Pole mama yangu we muoga kama mimi nadundwa usiku nikiulizwa na police nasema nilikua naota nikajikuta nipo uvunguni😪😪 naelewa maumivu yako sura yako inaonyesha kila kitu Mungu yu pamoja nawe
Mama anaonekana kashazoea usaliti usiombe mwanamke aliyzoea mumewe kuchepuka haogop alii mana kashazoea kesi kashafuma meng zaid ya hayo. Simama nae mama ndo mumeo alokupa mungu. Pole kipenz
Wake weng tunavumilia sana hawa ndo wale mbona mi nakula sinenepi😁😁 diet for what maisha yenyewe diet, mpk ukisikia mumeo yupo guest na demu hustuk unaweka maj jikon unapikia watoto ugali. Kuna wanawake wanapitia mazitooo hata kunenepa kwao mtihani.
Lakini hata macho yako baba yanabishana na mdomo Kwa asilimia kubwa lakini yupo Mungu juu ajuaye kweri yote na atatenda Kwa kweli iliyo kuu,kama ni masingizio ya walimwengu basi wamesingia pasipo singiziwa lakini kama niukweri na unaukataa amini ipo posho yako na utaipokea.

nasr miah Mama hana raha huyu , hapa anaigiza tu kumsaidia mumewe .
Nyumba zinahifadh meng
Sura yake inaongea
Mama anaonekana kashazoea usaliti usiombe mwanamke aliyzoea mumewe kuchepuka haogop alii mana kashazoea kesi kashafuma meng zaid ya hayo. Simama nae mama ndo mumeo alokupa mungu. Pole kipenz
nasr miah NDOA NA IHESHIMIWE NDOA NDOA TUUU HAWRA HAWARA TU
Hyooooo yameumbuka mlitaka gwajima na mkewe waachane mmeshindwa, NENO LA BWANA LITASIMAMA MILELE NA JUMAPILI TWENZETU KUSALI BANAAAAA
Hhhhhhhh ukweli ni ukweli, aache kula nje
Wake weng tunavumilia sana hawa ndo wale mbona mi nakula sinenepi😁😁 diet for what maisha yenyewe diet, mpk ukisikia mumeo yupo guest na demu hustuk unaweka maj jikon unapikia watoto ugali. Kuna wanawake wanapitia mazitooo hata kunenepa kwao mtihani.
Amekubali yaishe maana hataukivimba ndio yashamwagika
Lakini hata macho yako baba yanabishana na mdomo Kwa asilimia kubwa lakini yupo Mungu juu ajuaye kweri yote na atatenda Kwa kweli iliyo kuu,kama ni masingizio ya walimwengu basi wamesingia pasipo singiziwa lakini kama niukweri na unaukataa amini ipo posho yako na utaipokea.
dooh nakumbuka lile uno la gwajima tu. kuliko anachoongea uyu mama .. 😃😃😃
Fetry John Uno la uzazi ha ha ha .
Kununua kamba umenunua mwenyewe iweje kujinyonga unataka watanzanie tukusaidie, hilo lako askofu sio letu
Jitahidi tu mama uwe jasiri kama simba maana siku utakapoleta kisabengo, utarudi kwenu mashigambiti dakika hiyohiyo.
Kumbe aliezimama pembeni kama bodyguard ndie mkewe , Nadhani kafanana na Baba yake ha ha ha .
Bashite na ashindwe
Mnajikosha tu waumini wenu sasa kazi kwao lakini walishajua kama kondoo wa bwana wanaliwa vizuri tu
Ndo leo kumjua mama mke wa ngwajima sikuwa na mfahamu
Wajinga ndo waliwao,ila mwanaume anaejuwa nini maana ya ndoa hawezi mruhusu mkewe kwenda kwa gwajima kamwe!!