HABIB MAZINGE ASILIMISHA WAKRISTO ZAIDI YA 30 KATIKA MUHADHARA MMOJA NCHINI BURUNDI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2024
  • AKASHA DAAWAH TRADERS +254 721310082

ความคิดเห็น • 477

  • @khalidballeth5957
    @khalidballeth5957 4 ปีที่แล้ว +21

    Anaye mkubali Pro Mazinge agonge Like hapa twende nae sawa

  • @khamicsaidichuga2188
    @khamicsaidichuga2188 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu atakulipa unacho stahili Shekhe Mazinge na Mungu akujalie maisha marefu

  • @sundueosoro9116
    @sundueosoro9116 4 ปีที่แล้ว +4

    Nashukuru sana mwenyezi Mungu kwa mjadala unao tufunza Imani ya kweli.

  • @matanocassim3805
    @matanocassim3805 6 ปีที่แล้ว +6

    Prof; mazinge allah akulinde uendelee na kazi hiohio na akuepushie na mabaya

  • @ashfynahrasheyd6352
    @ashfynahrasheyd6352 5 ปีที่แล้ว +13

    A.allykum Dah ukafiri ni ukaidi c dini yaani yupo wazi lakn haoni haoni wala hasik mungu atufishe haliyakua waislamu muumin pamoja na mashekh wetu hawa kwa kazi nzito wanayoifany ya kuitetea dini yetu ammin Taqbiiir

    • @aichaabdul5844
      @aichaabdul5844 4 ปีที่แล้ว

      Kwa nini wewe Dini unaielewaje?

  • @dzamecbc2859
    @dzamecbc2859 8 ปีที่แล้ว +17

    Mashallah ust mazinge mungu atuhifadhie.twakuaminia mbele yako hawana say

  • @abokrarshamsan7963
    @abokrarshamsan7963 3 ปีที่แล้ว +1

    Allah awazidishie nguvu masheik wetu, n pia muchukue juhudi zaidi ili muweze Kuja upande wa kalolen I giriama muweze kutufundisha nasi Maan huku watu wanapotea.

  • @salamakhamis8092
    @salamakhamis8092 4 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah inasisimua Allah awape taufiq Hawaii walio silimu entire ndugu zangu wakristo hakika site no waja was Allah hivyo no wajibu wetu kumuabudu nawaombea kwake uwongofu ameen,

  • @gangmore9091
    @gangmore9091 4 ปีที่แล้ว +2

    Ma sha Allah nafurahi hutamani kulia kwa furaha Allah awafanyie wepesi Mashekhe wetu awajalie walioslim wasirudi kwenye giza😭🙏🥰🥰🥰

  • @pekomisegese7724
    @pekomisegese7724 5 ปีที่แล้ว +5

    Ma Sha Allah, Ma Sha Allah, Ma Sha Allah. Mazinge Mwenyezi Mungu Akusamehe Makosa Yako Na Akutie Katika Pepo Yake Ya Daraja Ya Juu Kabisa In Sh Allah.

  • @khuzeimaabdul4275
    @khuzeimaabdul4275 6 ปีที่แล้ว +3

    ALLAH akuzidishie na akupe maisha marefu uzidi kutuelimisha sheikh wetu.nimefurahi mpaka chozi limenitoka.akuweke ALLAH

  • @bellbell9294
    @bellbell9294 5 ปีที่แล้ว +4

    Maashaallah ustadhi mazinge Allah akujaalie kila la kher jazaka Allahu kher

  • @halimaomari7589
    @halimaomari7589 6 ปีที่แล้ว +2

    Allahu Akbar kwa hakika dini ya haki na ya ukweli ni uislam, In sha Allah mwenyenzi mungu anifushe katika uislam

  • @husseinahmed5216
    @husseinahmed5216 5 ปีที่แล้ว +5

    maa shaa Allah, Raha wallah mwenyezi mungu akujaalien iman thabit pamoja Nas, karibun katika dini ya haki

  • @dhulkhifli2737
    @dhulkhifli2737 9 ปีที่แล้ว +6

    MashaAllah.subhanaAllah Allah Awabarikia Waliokuwa waislamu Na ambao ni kwa karne hii

  • @nasraalobaidani3194
    @nasraalobaidani3194 6 ปีที่แล้ว +4

    MashaALLAH tabarakaLLAH hongern sn mashekh wetu ALLAH awabark daima

  • @abdimoge3839
    @abdimoge3839 6 ปีที่แล้ว +10

    Ustadh Mazinge Mungu akuingize peponi.

  • @ashfynahrasheyd6352
    @ashfynahrasheyd6352 5 ปีที่แล้ว +1

    M.mungu awape nour waliosilim pia pepo pamoja na waislam wote kw jumla

  • @hassaniomari6067
    @hassaniomari6067 5 ปีที่แล้ว +2

    Mungu mkubwa .mwenyezi mungu awalipe kwa kazi nzuri ishaallah

  • @saidikomora1997
    @saidikomora1997 5 ปีที่แล้ว +4

    MashaAllah.....ama kwely dini ya kwely ni uislamu.......Allahu akbar.....lively from kenya

  • @yahyaalihaji9762
    @yahyaalihaji9762 7 ปีที่แล้ว +6

    mungu awaweke wenye kufanya kazi ya allah. sikazi ndogo allah akbar

  • @omarmwinyi125
    @omarmwinyi125 4 ปีที่แล้ว +1

    Waislam hatujasema mtume wetu Muhammad ni mungu bali ni mjumbe wa ALLAH na Issa pia mjumbe wa ALLAH

  • @rabiawaziri3902
    @rabiawaziri3902 3 ปีที่แล้ว +1

    Allah awahifadhi masheikh wetu Allahumma amiin

  • @kuruthumkilongo7902
    @kuruthumkilongo7902 3 ปีที่แล้ว

    Hakika dini ya haki ni uislam shekh Allah akufanyie wepesi uendelee kuitangaza dino ya hakh na akulipe hapa duniani na akhera inshaallah

  • @rehmatnyampinga7980
    @rehmatnyampinga7980 7 ปีที่แล้ว +3

    Allah Akbar, tunashukuru Allah muweza wa yote mwenye Alitudjalia tukaslim! na Awadjalie waAlimu wetu kila la kheli Inshallah

  • @saidabeid1896
    @saidabeid1896 4 ปีที่แล้ว +3

    Mashaallah Kazakhllah kheir Sheikh mazinge

  • @alimaalima6016
    @alimaalima6016 7 ปีที่แล้ว +6

    mashaallah sheikh nafurahi kila niangaliapo video zako ukitangaza dini ya Mungu

  • @mamymdogomamy3670
    @mamymdogomamy3670 5 ปีที่แล้ว +4

    Mungu wape subra mashekh wallah

    • @halimakingazi240
      @halimakingazi240 3 ปีที่แล้ว

      Mashallah jamn Allah amjalie mazinge

  • @nassorlido9380
    @nassorlido9380 7 ปีที่แล้ว +39

    hakuna mola anaepaswa kuabudiwa kwa haki ispokua M.mungu pekee takbir by nassour abdallah nassour from Zanzibar

  • @asiamussa396
    @asiamussa396 4 ปีที่แล้ว +4

    Mpaka mchozi😊😅 wa furaha umenitoka wallah nimejisikia raha sana watu kuingia dini ya kiislamu😘😘❤❣

    • @mashramadhani1989
      @mashramadhani1989 3 ปีที่แล้ว

      Hata mm

    • @mashramadhani1989
      @mashramadhani1989 3 ปีที่แล้ว +2

      Hata mm

    • @asiamussa396
      @asiamussa396 3 ปีที่แล้ว +1

      @@mashramadhani1989 Kwakweli inaleta raha mnooooo 😊😍😍😍

    • @mashramadhani1989
      @mashramadhani1989 3 ปีที่แล้ว +2

      @@asiamussa396 unaona kabisa nguvu ya Mungu na Mazinge alale pema peponi

  • @shariffabdinasir8052
    @shariffabdinasir8052 8 ปีที่แล้ว +13

    mashaalah mazinge mola akulinde shujaa wetu

  • @mahsenmohammed4234
    @mahsenmohammed4234 8 ปีที่แล้ว +25

    Assalam Alaykum Sheikh Mazinge na Team yako Allah Awape JANNAH...... Insha Allah Mungu Atawalipa Mema Kwa hii Dunia na Akhera...

  • @muhammadmuhaznun380
    @muhammadmuhaznun380 2 ปีที่แล้ว +1

    Mazinge ni hatarii...Mashallah...watu wanaona haki

  • @bintsalimalbimany9373
    @bintsalimalbimany9373 6 ปีที่แล้ว +8

    Innaddiinu indallahul-islam (Hakika dini mbele ya Allah ni din ya kiislam )

  • @kuluthumtitu706
    @kuluthumtitu706 7 ปีที่แล้ว +13

    Allah awajaalie siha njema mzid kutuelimisha Ummati Muhammad Swalallahu Alaihi Wassallama

    • @Awatee
      @Awatee 3 ปีที่แล้ว

      ؛ Amiin

  • @rajabhassanmohd2455
    @rajabhassanmohd2455 4 ปีที่แล้ว +6

    Laaaaaaa ilaaaaa hailaallaah Muhammad rasulullah

  • @raycaventure8097
    @raycaventure8097 8 ปีที่แล้ว +7

    WW katungu umesha raanika atunashid naww utaenda kujibu Kwa Allah kaaufikirie iyo dini ulonayo Kwanzaa ukristo siodini jina mlipangiwa nawabagani jiangalieni Sana wakristo amna dini nyinyi makafiri

  • @tiffahkillax6267
    @tiffahkillax6267 4 ปีที่แล้ว +4

    Maisha marefu kwa mazinge katika kitenda jihad inshaallah

  • @somoendege4677
    @somoendege4677 5 ปีที่แล้ว +1

    Wakristo kwel mmepatwa na bumbuwaz Allah awatangulie ktk maisha yenu. Inshallah

    • @aichaabdul5844
      @aichaabdul5844 4 ปีที่แล้ว

      Haaaaaa!!!! Matendo yenu yangeonyesha uwepo wa Mungu ndio ningepatwa na bumbuwaz.

  • @hassanjamal5630
    @hassanjamal5630 8 ปีที่แล้ว +10

    takbiriiiii kwa walio silim mashaaallaah unaweza toa machoz allah awalipe

  • @ussiyayatoure9702
    @ussiyayatoure9702 3 ปีที่แล้ว

    Kwa hakika uislam ni dini uliokamilika tudndelee kuwafahamisha wasiojua Mungu awabariki sana Umoja wa wahadhiri wa uislam

  • @mayedmohammed5554
    @mayedmohammed5554 4 ปีที่แล้ว +3

    Imana nimwe kwi hisi yose Allah akbar .Allah akbar. Allah akbar .Allah akbar. Allah akbar. Allah akbar. Allah akbar.

  • @seifali5973
    @seifali5973 9 ปีที่แล้ว +4

    jazakallah kheir mungu awazidishie wa awakinge na kila sharii

  • @rachelevarist70
    @rachelevarist70 4 ปีที่แล้ว +1

    Alhamdulillah kua muislam sasa wakristo kueni makini nawachungaji wenu wanawapoteza

    • @aichaabdul5844
      @aichaabdul5844 4 ปีที่แล้ว

      Bora kuwa atheist kuliko huko kwako..... Maana atheist anaona thamani ya mwanadamu mwenzake

  • @othmanabdallah1948
    @othmanabdallah1948 7 ปีที่แล้ว +5

    hawa wakristo wanapaniki mno! yaani Daah, shukrani Akasha m.mungu akujalie In sha Allah

  • @elizabethfares4650
    @elizabethfares4650 6 ปีที่แล้ว +15

    Mashallah mungu awabaliki inshallah 2wende sote pepeni 😂😂😂😂 Ameen

    • @salehpapai106
      @salehpapai106 3 ปีที่แล้ว

      Mungu akulind ustaz mazing

  • @samarabboudi9175
    @samarabboudi9175 6 ปีที่แล้ว +23

    Yaaraby dumisha uislam ktk dunian na akhera. Mazinge kaka usichoke na allah akupe nguv zaid ktk kupigania jihad. Nabado hao watakuja tuu

  • @jainaboman8952
    @jainaboman8952 5 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah kwakazi mungu awazidishie I manii uislamu ndio din ya khaki

  • @allymwinja6397
    @allymwinja6397 7 ปีที่แล้ว +5

    hakika allah yu pamoja nasi siku zote. na atuzidishie imani na baraka hapa duniani na kesho akhera inshallah.

  • @mohammedrajab1127
    @mohammedrajab1127 4 ปีที่แล้ว +13

    Hakika Dini Ya Kwel Mbele Ya Allah Ni Uislamu🙏🏽

  • @selemanmtakata9620
    @selemanmtakata9620 3 ปีที่แล้ว

    Mungu akuzidishie uhai mlefu
    Uzidi kuitangaza dini ya allah

  • @mansoorsadiq5721
    @mansoorsadiq5721 7 ปีที่แล้ว +5

    I love u habib mazinge 4 the sake of allah please tell her

  • @tangaoldtv1067
    @tangaoldtv1067 4 ปีที่แล้ว +3

    Mashallah allah awape pepo ya firdaus na awape uvumilivu ktk hilo

  • @katundakiliza5894
    @katundakiliza5894 6 ปีที่แล้ว +6

    Yaan hao vpofu kabisa Allah awaongoze masheikhe wetu na hawoo waloclmu Allah awape ibra ya kuijua dini

    • @hatibusuleish7273
      @hatibusuleish7273 4 ปีที่แล้ว

      Mashallah Mashek zetu Mungu awazidishie nguvu na uhai wa kupambana na hli jambo la kuwatoa binadamu wenzetu kutoka kwenye Giza na kuwaingiza kwenye mwangaza

  • @fetymohamedi2119
    @fetymohamedi2119 6 ปีที่แล้ว +3

    Wakristo hebu badilikeni basiii hyo c dini ya kweli atyiiii, Allah ndie mungu "mupo" by fety mudy from mafia

    • @davismwamachi1145
      @davismwamachi1145 4 ปีที่แล้ว

      2:256(Al baqarah)mtu halazimishwi dini...yunus10:100..kuamini ni kwa idhini ya Mungu mbona mwalazimisha kwa fujo?eti leo lazma uislim!!...Quran2:253..Mariam kapata ujauzito kwa uweza wa ROHO mtakatifu....Mwanzo1:2 inasema Mungu ni Roho...yohana3:6 kilichozaliwa na mwili ni mwili Bali kilichozaliwa na ROHO ni Roho...sisi tuna baba wa mwili na Yesu Baba yake ni Roho,naye pia ni Roho..isaya9;6 mtoto atakaye zaliwa ataitwa Mungu mwenye nguvu....

  • @kudrakidete878
    @kudrakidete878 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah Allah akulipe kila la kher

  • @ibrahimiddi3134
    @ibrahimiddi3134 3 ปีที่แล้ว

    Allahu Akbar nimefurah sn mashaallah mungu amewaonesh njia y haki n awaongoze lkn uyo pastor kanichekesha sn maana uwo ukaid wk duhh

  • @captenndunga9385
    @captenndunga9385 5 ปีที่แล้ว +1

    Mazinge sina cha kukupongeza ila furaha niloyo mungu anajua.

  • @ayunramadhan3104
    @ayunramadhan3104 5 ปีที่แล้ว +5

    Mungu wa wakiristo Ametahiriwa 😭😭😭😭😭😭kosa mali uwe na Akili

  • @jumaamsuya5264
    @jumaamsuya5264 5 ปีที่แล้ว +2

    Kanzi nzuri Allaah awalipe isha allaah

  • @neemainabikorwa5570
    @neemainabikorwa5570 4 ปีที่แล้ว +1

    Mazinge nakupenda kwa ajili Yaa Allah

  • @hafsandk9306
    @hafsandk9306 9 ปีที่แล้ว +8

    Mashallah! allah awazidishiye kila lakher

  • @ayoobalqasmi3062
    @ayoobalqasmi3062 8 ปีที่แล้ว +2

    issa ni nabii wa mungu siyo mtoto mungu hakuzaa wala hakuzaliwa

    • @katungukitambala4561
      @katungukitambala4561 8 ปีที่แล้ว

      Kubali au ukatae Yesu ni Mungu

    • @katungukitambala4561
      @katungukitambala4561 8 ปีที่แล้ว

      Kubali au ukatae Yesu ni Mungu

    • @katungukitambala4561
      @katungukitambala4561 8 ปีที่แล้ว

      Kubali au ukatae Yesu ni Mungu

    • @sakinaally6692
      @sakinaally6692 8 ปีที่แล้ว +2

      +Katungu Kitambala wewe unafanya ushabiki,kasome biblia nzima japo imetiwa chungu ya maneno na waandishi ni wapi yesu aliwahi kujiuta ama kuwaambia mumwite Mungu?jamani hamuogopi?Mungu habadiliki,hakuzaa,hakuzaliwa,haonekani wala hajawahi kuonekana,ndio maana musa alayhi salaam alipotaka kumuona alishindwa tena aliona nuru wala hakustahamili,sembuse wadhambi kumuona?Mungu hafanani na chochote kule wala hafanyiwi imagination,si malaika,wala manabii akiwemo yesu walowahi kumuona Mungu,jamani ogopeni moto,maan huu tunaopikia umepizwa sana na bado ukikushika unaweza kafa sembuse huo ambao haujapizwa?kumbuka Allah alokuoa mukono ya kuandikia atakuuliza uliitumia kuandika nini ndugu ,jitafakari na uchunguze njia zako la sivyo utakua na la kujibu na ukifa unasema yesu Mungu weww ni wa motoni tu ndio maana akasema katija mathayo 7:21 hatawatambua japo mtamwita bwana

    • @katungukitambala4561
      @katungukitambala4561 8 ปีที่แล้ว

      Sakina Ally Alimahanisha manabii wa uwongo. Atendaye mapenzi ya Mungu baba ndio atakaye ingiya katika ufalme wa mbinguni. Yesu alikuwa na kanisa lake.

  • @ashunashunabdallah3319
    @ashunashunabdallah3319 7 ปีที่แล้ว +4

    Anae Sema yesu n Mungu.bc ana mapepo mtu huyo.
    mapasta umemewaoteza wenzen cku nying makanisan.kwahvo ingien kwa uislm mupate Amn y Bwana.

  • @musamkude
    @musamkude 7 ปีที่แล้ว +5

    mashaallah mashekh zangu
    mazinge the best one

  • @dzamecbc2859
    @dzamecbc2859 8 ปีที่แล้ว +2

    I'm muslim girl from kenya working in Saudi Arabia plz my dear fellow Muslims I beg to be assisted with sheikh mazinge's contacts

    • @fauzibrahim1230
      @fauzibrahim1230 8 ปีที่แล้ว

      he lives in tanzania

    • @dzamecbc2859
      @dzamecbc2859 8 ปีที่แล้ว

      thankyou fauz Ibrahim,phone numbers Za ust mazinge plz

  • @omarbakran8337
    @omarbakran8337 8 ปีที่แล้ว +5

    you are our hero mazinge

  • @mrsdully1613
    @mrsdully1613 8 ปีที่แล้ว +22

    mashaAllAh mung akubarik sheikh ww

  • @salehsuleiman8519
    @salehsuleiman8519 3 ปีที่แล้ว

    Mazinge ndio shujaa mpiganaji hakika allah akuhifadhi leo na kesho

  • @ramadhanimasalanga2695
    @ramadhanimasalanga2695 2 ปีที่แล้ว

    Hii haijawahi nitokea hata kwenye misiba ya familia
    Nimetazama hii video mpaka kufikia kwa huyu kijana alievaa flana ya jano wakati anakuja hapo jukwaani kuja kuslimu; nimelia sana wallah, nimejiku nashindwa kuvumilia aisee. Allah yupo tutendeni mema na tuache maovu

  • @youngchinga5665
    @youngchinga5665 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akujalie ishallay

  • @jesmirmohamed3467
    @jesmirmohamed3467 2 ปีที่แล้ว

    mashallah mko poa mashekh wetu

  • @ayunramadhan3104
    @ayunramadhan3104 5 ปีที่แล้ว

    Mungu wa wakiristo amezaliwa 😭😭😭😭😭😭huyo mchungani kama amevuta bangi 😭😭😭😭wachungaji ni mbwa bibilia imesema 😭😭😭😭from dubai

    • @anthonyminjire8490
      @anthonyminjire8490 5 ปีที่แล้ว

      JESUS CHRIST! nipe hicho kitabu cha biblia kinachowaita wachungaji mbwa. na kama ni kuropokwa, omba MUNGU AKUSAMEHE. Otherwise , ngonjea adhabu kwa kusingizia Mungu uongo. Na adhabu ya Mungu hata ikikawia, hufika tu!

  • @dr.rimack8484
    @dr.rimack8484 9 ปีที่แล้ว +9

    MashaAllah! Allah awazidishie

    • @AKASHA.P
      @AKASHA.P  9 ปีที่แล้ว

      Rashid Chipatu AMINA

    • @nuruabubakar4388
      @nuruabubakar4388 9 ปีที่แล้ว

      +AKASHA DAAWAH salaaam ndugu muislam jaomba namba ama unipe mawasiliano ya hichi kikosi tafadhali usipuuze kwa ajili ya mola billah taufik

    • @mansoorsadiq5721
      @mansoorsadiq5721 7 ปีที่แล้ว +1

      Allah awajalie habib mazinge na masheikh wote walohudhuria hapo na waislam wote tukapokee vitabuvyetu kwa mkono wakulia amin

    • @mumkmamy5186
      @mumkmamy5186 6 ปีที่แล้ว

      Aameen

  • @fatmarashid680
    @fatmarashid680 6 ปีที่แล้ว +4

    allAhuma amin inshaallah mashaallah

  • @thulaniduku3218
    @thulaniduku3218 3 ปีที่แล้ว +1

    Maashaallah

  • @زهرغنيه
    @زهرغنيه 4 ปีที่แล้ว +3

    Mazing arudi Burundi kukanya muhazdhara

  • @zareebaibe9020
    @zareebaibe9020 4 ปีที่แล้ว +2

    Mashaa Allah

  • @nicksonjuma5079
    @nicksonjuma5079 8 ปีที่แล้ว +2

    One God...one faith and one body.....

    • @sakinaally6692
      @sakinaally6692 8 ปีที่แล้ว +1

      mara zote mnasema one god ila mnakua wakwanza kusema nafsi tatu,hivi hamuoni ishara za kuwepo Allah mmoja?jua ,mwezi mbigu(anga halianguki)nyota, usiku na mchana, mvua,wewe mwenyewe,akili aliokupa,rizki,na bado hamuamin na mengine mengi duu kweli mtu akikufuru ananogewa na kufuru yake

  • @jumaamsuya5264
    @jumaamsuya5264 5 ปีที่แล้ว +3

    Masha Allaah

  • @khamisfaki4640
    @khamisfaki4640 4 ปีที่แล้ว

    Am proudly to be muslim and am happy

  • @abdallaomarabdallaomar6257
    @abdallaomarabdallaomar6257 7 ปีที่แล้ว +4

    Masha Allah maustadhi wetu

  • @rinompemba5926
    @rinompemba5926 3 ปีที่แล้ว

    Masha Allah shehe othman mazinge

  • @macrinajoseph1422
    @macrinajoseph1422 3 ปีที่แล้ว

    Kuacha ukristo kwenda uisram nikuiendaa Imani kingine zaidi ya yesu hakuna Sheria nihukum tu na mtu asipo mfuata.yesu ameikaribia jehanam

  • @rajabhassanmohd2455
    @rajabhassanmohd2455 4 ปีที่แล้ว +3

    Allah Akbar

  • @mansoorsadiq5721
    @mansoorsadiq5721 7 ปีที่แล้ว +2

    Anta habiby ya Muhammad wafunze luga haomakafiti vitwa vyao vigumu kama jiwe

  • @abaisani3485
    @abaisani3485 7 ปีที่แล้ว +5

    mpe huyo mazinge hawa watu ni vipofu kazi yao ni kukula tu hawashibi kamwe tena wanapenda kulala Sana uwaamushe wapate kumjua Allaah.

  • @mwanaishamlima2047
    @mwanaishamlima2047 4 ปีที่แล้ว +4

    Mashallah

  • @suleimantsanje8904
    @suleimantsanje8904 3 ปีที่แล้ว

    Hakuna siku nimefurahi sana kama Leo god is great

  • @pekomisegese7724
    @pekomisegese7724 5 ปีที่แล้ว

    Tatizo Wakristo Wamenyimwa Ufahamu Na Mungu MWENYEWE Ndio Maana Wanapata Tabu Kwa Waislamu.

  • @alsaarh239
    @alsaarh239 6 ปีที่แล้ว +1

    Wallah mungu awazidishie mashekh wetu

  • @saidpolenikwamsbakinidi6232
    @saidpolenikwamsbakinidi6232 7 ปีที่แล้ว +4

    kumbe uyu mungu wawakiristo alikua mtoto nilikua sijui kazi ipo

    • @davidmbilinyi4198
      @davidmbilinyi4198 6 ปีที่แล้ว

      Said poleni kwa msba Kinidi hapo unaikufuru kakuruhani mbona kamiandika hii habari

    • @halimaabuu8353
      @halimaabuu8353 5 ปีที่แล้ว

      hahaha Astaghfirullah

  • @itongwamtebwa9149
    @itongwamtebwa9149 6 ปีที่แล้ว +2

    Huu ubishi wenu unanichekesha sana I'm feeling good when I watching this video.

    • @jamilamursal4437
      @jamilamursal4437 4 ปีที่แล้ว

      Tumia kiswahili kaka kidhungu waachie wenyewe... At when I watching 🙄🙄🙄.....

  • @yasinamiri7649
    @yasinamiri7649 3 ปีที่แล้ว +2

    MASHAALLAH ❤️ ❤️ MASHAALLAH

  • @bintsalimalbimany9373
    @bintsalimalbimany9373 6 ปีที่แล้ว

    Mashallah furaha yangu asa kuona hawa watu wanaingia katika uislam bas furah yang machox yananitoka Allah awadumishd katika uislam nyinyi na cc pia

  • @suleimantsanje8904
    @suleimantsanje8904 3 ปีที่แล้ว

    Mola akulinde shehe mazinge ,sijwahi ona kama hii Allah Akbar

  • @shemsiasalumu9200
    @shemsiasalumu9200 4 ปีที่แล้ว

    Mashallah! Najivunia kua muislam

  • @fatumaabdhul8620
    @fatumaabdhul8620 3 ปีที่แล้ว +1

    MASHALLAH

  • @mohdismail5279
    @mohdismail5279 6 ปีที่แล้ว +3

    Ao mapaster walopotea hawajui debate lakin wenzao wameelewa dini ya haki. mungu wewe ndo wakushukuriwa

  • @mariamkhamisi1162
    @mariamkhamisi1162 8 ปีที่แล้ว +4

    Si makosa yke kwa sababu hajui anachokisema......astaghafiruaalaa.....Mungu atamuongoza