The Richest Man in Babylon Summary in Swahili by Mwl. Augustino Mwogosi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ก.ย. 2024
  • Kila mtu anatamani na kutaka sana kuwa tajiri lakini cha ajabu ni kwamba sio kila mtu anakuwa tajiri licha ya kila mtu kutaka sana.Kila mtu anatamani na kutaka sana kuwa na uhuru wa kifedha lakini walio wengi ni wale wasiojua hata huo uhuru wa kifedha wanaoutaka wataupataje.Madeni yanasumbua sana maisha ya watu kwa kweli, madeni yanawafanya watu wanakuwa watumwa, Je! Unataka kujua njia rahisi zaidi zinazoweza kukutoa kwenye madeni uliyonayo? Mwandishi George Clason katika kitabu chake hiki cha Tajiri Mkubwa Wa Babeli anatufundisha nini hasa mtu anapaswa kufanya ili awe na uhuru wa kifedha, Si hivyo tu anatufundisha ni kwa namna gani tunaweza kulipa madeni hadi kuyamaliza tena bila kuumia. Kama unataka kuwa na uhuru wa kifedha, kama unataka kutoka kwenye madeni sugu uliyonayo basi fanya uamuzi wa kusoma kitabu hiki.

ความคิดเห็น • 29