Jamani wazee wetu walituzaa km hawa nje ya ndoa walihangaika bila baba na kututunza hawakwenda kokote kulalamika na alhamdulillah tumekuwa ... ww mshukuru mungu kwa kujifungua salama na muombe mungu akupe uwezo wa kumlea mwanao na usisahau kuomba msamaha kwa mola wako na amini mungu hatokuacha anatupenda sana
Sio wa nje tu ata wandani Mimi mama yangu aliambiwa na baba tugawane majukumu ,mama mavazi baba chakula tumelelewa ivyo ,mpaka Sasa tunalea ivyo au kwavile ccc atuonakani mitandaoni ,haya tupo uku arabuni tunaosha vyombo kwa waarabu nini tatizo maisha,wenzetu wanataka mastar soda,kuku chipsi ,kusugua kucha,rangi nyingi ,jamani tufanye kazi.
Hongera Mungu akukuzie baby wako, Mungu awabariki mawifi kwa kumstili mwanamke mwenzenu, Ushauli wangu acha kumfatilia Dulla unampa kiki muombe Mungu akukuzie mwanao maisha yaendelee
Huyu dada mzuli sana kuliko yule alie muowa inshallah kama hataki kuhudumia mtoto basi pambana mwenyewe 💪mm asaivi mwanaume hawezi kunibabaisha hata siku moja 👌
Dada ashukuru Mungu mawifi wanampa msaada wengine wanatupwa na hawana hata msaada kwahilo ashukuru aachane na Dullah kakukataa live basi pambana tu Allah atakukuzia mwanao Inshaallah
Wanajidhalilisha tu Kwan kuzaa au kutokupa matuzo kaaza yy watu tulikatalia mimba adi mtt leo ana miak 12 na maisha ya naenda na bb wa mtt anamuone mtt wala ajal wal kufikir uyo siku6 tu washatafuta na waandish wa habar utasem uyo mtt anakul dunia
Ila nilichogundua ckuizi watu wanapenda kuchangiwa sasa kuzaa baba hamuhudumii mtoto tayar unataka mchango na katoto ni kachanga he kakianza shule c ndio mchango wa dunia nzima lea mtoto wko binti ilimradi familia yko ipo na yke inakuhudumia ridhika na kidogo unachopewa wengine tumeachwa na watoto zaidi ya mmoja baba hatoi huduma hatuna kazi lakin tunasomesha tena private school bila mchango ukijiamini unaeza utaweza tu
@@rehemagomano9378 kabisa wavivu kweli wana target ya kuzaa na ma star wapata child support sasa huyo amekutana na kichwa ngumu dulla makabila🤣hakuna child support wala nini eti achangiwe kwani ana umwa?😏
Ndugu yangu km umezanae kwenye ndoa una haki ya kulalamika ila km kinyume chake achananae kbs kbs uyo makabila sio mwanawe wala hamuhusu kwa sheria zetu za uislamu hangaika na shughuli zako fainali uzeeni ndugu Allah Kareem.
Mtoto wa mama acheni wanaume watange tange na Maisha badae washaishiwa nguvu ndo wanaanza kulalamika watoto wametutupa awatusaidii kumbe wenyewe ndo usababisha
Kiukweli hata siwalaumu madada wa Dullah binafsi hata mimi kaka yangu atie mwanamke mimba na akatae atanichukia mtu akikupa mtoto shukuru watu wanatafuta watoto na hawapati
@@khadijahali4837 mmmmh na mitandao hii hajapata taarifa mmmmh yataka moyo kulea mtoto wa nje ama yataka moyo kuishi na mke mwenzio yule mwanamke hana kifuwa siku ile kwa wasafi alisema tu kuwa hashindwi kumlea mtoto na hata mamake mtoto kasema tuu kwamoyo wake kaukunja
@@khadijahali4837 yalomkuta mwenziwe asisheherekee yanaeza yakamkuta yy marambili yake wahenga wasema ukiona mwenzio anyolewa na yy aloweshe kichwa chake maji
Ww Unajuwa ukifanya mapenzii na musaanii ndiyoo umepata kumbee ume patwaaa 😳😳😅😅kaza butiii hata Sisi tumekaza buti yarii tukuta na ndiyoo wanaume wa mitaani si wasanii
Hivi huyu dulla. Kwamfano huyu mke wake mpya ikitokea hakuzaa naye itakua anje ? Je atarudi kwa huyu dada??? Ndio mana mbele yakufanya Jambo nivizuri kujihuliza Sija muhombea mabaya no
Ajui anavyomuanika ndio anamtia hasira waandishi wanataka kuuza habari wapate faida yeye anadhani watamsaidia kitu zaidi ya kumuharibia .Mara mia angekwenda Ustawi wa jamii kimya kimya ili wamuite mzazi mwenzie huko kuliko kujitangaza humu mwenzie atahisi anamchafua anamshushia thamani
Mashallah Allah amjaalie akuwe salama, mzuri Mwenyewe mashallah huyu dada kumbe mimba ilimchokesha maskin 😄 wallahi mimba sometime huwa zinatubadilisha
Wasanii mungu anawaona mdada mzuri zaidi ya mke wake mungu akutangulie ulee mtoto wako
Binti ni mzuri sana Mashaallah
Mashallah jaman kajifungua🙏🙏🙏🙏🙏mungu mkubwa
th-cam.com/video/ObkUUy3PWpw/w-d-xo.html
Bibi upo vinzur
Mashahllha shukuru mungu dada angu umejifungua salama mengine yatafata. Wenzio tumelea bila baba wala mawifi Pamban dada
Masha allah kikubwa umejifungua salama mengin mungu anajuwa rizki yauyo mtoto Itatoka wapi
Mawili 🤣🤣🤣 ogopa
Acha mtoto akue upate mtaji ujitafutiye ingine Mungu ata bless
Dullah acha Roho ya kishetani kumbuka duniani tunapita hujui msaada wako kwa kesho somo la Mondi litoshe tutunze watoto wetu 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Ili mradi umepewa afya na uzima mlee mwanao...na usitake aishi maisha ya ustaa yatakushinda
mzuri mashallah kumzidi mke wa dula
🤣🤣🤣🤣
Kweli kabisa
Allah atakufanyia wepesi mlee mwanao mamy atakuja kukufaa mdogo wangu,
Jamani wazee wetu walituzaa km hawa nje ya ndoa walihangaika bila baba na kututunza hawakwenda kokote kulalamika na alhamdulillah tumekuwa ... ww mshukuru mungu kwa kujifungua salama na muombe mungu akupe uwezo wa kumlea mwanao na usisahau kuomba msamaha kwa mola wako na amini mungu hatokuacha anatupenda sana
Sio wa nje tu ata wandani Mimi mama yangu aliambiwa na baba tugawane majukumu ,mama mavazi baba chakula tumelelewa ivyo ,mpaka Sasa tunalea ivyo au kwavile ccc atuonakani mitandaoni ,haya tupo uku arabuni tunaosha vyombo kwa waarabu nini tatizo maisha,wenzetu wanataka mastar soda,kuku chipsi ,kusugua kucha,rangi nyingi ,jamani tufanye kazi.
Mungu akurehemu uko uliko mamangu umetulia mm n wadogo zangu mpka tukawa n fahamu zetu bila baba n bila kuomba msaada
Tupo wengi aisee uko nikujizalilisha apambane alee mwanae,unahangaika na mume wa m2 yupo na mke wake kulee anakula raha
Acha kuomba omba umezaa salama basi shukuru mungu ukiwa omba omba ndiyo maan dulla anakasirika ridhika na hali yako
Hongera Mungu akukuzie baby wako, Mungu awabariki mawifi kwa kumstili mwanamke mwenzenu, Ushauli wangu acha kumfatilia Dulla unampa kiki muombe Mungu akukuzie mwanao maisha yaendelee
MashaAllah hongera wifi
Huyu dada mzuli sana kuliko yule alie muowa inshallah kama hataki kuhudumia mtoto basi pambana mwenyewe 💪mm asaivi mwanaume hawezi kunibabaisha hata siku moja 👌
Kabisa!
Hayajakukutaaa ww
Kabisa, yaan kujituma
@@mayalejerusalem5165 ndio tujifunze ukitegemea kudanga ndio yatakukuta
@@mayalejerusalem5165 ayajamkuta kwani mwanaume ndo mtoa liziki ukijipanga tu uyo mwanaume anaomba poo
Hongera dada mshukuru mungu umejifungua salama
Dada ashukuru Mungu mawifi wanampa msaada wengine wanatupwa na hawana hata msaada kwahilo ashukuru aachane na Dullah kakukataa live basi pambana tu Allah atakukuzia mwanao Inshaallah
Masikini wee Dulla msaidiye uyo mwana mama mashallah kujifunguwa kaka wa mzazi amesema vizuri kweli maisha ni ayo ayo kweli
Huyu dada mzuri mashallah yule Aliye muowa siyo mzuri kihivo sijuwi tabiya
Mashaallah Allah amkuze awe mtoto mwema ila mukifanya interview mueke namba za simu za uyo mama alojifungua tumsaidie chochote kituu
Dada hongera kwa kujifungua,lakini punguza kulalamika shukuru hata kwa hicho kidogo,wanaume wengi hawapendi mwanamke mlalamikaji
Ashukulu hata mawifi wanamjari sisi wengine hatujasapontiwa na ma wif mungu akutunzie mtto wetu
Allah amfanyie wepes
Wanajidhalilisha tu Kwan kuzaa au kutokupa matuzo kaaza yy watu tulikatalia mimba adi mtt leo ana miak 12 na maisha ya naenda na bb wa mtt anamuone mtt wala ajal wal kufikir uyo siku6 tu washatafuta na waandish wa habar utasem uyo mtt anakul dunia
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Ongera dada💖💖💖💖🌺🌺
Mtangazaji mmbea hadi kajifinika mtandio😀😀😀
Huyu kaka ake shey anabusara sana
Allah atamkuzaa kwa uwezo wa Allah
lea mtt wako dada yangu wanaume sio watu wazuri atakuja kukusaidi mwenye.badae
Mbona sie tumezaa atuna mababa jmn tumelea wamekuwa 👌lea mwanao acha mitandao
Achana nae huyo mdogo angu kua busy na kaz muache hivo hivo
dada angalia mtoto wako acha kujidhalilisha kwene media
Acha aseme tuone madudu ya wanaume wanaotuponza mpk kutoa mimba hata kutupa mtoto😭😭😭😭
Mhhhhh jmn wadadaa mnajichanganyaa sanaa jmn jmn
Ni kweli kaka asimame kamu baba hajui mungu kapanga nini anaweza fanya maajabu.
Huyo wifi wa ndoa vile naona hapendwi huko kwa kina dula
Yule mkewe makabila si alisema yupo tayari kulea mtoto sasa inakuaje tena mungu amkunze salama
Alhamdulillah kajifungua salama
Alhamdulillah km kajifungua salama kikubwa jitaid ulee mom tembo ashindwi mkonga wake
Hongera kwa kujifungua tulia tu hao mawifi na ndugu zako watakusaidia huyo mume achana nae
Mke mzuri masha Allah
Wasafi wekeni namba apo tufanye kweli
Ndugu wa mwanamke wapo vizuurii
Dada mzuri mashaallaw
Wasukuma wezangu
Umejifungua salama jitaidi Lea mtoto.
Dula ni msenge kumamake
😂😂
wewe dada lea mtoti wako hivi dulla asingekuwa msaanii ungefanya intavyuu wacha ujinga lea mwanao
Mmmh
Ila nilichogundua ckuizi watu wanapenda kuchangiwa sasa kuzaa baba hamuhudumii mtoto tayar unataka mchango na katoto ni kachanga he kakianza shule c ndio mchango wa dunia nzima lea mtoto wko binti ilimradi familia yko ipo na yke inakuhudumia ridhika na kidogo unachopewa wengine tumeachwa na watoto zaidi ya mmoja baba hatoi huduma hatuna kazi lakin tunasomesha tena private school bila mchango ukijiamini unaeza utaweza tu
Wasukuma 🙏👌🏻😘😘😘😘😘yaya geteee🤗
Musukua mwezangu upo upanda gani
@@hamedabashir9 😁😁😁
Jamani wadada tujitume kama ungekuwa upo vizuri kidogo wala usinge omba msaada tujitume jamani
Safi sn fety china mambo vp rafiki yng
@@christianosimba6083 wananiboa kweli wadada wanao zaa alafu wanashindwa kulea watoto wao kama ulikuwa jujajipanga kwanini uzae???
Jaman kwa kweli wa dada jaman aibu
Aisee paka ulima fety china
@@rehemagomano9378 kabisa wavivu kweli wana target ya kuzaa na ma star wapata child support sasa huyo amekutana na kichwa ngumu dulla makabila🤣hakuna child support wala nini eti achangiwe kwani ana umwa?😏
Hongera sheila
Jamani wifi hawawezi kuplaypart Bila kuambiwa Na kaka yao sema tu kisha kuwa Mme wa MTU,
Hizi laana za bure kabisa za waz amuone mzee Abdul na mond
Hongera mdada
Ndugu yangu km umezanae kwenye ndoa una haki ya kulalamika ila km kinyume chake achananae kbs kbs uyo makabila sio mwanawe wala hamuhusu kwa sheria zetu za uislamu hangaika na shughuli zako fainali uzeeni ndugu Allah Kareem.
Nikweli kabisa
Uko sahihi tatizo hawsjui nin maan ya wisilam
Waimba singel bwana ni wahun sana😀😃😄
Duh 🙄 wanaumee mungu awasamehe sana
Mungu atakupea risk
Wasafi mnamchokoza dullah jmn
Dulla kweli pesa inanguvu jmn uyo mkewe sura mbaya
Dulla anamuogopa mkewe yule, chezea mtu wa ulaya anatupa damu yake kisa kuogopa mwanamke chefuuu
Ma wiiii iiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii hunawaja hujui👌
Hongera sana
Mtoto niwamama mtoto wa bilandoa sio wa mwanaume mtoto wababa niuule alieingia kwanjia halali
Ni kweli kabisa
Sema ndo ivo tena dini haipo lakini kwa kweli dula ukiskiliza nyimbo yake utagundua amekusudia kusambaza watoto kama huduma za maji,
Duwasa anaitwa
Angekuwa muuza mihogo musingeng,ang,ania
Mtangaz bhna et kakanyag mdudu
Mtoto wa mama acheni wanaume watange tange na Maisha badae washaishiwa nguvu ndo wanaanza kulalamika watoto wametutupa awatusaidii kumbe wenyewe ndo usababisha
Rabda hajakuoa kwa sabab ya kabila Dada angu. rudia ule wimbo usikie kabira lako ilikuwaje
Sasa asaidiwe nini akat anawatu wenye nguvu kabisa jaman....baba wa mtoto si yupo na anauwezo
mashallah jmn kaka ndio mzazi mwenza wa uyo wala simfatirii kama amemkataa ipo siku atakumbuka
Dulla xmama kama mwanaume bro xx n mashabik zako
Mmmh mbona wengine tuna watoto na tunalea isee toka tumebeba mimba mpk leo hatujui hata mia ya baba we c uliamua kuzaa??? Unapaswa umpambanie mwanao
Naweza kumsaidia mimi
da inasikitisha kweli huyu Dada
Hi sasa yeye anaitaji msaada sasa tutamsaidia vipi weka number au njia sahihi yakupokelea
Dula mshenzi tu
Huyu Dada mzuri kupia hata huyo mke
wasafi simuna hela toeni mbwa nyie mpaka watanzania tumchangie
Kiukweli hata siwalaumu madada wa Dullah binafsi hata mimi kaka yangu atie mwanamke mimba na akatae atanichukia mtu akikupa mtoto shukuru watu wanatafuta watoto na hawapati
Dulla Yuko na yule mwanamke anatafuta upenyo wa kuingia marekani dullah mwangalie mtoto wako acha ujinga
🤣🤣
lea tuu mtoto mwaya mtoto niwamama pambana mwenyewe
Uyu makabila mtombaji sana hapa mjini dar mboo itaisha kama ufutio wa peni,hapa sio kama uko kwao
Pla dear enda D.N.A then next iwe court
Haina haja ya DNA apambane tu alee mtoto wake single parent mtoto anakua vizuri tu
Unamba msaada wa nn, na Baba mtoto yuko si wenyewe kutoa msaada tuna hitaji kusaidiwa
Anataka kuaibika tu mtu anajitambua.
Kama umejifungua salama shukuru tu lea mwanao atakuwa mm nililea mwenye bila msahada wowote
Waongo mbona hao sio ndugu zake wa damu shenzi huyu mtoto
❤❤❤
th-cam.com/video/lmpA8RdJJZg/w-d-xo.html
Mke wa dulla sialisema atamlea mtoto mbona sasa hivi amenyamaza
Lbd hajapata taarifa
@@khadijahali4837 mmmmh na mitandao hii hajapata taarifa mmmmh yataka moyo kulea mtoto wa nje ama yataka moyo kuishi na mke mwenzio yule mwanamke hana kifuwa siku ile kwa wasafi alisema tu kuwa hashindwi kumlea mtoto na hata mamake mtoto kasema tuu kwamoyo wake kaukunja
@@saadiaali5609 😁😁sasa alijitutumulia nn km hawezi kulea
@@khadijahali4837 yalomkuta mwenziwe asisheherekee yanaeza yakamkuta yy marambili yake wahenga wasema ukiona mwenzio anyolewa na yy aloweshe kichwa chake maji
@@saadiaali5609 🤣🤣tumuombee tuu kheri
Yote hii ndio mitoto iliokua mikahaba unazalishwa vip bila ndoa kama sio ukahaba wapeleke upuuzi wao huko majinga haya
Waliambiwa wasifanye inteviu
Huyo jamaa hatumii kinga kama alivyosemaga alipohojiwa kuwa hapendi kabisa kutumia condom maana jamaa ana mtoto mwingine morogoro
Ww Unajuwa ukifanya mapenzii na musaanii ndiyoo umepata kumbee ume patwaaa 😳😳😅😅kaza butiii hata Sisi tumekaza buti yarii tukuta na ndiyoo wanaume wa mitaani si wasanii
Mbonaa uyudada mtangazaji wapenda kukaa uchi hivii
Lea mtoto wako dada wanaume mmmmm
Huyu dullah si alisema atahudumia,Sasa mbona haifanyi kweli
Dada hivi unakili wewe unasehem yakukaa nawatu wapo upande wahuyo Baba mtoto wako wanakusaidia leo hii unaomba msaada kwawatanzania 😳
Si mke wa dula alisema qtamlea mtoto?
Mh we kuweza
Atume dollars
Mmeona mama zenu walivyo na busara
Lea tuu mwanao wala usimuombe hy dulla sk akimtaka unamtoza fedha mbuzi hy
Hivi huyu dulla. Kwamfano huyu mke wake mpya ikitokea hakuzaa naye itakua anje ? Je atarudi kwa huyu dada??? Ndio mana mbele yakufanya Jambo nivizuri kujihuliza
Sija muhombea mabaya no
Good point
Minaomba kuluza uyu due shida nn atoi kitambaaa
Mwanaume atajirudi tu ukiacha kulalamika