SHE MZIWANDA 'MIMI SINA KAWAIDA YA KUMUOGOPA MTU MNAJIONA KINANANI TUMIENI AKILI KWAFAIDA YA JAMII'

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 34

  • @AndulHida-hs5py
    @AndulHida-hs5py 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Mash Allah tabarak Allah ahsani khaalyqin, Jazzak Allah kheri shekhe

  • @gulamomar6394
    @gulamomar6394 วันที่ผ่านมา +6

    MUNGU Akulinde KAKA Yangu Kipenzi 🙏

  • @cassimoa9217
    @cassimoa9217 วันที่ผ่านมา +3

    Allah akubariki Sheikh wangu

  • @HanifaUrassa
    @HanifaUrassa 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Uko vizuri sana she wangu

  • @BrackMelody
    @BrackMelody วันที่ผ่านมา +4

    Shekhe Alla akulinde

  • @moddy8744
    @moddy8744 วันที่ผ่านมา +2

    Mashallah maneno mazito sana kweli kabisa Allah Akubarik

  • @cholombuda1658
    @cholombuda1658 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Sheikh wng mimi nakukubali sana ila kwenye hili naona unatumia nguvu nyingi kutetea nikweli wanasiasa wanamakosa yao ila lengo la maandamano nikuacha vifo vyamakusudi Leo kwawanasiasa kesho itarudi tena kwufa kwa mashekhe tena kwakufatwa majumbani kwao hili jambo lazima likome kwanza

  • @mikidadiyusufu5666
    @mikidadiyusufu5666 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Aaaaaaaa jamani ponda usimpe hiyo sifa haipati Wala Hana hiyo sifa

  • @zariadunia6328
    @zariadunia6328 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sheikh umepiga kwenye mshono hayo ndiyo yanaendelea kwenye taasisi zetu natamani ungeanzisha taasisi yako sheikh mziwanda

  • @AthumaniBakari-o6r
    @AthumaniBakari-o6r 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    SINDIO HAO WANAOTEKA WATU KWAUPEO WANGU MIMI WANAOTEKA WATU MWAWAJUA ILA HAPA MM NAONA KUNA KIPENGELE CHA KUJIPENDEKEZA KWA MKUU WA NCHI

  • @MaryTibangayuka
    @MaryTibangayuka 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    mna njia nyingi za kujipendekeza kwa raisi

    • @zariadunia6328
      @zariadunia6328 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Bora kujipendekeza kwa Rais kuliko papa fransis 😊😊😊😊

  • @moddy8744
    @moddy8744 วันที่ผ่านมา

    Maneno ya kweli kabisa

  • @alzawahirabdallah2299
    @alzawahirabdallah2299 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mziwanda na shekh ponda ndio watu walipaswa kuwa kwenye uwongozi bakatwa

    • @abbassmshaury7572
      @abbassmshaury7572 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      kama huwezi kutoa coment ni bora unyamaze sio kuleta coments zinazoweza kuamsha fitna kwa vjongozi wetu hatutaki kuingia kwenye mambo ya fitna tumechoshwa nazo.

    • @BilalMuhammad-jt6sq
      @BilalMuhammad-jt6sq 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@abbassmshaury7572upo sawa ndugu

    • @alzawahirabdallah2299
      @alzawahirabdallah2299 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @abbassmshaury7572 hao viongozi wenu umeona wanatetea haki za waislamu aw wanatetea matumbo yao tunataka viongozi wenye kujua wajibu wao

  • @uledihassan6065
    @uledihassan6065 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hana lolote huyu, jasiri ni yule anaekosoa mamlaka na sio yule anaekosoa wakosoaji wa mamlaka

  • @moddy8744
    @moddy8744 วันที่ผ่านมา

    Mashallah

  • @ImanSaid-q4i
    @ImanSaid-q4i 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    😂😂😂

  • @ShabanMohamed-e9l
    @ShabanMohamed-e9l วันที่ผ่านมา

    Ukiwa na uhakika na Allah na uka mtekelezea anayo kuhitaji Kwa usa hihi ya nini umu ogope mtu

  • @Daudimakaza-s1v
    @Daudimakaza-s1v 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wabudu majin wamekutan mtume wao pepo mungu wao shetan

    • @JumaOmar-ku6cr
      @JumaOmar-ku6cr 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Wewe ni rafiki mauzinde mjinga mmoja wewe

    • @AlexMnane
      @AlexMnane 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kama huna ujumbe wa kujenga Bora umyamze Kim ya nao utakusaidia sana katika maisha yako na familia yako

    • @KudraWanguvu-em1xw
      @KudraWanguvu-em1xw 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      matumizi ya akili ujaitumia vzr

    • @taurehassan7399
      @taurehassan7399 21 นาทีที่ผ่านมา

      Unahasadi wakaribia kumfkia ibilisi

  • @MusaMuhammed-f4l
    @MusaMuhammed-f4l 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ata raisi akiumwa ata pelekwa ulaya 😂😂 mfano butu kabisa sheikh wangu

  • @ramadhanmahongole9293
    @ramadhanmahongole9293 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyu sheikh ana udini sana

    • @msambalamjukuu3866
      @msambalamjukuu3866 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Sio shee falsafa ya kislam ndio ilivo umimi

    • @AlexMnane
      @AlexMnane 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Sijaona udini alionao huyu shehel anafundisha zaidi Dhima mzima ya kutokuwa na ubinafsi uliokithiri.

    • @ramadhanmahongole9293
      @ramadhanmahongole9293 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@msambalamjukuu3866 kweli waislamu wana ubaguzi sana

    • @ramadhanmahongole9293
      @ramadhanmahongole9293 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@AlexMnane ukiona sheikh kila Napo simama kwenye jukwaa lazima ataje ukiristo jua huyo sheikh ana udini. sheikh asiye na udini hawezi kuzungumzia ukiristo dini isiyo yake

    • @ramadhanmahongole9293
      @ramadhanmahongole9293 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@AlexMnane utakuwa hujamfatilia vizuri huyu sheikh ni mtu wa kulialia sana mara utakuta anasema wakristo wamependelewa yani ni mdini sana

  • @mohamedS-yd9wh
    @mohamedS-yd9wh 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sheikh wetu ukweli mtupu huo ila tunaokumbushwa tunakumbushika? Au wengi wetu tuna ubongo bila akili yenye ufahamu na imaani mioyoni mwetu, msiba juu ya msiba. Tufungueni masikio macho na akili zetu.