ALHAMISI YA KUFUNGULIWA KUTOKA KWENYE VIFUNGO VYA ROHO ZA MAJINI MAHABA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 16

  • @SifaBushashire
    @SifaBushashire 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu wa sumbe nipatiye kibali Siku île nifike 🇨🇩🇨🇩

  • @yalalaambobe9528
    @yalalaambobe9528 6 หลายเดือนก่อน

    Amen amen amen Mungu usinipete unapo tenda kwa wengi usinipete Mungu.

  • @hatungimanaChretien
    @hatungimanaChretien 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu wa sumbe mimi naumwa miguu naomba uniponeshe na mimi ntishukuru sana

  • @rukiafredy8161
    @rukiafredy8161 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu wangu usinipite naomb nifunguliwe na hizo roho

  • @carolinetoto8706
    @carolinetoto8706 6 หลายเดือนก่อน

    Ameen🙏🏻🙏🏻

  • @SifaBushashire
    @SifaBushashire 6 หลายเดือนก่อน

    Kweliiii baba , ni Amina n'a kweli🇨🇩🇨🇩

  • @FrankKazimiri
    @FrankKazimiri 6 หลายเดือนก่อน

    Nataka mungu wako anisaidiye sikumodja nifike pale mahali ulipo nikuone tuu

  • @millicentrabera
    @millicentrabera 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu nfungue

  • @ManekoMutemula
    @ManekoMutemula 6 หลายเดือนก่อน

    Na mi mungu usinipite

  • @EliyaSivanzire
    @EliyaSivanzire 6 หลายเดือนก่อน

    Natalie maombi mimi na familia yangu ni kambale sivamwanza pa rdc congo ituri

  • @MICHAELBUKWIMBA
    @MICHAELBUKWIMBA 5 หลายเดือนก่อน

    Bishop endeleao kuniombea ktk huduma yangu

  • @ReineDorDiamant
    @ReineDorDiamant 6 หลายเดือนก่อน

    Mimi naona niko nahiyo jini kwa sababu kila nikipata muchumba sijuwi njisi ameowa mwengine tena mimi niko muimbaji kanisani 😭😭😭

  • @MartineNyirahabimana
    @MartineNyirahabimana 6 หลายเดือนก่อน

    Nami nitafunguliwa siku ile

  • @ManekoMutemula
    @ManekoMutemula 6 หลายเดือนก่อน

    Nami mung u usinipite

  • @FrankKazimiri
    @FrankKazimiri 6 หลายเดือนก่อน

    Babayangu nakufata tano ju yatano kabisa,mimi ni frère Franck kutoka DRC pa goma

  • @MICHAELBUKWIMBA
    @MICHAELBUKWIMBA 5 หลายเดือนก่อน

    Nimehangaika kuanzia 2017ndo nilimaliza masomo ya bibli