je inafaa kuswali nyuma ya masalafi ? | Sheikh Salim Barahiyan

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น •

  • @abdallahmoussa614
    @abdallahmoussa614 3 ปีที่แล้ว +20

    Masalafi Allaah azidi kuwapa umri mrefu weny kheri mana wametutowa katika ujinga mkubwa alhamndulilahi leo mtu aweza kumjuwa msufi, hizbi, khawariji.....

  • @tasliyaah
    @tasliyaah 3 ปีที่แล้ว +4

    ALLAAH akuongoze Mudiyr barahiyani mana umri unaenda lakini huachi kusema uongo!

    • @awesuawesu6082
      @awesuawesu6082 2 ปีที่แล้ว +1

      Allah amuongoze katika njia ilio nyooka

    • @tasliyaah
      @tasliyaah 2 ปีที่แล้ว +1

      @@awesuawesu6082 Atongoze sote ALLAAHUMMA AAMIYN

  • @alhajjimuftyburma4472
    @alhajjimuftyburma4472 3 ปีที่แล้ว

    Mashaallah mwenyezimungu azidi kutupa Iman katika dini yetu

  • @ibnayub2374
    @ibnayub2374 3 ปีที่แล้ว +7

    Nlisikia kua mzee barahian elim yake Bado Inahitaji msasa kumbe n kweli.

  • @aminaosman3315
    @aminaosman3315 5 หลายเดือนก่อน +1

    ,kudhulumu yatima na mjane ndio Sawa kwa answari WA said janjira Sawa mlivyowadhulumu Allah anawaona inshaallah

  • @stonecolly
    @stonecolly 2 ปีที่แล้ว

    Allah akupeni muongozo . Ndugu zanguni . masalafi wakweli na waongo ... mana bwana salim na mafuta . hatujui yupi mkweli.

  • @binali3871
    @binali3871 3 ปีที่แล้ว +6

    Mukiweka comenti zenu wekeni kwa uslubu utakaomjulisha msomaji yakwamba nyinyi ni wautu muliofunzwa ktka mrkaz ya watu wenye Adabu na murwa msioneshe ujahili kama watuwasiona mafunzo ya uislam

  • @AbuuKhayraat
    @AbuuKhayraat 3 ปีที่แล้ว +4

    UJINGA UNA FANI NYINGI SANA NA HUU NI MOJA KATIKA FANI ZAKE. ALLAH AKUONGOZE MUDIYR

    • @khamisjuma8813
      @khamisjuma8813 3 ปีที่แล้ว

      Wewe kwanza nijibu swali langu kwnz. Ktk salafy wamo watovu wa adabu na wenye maneno kunya?

    • @AbuuKhayraat
      @AbuuKhayraat 3 ปีที่แล้ว

      @@khamisjuma8813
      Swali gani Kijana Wetu?
      Utovu wa Adabu Upi?

    • @abuukhairat7738
      @abuukhairat7738 3 ปีที่แล้ว

      Ahsanteeee

  • @amenakenya7993
    @amenakenya7993 3 ปีที่แล้ว +3

    Dahhhhh subhnllah ww mzee mche Allah mwanzo mimi na shukuru kwakuwa muislamu na kuwa salafi ww mze tubiya dah

    • @khamisbakar7637
      @khamisbakar7637 3 ปีที่แล้ว

      Nini maana salafi?

    • @ameerzulfiquar2111
      @ameerzulfiquar2111 3 ปีที่แล้ว

      @@khamisbakar7637 kufwata Quran na sunnah kwa faham ya Salafi waliopita

    • @nasibuabasi4701
      @nasibuabasi4701 3 ปีที่แล้ว

      @@ameerzulfiquar2111 muislamu yupoje na salafi yupoje?

    • @guardianofthebibleftdavidw4001
      @guardianofthebibleftdavidw4001 3 ปีที่แล้ว

      @@nasibuabasi4701 ni kawaida ya makhurafi kama wewe kutoelewa

    • @nasibuabasi4701
      @nasibuabasi4701 3 ปีที่แล้ว

      @@guardianofthebibleftdavidw4001 shukrani bwana boni mwaitege🤣😂🤣😂

  • @allytwalibjr.6431
    @allytwalibjr.6431 3 ปีที่แล้ว +4

    ALLAH amuongoze huyu

  • @bombo45
    @bombo45 3 ปีที่แล้ว +2

    Kumbe huyu mzee ndio barahiani laaaaaa
    Allah akuongoze kwenye haqi

  • @hassanihamishassanihamis351
    @hassanihamishassanihamis351 3 ปีที่แล้ว

    Masha allah

  • @hassanmtalikwa4082
    @hassanmtalikwa4082 3 ปีที่แล้ว +1

    Innalillah wainnailahi raajiuuni

  • @hemedwow8802
    @hemedwow8802 3 ปีที่แล้ว

    mtihan sana wallah...!!leo uislam una makundi makundi.kila mtu ajiona yeye bora kuliko mwenzake.yani dk 1 tu mtu kakuparamia utosini!.wema waliopota wako weeeengi sana,na kiongoz wetu ni mmoja mtume(s.a.w.w)mgogoro wote huu,mwanzo wake ni pale tulipokosa kiongoz baada ya kufarik mtume....!!HUO NDIO UKWELI.

  • @husenisiraji9960
    @husenisiraji9960 3 ปีที่แล้ว +1

    Mche Allah matendo yap masalaf wanayafanya yanapishana na wemaa walio tanguliaa mbhn unatuhumu watu muogope Allah

    • @suleimansheshe8490
      @suleimansheshe8490 3 ปีที่แล้ว

      Babu mengi tu ikiwemo kujiona Bora ba wema kuliko wote

    • @karimulahiabdullahi6816
      @karimulahiabdullahi6816 3 ปีที่แล้ว

      Kupinga Jihaad, Kibri,ujbu, na kuwaita Khawaariij Waislam wanaopigania Daulatul islaamiyyah. Wanajitahidi katk Sunnah Allaah awalipe kwa Hilo, lakini usipokuwa katika safu zao wewe si Salafi.

  • @abumaryam283
    @abumaryam283 3 ปีที่แล้ว +3

    Hiyo ayaa haisomwi hivyo irejee katika surati najimii ayaa 22 haisomeki kwa twiizaa
    Kaa chini usome kwanza qaidat nnuraniyaaa

  • @yusuphharid7204
    @yusuphharid7204 2 ปีที่แล้ว +1

    Ok

  • @77bakarijuma77
    @77bakarijuma77 3 ปีที่แล้ว +6

    Sasa Mudiyr wazunguka kweli dah..... Wafurahi kweli. Da'wah salafiyah itaendelea Biidhnillah

    • @ismailyusuf3755
      @ismailyusuf3755 3 ปีที่แล้ว +1

      Daawa inaendelea tangia zamani tu tatzo n nyinyi mnaoleta vurugu hamna tofauti na makhawaariji

    • @77bakarijuma77
      @77bakarijuma77 3 ปีที่แล้ว

      @@ismailyusuf3755 shukran kwa kuniita khawaarij

  • @abuuyunusnassor446
    @abuuyunusnassor446 3 ปีที่แล้ว

    Mtihani kwa kweli

  • @dhayondrama9907
    @dhayondrama9907 3 ปีที่แล้ว +1

    Haya makundi hayana faida hata moja mmekuwa maadui nyinyi kwa nyinyi waislam

    • @awesuawesu6082
      @awesuawesu6082 2 ปีที่แล้ว

      Tambua kaka yangu MTU yoyote atakae zua katika dini sisi masalafi hatu wezi kuacha kitu hicho kitawanyike kwa waumini na kasome dini ili ujue nini maana ya manhaj salafi inshaalah

  • @arafatmanga
    @arafatmanga 3 ปีที่แล้ว

    mawahabi mnapambana!

  • @hamadatahir9307
    @hamadatahir9307 3 ปีที่แล้ว +1

    Usufi umekujaje wakati umeulizwa swala la salafi?

  • @abuumansoor
    @abuumansoor 2 ปีที่แล้ว

    Salim barahiani #mdiru Jibu yale maswali kumi uloulizwa na hasimu wako kama wewe ni mkweli...we si unaelimu bhn ....jibu walau moja ...

    • @maalimhamad1297
      @maalimhamad1297 9 หลายเดือนก่อน

      Ajibu nini acheni ujinga

  • @ibrahimually1196
    @ibrahimually1196 3 ปีที่แล้ว +1

    We mzee ni mûhuni kama wahuni wengine

  • @abdullahalbalushi3856
    @abdullahalbalushi3856 3 ปีที่แล้ว +2

    Uwo mwisho ws vikundi visokua potofu.kugombana wenyewe kwa wenyewe.size yenu

  • @abrahamansaidi8631
    @abrahamansaidi8631 3 ปีที่แล้ว +1

    SALIM BARAHIYAN naomba hiyo fatawa ya masalafiy waliosema haifai kuswali nyuma ya maanswari sugu

    • @ebrahimadan3630
      @ebrahimadan3630 3 ปีที่แล้ว

      Abrahaman Saidi, Duh!! Subhanallah mbona hivi? Masalafiy ni wepi na Maanswari sugu ni wepi na wote wanafuata manhaji gani? Tuelimishe Akhi.

    • @mbjunior166
      @mbjunior166 ปีที่แล้ว

      Punguza chuki sheikh na uwe muslih na wala usiwe mufsid utafanikiwa. Allah atuongoze ww na mm

  • @mohamedabdul2045
    @mohamedabdul2045 3 ปีที่แล้ว +2

    Huyu hizbi Mkubwa hajielewi,nyinyi sio watu wa Sunnah,.

    • @mussakantumba824
      @mussakantumba824 3 ปีที่แล้ว

      Wewe umeingia kwenye moyo wake Hadi ukajua kuwa yeye sio Mtu wa Sunna?

    • @neemafatu471
      @neemafatu471 2 ปีที่แล้ว

      @@mussakantumba824 mtihani sana yani

  • @SeifAlly-g9i
    @SeifAlly-g9i 5 หลายเดือนก่อน

    Hehehe kumbe ala ndiohivyo hehe

  • @hassanhhassan6309
    @hassanhhassan6309 3 ปีที่แล้ว +1

    Waaislamu mtume kabla hajaondoka alisema nimewaachia kitabu cha Allah na sunna zangu, Wislamu tunapotea kwa kuacha aliotuachia mbora wa viumbe, badala yake tunafata shekhe amesema, shehe amefanya na ndio maana tunazozana leo hii na kuitana masufi, masalafi, mahizbu hawa motoni hawa peponi, ni ujinga mtupu kukufurishana sisi kwa sisi waislamu.

    • @awesuawesu6082
      @awesuawesu6082 2 ปีที่แล้ว

      Utaijua vp hio qur an bila ya kufuata mashekhe wa haki ili wakfundishe Tafuta elimu kaka yangu wa kiislam ndio mtume amekiwacha kitabu yani qur an na sunnah zake Je! Kwa nini mtume hakupewa tu icho kitabu akaambiwa haya kifuate .Mtume Muhammad (s.a.w) alikua pia anamwalimu wake Jibril(a.s) kwa hiyo kutafuta elimu ni jambo LA msingi si kukaa ukatoa akilini vitu katika dini na msimamo wa kweli ahlussalafi ndio msimamo wa kweli kwa sababu maana ya ahlu salafi ni watu wema walio tangulia na masalafi wanajiepusha sana na mambo ya uzushi katika dini ...Nakushauri kaka yangu Tafuta elimu kwanza kupitia hawa masalafi utajua haki iko wapi .Ahsante

  • @hassanmati4861
    @hassanmati4861 3 ปีที่แล้ว

    Maasha Allah

  • @abdulahmadimkabakuli6342
    @abdulahmadimkabakuli6342 3 ปีที่แล้ว +1

    Jibu ndogo maneno mengi Shekhe

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 3 ปีที่แล้ว +4

    Subuhanallah huyu babu mtihani

  • @nassorbinfundi1196
    @nassorbinfundi1196 3 ปีที่แล้ว

    Nawewe shekh unauzee gani kaka

  • @bigmanfish6346
    @bigmanfish6346 7 วันที่ผ่านมา

    Sheikh barahiyani wacha kupinga kazi ya Tabligh. Watu wanafanya juhudi kulala misikitini, kuingia vichochoroni, kuacha kazi zao na family zao ajili kukumbusha waislam. Je wewe waweza hivo??

  • @suleimankhalfan6938
    @suleimankhalfan6938 3 ปีที่แล้ว +1

    Kweli vijana wa salafy wana maneno machafu xana

  • @abusumayyah2338
    @abusumayyah2338 3 ปีที่แล้ว +2

    Hakuna aya wala hadithi kubainisha hilo bali ni kejeli tu

    • @amourmattar773
      @amourmattar773 3 ปีที่แล้ว

      Mimi ni ibaadhi niliswalisha mmoja katiyao alikata swala

  • @Muswlih
    @Muswlih ปีที่แล้ว

    Swali la kizushi

  • @abdallhiiddi7280
    @abdallhiiddi7280 3 ปีที่แล้ว

    Kumbe wajua umepotea kwanini usirudi katika njiaa

  • @aminaosman3315
    @aminaosman3315 6 หลายเดือนก่อน

    ,zungumzia dhulma kama dhambi kama wewe kweli unamuogopa allah

  • @mufydal-harousy5939
    @mufydal-harousy5939 3 ปีที่แล้ว +2

    Bakora ya Allah
    Mawahabi wenyewe kwa wenyewe
    Vita

    • @At-tibyaan101
      @At-tibyaan101 3 ปีที่แล้ว +2

      Uwahabi ndio nini kaka

    • @cideboy4676
      @cideboy4676 3 ปีที่แล้ว +1

      Bora uendelee kusoma khitma na kucheza kiduku huku waachie wenyewe😏

    • @bahashachembea6922
      @bahashachembea6922 3 ปีที่แล้ว

      Na bado mwisho watatiana mboko

    • @adamh1751
      @adamh1751 3 ปีที่แล้ว +1

      Hapa kuna tafauti kabisa na salafiyun wenyewe na huyu mzee, huyu mzee yeye ni hizbi nani lazima ujuwe utafauti wa hizbi,sufi,na mtu wa bidha, na shia na wengine wengi tu.. sasa ww mwenye akili timamu na ilmu ya dini utaweza kujua wapi kuna haki ya kisawasawa

    • @sadahgullam8228
      @sadahgullam8228 2 ปีที่แล้ว

      @@adamh1751 tukasome dini hali ni mbaya Allah atupe salama naogopa wallah kila kundi linajiona lenyewe liko ktk haqq

  • @bacteria5184
    @bacteria5184 3 ปีที่แล้ว +3

    Swadakta wana wadharau wanachuoni na raddi za kijinga.

    • @bahashachembea6922
      @bahashachembea6922 3 ปีที่แล้ว

      Kweli

    • @husnamohamed9448
      @husnamohamed9448 3 ปีที่แล้ว

      Hawa ni wema waliopo kwa sasa hivi.Ukiwa huko pamoja nao basi ujue raddi inakuhusu

    • @bacteria5184
      @bacteria5184 3 ปีที่แล้ว +1

      @@husnamohamed9448 radi mambo za ikhtilafat ni kutafuta sifa na nani kakuambia ni wema?Allah ndo anajua aliyekuwa mwema sio masalafi ambao kibri inawafanya utadhn wamebashiriwa pepo. Narudia mwogopeni Allah

    • @bahashachembea6922
      @bahashachembea6922 3 ปีที่แล้ว

      @@bacteria5184 Safi sana akhy

    • @mussakantumba824
      @mussakantumba824 3 ปีที่แล้ว +1

      @@bacteria5184 Wanaojiita masalafi: Wana mioyo michafu kwa kuwa hawana Adhkaari ili kuisafisha mioyo yao!! Adhkaari Ndio inayoleta : Hofu ya Allaah, Kutokua na wivu, Aadabu, Hekima, upendo kwa Waumini, kuwahurumia wasiofanya ibada, kutojiamini kuwa utakwenda peponi, kuomba Sana mwisho mwema, kudumu na Adhkaari ili kuendelea kupata msaada wa Allaah.Ko wanaojiita; Masalafi Hawana Hayo!! Ndio Maana unaona hawana Aadabu za Kidini.

  • @daatyabdul652
    @daatyabdul652 2 ปีที่แล้ว

    naomba mnifahamishe ivi
    Ile ''Aya inayosema msife ila Ni waislam '' Kama sikosei yaamanisha nn na ilishushwa kwa kina Nani

    • @awesuawesu6082
      @awesuawesu6082 2 ปีที่แล้ว +1

      Sawa Sawa wewe utakubali kufa muislamu kisha uadhibiwe kwa uzushi unao fanywa hivi sasa.Aya ndio imesema hivo kwa sababu mtume amehimiza sana MTU aji tahidi kufa haliakua awe muislamu . kwasababu muislamu akifa haliakua muislamu ataadhibiwa kadri ya madhambi yake kisha Allah atamtoa katika moto wake na kumuingiza peponi ambae hakumshirikisha Allah(s.a) .Je wewe utakubali kuadhibiwa na Allah(s a) kisha uingizwe peponi! Kwasababu hivi sasa watu waislam lakini wanazua mambo katika uislam na msimamo wa kweli hivi sasa nakushauri nenda kasome dini katika markaz za kisalafi .Utajua ni ipi haki ya kweli inshaalah

  • @rashidishabani3604
    @rashidishabani3604 3 ปีที่แล้ว +1

    Mche mola wako mzee

  • @hassanhhassan6309
    @hassanhhassan6309 3 ปีที่แล้ว

    Unapataje nguvu muislamu unajiita salafi.. Salafi ni watu wema walipita na wao hawakupatapo kujiita salafi..

  • @Ibrahim-se4mx
    @Ibrahim-se4mx 3 ปีที่แล้ว +1

    Mzee bado hajatoa hoja za kidalili uovu wa hao masalafy...hawaaa za nafsi yako hatari

  • @abaafarhat9191
    @abaafarhat9191 3 ปีที่แล้ว

    Mimi sivutii upande wowote ila ni muislam kuiga wema waliopita ni sahihi sana tena sana kusema masalafy ni mafaski huna tofauti na hicho unacholalamikia aliyetukana na wewe mbona hamna tofauti coz ni sawa ni mlipa tusi kwa tusi mi sio shekhe nasema hivi salafy, Answar sijui nani hata wewe hapo shekh ni ndugu yangu katika imani mi naona kuwasema vibaya ndugu zako katika midia haifai hapo huna tofauti na unaolaumu

  • @abuuahmad623
    @abuuahmad623 3 ปีที่แล้ว

    Mzee barahiyyani ww ni mtu wabidaa wacha kuwatukama masalafi

  • @tahiraabdul1701
    @tahiraabdul1701 3 ปีที่แล้ว +1

    We pia umegonga wengi,chukua zamu ya vimondo

  • @yussufmohamed3270
    @yussufmohamed3270 3 ปีที่แล้ว +1

    Kazi yako kukufurisha watu tuu

  • @shabanimussa4269
    @shabanimussa4269 7 หลายเดือนก่อน

    shekhe wa mchongo vip mbona umekimbizi watu waliokuwa wanasaidia watu hopo umeifunga sifaa nikwanini?

  • @salehal-oufy5380
    @salehal-oufy5380 2 ปีที่แล้ว

    Hawa masalafy wote ni matatizo wamekosa uchamungu

  • @mohamedkachapa2676
    @mohamedkachapa2676 2 ปีที่แล้ว

    Kwahy shekh muqbil pia ni salafy uchwara???

  • @Zuwenamachela
    @Zuwenamachela 2 ปีที่แล้ว

    اخوارج هذا الزمن السلفيون هداهم الله قبل الموت

  • @abdallhiiddi7280
    @abdallhiiddi7280 3 ปีที่แล้ว +1

    Ndio mana alikoswakoswa moshi

  • @anuourykinye8685
    @anuourykinye8685 3 ปีที่แล้ว +1

    huyu ni bonge la hizbi mubdadian quhuu

  • @HamadiMiraji-q9e
    @HamadiMiraji-q9e 5 หลายเดือนก่อน

    Uyu.shehena.nae.hanaelimu.hatakidogo.

  • @hamzamwaya463
    @hamzamwaya463 2 ปีที่แล้ว

    Mzee jibu swali kutokana na msingi wa swali, naomba usijib kwa hisia kwa kuona muulizaji ameuliza swali kwa sababu ya kikundi fulani

  • @abdulahmadimkabakuli6342
    @abdulahmadimkabakuli6342 2 ปีที่แล้ว

    Jibu ndio au apana mzee unazungukaaa

  • @shabanimataka8418
    @shabanimataka8418 2 ปีที่แล้ว

    tz uislam upo ktk vtabutu na sio kwa watu, akuna yyte mwenye ukweli,,

  • @jumanneissa8226
    @jumanneissa8226 3 ปีที่แล้ว +3

    Muulizaji jahil mjibuji pia jahil

    • @lilianmakwati5228
      @lilianmakwati5228 3 ปีที่แล้ว

      Tulia sindano ikuingie

    • @jumanneissa8226
      @jumanneissa8226 3 ปีที่แล้ว

      @@lilianmakwati5228 sawa hizb

    • @tamimumelly3581
      @tamimumelly3581 3 ปีที่แล้ว +1

      Uko sawa kabisa kwanza huyo mzee hana elimu hata ya iptidai

  • @SameerMdumbemalongo
    @SameerMdumbemalongo 2 ปีที่แล้ว

    Jee inafaaa kuswali kwa mtu mpiga ngoma.....anacheza maulidi????

  • @abdallhiiddi7280
    @abdallhiiddi7280 3 ปีที่แล้ว +1

    Umetoka ww unazulumu waislam kwa kula mali zao japo ukweli unauma

  • @jumaothman9449
    @jumaothman9449 3 ปีที่แล้ว

    Sijui huyu kuwa si shia isna-asharia

  • @milley7185
    @milley7185 ปีที่แล้ว

    Maserafi ni nini mimi mkristo ningependa kujua

  • @MariamUmande
    @MariamUmande 8 หลายเดือนก่อน

    Masalafiya jadidah Ni mtihani mkubwa kabisa

  • @abeidmbano3941
    @abeidmbano3941 8 หลายเดือนก่อน

    Hii nidhambi ya kuwagawa waislam inawatafuna nabado hamtaishia hapo mtaganyika tena.

  • @allymahaba3425
    @allymahaba3425 ปีที่แล้ว

    Anaefuata Quran na Sunna anaitwa Muislam sio salafi. Hili ndio jina tulilopewa ktk Quran. Hakuna mahali tumeitwa Salaf. Kwa nini watu mnajiita majina ambayo Allah Hajawaiteni? Mna matatizo gani? Kwa nini jina la Uislam hampendi kulitumia mnapenda Salaf?

    • @Kekulebenzene
      @Kekulebenzene 9 หลายเดือนก่อน

      Shia muislamu, khawarij muislamu, salaf muislamu, Sufi muislamu, nk nk nk waislamu
      Hao wote wanafuata kitabu na Sunnah?
      Unawatofautishaje?

  • @leonardmbonea4117
    @leonardmbonea4117 2 ปีที่แล้ว

    lizee la kihizbi

    • @mbjunior166
      @mbjunior166 ปีที่แล้ว

      Punguza chuki kaka na ulazimiane na kua ni mtengenezaji na usiwe mwenye kufisidi kumbuka ipo cku utaulizwa

  • @sharifutwaybu8160
    @sharifutwaybu8160 2 ปีที่แล้ว

    Firiauni alijiita yeye Allah je yeye alikua Allah kweli? Acheni ujinga nyinyi mwajiita salafi nawakati hamuendani na Salafi. Salafi hawakua hivo Kama nyinyi kazi yenu NI kutukana watu na kujiona nyinyi NI Bora kuliko wengine hiyo NI hatari sana kwenu

  • @mutomubaya
    @mutomubaya 2 ปีที่แล้ว

    Mimi nashangaa Mtume, Swalla Allahu alayhi wa sallam, ametufahamisha kwamba Tukishimana na Qur'an na Sunnah hatutapotoka abadà. Kwa hivyo, vipi Sheikh Barahian, ambaye amepigania mafundisho ya Quran na Sunnah tangu enzi Waislamu Afrika mashariki walikuwa kwenye giza .. leo atajwa kwamba hayumo ....katika Sunnah....ki vipi..?

  • @HamadiMiraji-q9e
    @HamadiMiraji-q9e 5 หลายเดือนก่อน

    Ww.baluani.unavuta.shisha

  • @mohammedkimanga8960
    @mohammedkimanga8960 3 ปีที่แล้ว +3

    Salafi wa saa kzi yao kubwa ni kukosoa wenzao na kujiona wko sawa wao waeza sema pepo iko mikononi mwao

    • @bahashachembea6922
      @bahashachembea6922 3 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisa

    • @husnamohamed9448
      @husnamohamed9448 3 ปีที่แล้ว +1

      Hata mimi nakuunga mkono haswaaaa

    • @mussakantumba824
      @mussakantumba824 3 ปีที่แล้ว +1

      Yaani Cha kushangaza: Kuna wanazuoni wakubwa sehemu mbalmbal Duniani ambao Ni Alama ya Dini ambao wamefanya kazi kubwa kuwalingania Watu na kuwaleta kwa Allaah, Na Wengine Ndio waliotufanya tuujue na kuipenda dini hii ya Allaah!! Ila wao, Wanaojiita: Masalafi wanawahukumu upotevu

  • @HamadiMiraji-q9e
    @HamadiMiraji-q9e 5 หลายเดือนก่อน

    Ww.namadevu.kama.mbuzi..na.mjinga.mwezio.mtoto.wa.bachw.hajasomahata

  • @JailaniRamadhan-it3kp
    @JailaniRamadhan-it3kp 8 หลายเดือนก่อน

    Hiki kizee hakina adabu nanitabia za mawahab??

  • @zanziboysaid952
    @zanziboysaid952 3 ปีที่แล้ว

    W unaewasema Masufi c ndio ww unaeshirikiana nao ww Barahiyani ktk mamb yenu huko,Barahiyani ww ni mtu wa madili,n nani aliekwambia sisi hatuswali nyuma yetu ww

  • @alhashimy2625
    @alhashimy2625 3 ปีที่แล้ว +1

    Baarahyani wewe mwenyewe ni mtu wa matusi, na umetukana sana mashekh wengi, kwahiyo malipo hapa hapa duniani babuuu

  • @khaalidcheo5383
    @khaalidcheo5383 3 ปีที่แล้ว

    Uyo shekh kapinda mana vijana wamegongagonga sana ndio mana awachukia masalafi.ana jipya

  • @sharifutwaybu8160
    @sharifutwaybu8160 2 ปีที่แล้ว

    Masalafi feki inatakiwa muelewe Nini mzee kamaanisha siyo mnalopoka tu ndiyo maana mnaitwa salafi uchwara kutokana na kulopoka kwenu

  • @gkenjimuhammad424
    @gkenjimuhammad424 3 ปีที่แล้ว

    Sheikh uchwala

  • @abdallahsaid7177
    @abdallahsaid7177 3 ปีที่แล้ว

    ان الذين فرقوا دينهم وكانوا شيعا لست منهم في شي انما امرهم الى الله ثم ينبهم بما كانوا يفعلون Al anaam 159
    Haijuzu wala haifai kujigawanya katika dini ya Allah na yeyote yule anaegawanyika awe atakaekuwa basi ataingizwa motoni. Awe sunni au shia au salafi au, au, au.
    Shauri yenu

    • @awesuawesu6082
      @awesuawesu6082 2 ปีที่แล้ว

      Jua kabla ya hayo salafi ni nini

  • @abdiomar6832
    @abdiomar6832 3 ปีที่แล้ว

    Huuuu ujinga acheni

  • @jumangodu2402
    @jumangodu2402 3 ปีที่แล้ว

    (تِلۡكَ إِذࣰا قِسۡمَةࣱ ضِیزَىٰۤ)
    Twiiza maana yake nini?
    Aya haikuja hivo mudiru
    Tuletee ushahidi salafi aliyesema kuwa inafaa kuswalia swala za kawaida na manswari ila idi haifai
    Acheni uongo nyinyi watu muogopeni Allah
    Haya mnayofanya yatawdhuru nyinyi na sio hawa wanaowaita salaf uchwara

  • @HamadiMiraji-q9e
    @HamadiMiraji-q9e 5 หลายเดือนก่อน

    Ww.pepo.huna.mwehu.mkubwa.ww

  • @tamimumelly3581
    @tamimumelly3581 3 ปีที่แล้ว +1

    Wew mzee ni mwehu
    Nahisi anavuta mbagi huyu mzee apimwe na akili

  • @hamadatahir9307
    @hamadatahir9307 3 ปีที่แล้ว +1

    Misikiti ambayo hawatukani watu ni Masufi tuu peke yao baaaas.

    • @bahashachembea6922
      @bahashachembea6922 3 ปีที่แล้ว

      Swadaqta

    • @mussakantumba824
      @mussakantumba824 3 ปีที่แล้ว +1

      Tena huko kwa masufi ndiko hata Mimi nilipata uchamungu wa kumtaja Sana Allaah, kumswalia Sana Mtume, Aadabu, nk.

    • @bahashachembea6922
      @bahashachembea6922 3 ปีที่แล้ว

      @@mussakantumba824 MashaAllah!

  • @nurbahsan7615
    @nurbahsan7615 3 ปีที่แล้ว

    Nani kasema ....ulimsikia sheikh gani wakisalafi akisema kua inafaa kuswali katika misikiti yenu eeeh nyie makhurafi acheni uwongo

  • @eng.saalim8646
    @eng.saalim8646 3 ปีที่แล้ว +2

    Hivi tukisema watu kuwa na matusi kuna anaemshinda barahiyaan. Mcheni mola wenu nyie mahizby. Mmahusda kuona daa’wa salafiyya yazidi kunawiri kila uchwao?

    • @shenjamamzingi7950
      @shenjamamzingi7950 3 ปีที่แล้ว

      "Barahiyaan ni mshindi wa Matusi"?
      Kuna faida gani ikiwa yeye ni Muislam?

  • @musanamasaka7381
    @musanamasaka7381 3 ปีที่แล้ว

    Huyu ni sufiii Wala tusiwe na shaka

  • @abishafiqabishafiq6065
    @abishafiqabishafiq6065 3 ปีที่แล้ว +1

    Kwani nyie mawahabi na masalifi mna utafaut gani

    • @ebrahimadan3630
      @ebrahimadan3630 3 ปีที่แล้ว

      Abishafiq Abishafiq, mawahabi na masalifi ni wepi hawa tufahamishe Akhii

  • @zumemooha6504
    @zumemooha6504 3 ปีที่แล้ว +1

    Hawa salafy wa sasa ni kundi la wanazuoni wanaolipwana mmarekani

  • @minaziparasu3352
    @minaziparasu3352 3 ปีที่แล้ว

    Nyote vibaraka tuu ktk dini hamna lstiqama yasawawa lengo ni farkaa .

    • @amourmattar773
      @amourmattar773 3 ปีที่แล้ว

      Huyu Sheikh Yuko sawa

    • @mussakantumba824
      @mussakantumba824 3 ปีที่แล้ว

      Dini KHAASWAA Ipo kwa Watu wa Twariqa, Ingawa nao Wana kasoro zao.

  • @othmanmhabeshi7845
    @othmanmhabeshi7845 3 ปีที่แล้ว +2

    Wewe barahiani umewasema watu bila kuwajua kama raddi Allah SW alimradd Abu lahab kW kumtaja hasa Leo mkiradiwa mwasema midomo yetu michafu nyie mmesalimika?

  • @osmaniidrisa6290
    @osmaniidrisa6290 ปีที่แล้ว

    Huo usalafi uchwara walikua nao maswahaba

    • @maalimhamad1297
      @maalimhamad1297 9 หลายเดือนก่อน

      Acha ujinga wewe ni sahaba

  • @abuuaisar5545
    @abuuaisar5545 3 ปีที่แล้ว

    Mudir sharubu uparue sio sunna

  • @awesuawesu6082
    @awesuawesu6082 2 ปีที่แล้ว

    Watu wanao jinasibisha na wema walio tangulia yani ni masalafi Leo hii unamwita MTU anae jinasibisha na sunnah za mtume na kufuata wema walio tangulia unamwita salafi uchwara !!! Huu in ukosefu katika dini ... Msimamo ulio bora ni salafi ata ukisema vp uwadharau vp haijaliishi. Hivi wewe Leo hii unajirikodi video katika dini hali ya kua mtume Muhammad (s. a.w) amekataza jambo hilo Leo hii wewe unafanya jambo hilo kisha mnalitia dharura jambo hilo haliakua sio dharura kabisa kisha huo ndio msimamo wako kabisa hujali kuhusu hilo. Tambua msimamo was kweli ni wale ambao wanamfuata mtume (s.a.w) na kuacha uzushi katika dini kwani hakuna dhambi mbaya kama uzushi muogope Allah(s.w)

    • @Zuwenamachela
      @Zuwenamachela 2 ปีที่แล้ว

      Wewe Awesu Awesu soma kwanza hili ni jambo lenye khilaf baina ya ulamaa kutkana na hadith ya mtume sasa we ukiwa upande mmoja wa ikhtilaf hyo niuchaguzi wako umeamua kuchukua rai hyo usimhukum aliekuw against nawey katika fatua za mashekh usiwe mdandiaj ka gar hii ni dini soma wacha misimamo

    • @nasirabdullah6227
      @nasirabdullah6227 2 ปีที่แล้ว

      Ujiita ww salafi,sunni,ibadhi,ghurafi cjui dhehebu gan basi ujue umepita njia tofaut na Mtume wetu (s.a.w) kw sababu unategeneza kundi ndan ya uislam kitu kisichosawa n kuugawa uislam

    • @musashiundu
      @musashiundu ปีที่แล้ว

      @@nasirabdullah6227 wewe ndo hujielewi kabisa kasome

  • @ibnayub2374
    @ibnayub2374 3 ปีที่แล้ว

    Ujinga ni shuhuli hahahahahah

  • @hilalkhalfan1452
    @hilalkhalfan1452 3 ปีที่แล้ว

    Salafi hawapo.