MWENGE WAZINDUA SHULE ya PRECIOUS SEKONDARI MERU - KIONGOZI wa MWENGE ASEMA INA HADHI ya CHUO KIKUU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2024
  • MWENGE WAZINDUA SHULE ya PRECIOUS SEKONDARI MERU - KIONGOZI wa MWENGE ASEMA INA HADHI ya CHUO KIKUU...
    Mwenge wa Uhuru umendelea kukimbizwa katika Mkoa wa Arusha ukiwa katika Halmashauri ya Meru Mwenge wa Uhuru umezindua shule ya precious Leaders Sekondary school shule ya Mwekezaji mzawa iliyopo Kingori katika wilaya ya Arumeru..
    Kiongozi wa Mwenge kitaifa 2023, ABDALLAH SHAIBU KAIM
    ameupongeza uongozi wa shule hiyo kwa uwekezaji huo mkubwa na mzuri wa kujenga shule yenye muonekano mzuri kama Chuo Kikuu na hivi ndivyo ilivyo kuwa
    Mkurugenzi wa shule hiyo ameishukuru serikali kwa kiwatambua wawekezaji wa zawa wanaowekeza katika Elimu na kusema kuwa hiyo inawapa chachu ya wao kufanya vizuri zaidi...
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

ความคิดเห็น • 7

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  ปีที่แล้ว

    SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ

  • @danielkwilemba4715
    @danielkwilemba4715 ปีที่แล้ว

    Awesome

  • @winifridakasibu2900
    @winifridakasibu2900 ปีที่แล้ว

    Mwanangu jamani alifariki yaani ni Kama ndoto mungu mpumzishe mwanangu

  • @winifridakasibu2900
    @winifridakasibu2900 ปีที่แล้ว

    Mungu ni mwema jamani hiyo ni shule ya mwanangu ,mungu amemuheshimisha asante mungu

    • @thomasardoph
      @thomasardoph 4 หลายเดือนก่อน

      Hongera sana kwake jamani

  • @neema_mollel
    @neema_mollel ปีที่แล้ว

    🎉🎉🎉🎉safiiiiii

  • @nuruurio8319
    @nuruurio8319 ปีที่แล้ว

    Then mmiliki amekufa yaani kifob😢😢