BIBI HARUSI ATOA TUZO KWA HOUSE GIRL WAKE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 512

  • @aishambura8055
    @aishambura8055 4 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana mwenyez mungu akutangulie

  • @umydaddy4697
    @umydaddy4697 7 ปีที่แล้ว +31

    Beautiful. Tunawasahau sana maskini. Mama amefanya vizuri kumuonyesha anamthamini. Hongereni sana

    • @geitandelwa299
      @geitandelwa299 4 ปีที่แล้ว

      Vizuri sana

    • @shazmanabil6029
      @shazmanabil6029 4 ปีที่แล้ว

      Asant sana dada una roho ya peke yak maboss wachach sana wanao jari wadada wa kaz ongera mung akusimamie

  • @mamahustru
    @mamahustru 5 ปีที่แล้ว

    Dada Fau kaenda pokea zawadi kwa mapozi. Hongera zake bibi harusi. Kupata dada wa kazi mzuri na mwaminifu imekuwa changamoto sana siku hizi, Hata ukiwa mwema vipi kwao.

  • @ErickAMinja
    @ErickAMinja 7 ปีที่แล้ว +12

    Woooow beautiful ni vizuri kuappreciate hata wanaotusaidia nyumbani. Amefanya jambo zuri na la mfano wa kuigwa abarikiwe sana kwa kuona mchango wa dada wa nyumbani ambao wengi hawauoni

  • @milkahgakungi2742
    @milkahgakungi2742 5 ปีที่แล้ว +7

    Wow this is a so touching, it's true we barely forget to appreciate this pple called house manager,I love it na iwe good example kwa wengine.

  • @sangararawarioba3016
    @sangararawarioba3016 7 ปีที่แล้ว +2

    hongera sana Dada kiukweli wewe ni mfano wa kuigwa kwa kuthamini kazi anazofanya house girl wako.Very nice

  • @khadijamalifedha6008
    @khadijamalifedha6008 7 ปีที่แล้ว +11

    mpaka nimetowa chozi kwa furaha hii sijawahi ona hongera sana dada mungu akuongezee palipo punguwa ww una roho nzuri mashaallah

  • @mariamyoyote8172
    @mariamyoyote8172 4 ปีที่แล้ว

    Masha Allah da fau Allah akubariki ww na ndoa yako na mumeo muishi Kwa furaha na mpate watoto Amin

  • @nassirmasoud6097
    @nassirmasoud6097 5 ปีที่แล้ว

    Imenifurahisha sana.hongera biaruc kwa kumjali mfanya kazi wko.Mungu akubariki.ningekuapo hpo ningetoa zawadi kwa watu watatu:
    1)Biaruc.
    2)Mfanyikazi.
    3)wazazi wa mfanyi kazi kwa malezi mema yaom

    • @hawa4968
      @hawa4968 5 ปีที่แล้ว

      Kweli au unasema tuu.

  • @monyqtee5827
    @monyqtee5827 7 ปีที่แล้ว +2

    God bless ur marriage...u r 1 in a million...mtunze akutunzae...big up sana i Salute u bbharusi

  • @shantelshanty5193
    @shantelshanty5193 7 ปีที่แล้ว +3

    Soo nice baby girl may God bless you you're one in a million 👍👍👍

  • @fajvavsbvvbs1910
    @fajvavsbvvbs1910 7 ปีที่แล้ว +37

    Aki sijawahi ona Dada kama huyu mungu akubariki akuzidishie

  • @aminaabuu755
    @aminaabuu755 7 ปีที่แล้ว +68

    mashalh dada ana roho nzruu kama mwenywe jamani mung mung akubark uendelee kuwa na moyoo huohuo na mung ai bariki ndoa yenu amina

  • @joycemashikolo9096
    @joycemashikolo9096 7 ปีที่แล้ว +80

    Nimefurahi sana.Barikiwa Dada kwa kuthamini umuhimu wa Dada wa nyumbani.nami naomba Mungu anipe Dada mzuri sijui kwanini sina bahati na wasichana wazuri najihidi kila mnamna ya kuwapenda lakini sijabahatika sijui hawa nawakosea wapi?jamani.

  • @ashminaabdullah5626
    @ashminaabdullah5626 7 ปีที่แล้ว +32

    Dada fau huyo hongera kukaa na watu vizur Allah bless familia hii

  • @elizabethnthenge7533
    @elizabethnthenge7533 5 ปีที่แล้ว +3

    One in a million kudos dad's this is how blessings look like u r already blessed

  • @tunuswalo3584
    @tunuswalo3584 5 ปีที่แล้ว

    Nimeipenda hiyo safi sana dada ongera sana kwa upendo huo Mungu akubariki sana katika ndoa yenu kila la heri amen

  • @rechomakungu5342
    @rechomakungu5342 7 ปีที่แล้ว +7

    Bibi harusi upo vizuri kwa kumthamini mdada wa kazi! Wengine hawana moyo huo! Hata siku moja sijawahi kuona Ndiyo nimeazia kwako! Unafanya kazi vizuri lakini hakuna chochote two kwa mfanya kazi wa ndan

  • @rhodakagendo2394
    @rhodakagendo2394 5 ปีที่แล้ว +1

    Really imazing zijawao ona wengi wakipongeza wafanya kazi mostly wa nyumbani

  • @bonifacebeatrice8077
    @bonifacebeatrice8077 5 ปีที่แล้ว +2

    Amina, Barikiwa ,wengne hawaioni michango ya vijakazi wao kwa kweli wajifunze kwako%

  • @victorcephas3618
    @victorcephas3618 5 ปีที่แล้ว +16

    Big up, wadada wa Nyumbani in muhimu sana, tuwathamini.

  • @rahmaalfarsi403
    @rahmaalfarsi403 7 ปีที่แล้ว +3

    Nimefurahi sana kumthamini dada wa nyumbani hongera sana❤❤❤❤❤❤

  • @championshabani9718
    @championshabani9718 7 ปีที่แล้ว

    masha Allah nice naipenda tujifunze kupitiya hiyo

  • @zennakailo8106
    @zennakailo8106 7 ปีที่แล้ว +3

    Mashallaah 🙏 very nice my sister (God bless you with all family

  • @lizzyelizabeth6041
    @lizzyelizabeth6041 6 ปีที่แล้ว

    asanteni sana nimemkubali Mungu awatangulie pia awaongezeeni upendo na Amani katika Familia yenu

  • @agneskadzo6105
    @agneskadzo6105 5 ปีที่แล้ว

    God bless you Bibi harusi Kwa kumpongeza mfanyi kazi wako nyumbani.. Ni wachache sana kama nyinyi.. wengi wao niwale ambao hawana shukurani mbele za Mungu

  • @kamrembomuthaka4645
    @kamrembomuthaka4645 5 ปีที่แล้ว

    Waoo huyo mama ako na utu kuheshimu mfanyakasi wake juu wengi hawatabuliwi ata ukiwa msuri kiasi kama hi cho Mungu wasaidie ili watabulikane kwako wasipotabuliwa na bina damu, hongera bi harusi

  • @shamimnoor4824
    @shamimnoor4824 4 ปีที่แล้ว +1

    thank you for recognising your house maid. Ma Sha Allah

  • @جميلهخميس-ط5ث
    @جميلهخميس-ط5ث 7 ปีที่แล้ว +1

    Wao Jaman Mungu Ibariki hii familia sijawahi ona watu wanajitahidi kufanya kila kazi lkn shukrani hakuna kwa maboss wao, duh hii kali ya mwaka Jaman huu ni mfano wa kuigwa

  • @irenewanza2070
    @irenewanza2070 5 ปีที่แล้ว +1

    Wah Waat surprising thing to award house help infront of the ppl. May God keep that heart u have for not many who can do that ....am in form four and I have seenn how our house help is treated

  • @fionamueni8943
    @fionamueni8943 4 ปีที่แล้ว

    Shukrani sana mum si wengi qanatutambua God bless u

  • @huseinmohammed8075
    @huseinmohammed8075 5 ปีที่แล้ว +1

    She has a soft heart..
    May God bless her

  • @beatierehema6695
    @beatierehema6695 5 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki sana dadangu wengine huchukulia dada wa kazi kama si mtu

  • @judithokwako7663
    @judithokwako7663 4 ปีที่แล้ว

    Wooow! Nimeona hii video Hadi machozi ya furaha yakanidondoka jamani. Sijai ona hivi bibi harusi mungu akubariki sana

  • @monymonixs9613
    @monymonixs9613 7 ปีที่แล้ว +1

    Wow... God bless our family..mum...such a heart

  • @dazuuhmd819
    @dazuuhmd819 5 ปีที่แล้ว

    Nimefurahi sana kwa kuona mdada amethaminika sana hongera binti

  • @jacklinevosevwa9859
    @jacklinevosevwa9859 5 ปีที่แล้ว

    Wow sijawai ona hii mungu akuzidishie madam

  • @levocatuskaiza9197
    @levocatuskaiza9197 4 ปีที่แล้ว

    Kazi nzur mr luvandaaa💪💪

  • @dianasimiyu8853
    @dianasimiyu8853 5 ปีที่แล้ว +1

    Wow huyo bi harusi she's one in a million barikiwa sana dada

  • @judykeyah4651
    @judykeyah4651 4 ปีที่แล้ว

    Kama was mama wote wangekuwa Kama wewe house girl wangetumika kwa nyumba Kama watu wa maana MUNGU akupatie maisha marefu sister

  • @estheralbrechtsen8999
    @estheralbrechtsen8999 5 ปีที่แล้ว

    Jameni sijawahi ona dada kama huyo Afrika. Huku ulaya ndio naona wa dada wa nyumba wakipewa mazawadi. Pahari ulipo barikiwa 😘👌👌👌

  • @tetlicioustwins6284
    @tetlicioustwins6284 7 ปีที่แล้ว +2

    kw kweli hata mm cjawahi kuona tangu kuzaliwa hongera sana Bi harusi kw kutambua thamani ya dada wa nyumbani ww nimfano wa kuigwa kw kweli vile mtu umuwekavyo ndivyo atakavyo kaa tuwajali na kuwathamini wasaidizi wetu nao watafanya hvyo kwetu jamani,,, heshma yk dada fau kw kulea family vizuri

  • @نايفالشمري-ط3د
    @نايفالشمري-ط3د 7 ปีที่แล้ว +2

    U a the one have eve seeing in this world of to day, but nimesoma kitu kutoka kwako may God bless u lovely one mwaaaaah

  • @joneskhayanje2481
    @joneskhayanje2481 5 ปีที่แล้ว +1

    That wedding is so perfect

  • @samueljr9105
    @samueljr9105 5 ปีที่แล้ว +5

    Huyu ni mmoja kwa million God bless you

  • @basilisamsaka1221
    @basilisamsaka1221 5 ปีที่แล้ว +1

    Nimesoma baathi ya comnt,kwa wale wanaofanya kazi kwa waarabu poleni sana mm nawajua ni wabaguzi na roho mbaya siwapendi waarabu wote toka zama

  • @iffahbahet1499
    @iffahbahet1499 5 ปีที่แล้ว +1

    Watu wanafikilia nje ya box aisee😂😂😂 nimebaki najiuliza maswali mengi

  • @maggiechepkorir7565
    @maggiechepkorir7565 4 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe! Dada, so wote ufanya hiyo!

  • @hasiyakeniyausiachiebabu7634
    @hasiyakeniyausiachiebabu7634 5 ปีที่แล้ว

    biarusi umetisha nimekupenda bure mungu akuogezee palipo pungua ishallah

  • @carolinechimasia6297
    @carolinechimasia6297 7 ปีที่แล้ว +1

    Waau,ubarikiwe tu sana kwa kumjali na kumpenda mfanyikazi wako.

  • @mmboneswin8365
    @mmboneswin8365 5 ปีที่แล้ว

    Wonderful...God bless u sister

  • @stellanyambane6769
    @stellanyambane6769 7 ปีที่แล้ว +1

    God bless u and ua family woman

  • @margarethsaramaki1100
    @margarethsaramaki1100 5 ปีที่แล้ว +3

    Hongera dada na uwe mfano kwa wengine kwani dada wa kazi ni mmoja wa familia.Mungu awabariki sana

  • @sayunidonard6014
    @sayunidonard6014 7 ปีที่แล้ว +1

    barikiwa Sana my mungu akubariki xana kwa kuthamini utu wa mtu

  • @lucianduta5760
    @lucianduta5760 5 ปีที่แล้ว +1

    Asante for wat u did God bless

  • @evelyinipaja1202
    @evelyinipaja1202 5 ปีที่แล้ว

    Hata Mimi nimeshangaa . Na huyu Bibi harusi mtarajiwa ni Muungwana sana. Mungu Ambariki.

  • @shantaaswad9523
    @shantaaswad9523 5 ปีที่แล้ว

    My very first time, may God bless you ma'am what a lesson to all house girls bosses

  • @stewardheaven8382
    @stewardheaven8382 7 ปีที่แล้ว +10

    Kumpa zawadi sawa,lkn sio kumtambulisha kama house girl kwenye kadamnasi ya sherehe! Hapo umechemka,kila binaadam angependa kuwa na privacy zake ikiwepo kazi yake,mshahara wake,udhaifu wake na mengine mengi.Hapo ulimthalilisha

    • @hasnakimaro8494
      @hasnakimaro8494 6 ปีที่แล้ว +2

      Bristol her Eliza zona Mm sijaona kosa mbona ? La msingi ni kutodharau kazi hakuna uzalilishaji hapo tena kamthamini mno.kwani wangapi waliofanikisha maisha yake mpaka alipo Ila kamkumbuka dada

    • @mbenajescar6997
      @mbenajescar6997 6 ปีที่แล้ว +1

      Offcz asingesema kama ni dada wa kazi tusingejifunza kuwathamin pia housemaid ni kama vyeo vingine tu

    • @wacmber2131
      @wacmber2131 6 ปีที่แล้ว

      Steward Heaven mi naona ni sawa amtaje coz ni wachache sana wenye kuonyesha appreciation kwa wafanyikazi wao

    • @arafaali4116
      @arafaali4116 5 ปีที่แล้ว +2

      sasa watu watajua vipi kama dada wa nyumbani mimi upande Wangu naona yupoo sawa kabisa bi.harusi mimi mwenyewe nafanya kazi za nyumba. kazi za nyumba ni sawa na kazi zingine. kila m2 anaheshimu kazi yake. bi. harusi ongera sana kujua umuhimu wa dada ya nyumba. Allah akujalie mapenzi ya dhati kwa mumeo hadi kifo kiwatenganishe in shaa Allah

    • @suzyantlime3369
      @suzyantlime3369 5 ปีที่แล้ว +1

      Hakukosa maanake wangemjuaje kwani angesema ni dadake ila si dada

  • @rosemuronji8651
    @rosemuronji8651 7 ปีที่แล้ว +1

    dada mungu akubariki kwa moyo wa kujali na kusaidia wengine waonee kwako,mungu abariki ndoa Yako Amina.

  • @deewallance9354
    @deewallance9354 7 ปีที่แล้ว +12

    Sjwh ona MUNGU akuzidishie dada. God bless you,

  • @ndamayapemakanda1338
    @ndamayapemakanda1338 6 ปีที่แล้ว

    Hilo ni bonge ya somo daaaah kwa kwel nimejifunza kitu hapo God bless us

  • @petergichua1715
    @petergichua1715 5 ปีที่แล้ว

    One in a million barikiwa bi harusi

  • @emmahazengaemmahazenga6531
    @emmahazengaemmahazenga6531 7 ปีที่แล้ว +1

    Waow so nice

  • @pendoernest9444
    @pendoernest9444 5 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana hongera sana bi harusi huu ndo mfano mzuri wa kuigwa

  • @selvinmakaka4244
    @selvinmakaka4244 5 ปีที่แล้ว

    One in amillion..barikiwa mama

  • @sashababy1321
    @sashababy1321 5 ปีที่แล้ว +2

    Uyu biarusi MASHAALLAH.
    Upendo ndio kitu muhimu ktk maisha

  • @cynthiamoses5539
    @cynthiamoses5539 5 ปีที่แล้ว

    Woooow

  • @khadijamashaallahnzrmbassa9641
    @khadijamashaallahnzrmbassa9641 7 ปีที่แล้ว

    Hongera sana madam

  • @hidayamussa4273
    @hidayamussa4273 7 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana na hongera sana huo ndio uungwana

  • @pendokesi3977
    @pendokesi3977 5 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki Dada kwakumthamini msaidizi wako wanyumba.

  • @rukiamohammed5031
    @rukiamohammed5031 5 ปีที่แล้ว +7

    Mashaallah huyu madamu mzr mungu atambarik na ndoa yake itadumu milele nimefurah hd raha najiona km ndio mm vile dada wa kz

  • @judywaithira5403
    @judywaithira5403 4 ปีที่แล้ว

    Barikiwa Sana dada nauendelee na moyo uyo

  • @margaretwanjiru7291
    @margaretwanjiru7291 5 ปีที่แล้ว +1

    Wow May God bless

  • @halifajuma8123
    @halifajuma8123 4 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki

  • @mercymyrah8677
    @mercymyrah8677 7 ปีที่แล้ว +1

    safi sana.bless u

  • @fabyscarl
    @fabyscarl 5 ปีที่แล้ว

    Wow mashaalla all employers shuld learn frm this example

  • @shekhaalndebyshekhaalndeby8739
    @shekhaalndebyshekhaalndeby8739 5 ปีที่แล้ว +1

    2019jameni hiii mwaka iwe yetu kushuku na maboss wetu niko oman urabuni hongera wakwanza na tunamini tutakua wengi juu ya jesus

  • @fediliaulomi4969
    @fediliaulomi4969 5 ปีที่แล้ว

    mungu akubariki dada kwa kumjali msichana wako

  • @sarahgaula2220
    @sarahgaula2220 7 ปีที่แล้ว

    Very nice dear

  • @kakasele1786
    @kakasele1786 7 ปีที่แล้ว +1

    heshma na busara ndizo zmefanya hayo yote..... thanks bibi harus

  • @mwajumahamisi6738
    @mwajumahamisi6738 7 ปีที่แล้ว +2

    Wow! What a heart...

  • @naimanurdin2846
    @naimanurdin2846 5 ปีที่แล้ว +37

    Plz naombeni namba ya Bi harusi nimpe zawadi yake toka kuzaoiwa sijawai ona iki alichofanya Bi harusi

    • @upendopeter6007
      @upendopeter6007 5 ปีที่แล้ว

      Mijisifa ulishindwa kumpa huko nyumban mpaka uje umzalilishe mbele ya watu sio poa kbsa

    • @melissateddybearcossan9506
      @melissateddybearcossan9506 5 ปีที่แล้ว +1

      Tumefanya saana tu si lazima tutangaze,binti yangu wa Kazi anakaa kwenye nyumba Yangu Bure na mume wake na nilimsomesha chuo mume wake na nilimpeleka ufundi wa kushona ,na nimemuacha mpaka atakapojenga au akajimudu maisha ndipo atahama ,Abarikiwe tuu kwa hilo

    • @melissateddybearcossan9506
      @melissateddybearcossan9506 5 ปีที่แล้ว

      @@upendopeter6007 kamdhalilisha nini ?wivu tu

    • @naimanurdin2846
      @naimanurdin2846 5 ปีที่แล้ว

      @@melissateddybearcossan9506 Mungu azid kukujaalia moyo wa imani na upendo mamy naamin malipo yapo kwa mola wetu,,,,Ila huyo hakutangaza aliamua tu kumpa zawadi siku ya ndoa yake na kumpa sifa zake za kazi

    • @joyceedward3324
      @joyceedward3324 4 ปีที่แล้ว

      Aise hata mm sjawahi ona

  • @topistachopra1797
    @topistachopra1797 5 ปีที่แล้ว +3

    I think I was born to watch everything and not to see them in real life

  • @zaynabali6109
    @zaynabali6109 4 ปีที่แล้ว

    Ongera bi arusi wewe ni binadamu wajuwa mungu👍👍👍

  • @ashajuma970
    @ashajuma970 6 ปีที่แล้ว

    Mashallah nime furahi mbaka chozi hongera sana una moyo nzuri.

  • @rhinakiza
    @rhinakiza 5 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sana kwa kutowa zawaidi hio machozi ya metoka😢 ya furaha

  • @mamarama6360
    @mamarama6360 7 ปีที่แล้ว +21

    Duuh hongera sana iwe fundisho kwa wanao wachukia wafanya kaz wao

  • @shideashidea5570
    @shideashidea5570 5 ปีที่แล้ว

    Ngoja nami nimkumbushe boss wangu anikumbuke siku ya harusi wanipe zawadi Allah akuzidishie pale palipo pungua kwa kumthamini mjakazi wako

  • @furahatarimo6947
    @furahatarimo6947 6 ปีที่แล้ว

    Amina Dada

  • @halimahomari4574
    @halimahomari4574 7 ปีที่แล้ว

    Masha Allah

  • @ednajared8385
    @ednajared8385 5 ปีที่แล้ว

    Be blessed dada hakuna mtu kwa ii dunia anaeza mfanyia kijakasi wake wa nyumbani hivyo.

  • @ericamwangomo6883
    @ericamwangomo6883 5 ปีที่แล้ว

    Dada huyu ndoa yake itadumu na itakua yenye amani na furaha sana mana anatambua na kuthamini mchango wa kila mtu....mungu akuinue b harusi una hekima sana

  • @labumua8656
    @labumua8656 5 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana dada kwa thamini kazi ya huyo dada..

  • @lelaallububa5739
    @lelaallububa5739 6 ปีที่แล้ว +2

    Mwenyezi mung akuzidishie moyo wa iman dd honger san kwa moy wa iman

  • @aishaishaom1235
    @aishaishaom1235 7 ปีที่แล้ว +1

    hakiyake mungu amzidishie iman

  • @isacklaurent8948
    @isacklaurent8948 5 ปีที่แล้ว +1

    dah haijawah ktokea jaman

  • @pasilisiashitakwa2675
    @pasilisiashitakwa2675 5 ปีที่แล้ว

    wauh!!! that's so great,,,,be blessed,,,, hope many have learned something from you

  • @siphshalow3284
    @siphshalow3284 5 ปีที่แล้ว

    Hongera

  • @annemmbone8326
    @annemmbone8326 7 ปีที่แล้ว +14

    GOD bless the family

  • @lindaemmanuel5121
    @lindaemmanuel5121 5 ปีที่แล้ว

    we Dada mungu akubariki uendelee na moyo huo huo jaman nimependa sna