MAJIBU KWA CHIKAWE -BASI HATA BIBILIA HAINA USAWA KWA MWANAMKE SOMA MAANDIKO-BY USTADH SHAFII

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ต.ค. 2024
  • USISAHAU KU SBSCRIBE

ความคิดเห็น • 34

  • @RAMATHANI-eu5dk
    @RAMATHANI-eu5dk วันที่ผ่านมา +1

    Hongela sana kwa WACUNGAJI wote kwasababu hawajuwi bibiliya.

  • @Muhindojamaldin-r1r
    @Muhindojamaldin-r1r วันที่ผ่านมา +1

    ❤❤❤❤❤❤ alhamdulillah ya rabbiy shukran kwa kazi unayo ifanya masheikh wetu Allah awalipe kilalaheri barakallaw fikum Allah aqbar

  • @mwinyiswaleh8388
    @mwinyiswaleh8388 2 วันที่ผ่านมา +2

    I love shafii He kept it real this whole time.nakuita mufunuaji akili.

  • @AbdulhamiduKanula-hq4lx
    @AbdulhamiduKanula-hq4lx 2 วันที่ผ่านมา +2

    Sheikh shafi haya hii mada ulivyo ipangua pangua wallah mashAllah.Allah azidi kukufulia milango ya fahamu tuzid kufaidika kupitia kwako

  • @mahmoudmapesa3523
    @mahmoudmapesa3523 2 วันที่ผ่านมา +1

    Sheikh Shafi 👏🔥

  • @faiqaanwar7268
    @faiqaanwar7268 วันที่ผ่านมา +1

    ALLAUAKBARR

  • @samxx411
    @samxx411 2 วันที่ผ่านมา +2

    Ila Sheikh Shafi nikwambie ukweli wangu...unajuwa mashallah

  • @jimjam-xg7rv
    @jimjam-xg7rv 2 วันที่ผ่านมา +1

    MASHA ALLAH 💚 namkubali sheikh shaffi 100 %

  • @AishHassan-p8l
    @AishHassan-p8l 51 นาทีที่ผ่านมา

    Nakuelewa vzr ustadh wangu tufaidishe na mawaiza yako Allah akuhifadh

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja1995 2 วันที่ผ่านมา +1

    Masha'allah sheikh shafi Allah akuifadhi tu basi

  • @pwezapwezafelix7222
    @pwezapwezafelix7222 3 วันที่ผ่านมา +1

    Wafundishe wataelewa tu hata pakikawa wanasilimu ndogomdogo kutoka mueda mozambik🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @Rkey113
    @Rkey113 3 วันที่ผ่านมา +3

    Wapili kutoka Malawi

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw 2 วันที่ผ่านมา +1

      Kumbe Malawi wanazungumza kiswahili

  • @CamalizaCamiloCamaliza
    @CamalizaCamiloCamaliza 3 วันที่ผ่านมา +2

    Wakwanza kutoka 🇲🇿

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw 2 วันที่ผ่านมา

      Kumbe Mozambique wanazungumza kiswahili

  • @samxx411
    @samxx411 2 วันที่ผ่านมา +1

    Nasema tena kwa ndugu zetu uislamu unasema ukweli na kukuonya bali kukubali na kukataa ni hiari yake mtu...

  • @faiqaanwar7268
    @faiqaanwar7268 วันที่ผ่านมา +1

    Ndio maana wntongo zana kanisani alafu kuona

  • @HaliaKheri
    @HaliaKheri 3 วันที่ผ่านมา +1

    ❤❤❤🌹🌹🌹📿

  • @babazungu3180
    @babazungu3180 2 วันที่ผ่านมา

    Watu wa roho mtakatifu ni shida tu

  • @MarKarim-km2yh
    @MarKarim-km2yh 2 วันที่ผ่านมา +1

    Asalam alaykum
    shekhe. Nini hukumu ya mwanamke aliye ishi kweny ndoa na kuzaa mtoto alafu akaondoka kwa mumewe kwasbb ya kugundua kuwa mumewe ana mke mwingine
    Na uko alipo baada ya kukaa kwa muda mrefu akapata mwanamme mwingine wakaishi na kuzaa lkin awajaowana
    Sasa mwanamme wake wa kwanza amefariki lkn amekufa na deni la mahali ya yule mwanamke ssa yupi anaestahiki amlipe mwenzie
    Naomba ftwa ya jambo hilo inshallah

  • @samxx411
    @samxx411 2 วันที่ผ่านมา +1

    Akili za akina mobutu na wenziwe wapi kiubishani

  • @MohammedIslam-t2n
    @MohammedIslam-t2n 3 วันที่ผ่านมา +1

    Asalam aleykum sheikh wangu wanamke atakosaje thamani katika usilamu na wao wametuzaliya manabi pamoja na mbora WA mitume wore sayidna rasullah swalalahu alehim wasalam

  • @abrahmannassor4259
    @abrahmannassor4259 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Aslama alaykum ustadh naomba kuliza unakielewa kitab cha hekok na unakielewa vp

  • @mahmoudmapesa3523
    @mahmoudmapesa3523 2 วันที่ผ่านมา

    Simulizi wanao ona na hawasikii itabidi utafute namna yakuwasaidia ..viziwi nao wanaweza pata faida

  • @FadhiliNalinga
    @FadhiliNalinga 2 วันที่ผ่านมา +1

    Simuliz atakuja kusilim

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw 2 วันที่ผ่านมา

      Ikielewa vizuri. Mpaka sasa hajaelewa vizuri

    • @MohamedAhmada-ie7ke
      @MohamedAhmada-ie7ke 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@Catherine-mh8swpengine ashaelewa but bado haja amuakuongoka

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @MohamedAhmada-ie7ke bado hajaelewa maana wachungaji wakimwambia anaona wako sahihi . Sheikh shafii akimwambia anaona yuko sahihi. Mpaka sasa hajuwi ashike wapi

    • @MohamedAhmada-ie7ke
      @MohamedAhmada-ie7ke 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@Catherine-mh8sw unajua kutoka sehem moja kuenda sehemu nyengine pia kunataka maamuzi coz ushazoea kukaa sehem kwa muda mrefu kwaiyo ni lazima kidogo kidogo uanze mabadiliko sio hafla tu kama unavo dhania

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@MohamedAhmada-ie7ke najuwa sana. Ndiyo maana nakwambia huyo bado hajawa na jibu

  • @samxx411
    @samxx411 2 วันที่ผ่านมา

    Sheikh Shafi wape elimu ya kiroho hao wenzetu waijuwe maana yake nini??