ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Iwe yakheri hio ndoa ... Semeni Amin wanangu mbona kama mnakaza sana 😅😊
Amiin
Amin
Mashllah ,mungu awasimamiee ktk ndoa yenu,dulla kuwa na subra baba ndoa ni subiria ,naira na ww jitahid Mdogo Mdogo na ishallah mungu atawasaidiaaa
Ndoa ya kiislam hiyo. Subuhanallah mtihani kilakitu nje hapomke kajistilikitugani midume yoote inajionea vyakufichwa viponje. Inalillahi wsinailahi rajuun. Allah atu samee naatujaalie tuipenyongo Dunia tuipende ahla
Waache bwan ww unatekelez inatosha
Mtihani kwa kweli nywele bandia kucha bandia kifua wazi
@@zeynababdullah3363 yani ni mtihani Allah atuongoze
😂😂haya sasa wakosoaji
Mungu akubarki mpepeaji😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤
Yaani nayra hyo mikope kama jini yaani duuuh bora angefunga akiwa natural
Dullah anaoa kila siku jmn Hongera mzee dulla
Macho yangu Yote Kwa mpepeaji nikadhani ni Mkalia wenu,,, Mnaomuangalia kama Mimi Gonga Like hapa Twende👆
😂😂😂😂mpepeaji yupo vzr Yan anapepea shingo tyu
Mmmmmh wajina mpaaana, sio kwa kuangalia huko mi nilikuwa naons kitambaa tu, umesababisha nimtizame😅
Tuko wengi dear🤣🤣🤣🤣
Sio mkaliwenu kweli huyo jamani😂😂😂 yaaani kanichekesha sana😂😂😂
Mm ananikera😂😂😂😂
Mkali wenu 😂😂😂..Mungu amsamehe!snitch Sana🙌
Kumbe umemuonaa ani nimecheka 🤣🤣🤣🤣🤣
Hongera Sana Lisa wa siri za family na Dullah makabila 🌹🌹 nawapenda
Mungu awabaliki sana
Kimenuka babaaahhh
Embu jamn huyu bi harusi si ni yule naira wa jua kali au macho yangu hayaoni vzr🙄🙄
Sipendagi rangi ya lipstick anayoipaka zainabu na ule wanja wa Kuta za lips zake
Damn makeup 💄 noma 😅😅😅
Kila lakheli sema mmmh mapema sana aka kadula kanapenda kuoa haraka
😂😂😂Dada acha wivu ni rizik yake
@@Sharifarajabudebe mmh jmn mie wivu utoke wp tena nampe uyu dd ujui tu nawatakia kila khery
Sio mapema sasa ulitaka waanze kuchezeana ndipo waowane jamaa kafanya vizuri
Msaidieni huyo anae pepea maana Hadi kichwa pia kina pepea
Yule mtalaka wa dulla atafanya interview wiki haiishi subirini tu 😂
Kwa bongo ilo halichelewi ata kesho
Hongera sana naira mpenzi
Mkali mnafki uyu😅😅😅😅ovyooo
Ndoa ya kwanza ! Si aliyewahi olewa huyu naira na Abdul wa Siri za familia
Ila uyo anae pepea yupo vzr anaitendea hakii kazii yake😂😂😂😂apana chezea hela🙌😀😀😀😂
😂😂 anabidii
Hii ndio ndoa tumeishuhudia Allah awabariki inshallah sio hule upuuzi wa Zari hahahaaa
zari kafanya nini
@@rayanndizeyes3161 zari alitwambia kaolewa ndani ya ramadhani alipoolewa hapaonekani
Nimekuja baada ya ndoa ya zaylisa wa manara😂
Kumbe ndo maana kikao kinachelewa kwa prof
Mpepeaji apewe tuzo 😂
Mbona Gafra 😂😂😂 dulla banaa 🤣
😂😂😂😂😂😂 Ambaye amemtazama mpepeaji kama mm njoo tucheke pamoja hapa
😂😂😂😂😂😂
@@lilianndeka1893 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 yani kama ilikuwa kazi basi kaitendea haki alipwe vzr🙌🙌
🤣
Lakini huyu naira sijui😅
Tulorudi kuangalia interview, baada ya uchumba wa manara na zaylisa tujuane😂
Dulla 🙌🏼😂😂😂😂🏃🏽♀️🏃🏽♀️🏃🏽♀️🏃🏽♀️🏃🏽♀️
Mkali wenu mnafki😊😅😅😅😅😅
Nipo apa baada ya ndoa kuvunjika duu ata miezi mitatu haijafika😂😂🤣😂
Bi harusi mjanja heee😅😅😅
Anaepepea anahitaji pongezi
😂😂😂😂😂😂😂 Mpepeaji katisha
Sasa biharusi mbona huna uoga wa aibu leo hahahaaa au umeuzoweaa
Hyu jamaa si mwaka jana alioa rehema daktari 😂😂
Bwana bwana,daktari wa Marekani hayukogo vile......tulipigwa
Wantivi wambea jaman
Uyu anamfta haji manara uko anapoelekea sio bule mwakani tena nyingine
Mora hawajalie ikawe her
Ila mkali wenu jamaniii
DULLA ANAJUA DINI UKIPATA MWANAMKE INATAKIWA UFUNGE NDO MAPEMA SASA MLITAKA WAZINI NYINYI VIPI IYO NDO SAFI WANAO SHANGAZWA HAWAJUI DINI
Roqaya Ro: sasa kila weekend anafunga ndoa hiiyo ni zaidi ya kuzini
Hahaha mkali wao bwana haha
uyo jaamaa anae pepeaaa ana chekeshaaa 😆😆😆😆
Sana😂😂😂😂😂
Ikawe her
Kila la kheri kwao
Mmmmmmmmh ilivunjikaa na hekahekaa zilee
Me wangu ntamuoa kwa laki nalipa 50k nabak na den la 50k mpka nijue vya ndani
Mkali wenu jau sana nipeni like zang kama mme muona 😂
Naulizaje,yule wa amerikaa vip waliachanaa?
Live
Na huwo anayepepea hapi achoki
Mlali wenu mnafk
Dula ile tatoo ya sura rahima kifuan umeifuta au 😂😂😂
KWA HIYO MLI TAKA;;WAENDELEE KUZINI MIAKA 10 NDIO WAO ANE???:ETI MBONA MIEZI 3 TU, MME FUNGA NDOA???WA ANDISHI MNA CHOCHEA SANA MAASWI
Kwan huyu mwaka jana c alioa ama ilikuga nin wajumbe
Video hii bwana
Wale.waliokasema aendan n dulla we maisha magumu watu musiwaone wana linga n makep watu wanalia moyon
😂
Kabisaaaaa
Honqera
Hv huyu ni naira wa jua kali au wanafanana
Ndio Naira wa jua kali
Ndomaana ndoa zenu mwisho wasiku inakuwa ndoawano. Hapa hapa munaunga ndoa?? Mmmm yani wewe Dulla mm naona ni mudogoyake ya Haji MANARA hamujambo kwa kuowa owa
🥰
Heh.!!!!!Tayari
Drama hiyo

Dullah anaoa kila siku jmn
Hongera mzee dulla