ELSEWEDY & GEARED, UMEME SEMINAR, DAR 2023 !

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ส.ค. 2024
  • #elsewedy#electric#umeme#
    Semina kwa Wadau wa Umeme iliyoandaliwa na Geared Engineers Ltd kwa Udhamini wa ELSEWEDY ELECTRIC, Imefanyika 21/03/2023 Jijini Dar es salaam Ukumbi wa Kimataifa Kisenga LAPF International Conference Center Kijitonyama/Makumbusho. Mambo mbalimbali yahusuyo Umeme na Bidhaa za Umeme yalijadiliwa.
    Usiache ku-subscribe, ku-like, ku-comment na ku-share video zetu kwa wengine ili wapate elimu kuhusu umeme.
    .
    Kwa Mawasiliano:
    LINE 1: +255 785 911 260
    LINE 2: +255 655 290 333
    .
    Tufuate mitandaoni:
    INSTAGRAM: / gearedconsulttv​tz
    FACEBOOK: Geared Consult TV
    WEBSITE: geared-consult...​
    #Umeme​ #GearedConsultTV

ความคิดเห็น • 6

  • @hasanmembe3357
    @hasanmembe3357 ปีที่แล้ว +1

    Ahsante sana eng warda kwa masomo yako tutakuwa mabalozi wako huku mtaani

  • @rashidimpili
    @rashidimpili ปีที่แล้ว +1

    Hii siku ilikuwa Safi nmekutana na watu tofauti nmegeini vitu

  • @EzekielDaudi.
    @EzekielDaudi. ปีที่แล้ว +2

    Hii siku nilijifunza Sana vitu vingi kama engineer mwanafunzi wa electrical engineering,,,,,,,,shukrani sana engineer warda esta

  • @Hatikvah333
    @Hatikvah333 ปีที่แล้ว

    Great Discussion. Mimi kama mwalimu nimependa namna semina ilivyokuwa shirikishi. Pia topic ambazo zimejadiliwa hapa ni za moto sana. Issue ya rangi za nyaya na size ya tail wire ni muhimu sana. Nashauri kila mtaalam wa umeme atumie muda wake kumfuatilia Eng Esther pia kupitia mitandao ya kijamii
    Anatoa elimu ambayo imesaidia wengi kwenye tasnia ya umeme.