Wezi sugu wa magari wakamatwa Kiambu
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 29 พ.ค. 2024
- Maafisa wa polisi kutoka kabete walifanikiwa kuwanasa washukiwa wawili sugu wa wizi wa magari Katika maeneo Bunge matatu ambayo ni limuru ,kikuyu na kabete ambao ni mwenye gereji na mfanyakazi mmoja wanaosemekana kuwahangaisha wakaazi wa maeneo hayo matatu
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya
Bring back flying squad its that simple
Shareholders hoyee😂🤣
Pigeni risasi wapungue wezi number- mwambo kupembelezana binadamu haisaidii
Poor sound quality
Wah.....
Ni nini nyinyi pia !! si waliambiwa wakue hustlers
Gitaru..
Ghaiii
Some of these garages operate covert activities behind the curtains since not every stolen car is taken across borders. I also believe some security officers collude with these criminals.