Anoint Amani Bwana Yesu asifiwe Sana.Hongera Sana Kaka Yangu.Mimi Muimbaji From Kigali Rwanda Nakupenda Sana Kuliko Unavyo nisikia.Ila Kila Wimbo Wote Unavyoweka Inje Ya Studio Ninafuata.
Hallelujah, kila mtu Mungu ameweka wito wa namna yake kwaajili ya kuwaleta weng shambani mwake , Asante kwa kuguswa na kile Mungu alichoweka ndani yangu, Ila amini kuwa tunafanana kwa sababu alie Bwana wangu ndie Bwana wa wengi, hivyo tu mwili mmoja katika kristo Yesu🙏
Ukwap mdogo wangu saiv
Waw Waambie Wasikie tuheshimiane good song
🤣🤣🤣🤣kali sana
impressive indeed bro nice song and has amassege mw
enye sikio asikie
Wow amen amen wimbo muzuri asande kwa mawaida yako barikiwa sana🙏
Wow !! Wimbo wakimbia na speed ya rocket looo. Hongera !!Well done Annoint. Neema iko juu yako. Hallelujah….
Uko sawa,ujumbe umefika ,barikiwa mtumishi
Anoint Amani Bwana Yesu asifiwe Sana.Hongera Sana Kaka Yangu.Mimi Muimbaji From Kigali Rwanda Nakupenda Sana Kuliko Unavyo nisikia.Ila Kila Wimbo Wote Unavyoweka Inje Ya Studio Ninafuata.
Wow wow wow I really like that song weeeeeee
Amen. Nice song. Annoint....Ulipata jiko tayari kaka???..
Sik nimekuon nilidhan nimekufananisha... Kaz zako nzur Kaka angu
Ananibark Sana mung amtunze
Wow wimbo mtamu kuliko asali God bless u King of gospel music Annoint.
Anoinnt mungu akubariki San nataman niwe kama ww
Amen
Hallelujah,
kila mtu Mungu ameweka wito wa namna yake kwaajili ya kuwaleta weng shambani mwake ,
Asante kwa kuguswa na kile Mungu alichoweka ndani yangu,
Ila amini kuwa tunafanana kwa sababu alie Bwana wangu ndie Bwana wa wengi, hivyo tu mwili mmoja katika kristo Yesu🙏
Kweli KABISA BABA YANGU usemalo
Saivi Mungu anazidi kukubariki, barikiwa sana
Amen , wimbo mzuri umenibariki, you never dissapont from Kenya 🇰🇪🇰🇪
waziii annoit hapooooo👌
Wambie kabisa wajue
Amen and Amen wimbo muzuri sana nimebarikiwa mungu akubariki 🔥🙏🙏🧎♂️🧎♂️🇰🇪🇰🇪
Wimbo mzuri sana unanitia nguvu na ujumbe barikiwa
Hakika nyimbo zako zinaupako ;much-love from the most corrupt nation 🇰🇪 🇰🇪
Amina..... #bibi NAYE hapana sikuhici#Mazoea HAPANA...
Wow that's nice may God bless you
Upload tye song in tiktok please
Amen amen amen , heshima ilikwenda wapi watu wangu.
Amen brother you never disappoint🔥🔥🔥love from 254🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mwenye skio na askie
God bless you bro
Barikiwa Sana
I love all your songs...endelea kubariki watu mtumishi wa mungu..be blessed much❤ from kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
th-cam.com/video/WYyn0ukA-bk/w-d-xo.html
*Rose muhando Igitaramo Cy'Amateka kitazibagirana Nyarudindiri 😆😆atunguranye kuri Stage udushya batambira Imana twongeye kumirwa*
*UBUGINGO TV*
Mungu akubariki
Wow more grace
Na enjoy wimbo muzuri
Am waiting
TEAM A.E.A WE LOVE YOU BOSS.
Kua mpendwa kusifanye uvuke mipaka
Woooooooow!! very touching ...and that's why i always tell you that you never disappoint. Your my mentor i love your songs @Japheth from kenya
Wait in Jesus name
Amen respect is better than money be blessed always 🙏🙏🙏
💯❤🤝🙏
Waiting too
Defrey Harry was live from States
Ameeeeen💃💃💃
😂😂😂😂😂😂 I like the message
I like this one 😂😂😂
Amina
Am too waiting
Wow nice be blessed 👏👏
Amen amen Anoint.
Very nice song!
I love this song for sure❤❤❤❤❤
great song
Amen 👏
Hahaha nitakupa chochote utakacho lakini Mme wangu (No).
Amen 🇰🇪🇰🇪
🤣🤣🤣🤣🤣 utaumia mwandelile🤣🤣🤣