@@godympole367 gody pole naona unajsahaulisha maandko km bado upo kwa mihemko stop tafuta neno na sikila mtu Ni sahh kufundsha au kuhubr Bible imeweka wazi kasome 1timotheo 3: isome yote vzr haya Ni maneno ya mungu mwenyewe hayabatiliki Wala hayataondoka kwahyo ww sapot mkono Mambo ya kipuuz km vile neno hulijui na hatakm hujui tatuta kujua keshasema tafuta kwabidii kuijua kweli usiende boratukwenda tafuta kwa bidii usjepotezwa
Unapomuimbia Mungu Baba Mwenyezi,unapaswa kuimba kwa staha,na unapocheza pia unapaswa kucheza kwa staha na unyenyevu,je inatofauti gani ya staili hizo na zile za miziki ya kidunia? Angalieni na kuweni making,Biblia inasema: Wao huniabudu katika vinywa vyao lakini matendo yao hayaniabudu,ndugu zangu tujitafakari sana
Mimi nimeelewa na kanigusa ingawa muislamu angalia sana njia zako zikoje mbele za mungu Endelea mbele kumtafuta mungu Iga tabia njema ya kumpendeza mwenyezi MUNGU Omba sana ili usiingie majaribuni Usirudi nyuma hata kama maisha ni magumu kama mimi muislamu nimeelewa sanaaaa cjui kwako wewe hapooo mmmh pole sana
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu
Hongera dada pumzi unayo! mara ya kwanza nilifikiri utashindwa kuimba kwa huo urukaji, kumbe vyote unavimudu! Sifa kwa Yesu
Nitakualika kanisani siku moja walai uwashe Moto dada nimekupenda sana
Yaani hii style huwezi iga ruka kwa Mungu mpaka nguo ziondoke kusifu kunawapasa wanyofu wa moyo Mungu azidi kuwainua
V
Like embarambamba Kenya,,, 🇰🇪🇰🇪 kazi nzuri sana
Wacha uchokozi
Kenyan,My sis God bless you.
Nimekubali, wewe unaupako wa kucheza, Mungu akutumie tuuu Dada.
Asante kwa wimbo mtamu,wewe ni mjukuu wa daudi🤣🤣kwa kweli mimi siwezi cheza hivyo,yaan sauti sitaweza toka hata sile hasitakani
Mungu akuinue mama toa zaidi nyimbo
Salut👏👏👏👏😁😂👍🙏
My dear hongera Sana. Kwa
Moyo wa kumtukuza MUNGU kwa furaha kuu,
MUNGU azidi kukuinua na kukubariki.
Nice 👍👍👍
shetani huko aliko ana Hali mbaya Saana. sio Kwa injiri hii
😂😂😂😂😁
😂😂😂😂😂😂 amejiudhulu eee
Marrion oroni kutoka Kenya napendezwa sana na nyimbo zako nifanyeje nikuone au nambari ya simu tafadhari naomba ubarikiwe sana
Ubarikiwe mama
Congrats 👏🎉👏👏 to you Naomi God bless you
Thank you! You too!
Mahubiri Yenyewe nishapata.(full sermon)
hongera sana Dada Anna Ngisye, Mungu akubariki sana
Woow. .nice one be blessed
Your energy is on another level, barikiwa sana
Big up
God bless you so much Amen
Kucheza kote huko mbngun hawakujui aibu ilioje maana hata sielew ndo nn kucheza hvo huyo mwenye sut nyeus mungu anaamuona
Amen🔥🔥🙏
Asante dada, devil is a liar
kweli kuwa na YESU KUNA HESHIMA KUBWA SANA
Ananibariki Sana mungu ambariki
Nzur sana nimeipenda
Hongera sana
God bless you , good message to us
Namupenda sana kipenzi changu mama yangu namudogo wangu ukovizili sana 🙏🙏 nawapend
May God bless you people..
Uyo mwenye suti nyeusi hakii amejua kudakia na kutendea hakii aeiou
😏😏😏
Nimebarikiwa sana hadi baomba nambari ya huyu mama
Namahoro
Songa.mbele.na.yesu.kazinzuri
Unanikumbusha dada Rose Muhando jamani...kazi nzuri endeleya kumsifu bwana.
Kazi nzuri ubarikiwe.
Kazi nzuri ubarikiwe.
Hivi huyu Dada kabila gani maana si kwa uchezaji huu
Muimbaji kutoka mbeya mimi mwenyewe ni muislamu ila nimemkubali
Mnyakyusa
Jamani inapendeza Sana kumtumikia Mungu
Kwann unasema hivo Kwan 😜😜😜😜Kwan wanamtumikia nan
@@gosbertmuta5421 Wanamtumikia Mungu ndomana nikasema Inapendeza sana hio.
@@godympole367 gody pole naona unajsahaulisha maandko km bado upo kwa mihemko stop tafuta neno na sikila mtu Ni sahh kufundsha au kuhubr Bible imeweka wazi kasome 1timotheo 3: isome yote vzr haya Ni maneno ya mungu mwenyewe hayabatiliki Wala hayataondoka kwahyo ww sapot mkono Mambo ya kipuuz km vile neno hulijui na hatakm hujui tatuta kujua keshasema tafuta kwabidii kuijua kweli usiende boratukwenda tafuta kwa bidii usjepotezwa
@@godympole367 mungu Ni mtakatfu Sana na ukumbuke shetani nae yupo kazn kutofautsha Ni ngum km hulijui neno la mungu
iyo step balaa
hapo Sawa dada
Mmeru hataki utani juu ya kumsifu Mungu
Mungu awabaliki sana washa moto wa injili
Mungu hawabariki
😂😂😂😂😁
nguo kwabinti hazina upako tubadilike wakristo
Pamoja sana
Yes!
a e i o u
Fine
Nc
Powerful
Yeah
Unapomuimbia Mungu Baba Mwenyezi,unapaswa kuimba kwa staha,na unapocheza pia unapaswa kucheza kwa staha na unyenyevu,je inatofauti gani ya staili hizo na zile za miziki ya kidunia? Angalieni na kuweni making,Biblia inasema: Wao huniabudu katika vinywa vyao lakini matendo yao hayaniabudu,ndugu zangu tujitafakari sana
Sio WOTE wanaigiza kuimba wapo Mungu amewaweka
Upo vizuri mama na mungu amekuona
Hakika Kaka sio kwa uchezaji huo mungu hapendi
Music wa injili unaraha yake hongera sana dada.
Kaka Bora hachezi nyimbo za sunia anawasha Moto wa injili
🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆jamani
Queen Mariana poa
Hapo sawa
Nzinzancane
Shetani yuko kazini,
ubarikiwedada
Lulu James Amina
Noma Sana.
Good
Mungu
Awabarik
San
kkkkkkkkkkkkkkk
hey; Kwa kweli Daudi aliacha warithi wa kucheza. ila hawa nguo haziwezi kudondoka kwa sababu zimeshonwa!
Unachamsha ukumbi ujumbe wako unalenga nini?
Mimi nimeelewa na kanigusa ingawa muislamu
angalia sana njia zako zikoje mbele za mungu
Endelea mbele kumtafuta mungu
Iga tabia njema ya kumpendeza mwenyezi MUNGU
Omba sana ili usiingie majaribuni
Usirudi nyuma hata kama maisha ni magumu kama mimi muislamu nimeelewa sanaaaa cjui kwako wewe hapooo mmmh pole sana
Hongera kwa kuelewa vyema Mungu akubariki
Mastepu kama yote