Mungu akuinue sana mtu wa Mungu,shujaa jitu la mbinguni Jastin Asifiwe,wimbo huu ukaguse watu Mataifa yote wamjue Kuwa Yesu ndiye wakuaminiwa na kumpa sifa siku zote🙏🙏🙏🙌🙌🙇🙇🙇🙇
Kaka asifisiwe!kwa jinsi ulivyo mnyenyekevu katika huduma, huu ndo mwanzo wa kuonekana matunda ya kipawa ulichopewa na Bwana,endelea kujishusha na kuwa wa kawaida Mungu atakufikisha mbali sana,Amen!
Mungu zidi kumuinua masihiiii wako Jastin Asifiwe hakika sauti na karama ya utumishi wa uimbaji umo zidi kuwa na mafuta hayo hayo huu wimbo uwende mataifa kwa mataifa yapokee Baraka na Neema yake Kristo Mwokozi. Hongera sana Jastin Asifiwe.
PERSON OF GOD MUNGU AKULINDE NA AKUPE MAISHA MAREFU KWAAJILI PIA YA KUGUSA MIOYO YA WATU WOTE NA KUPITIA WEWE VIJANA WAAMASIKE KUMTUMIKIA MUNGU LOVE YOU AND POWER OF GUD INSIDE YOU
Mungu akuinue sana mwanangu Jastin, kaza kumcha Mungu na kuepukana na uovu, utauona uzuri wa Bwana. Nimeguswa sana sana sana sana na huduma yako. Umebarikiwa na Yehova ewe Mzao mteule 🙏🙏.
Hallelujah hallelujah hallelujah 🙌🙌🙌🙌 My brother I nkow you nkow that your ministry is really blessed me and the world aisee Mungu akutunze rafiki yangu Man of God 🙌🙌🙌🙌 #tabibu# #tabibu# #justineAsifiwe# #Jesus hope#
Mungu akuinue sana mtu wa Mungu,shujaa jitu la mbinguni Jastin Asifiwe,wimbo huu ukaguse watu Mataifa yote wamjue Kuwa Yesu ndiye wakuaminiwa na kumpa sifa siku zote🙏🙏🙏🙌🙌🙇🙇🙇🙇
👍
Kaka asifisiwe!kwa jinsi ulivyo mnyenyekevu katika huduma, huu ndo mwanzo wa kuonekana matunda ya kipawa ulichopewa na Bwana,endelea kujishusha na kuwa wa kawaida Mungu atakufikisha mbali sana,Amen!
Mungu zidi kumuinua masihiiii wako Jastin Asifiwe hakika sauti na karama ya utumishi wa uimbaji umo zidi kuwa na mafuta hayo hayo huu wimbo uwende mataifa kwa mataifa yapokee Baraka na Neema yake Kristo Mwokozi.
Hongera sana Jastin Asifiwe.
Thank you for allowing God to use you in our times...
This has truly lifted me❤❤❤
The anointing is great. Someone can soak in worship until they forget they are alive in the body.
Yesu ww n Tabibu wa Karibu na WA Kweli 🙌🙌🙇🙇
😢🤲🙇🏼♂️hakika
Malaika wa Bwana na wanisaidie kuimba
Daah aisee nyimbo mzuri sauti ndo usiseme daa inaupako ndani yke
MY ALL TIME FAVORITE, TWAIMBA SIFA ZA BWANA SI ZETU, PWEKE LIMETUKUKA JINA LA YESU
Amina
Inabidii tukubadili jina tusikuite jagwe tena aisee
Hongera mtoto wa Baba , utukufu
Ndugu yangu kazi yako ni njema sana uishi tuuu kaka wewe silaha iliyojazwa ujuzi wa kushinda vita
Kazi njema sana mwana wa Mungu,tuletee na nyingine
Amen amen
PERSON OF GOD MUNGU AKULINDE NA AKUPE MAISHA MAREFU KWAAJILI PIA YA KUGUSA MIOYO YA WATU WOTE NA KUPITIA WEWE VIJANA WAAMASIKE KUMTUMIKIA MUNGU LOVE YOU AND POWER OF GUD INSIDE YOU
Mungu azidi kukuinua jastine hakika mungu mwema mwema
Huu wimbo ni chakula Cha Moyo wangu.
Songa mbele Mtu wa Mungu
Powerful Song Man of the Most High Living God 🙌🙌🙏🙏🙌🙌🙌
Pweke limetukuka Jina la YESU....🙌🙌🙌🙌🙌
Tabibu wa karibu ,Tabibu wa ajabu ni Yesu 👋👋👋 Barikiwa mtu wa Mungu
Hakika ni Tabibu wa karibu naaam wa ajabu.
Amen 🙏
Mungu akuinue sina cha kukupa this song 😢😢😢😢
Mungu akubariki endelea kumtukuza Yesu
From Tenzi to mediation song
Hongera sana Mtumishi wa Mungu
Endelea mbele zaidi watu wanahudumiwa....
Asante mungu wetu kwa neema. Yako🙏
Glory to God, mungu wa mbinguni azidi kukupandisha katika Katika viwango vya juu
Hii nyimbo imeniinua kiimani🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Hongera sana mtu wa Mungu kristo yuu pamoja nawe
Tabibu YESU😭.
Ubarikiwe sana minister Jastin, Mungu akuinue zaidi na zaidi
Mungu akubariki sana Kwa zawadi ya kiroho
Amen umekuwa mwalimu kwangu servant of God
Mungu azidi kukuinua sana
Blessings to you man of God 🙏 Karibu Kenya
Mungu azidi kukutunza sana Justin ili uweze kutima kusudi la Mungu Duniani.
Mungu akuinue sana mwanangu Jastin, kaza kumcha Mungu na kuepukana na uovu, utauona uzuri wa Bwana. Nimeguswa sana sana sana sana na huduma yako. Umebarikiwa na Yehova ewe Mzao mteule 🙏🙏.
Hongera sana Mungu amekutunuku zawadinzuri inayopendwa nawengi haswa mimi, uzidishiwe zaidi mtoto wa Yesu kristo
Mungu akuinue kwa viwango vya juu🎉🎉🎉
Song of elevation🙌🏽bless up bigbro✊🏽
Much love from 🇰🇪🔥❤
Hallelujah hallelujah hallelujah 🙌🙌🙌🙌 My brother I nkow you nkow that your ministry is really blessed me and the world aisee Mungu akutunze rafiki yangu Man of God 🙌🙌🙌🙌 #tabibu# #tabibu# #justineAsifiwe# #Jesus hope#
Hallelujah hallelujah hallelujah thank you Jesus 🙌🏻🙌🏻 zidi kuinuliwa sana JASTIN ❣️🙌🏾
Barikiwa Sana Mkuuu
NI TABIBU WA KARIBU... NIMEBARIKIWA NA WIMBI
Tabibu wa Karibu ❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾Yesu Akutunze sana MoG
You've brought it out wonderfully,!!!,,Be Blessed my brother.
Hongera Sana Kaka 🙌🙌🙌🙌
Kazi njema Mungu akupe Neema nyingi kazika kazi yako🙌
God bless you Justin.... this is powerful.. all. glory to Jesus
Hongera sana mtu wa Mungu
Unajua brother 🙌🏽
Hongera sana mwana wa Mungu
🔥🔥💪songa mbele nduguang kazi yako ni njema
Kaka angu hongera sana 🙏🙏🙏
Yes, Yes 🤗
GOD BLESS YOU MY BROTHER. THE ALMIGHTY GOD WILL LIFT YOU UP THAN YOU'RE TODAY.
Hii nyimbo 🔥🔥🔥 hongera sana Mwalimu Jastine
Ndiyoo Bwana Ndiyooo Bwanaaa. Mungu akubariki Sanaa mtumishiiii. Nyimboo nzurii sanaaa ya Viwangoo
Hallelujah 🙌
Powerful anointing voice
🙌🙌🙌
Oooh YESU 🙇🙌🏾🙌🏾
Imbeni Malaika sifa za Yesu Bwana, kazi ni njema sana Mwalimu Justine 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌
Namwona Mungu kupitia wewe barikiwa sana
Ubarikiwe Sana wimbo mzuri mungu azidi kukuinua
Sauti yako tu mimi nimebarikiwa hakika Mungu atukuzwe kwa kipawa alichokupa
🙏🙏🙌
Hallelujah 🙏 ❤ saut inapenya mpak moyon balikiwe
🙌🙌🙌🙌🙌
Ameen
Hongera sana kaka ila tunaomba next time if possible sauti yako iwe center
Pongezi nyingi sanaa
That part imbeni Malaika🙌🙌🙌🙌
@justine asifiwe
@justineasifiwe
Always powerful brother 💪🔥🔥🥰
❤️❤️❤️❤️
Powerful song 🙇 hongera sana 👏👏 mwl wangu mwema MUNGU aendlee kukutumia na akuinue zaidi🙏
Anaejua anajua tu bwana bro ur the best among the besters
Amenn 🙌🙌🙌🙌
Songa mbele mwana wa Mungu
🔥🔥🔥🔥 powerful song😭😭🙌🙌🙌🙌
He is a great physician❤
Jitu la mbinguni
🎤👏🙏
So powerful annoited by holyspirit
Glory to God. Congratulations man of God. I appreciate your ministry , you bless me so much.
More grace, more revelation , more anointing 🙌🙌🙌🙌🙌
Wimbo unabariki saana hongera👏👏
Ubarikiwe Sana Mtumishi wa Mungu
🔥🔥🔥🔥
Brother 😢😢😢😢unani bariki sana mtu wa Mungu 😊
❤❤🎉
😭😭😭😭🙌🙌🙌
Najivunia kukujua ..Good Deeds live
Nice Bro
Ni nzuri sana hii
Hallelujah praise the Lord 🙌
Glory to God
Jasus la mbinguni
Groly to GOD🙏🙏🙏
This is so uplifting glory to God
you have anointing voice, keep it on our GOD HEAVEN will lift you higner and higher in another levels... because he is the GOD of covenant🔥🔥🙏