Wapendwa ndugu na rafiki zangu asante... kwa upendo wenu na support zenu... kwangu... naomba mzidi kuwatumie wengne link ... MUNGU na awahudumie kwa namna ya tofauti
Hongera ndugu mungu akubariki mimi naitwa stanley b lujo minikotegeta hivininavo ongea nawewe nikokindani leo nimepata ajari mara mbili leoleo wiokujakunichukua baadayakupata ajari nimepatanaye ajri tena nahitaji maombiyako
Hongera sana
Tunazid kubarikiwa
Hongera sana kwa KAZI nzurii brother kayenzi mungu akupe hatuja nyingine zaid
Huu wimbo umekuwa mzuri ajabu hadi nimeurudia kuimbisha nmeupenda ubarikiwe mpendwa
Amazing song🎉🎉
WE ACHA TU Bruno wewe! umejuaje? Yesu akuinue zaidi, umenigusa sana
Hakika wewe acha tu Mungu anatundea mengi ya ajabu, Asante kwa ujumbe mnzuri 🙏🙏🙏
ameen kamanda hakika ni Mungu tuu ametusaidia
Kweri Yesu weacha tuuu nimuweza wayote ametenda makuu sanaaa ubarikuwe sanaaa mtumishi Wa Mungu
Hakika ni kwa neema tu weee acha tu kweli Mungu katika mbali
Amenifanya mtu katikati ya watu keep growing and be blessed
Hongera sana wimbo umenigusa saana huyu Yesu we acha tu amenitendea mengi ya ajabu
God bless you my brother wimbo wangu kwa wakati huu
Hongera kaka ake, ila iyo ya kuingia kwenye jeneza ni kali
Am speechless...YESU we ni mwema...we acha tu
Daah kaka angu kweli yesu huyu wee acha
Kweli huyu yesu wa ajabu
Good kazi njuli sana
Amen ufike mbali sana kaka yangu ❤❤❤much love
🌹🌹🌺🌺pokea maua yako Mungu azidi kukuongoza katika kuifanya kazi yake
Yaaan ni machozi tu
Amenii Mungu niwajambu anatuwazia yario mema ubarikiwe babangu naMungu akubariki Sana💥💥💥💥💥💥🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🌟🌟🌟🌟⭐⭐⭐⭐⭐⭐🌟🌟🌟🌟🌟🌟⭐⭐⭐🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥☀☀☀☀☀☀☀☀☀
Wimbo mzuri sana barikiwa mtumishi endelea zaidi
Ubarikiwe san, mtumishi Bruno kayenzi, YESU azd kuktunza wewe na familia yko kwaajl ya ufalme wake
Huyu YESU ni mkubwa sana
Glory to jusus sure upendo wake kwangu ni wahajabu
Nguvu za mungu zipo when you believe ,I love the song
Amen
Bonge la wimbo,video kali sana, Barikiwaa sana mtumishi🎉🎉
Ile mbio nimetoka nayo TikTok baada ya kusikia huu wimbo,wewe acha tu🙏🙏🙏🙏
Barikiwa sana... asante
safi, we acha,
Hongera sana zaidi umejituma barikiwa san
KAZI NZULI.MUNGU AKUTUNZE KAMANDA
Huyu Yesu we acha tuu! 🙏 amenitendea mambo makubwa na yaajabu mno maishani mwangu. Yaani hii ni nyimbo yangu kabisaa, barikiwa mno mtumishi wa Mungu 🙏
Sw Mtumishi ubalikiwe sana, uyu yesu we acha tu.
Yani siwezi kusimulia 😭😭😭😭😭
Love from Uganda 🇺🇬
Barikiwa
Balikiwa sana kamanda wa yesu injili isonge mbele
❤❤gospo yangu pendwa..Mungu akubariki hadi Ushangae mtumishi waMungu
Hongera sana mtumishi kwa ujumbe mzuri. Bwana azidi kuiangalia huduma yako na kukwinua katika viwango vingine.
Kabisa nineema ya ajabu kumubariki kaka yetu hata sisi pia tunabarikiwa
Uwezi elewa neon linalosema weacha kama ujapitia mambo mengi
Kazi nzuri ubarikiwe sana mtumishi
Umenibarki sana nimekumbuka mengi sana mungu akubarki
Kwa kweli upendo wake wa ajabu oooooooh good job ubarikiwe mtu wa Mungu
Amenifanyia Mambo makuu we Acha tu
Wapendwa ndugu na rafiki zangu asante... kwa upendo wenu na support zenu... kwangu... naomba mzidi kuwatumie wengne link ... MUNGU na awahudumie kwa namna ya tofauti
Kanziiii nzuriiiii kaka Mungu azidi kukuweka
Perfect song
Be blessing every second.🔥🔥🔥
Amen sana
Brother nakutafuta tufanye collaboration
❤
Njoni Muone huku kuna DUNDO limeachiwa 🔥🔥🔥
Daaa kutoka group Moja hivi nakupata ujumbe umekuwa faraja kwangu ❤❤
Barikiwa
Ubarikiw sn mtumishi🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Asante mtumishi kwakutupa matumaini huyuu yesu acha tyuuuu
Kwanzaa nilishangaa amefariki nikaanza kulia kumbe wimbo wacha tu
Ubarikiwe sana my brother, kazi nzuri sana, we acha tu
Ubalikiwe sana mtumishi wa Mungu 🔥 🔥
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu Bruno Kayenzi, nimesikia huu wimbo nimebarikiwa sana
Amen
Mimi nakuelewa sana mtumishi wa Mungu
YESU ni mzuri kwetu
Barikiwa sana Mungu akubariki 🎉🎉
Nimechelewa kusikia huu wimbo lakini nimebarikiwa moyo, vile vikao sikuizi havifanyiki nisipokuwepo😢😢 huyu yesu we acha tu 🙌
Amen
Mungu akubariki mtumishi wa mungu
Barikiwa sana kaka nimeisubiria sana kaka,yaani nabarikiwa sana kupitia huduma yako
Dahh hii sin ya kwenye jeneza mbona inatisha sana
Video ya kijasiri sana hii kwenye jeneza tena!.Aaaa Ed Media mmetishaaa🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Ubarikiwe Sana mtumishi wa MUNGU
Kazi nzuri sana Mungu akubariki zaidi na zaidi
Hongera kaka yangu kwa ujumbr huuu
Song was powerful
MUNGU aendelee kukutumia 2:31 brother message inagusa sana hongela sana👍
Barikiwa sana my bro Mungu akwinue kiwango
Hakika asante sana Yesu.
Ongera Sana, Kaka Ang kazi nzury 🔥
Kutoka Msalala_kharumwa apa,
Toka umeutambulisha huu wimbo nimekuwa mtu wa kurudia rudia kuusikiliza Mungu akupiganie mtumishi 🙏
Amina
Barikiwa sana mtu wa Mungu
wow such a great song ,,,,u are doing good #enyewe yesu tosha
Wimbo umenigusa 😢😢 barikiwa kaka
Safi Sana kaka kazi njema sana
Mungu akuinuwe zaidi
amen mtu wa Mungu ujunbee unaishiiiii
Mtumishi wa Mungu Bruno kazi yako ni njema sana Mungu akupe hatua nyingine tena katika huduma yako🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤
Amina
Wimbo mzur, video nzur, hongera best angu uje kula kitimoto sasa. Nitafute haraka kuna kitmoto hapa
Yaaa morogoro ... hiyo nauli si ninunue hUKu
Barikiwa Kamanda
Kazi nzuri! Ubarikiwe 🙌🏼
Mungu akubariki sana nafarijika kila nikiusikiliza huu wimbo
Wimbo Pendwa, Asnte Yesu Kwa kuendelea kunitetea Maana nakuona ktk Maisha yangu kiasi ambacho skutegemea .
Mungu azidi kukutumia Mtumishi
Wau, glorrrrrrrrrry 🇰🇪🇰🇪🙏🙏
It's so uprifting...you are going far
Amen
Hongera kaka yang@ Bruno Kayenzi
The best video ever ....high creativity ....Mega congrats Brother Bruno
Wimbo viwango sana huu
Hongera sana
Hii imeenda
Barikiwa
Balikiwa sana mtumish wa MUNGU hyu YESU aliko nitoa Weacha tu
Mungu ni mwema ametutoa mbali......we acha tuuuuuuu
I love the song.God bless you
Amen
Kaka kazi nzuri sana _Yesu ametutoa mbali sana ❤_Ubarikiwe sana
Du mungu mwema
Mungu azidi kukuinua ninapo usikiliza huu wimbo ninatokwa namachozi kwasababu Kama umeniimbia mm kwakweli weachatu🙏🙏
Mungu akazidi kuku tendea
Karibu kwenye UZINDUZI
God please you
Hongera ndugu mungu akubariki mimi naitwa stanley b lujo minikotegeta hivininavo ongea nawewe nikokindani leo nimepata ajari mara mbili leoleo wiokujakunichukua baadayakupata ajari nimepatanaye ajri tena nahitaji maombiyako
Keep it up brother God bless you 🙏
Asanteeeeeeeeeeeeer🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Hongera mtumishi wa MUNGU kazi nzur
Weachatu