KARAFUU VS MDALASINI (TIBA ASILI) | UMUHIMU WA KARAFUU NA MDALASINI

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 37

  • @rashidramadhani9264
    @rashidramadhani9264 2 วันที่ผ่านมา

    Asslam aleikum kaka.
    Karafuu na mdalasini ukichanganya na asali inakuajee.

  • @wennybarny168
    @wennybarny168 2 หลายเดือนก่อน

    Asante sana kwa elimu nzuri

  • @rehemadorkasirehema1195
    @rehemadorkasirehema1195 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akubari sana kabisa ❤

  • @user-gs3hx3kd3r
    @user-gs3hx3kd3r 5 หลายเดือนก่อน +1

    Shukura xana ❤

  • @eunicejoseph2400
    @eunicejoseph2400 ปีที่แล้ว

    Unatumiaje Karafuu na mdalasini

  • @ElizabethKimoko
    @ElizabethKimoko 17 วันที่ผ่านมา

    Tunatumiaje mdalasini kutibu presha na kuondoa sumu.

  • @PauloMichael-od3xp
    @PauloMichael-od3xp 5 หลายเดือนก่อน

    Samahani karafuu mdalasini nchanganywe kiasi gani kwenye asali

  • @rajabuvumbi7926
    @rajabuvumbi7926 8 หลายเดือนก่อน

    Dr. baadhi ya watu wanasema karafuu, asali na mdalasini huongeza nguvu za kiume?

  • @user-ej7wd7gj1k
    @user-ej7wd7gj1k หลายเดือนก่อน

    Karafu na mdalasini tunatumiaj kwakutibu ugonjw wa ini

  • @somethingnormalkeeder
    @somethingnormalkeeder 3 หลายเดือนก่อน

    Jinsi ya kutumia

  • @GraceMligo
    @GraceMligo 3 หลายเดือนก่อน

    Kwa mwenye bp ya kushuka haruhusiwi kutumia

  • @thomasmlango3582
    @thomasmlango3582 8 หลายเดือนก่อน

    Naweza kuchanganya karafuu na viungo vingine kama tangawizi na mdalasini?

  • @bitesingo52
    @bitesingo52 ปีที่แล้ว

    Habari mimi nasumbuliwa na asidi nyingi tumboni je nitumie dawa gani ili kuiondoa?

  • @tatujafari9033
    @tatujafari9033 ปีที่แล้ว +1

    Samahani unaweza kuvichanganya ukachemsha pamoja au lazima uchemshe kila kimoja pekeyake?

    • @hascavela
      @hascavela  ปีที่แล้ว

      Ndyo unaweza kuchanganya

  • @esthermwanyika9791
    @esthermwanyika9791 2 หลายเดือนก่อน

    Mtumizi yake ni kipimo Gani?

  • @salehsalash1859
    @salehsalash1859 ปีที่แล้ว +1

    Aww nauliza tiba ya pumu nipi uku kwetu burundi tuna ita asma sasubuliwa sana

    • @hasnanassoro7142
      @hasnanassoro7142 หลายเดือนก่อน

      Saleh njoo nimuoneshe anaetib hasima sekunde,

  • @catherinemondo8717
    @catherinemondo8717 10 หลายเดือนก่อน

    Nin kazi ya iriki?

  • @aminatozzo1794
    @aminatozzo1794 11 หลายเดือนก่อน

    Mimi sehem kiuno zinauma na ninatumia karfuu Amdalasini sana tu

  • @anorldmambya
    @anorldmambya 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ety ukichanganya mdalasini nakarafuu kwenye asari hufungua mirija ya uzazi

    • @user-vm8eg8kr4c
      @user-vm8eg8kr4c 2 หลายเดือนก่อน

      Ndio mirija inafunguka vizuri tu

  • @ashaali5442
    @ashaali5442 ปีที่แล้ว

    Nini Dawa ya vidonda ya ulimi Na ulimi kuwasha

  • @davidbakengwa-cq2qk
    @davidbakengwa-cq2qk ปีที่แล้ว +1

    Kwangambo ya watu wenye kuwa na tatizo za tendo ya ndoa, waitumiye namna gani ?

    • @hascavela
      @hascavela  ปีที่แล้ว +1

      Matumizi ni yaleyale unaweza kuitafuna au kusaga na kuchanganya kwenye kinywaji au chakula

    • @salhkiyagi
      @salhkiyagi 13 วันที่ผ่านมา

      Na kwa wanawake ambao hawan hamu ya tendo watumiaje

  • @TsongoKasereka
    @TsongoKasereka หลายเดือนก่อน

    Mudalasini haïna jina ingine?

    • @hascavela
      @hascavela  หลายเดือนก่อน

      Kwa lugha ya kiswahili ni Mdalasini

  • @aminatozzo1794
    @aminatozzo1794 14 วันที่ผ่านมา

    Je ukitumia kama Chai ukatia sukari je napata Friday zake?

  • @janeelias7839
    @janeelias7839 ปีที่แล้ว +1

    Samahani nauliza karafuu ukichanganya na mdalasini na asali mbichi inatibu uvimbe kwenye kizazi?

    • @hascavela
      @hascavela  ปีที่แล้ว

      Tumia chai ya kijani

  • @alineharushimana5394
    @alineharushimana5394 ปีที่แล้ว +1

    Jambo karafu na mdarasini unaweza bicanga unabicemusha

    • @hascavela
      @hascavela  ปีที่แล้ว

      Unachemsha..

    • @deborahmchona7132
      @deborahmchona7132 ปีที่แล้ว +1

      Kama unanyonyesha havina madhara ukinya karafu na mdarasin,?

    • @hascavela
      @hascavela  ปีที่แล้ว

      Haina madhara tumia kiasi