Mim ninavyoona itakuwa ni kweli ila ameamua kutafuta wema machoni pa watu badala ya kutubu kwa Mungu, kwani hapa TZ tunayo technologia ya kukata kichwa cha mtu na kuweka kingine? Imewezekana kwenye picha tuu na sio Video, iweje kwenye hiyo video iwezekane huku hatuna hiyo technologia?
Porojo tupu hizo.that was true expression of your like !
edit zinajulikana Bhana that was true.. umeshatenda dhambi umevunja amri ya sita ya Mungu ,pili unazidi kutenda dhambi kwa kusema uwongo...
Mzee acha kudanganya umma wenye macho
Acha kutudanganya.utuombe radhi sisi waumoni wako.
Unatufanya watu wazima kama hatuna akili, Tubu!
Mim ninavyoona itakuwa ni kweli ila ameamua kutafuta wema machoni pa watu badala ya kutubu kwa Mungu, kwani hapa TZ tunayo technologia ya kukata kichwa cha mtu na kuweka kingine? Imewezekana kwenye picha tuu na sio Video, iweje kwenye hiyo video iwezekane huku hatuna hiyo technologia?
Huyu kafanya anajiosha tuu
Nyinyi mnaosema amefanya mna uhakika acheni ujuha kagueni vizuri iyo picha mtajua jinsi ilivyotengenezwa sio askof gwajima acheni unyumbu
Edwini acha kujuwa itakua kweli ulikuwepo kushika kamela