Watu wangejua huyu yesu ni nani wangemkimbilia sana mimi namuona mungu akunipigania kwa kiasi kikubwa sana nipo omani nafanya kazi lakini nilikuja uku kwa kibali cha yesu na pale ninapoacha kusali nikiwa uku bas mungu huruhus mitiani kwangu ila ninapokaa nakushuulika naye bas hunigusa kwa kiasi kikubwa sana chotote ninacho kiitaji nikikaa na yesu chumbani kwangu na kusema nae hujidhihirisha kwa kiasi kikubwa sana mpaka wakati mwingine najiuliza kwanini huyu mungu amekuwa akijibu kwa wakat jaman najiuliz hata nitoe sadak gani itakayo mfaa kwa ukuu wake 🥰💜🙏💕💞💓💗💖❤🧡💛💚💙💜🤎💔💝💘💌
Aisee kuna binadam wana roho ngum mno hv mtot wako kabisa umekaa na mimba miez 9 umezaa kwa uchungu mkubwa mno unawezaj kumfanyia mtoto wako wa kumzaa mambo ya ajabu kam hayo jamn😭😭
Yaan natamani Kama hii ungekuwa Ni movie ya kikolea au kichina lakin kumbe Ni maisha ya binadamu anapitia kwa kusababishwa na mama aliyekuzaa pole sana mpenzi Ila mungu hatamwacha salama mama yako yaan apewe adhabu kuliko olile aliyopewa SHETANI
Kweli hujafa ujaumbika..Hakuna nguvu ipitayo nguvu zake Baba Muumba wa Mbingu na nchi. Ukimuamini,ukamuita anakuitikia na anakuonesha mambo yaliyo makuu.Jina lake lihimidiwe nalipewe sifa.
Yesu ni simba wa Dunia nzima na hata mbinguni, hallelujah 💪
Amen 🙏💯
Amen 🙏🏽 Amen 🙏🏽
Mambo
@@yohanlyimbo5474mambo kwa Yesu ujanja kutoka ndugu yangu utamu ulio ndani ya kristo haulinganishwi na asli
Ameen
Watu wangejua huyu yesu ni nani wangemkimbilia sana mimi namuona mungu akunipigania kwa kiasi kikubwa sana nipo omani nafanya kazi lakini nilikuja uku kwa kibali cha yesu na pale ninapoacha kusali nikiwa uku bas mungu huruhus mitiani kwangu ila ninapokaa nakushuulika naye bas hunigusa kwa kiasi kikubwa sana chotote ninacho kiitaji nikikaa na yesu chumbani kwangu na kusema nae hujidhihirisha kwa kiasi kikubwa sana mpaka wakati mwingine najiuliza kwanini huyu mungu amekuwa akijibu kwa wakat jaman najiuliz hata nitoe sadak gani itakayo mfaa kwa ukuu wake 🥰💜🙏💕💞💓💗💖❤🧡💛💚💙💜🤎💔💝💘💌
Jina la YESU ni jina lipitalo majina yote 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Ameni Kubwa🙏🙏
AMEN 🙏🏻
Amen
Hakika🙏
Amen
Pole sana najma mungu ni mwema my dear Veronica tunakusikiliza hadi ulaya tunamshukuru tunakupenda sana
Hellow Fatma...I'm Ellen hope ni wewe Fatma rafki yangu from Marian.
I'm Ellen Nyanda
Ooh haleluyaaa 🔥🔥
MUNGU MWAMINIFU SANA …. Mwenye haky hatomuacha kamwe.. nipe nguvu za kukushukuru ww siku zote
Huyu YESU wanaemkataaa ndiye funguo ya kila jambo
Acha Mungu aitwe Mungu.
Aisee kuna binadam wana roho ngum mno hv mtot wako kabisa umekaa na mimba miez 9 umezaa kwa uchungu mkubwa mno unawezaj kumfanyia mtoto wako wa kumzaa mambo ya ajabu kam hayo jamn😭😭
Nel
Mungu ni mwema nipenda kumpata mtumishi wa Mungu 🙏🙏
Yaan natamani Kama hii ungekuwa Ni movie ya kikolea au kichina lakin kumbe Ni maisha ya binadamu anapitia kwa kusababishwa na mama aliyekuzaa pole sana mpenzi Ila mungu hatamwacha salama mama yako yaan apewe adhabu kuliko olile aliyopewa SHETANI
Asante dada vero kwa simulizi nzurI
Dah huyu kaka MUNGU alimpa hekima ya kuongea na huyu dada abarikiwe sana, wengi wanateseka kutokana na mapokeo ya dini zetu
Mungu ndo kilakitu kwenye Maisha yetu🙏
Mungu ni Mungu TU
Kweli hujafa ujaumbika..Hakuna nguvu ipitayo nguvu zake Baba Muumba wa Mbingu na nchi.
Ukimuamini,ukamuita anakuitikia na anakuonesha mambo yaliyo makuu.Jina lake lihimidiwe nalipewe sifa.
Mmmh daah pole Sana
Hata mm nasikia uchungu sana😢
Mungu ni Mungu tu🔥🔥🔥
Mungu ni Mungu tu🙏🙏🙏 ni mkuu sanaaa🙌
Pole Sana najima kwakupoteza wifi yako
Nzr da Vero ni funzo pia...uyo mama anaroho mby Sana Hana uchungu wa mtoto
Mm nashindwa kuelewa hyu mama ni binadam kweli au alikua Jin jaman
Mungu ni mwema
Asante sana tuletee kwa wakati
Ameeni
Binaada Tunapitia mitihani Kwa kweli
Dunia ina mambo😪
So sad aisee
🙆🙆🙆🙆🙆🙆😭😭😭😭