment yangu naomba like au nitafute Nina jambo lako.# Dongo hujawahi kuniboaaaa😂😂😂
Naam
Kaweza kulipindua sifuria jikoni na moto wawaka atashindwaje kwenda ichukua chumbn na na imesha poa 😂😂😂
Mbon hamtupelek mbele mnaturudish nyum et vp😭😭😭😭
Nauliza tena suali jengine hawa wasanii wetu pendwa wanishi Pemba mkoa gani siku nikija Pemba niwatafute walau niwasalimie
Wapo mchanga mdogo
@@hanifahkhamiss8485 mchanga mdogo ipo wete?
Kaskazini pemba m/mdogo
Si umejibiwa wapo mchanga mdogo
Wanaishi kaskazini pemba mji wa wete
I'm in love with that lady,maus second wife,
Sasa nimeanza kuufahamu huu mchezo
Jamani cc hii tunaiifanya ya4 inawekanajee ikawa ya3 hiii
❤❤❤❤❤
He weye weyewe😂
Wap ww
jmn huyo kuku mchinjeni asile nyama zilizofichwa
Story nzuri ila muda mchache .
Dah kumbe wapemba tunaongea hii mau anaongea havuti pumzi kajilaza msituni atishwe ila yeye ndo ikawa atisha
😂😂😂👌👍
Huu mchaka mchaka munaotupeleka wapemba wenzangu mutatuuwa . kutoka sehemu ya 4 mpaka 3 hii nibalaa😂😂
Aloo muntupeleka mwendo wa ngisi tunaanza 4 tunrudi 3
Alooooo😅
😂😂😂
Umeeon eenh
Hatarii 😂😂😂😂
Mau kunkosea sana kutaja kinyesi kwa jina hilo la karaha kwenye media kama hivi haipendezi ungetumia fasihi kutaja ,mawazi yangu.
Kuweni makini ebu me Leo ckitaka itazama hii sehem ya 4 nilijua ni ya 3 kumbe ndio ya nne Sema tu nimejiongeza mwenyewe
❤❤Ramadhan kareem
Kazi yenu kuwatangaza Hawa washirikina tu
Hii kasida wameimba madradat gani?
AQAZ lakin ipo kwenye huu mchezo tu
@@SaoKujuwa-z8q ooh asante sana nimeipenda sana ni nzuri
Ndio
@@KhamisAli-ud4pu asante sana
Kasida imeimbwa na madrasatul kadiria msomaji jumafaki na zungu kasida ni ramadhani
Inaitwaje hii kaswida inayo shindikiza huu mchezo
Ni saut ya juma faki wa aqaz
@@thuwaybah5679 shukran
Hahhahaa 😅
Makubwa naomb pol naroh wako
Wapo mkoa wa kaskazini Pemba wilaya ya wete kijiji cha kambini kichokochweLkn uspate tabu hapa hapa unguja unaweza kuwapata baadhi yao kama mau na dongo maeneo ya bububu silva
Dongo ungelitafuta paka ukamueka uko mvunguni mwa kitanda
Wameghflika
Ya 4 jana na ya 3 leo , Wapemba mbona mwayumba vibaya na nyie ah😂
Hahaaaa
Iltokea bahati mbaya jmn tuwe wavumiliv
ila mau bhn eti siku moja nlilala msituni yale majiti nkataka yanitishe
Jamani mimi nampenda sana naomba I wish angekuwa mke wangu penda sana naomba
Naomba mriho
Mie ni nkoma nkongwe sizuriwi mpweza mie 😅😅
Nomwagieni like zangu dongo
Sheikh maridhia cc Wana yanga 🙏🙏🙏 twakukabidhi mamelodi mikononi mwako tupite.
Wanaiishii pemba mchang'amdogo.
Mie ni nkoma nkongwe 🎉😂😂😂
Mwatuchanganyaaa dogo
😂😂😂😂naomba kanikumbusha mbali kwel inauma iyo usiche k2 uende usikikute😂😂😂😂😂😂😂❤
Saada wew upo tiktok instagram hadi TH-cam 😅
tuongezeee dakika kake🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲 team fulus mko wapi
Oooi 🇰🇼
Niliitafuta sana hii kumbe mlighafilika ❤
Ndio jmn kughaflika kuko
Zindonwaa nkukuuu
🇴🇲🇴🇲 Good job
Hasema nnaona kitu gani 😅
shukran wadau woote kwa ujmla
😂😂😂😂 dogngo nacheka ajichokowa Kwa kulanjama
kake mau leo iwe episode ya 5
hy ya tatu ya juz hyo twakudai😁😁😁
Wamehafulika binadam
Mume tuchanganya
Keep up the great game
Well done
Mke aficha nyama mvunguni mwa kitanda😂😂😂 Naomba na dongo mupewe mauwa yenu 💐💐 sasa
Nikweli Wana bowa Sana wanachelewa
Tunao comment kuhusu episode kukosa mpangilio basi tuwasameheni. Washaona kama wamejisahau na wataongeza umakini kuhusu Hilo. Tuwakumbushe mengine
Nice
Safi sana maashaallah
Mkoma mkongwe😂 ukiona comment yangu naomba like au nitafute Nina jambo lako.
# Dongo hujawahi kuniboaaaa😂😂😂
Naam
Kaweza kulipindua sifuria jikoni na moto wawaka atashindwaje kwenda ichukua chumbn na na imesha poa 😂😂😂
Mbon hamtupelek mbele mnaturudish nyum et vp😭😭😭😭
Nauliza tena suali jengine hawa wasanii wetu pendwa wanishi Pemba mkoa gani siku nikija Pemba niwatafute walau niwasalimie
Wapo mchanga mdogo
@@hanifahkhamiss8485 mchanga mdogo ipo wete?
Kaskazini pemba m/mdogo
Si umejibiwa wapo mchanga mdogo
Wanaishi kaskazini pemba mji wa wete
I'm in love with that lady,maus second wife,
Sasa nimeanza kuufahamu huu mchezo
Jamani cc hii tunaiifanya ya4 inawekanajee ikawa ya3 hiii
❤❤❤❤❤
He weye weyewe😂
Wap ww
jmn huyo kuku mchinjeni asile nyama zilizofichwa
Story nzuri ila muda mchache .
Dah kumbe wapemba tunaongea hii mau anaongea havuti pumzi kajilaza msituni atishwe ila yeye ndo ikawa atisha
😂😂😂👌👍
Huu mchaka mchaka munaotupeleka wapemba wenzangu mutatuuwa . kutoka sehemu ya 4 mpaka 3 hii nibalaa😂😂
Aloo muntupeleka mwendo wa ngisi tunaanza 4 tunrudi 3
Alooooo😅
😂😂😂
Umeeon eenh
Hatarii 😂😂😂😂
😂😂😂
Mau kunkosea sana kutaja kinyesi kwa jina hilo la karaha kwenye media kama hivi haipendezi ungetumia fasihi kutaja ,mawazi yangu.
Kuweni makini ebu me Leo ckitaka itazama hii sehem ya 4 nilijua ni ya 3 kumbe ndio ya nne Sema tu nimejiongeza mwenyewe
❤❤Ramadhan kareem
Kazi yenu kuwatangaza Hawa washirikina tu
Hii kasida wameimba madradat gani?
AQAZ lakin ipo kwenye huu mchezo tu
@@SaoKujuwa-z8q ooh asante sana nimeipenda sana ni nzuri
Ndio
@@KhamisAli-ud4pu asante sana
Kasida imeimbwa na madrasatul kadiria msomaji jumafaki na zungu kasida ni ramadhani
Inaitwaje hii kaswida inayo shindikiza huu mchezo
Ni saut ya juma faki wa aqaz
@@thuwaybah5679 shukran
😂😂😂
Hahhahaa 😅
Makubwa naomb pol naroh wako
Wapo mkoa wa kaskazini Pemba wilaya ya wete kijiji cha kambini kichokochwe
Lkn uspate tabu hapa hapa unguja unaweza kuwapata baadhi yao kama mau na dongo maeneo ya bububu silva