Masha Allah, Jazakallahu kheri Sheikh wetu pia nawatakia ndugu zangu waislamu wote Ramadhani karim..Yaa ALLAH tunakuomba upokee ibada zetu na utujaalie mwisho mwema wenye barakah zako.....ameen
Mashallah tabarakkah Allah jazakallahu kheri mungu akujaze elimu zaidi ili tu faidi mawaidha yko na kufata yaliyo sawa na yaliyo amrishwa na Allahu subhanallah wattahalah
Allah akupe kila zuri la hitajio laki sheikh othman .Allah akusimamie ktk majukum yako ya kutuelimish ,Allah akulipe jazaa ktk mezani yak ya mambo ya kheri .nakupenda sana sheikh othman
TabaarakaAllah Rrahman. Allah azidi kutupa nguvu kwa sote tusikilize na tufahamu na wanaotutolea mawaidha Allah azidi kuwapa nguvu..Ameen na crew nzima ya KTVTZONLINE kuzidi kutuletea mambo mazuri kama haya..Ameen... Mdau wenu Faulata kutoka Canada..
🙌Alhamdulliah sheikh wng kipenzi ni siku nyingi Alhamdulliah Allah akupe nguvu tuko pamoja jazakaAllah kheri jmn Allah Yaa Rabbi walinde ma sheikh wetu ameen
Inshallah sheik nakupenda sana wallah mwenyezi mungu akuzidishie umuri wallah
Masha Allah, Jazakallahu kheri Sheikh wetu pia nawatakia ndugu zangu waislamu wote Ramadhani karim..Yaa ALLAH tunakuomba upokee ibada zetu na utujaalie mwisho mwema wenye barakah zako.....ameen
allah amu ifadhi sheikh othman daima na amkinge na kila ayna ya shari na amjaliye afya njema amin amin
MASHAALLAH SHEIKHE WETU TUNAEKUPENDA SANA KWA AJILI YA ALLAH ASANTE KWAKUTUELIMISHA ALLAH AKUZIDISHIE UMRI NA AFYA NJEMA UZIDI KUTUELIMISHA UMMA
Shukran
Jazzaqal khaire sheikh
Manshaallah shekhe othuman Allah amkujaaliye jannat mawaidha yako ukiyasikiliza unahis ubarid wa nafsi Kwa raha
Inshallah kheir sheikh Othman maalim
Mashallah tabarakkah Allah jazakallahu kheri mungu akujaze elimu zaidi ili tu faidi mawaidha yko na kufata yaliyo sawa na yaliyo amrishwa na Allahu subhanallah wattahalah
Allah akupe kila zuri la hitajio laki sheikh othman .Allah akusimamie ktk majukum yako ya kutuelimish ,Allah akulipe jazaa ktk mezani yak ya mambo ya kheri .nakupenda sana sheikh othman
Masha Allah shekhe wetu mwenyez mungu akujalie umri mrefu na akuepshie hasad za walimweng
Masha Allah Maalim Shukran
Mashaallah allah akubariki sana shehe wetu Othman maalim🙏🙏🙏🙏🙏🙏🤲🤲🤲🤲🤲🤲
MashaaAllah..hakika mawaidha yako kwangu yananipa fundisho, faraja, haipiti siku bila kusikiliza.. Allah akujalie pepo Sheikh Othman maalim
MashaAllah tabarakaAllah jazakumAllahu kheir
جزاك الله خيرا الأخ الفاضل، ALLAH akuhifadhi akupe ILI uweze kunufaisha umma zaidi
Amiin
Mashallah KTV pamoja na shekh Othman
Insha allh ustadh nakuskilza mno darasa lako Insha allh
Mashallah Mashallah sheikh wetu mada nzuri hii kuhusu ramadan
Masha Allah sheikh, Allah akupe siha njema, uzidi kunufaisha umma, na akupe umri mrefu.
Shukran sana ya shekhe
JazakAllahu khayr Sheikh
Mungu akupeumri mrefu sheikh othman wenyekheri na amani atujagalie st waisilam aturuzuku kwatima njema
Mashallah mi binafsi napenda sana mawaidha ya shekhe wetu othuman Allah akupe umrefu uzidi kutuelimisha inshallah
Mie pia
mashaallah shekh wetu
B gf4
4y6
TabaarakaAllah Rrahman. Allah azidi kutupa nguvu kwa sote tusikilize na tufahamu na wanaotutolea mawaidha Allah azidi kuwapa nguvu..Ameen na crew nzima ya KTVTZONLINE kuzidi kutuletea mambo mazuri kama haya..Ameen...
Mdau wenu Faulata kutoka Canada..
Allah ampe mwisho mwema sheikh Othman
Ahsante ktv online thnx for evrythng
Jazza'k Allahu feekum.
Salaam sheikh napenda sana mawaidha yako Allah akupe kheri na baraka je tawasiliana vipi na wewe salaam kutoka USA
🙌Alhamdulliah sheikh wng kipenzi ni siku nyingi Alhamdulliah Allah akupe nguvu tuko pamoja jazakaAllah kheri jmn Allah Yaa Rabbi walinde ma sheikh wetu ameen
Mashaallah mashaallah allah akuzidishie elmu tuzidi kufaidika
Yarabi tunakuomba utukubalie swaum zetu inshallah
Allah atutakabalie swaum zetu..Allah akupe umri shekh wetu.Naskizia nikiwa Qatar
Mariam Mariam Qatar wapi
n
Maa shaa Allah Mariam tujuane nipo muaithar... Allah akuhifadhi
MASHAALLAH.SHUKURAN
Jazakkaallah
MWENYEZI MUNGU ATUFUSHE SALAMA KWENYE HII DUNIA PAMOJA NA WAZAZI WETU..... 🤲🤲🤲
ameen yaa rahman 🙏🏾
Aamin ya rabbi
Amiin
Thnx sana sheikh
Allahuma ameen yaraby
Masha Allah.
Que allah lhe deê barka o sheh Ossuman e outros shehs no Mundo.
aamen para ti tambem
Jazakaruh khaila
MashaAllah Allah akulipe ujira wako nasi Allah atujalie kupenda maneno ya Allah
Masha Allah
Maa shaa Allah... Shukraan Sanaa. Tupo mbali +254 na nyumbani ila tunafaidika na mawaidha... Alhamdulillah 🤲
KTV onlie twende wote
jazakallah
Allah akuhifadh shekh wetu
Mashallah
Jazakalah kheir,nafatilia mawaiza nipo burundi,mungu atukubalie funga zetu
Mashaallah tabaraka llahu
Kipenzi cha vijana othuman maalim
Allah huma swali ala saidina muhammad waala alihi waaswhabihi wasalam ❣️❣️❣️
Maashaallah,
Masha Allah shukurani
Ktv online jazzah yenu iko kwa allah.Mawaidha hayanipiti na khutba za ijumaa.Allah atutakabali swaum zetu ummat muhamad tuipate hiyo Tatakun .
Vl
Amin
nipo mexico nawapata vzr mashallah.allah swt atukubalie swaumu zetu
Maasha allah Allah akupe nguvu uzidi kutupa mawaidha insha allah
Maa shaa Allah Ali....Aameen
MaashaAllah
Allah awalipe malipo ya juu sana. Tunafatilia darsa ya ustadh Othman Maalim tukiwa nje ya Zanzibar.
Mohaa 007 majin
Moha mambo
Shuklani sheikh 🙏🙏
Mwenyezi Mungu akupe maisha marefu
Asante shekhe
Jazzakallahu kheir
manshallah sheikh wetu nakufata nikiwa congo uvira,hapa naona umesema kuhusu fadhila za kula daku kweli nivizuri kuamuka kula daku sasa mimi nipo natatizo moja nikiamuka kula daku usiku ntumbo linashinda naniuma kutwa zima sijuwi nikuwe nafaaje sheikh
masha allh
Naskiz nikiwa UAE mashallah nafarijika sn nikiskz mawaidh yko
Masha Allah,, Allah akupe umri uzidi kutuelimisha
Shukran sana sheikh wetu
Wallai mm nashukuru kwa aya niliosikia kuto kwa usitadhi Othman malimu Allah akuzidishi ALLAHMAMIN
Allah akupe kheiri akuondoleye Shari
Mwenyezimungu tukubalie saumu zetu,ibada zetu tujalir pepo ya firdaus na sheikh wetu aaaamim
Yaa Allah tujaalie pepo siku yakiama amin
Hongera na Allah akupe power uzidi kutujunza Umma wa kisilan nakupat mubashar nikiwa oman
Sheikh Uthman Allah akupe kila la kheri, nakupenda sana kwa ajili ya Allah
Maashaallah shekhe wetu ndevu zimekupendeza usizinyoe
Shuqran jazzillah
Alaah akujaze kheri
Mashaallah
manshaallah nimekupata nikiwa oman nimefulahi nimejifunza
Allah jallar atupe mwisho mwema in shaa allah
Shukran kwa ku2elimisha shekhe w2
Barakallah Sheikh
Jazaakallahu Kheir
Nafuatilia kutoka Germiston.... South Africa
Nakupenda sana wewe shehe Kwaajili ya Allah
mashaAllah
vinanda vyachukua mda sana
Mungu akujalie mwisho mwema Amin
Mashaallah nakupenda sana kwajili ya allah
mwaka jana ilikuwa poa san tunapata mawaidha mapya mapya, nawaomba mtuekee mamb matam in sha allah
Allah atujalie kila la kheri
Kareem ni jina la Allah I think we should say Ramadhan Mubarak
yaallaah
Nakupenda ustadh kwa ajili ya Allah
Maa shaa allah jazakallahu khairan wabarakallahu fikum allah akuzidishie umri mrefu wenye baraka tele
Halima
Nomba mtuekee mawaidha mapya.
Alihamdulilah
Asalamu alaykum anogroup LA mawaidha naomba link
🙏🙏🙏
Nawapata vzuri nikiwa oman
Asalam alykum me nilikua naomba jina la hiyo tone ikiwa yaanza
Allah akulipe pepo
M.a
Shuran
Kama ntaweza jamani kupata mawasiliano yake jamani mnisaidie nnashida naye kubwa sana kiukwel
Turushie muendelezo wa darasa za sheķhe Othman naangali nikiwa Muscat oman
Kwani bila ya music haya mawaidha hayasikiki